Ni ukweli kabisa,chama chochote chenye Nia ya kushika dola ,huanza kujijenga chini,yaani ngazi za nyumba kumi,vitongoji,vijiji,.Kama wangewekeza huku chini wangeweza,shida wanapambania ubunge uraisi,
Kijana huo mtazamo haufai kama msomi,historia duniani mabadiliko ya kisiasa siyo lazima yatoke ndani ya chama tawala,wazee walioleta uhuru walikuwa nachama gani tawala,nashangaa msomi mzima uamini kuwa mabadiliko yoyote yawe yakisiasa ya kiuchumi huwa hayahitaji uzoefu bali huletwa nafikira tofauti zenye hisia ya kimageuzi zinazoibuka katika jamii husika
Hujui chochote kuhusu marekani kasome tena maseneta kazi yao nn pale nchi zinamifumo na malengo ya generational ata aingie raisi taira you can't cahnge america haiendeshwi kimihemko
Kila chama kina ideology kk, ubaya misingi toka mwanzo ni mibovu kias kwamba kusimamishia nchi hapo ni mzaha. Mifumo mizur ya kiutawala haiwez kuathiriwa na upizan, mifumo mizur yenyewe haipo upinzan pekee sio wa kulaumiwa.
MUNGU ATAKIONDOA HICHO CHAMA CHENU CHA CRISTIANS CHURCHES MOVEMENTS (CCM) . ZANZIBAR SI NCHI WAKIRISTO NA WATANGANYIKA .MAZIONIST WAKO BUSY KUWAHUJUMU WAISLAM WA ZANZIBAR NA NCHI YA ZANZIBAR
Kuna vitu havijsribishwi kabisa Chadema Saccoss hawana sera wao kazi yao matusi hawatangazi kuwa mkishika dola mtawafanyia nini watanzania kama watashika dola
WACHOKONOZI MKO VIZURI. HAMNA UNAFIKI. HUWEZI KUONDOA MFUMO KAMA HUNA MFUMO. WAPINZANI HAWAJENGI MIFUMO . VIONGOZI WA JUU WANAJIJENGA WENYEWE. NA HILI NI TATIZO TULITEGEMEA CHAMA CHA SIASA KIWE TAASISI YA KUANDAA KIFIKRA VIJANA KUJA KUWA VIONGOZI WA BAADAYE.
Kwa zanzibar CCM ni majanga kwa maana Walisema zanzibar c nchi wakati ilijkua na kiti chake UN Ilikua na pesa yake ikiitwa rupees Ilikua ni dola kuanzia mogadishu hadi mafia na km huamini tembea uangalie miji ya pwani ya Africa mashariki jinsi ilivyofanana na mji mkongwe wa znz Tulikua na viwanda Vyte vimeuliwa na CCM
Ni kweli usemayo Ccm ikitoka Madarakani hatuna nchi Wachokonozi mko vizuri sanaaaa
Mmesomeka Wakuu..🙏🙏🙏
HAPA ndo mmekosa akili,mnashobokea kwakuwa mngeenda tofauti mngeshafungiwa.
Mawazo mabaya kabisa hayo
Huo ndio ukweli kabisa hakuna mbadala wa CCM
Vyama kuwajenga viongozi na sio Protestant, ila "WAJENZI HURU" yani FREEMASON.... Okays
Njaaa ni mbaya sana
Wew ndio umeshiba
Umeongea kitu kikubwa sana ,maana manifesto za upinzani azipo clear kabisa
bado wapo na hatuna nchi.
Upewe maua Yako kaka
Shida binadamu hatutaki kuelezwa ukweli dhidi ya kile wanaona ila kulalamika tu.
Mbowe hana kitu kama ni mti mpapai
Haswaa, umesema ukweli kabisa.
Hamna kitu hapo
Wachokonozi, mnatupanua kiakili
Minaomba kuuliza chuma ulete au lukupi nini apo
Na kweli kichwa chako 0000
Wapumbavu kwenye ubora wao duuu
Mmelambishw asali
Amesema katumia akili gani lkn??
Ulitegemea watu watatoka nchi nyingine huna akili acheni kuiba kura muone
Ongeeleen masuala ya kujitambua tu.
Mnajichanganya Mlitaka Wapinzani Watoke Nje Ya Nchi kumbuka CCM Sio Nchi CCM Ni Chama
Hujaelewa wewe wanacho maanisha
Na mungesapoti chadema hiki ki yutuble chenu munge fungiwa
Pale ni upotoshaji
Mimi mwakipesile mbarikiwa natizama meno tuu. Asali tamu
Ni ukweli kabisa,chama chochote chenye Nia ya kushika dola ,huanza kujijenga chini,yaani ngazi za nyumba kumi,vitongoji,vijiji,.Kama wangewekeza huku chini wangeweza,shida wanapambania ubunge uraisi,
Shikamoo 🎉
Kijana huo mtazamo haufai kama msomi,historia duniani mabadiliko ya kisiasa siyo lazima yatoke ndani ya chama tawala,wazee walioleta uhuru walikuwa nachama gani tawala,nashangaa msomi mzima uamini kuwa mabadiliko yoyote yawe yakisiasa ya kiuchumi huwa hayahitaji uzoefu bali huletwa nafikira tofauti zenye hisia ya kimageuzi zinazoibuka katika jamii husika
inasikitisha jamaa anavoigiza kuwa na upeo wa juu
katupatia ushaur mbov kwelkwel
Tumekujaaa
Bangi bhan😂
Ccm ina watu upinzani kaz ni kuandamana na kula hawapigi
Shobo tu
Unatumia kipimo gani kujua ccm ndo wenye akili ya kuongoza na sio mtu mwingine
Marekani nchi KUBWA kuliko Tz yenu lkn Wao wanademocrasia na pia wanabadilishana na nchi unaenda.
Hujui chochote kuhusu marekani kasome tena maseneta kazi yao nn pale nchi zinamifumo na malengo ya generational ata aingie raisi taira you can't cahnge america haiendeshwi kimihemko
Demokrasia ni story ya kusadikika haijawahi kuwepo popote pale amka kumechangamka
Demokrasia haijawahi kuwepo sema kuna minada tu yakutunishia mifuko
Kila chama kina ideology kk, ubaya misingi toka mwanzo ni mibovu kias kwamba kusimamishia nchi hapo ni mzaha. Mifumo mizur ya kiutawala haiwez kuathiriwa na upizan, mifumo mizur yenyewe haipo upinzan pekee sio wa kulaumiwa.
Jamaaaaa hana upande na unapowaza hayup uko yaani it's fact only super
Mnaongopea watu
F 3 tunaelewa hii kitu
uoni ungo uliokubuu
❤❤❤
0000000000 bren
🤔🤔🤔
Ninyi wote ni wajinga kabisa kwani ccm ni kitu gani bhana
MUNGU ATAKIONDOA HICHO CHAMA CHENU CHA CRISTIANS CHURCHES MOVEMENTS (CCM) . ZANZIBAR SI NCHI WAKIRISTO NA WATANGANYIKA .MAZIONIST WAKO BUSY KUWAHUJUMU WAISLAM WA ZANZIBAR NA NCHI YA ZANZIBAR
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mambo ya Christians yametokea wapi ndugu
Kuna vitu havijsribishwi kabisa Chadema Saccoss hawana sera wao kazi yao matusi hawatangazi kuwa mkishika dola mtawafanyia nini watanzania kama watashika dola
We pumbavu acha kutukana CHADEMA........WE sikiliza mawaidha ya hao vijana pita pembeni afu akili za kuambiwa changanya na zako....shenzi
Mbona wataelewa tu,Watu hawaelewi tu hakuna chama strong Duniani kama ccm
Acha Kuongea Ujinga Wewe "
Mmeongea Ujinga Mwingi Sana Hata Aibu Hamna Wajomba "
Huo ujanja wako wewe uliongea bado hatujausikia!
@@wachokonozi_😂😂😂
Hawa ni brain washed
WACHOKONOZI MKO VIZURI. HAMNA UNAFIKI. HUWEZI KUONDOA MFUMO KAMA HUNA MFUMO. WAPINZANI HAWAJENGI MIFUMO . VIONGOZI WA JUU WANAJIJENGA WENYEWE. NA HILI NI TATIZO TULITEGEMEA CHAMA CHA SIASA KIWE TAASISI YA KUANDAA KIFIKRA VIJANA KUJA KUWA VIONGOZI WA BAADAYE.
Watao kuelewa ni wale wenye ukuu,wengi ni wale wale wafuas wa din,ccm inajua ukuu na ndio man itadumu
Wajinga nyie ndo akili zenu zilipo ishia
Ujinga huo, na nyie ni wajinga sana.
Makopo yanaongea
Sufuria linasikiliza 😅
@@wachokonozi_😂😂😂😂😂
Wajinga katika ubora wachumia tumbo nyie shenzi mkubwa
@@MtanganyikaTanganyika halafu unajiita mtanganyika...fala kweli. 😅
Mjinga wewe wameongea ukweli uliopo TZ
Acha matusi bishana Kwa hoja
Kwa zanzibar CCM ni majanga kwa maana
Walisema zanzibar c nchi wakati ilijkua na kiti chake UN
Ilikua na pesa yake ikiitwa rupees
Ilikua ni dola kuanzia mogadishu hadi mafia na km huamini tembea uangalie miji ya pwani ya Africa mashariki jinsi ilivyofanana na mji mkongwe wa znz
Tulikua na viwanda
Vyte vimeuliwa na CCM
kumbe ccm wamezingua zanzbar pekee, huku bara wamefanya nini?
Wajinga
Shikamoo🎉