Aslam aleikum salama hope everything well on your side, I'm from Kenya and I really enjoyed your interview with rich billionaire and the previous interviews too.. Wanna request if possible to bring him back again coz he's educate so many people in this world. And it's gives people not to give up in life.. SALAMA we love you and Allah bless you good things happen to you. xxx
The best of the best interview..... Sisi sote ni wa Tanzania 🇹🇿 hakuna cha udini,ukabila wala rangi.. tusigombanie maini kabla mwenye ng'ombe hajachinja
Salama, swali lako kuhusu imani na dini pamoja na sayansi ni zuri mno na limewagusa wengi sana, pia nashukuru kwa patience uliyonayo wakati unamuuliza maswali.
Daah one of the best interviews from Bongo in recent times, Salama you are the best keep this up. Your interviewees give us relevant information and education and I'm sure I'm among many who appreciate this show.
Mtumishi wa mungu ubarikiwe sana na mungu akupe maisha malefu uendelee kuokoa hiki kizazi kilicho sahau kazi na kubaki kutegemea miujiza kutoka kwa watumishi wa mungu
Salama huu mwaka umetufungulia na mazuri sana kwa kila jambo vijana tunajioliza tumepewa majibu hongera sana salama salut kwa mzee wetu mchungaji nipo KENYA nainjoi
Hii ntarvew imenifunza na imeongeza kitu kwenye Maisha Yangu kupitia hii interview naenda kua tajiri huu Mwaka imenipa ujasir Zaid ya kutafuta ishi Sana Salama na Father apo rich billionea mchungaji
Tusisifie tu interview jamani tubonyeze na kitufe cha support ....Salama you the best Kuna mengi wenye digital media zao wana cha kujifunza kwako....keep going!
Natamani sana vijana wote wangeisikiliza hii interview. Kwa kweli ni mafundisho muhimu kwao. Asante sana.
Ubarikiwe dada kwa kutuletea huyu mtumishi wa Mungu
"Mpigania uhuru wa kiuchumi", Asante sana Mchungaji.
Dada leo hakuna msosi wala juisi😊😊..ni nondo mwanzo mwisho. Nice interview..Mwamba sio wakuulizwa maswali meengi. Ni kumchokoza na kumwacha atambae
🤣🤣🤣
❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Amini😂😂😂
Uyu mzee ni Mzalendo ...i wish to meet you Mentor wa Taifa.
Salama asante mzee ametufunza mengi.#One Love
Hongera sana dada mungu akubariki na Asante sana mchungaji kwa ushauri mzuri 🙏🙏🙌🙌💯❤️❤️❤️❤️🤝
Nimepata majibu ya mengi kupitia Interview hii kuhusu maisha, uchumi, Imani na mengine mengi 🤝💪
Hakuna kushindwa kwenye maisha,bado maisha yapo,maisha yamapambano yanakufanya uwe imara...asante Mchungaji Rich..
Huyo baba nii was aiana yake, humble, helpful and passionate. Hatuchoki ukimsikiliza. Ujumbe wa kutosha! Tutaufanyia kazi . Thanks Salama. Good work!!
"Shetani haonei mtu asiyekuwa na akili." 🙌🤛
Nikweli kbs
umenifanya nicheke
@@rosemilingi7860😅😊😊
Aslam aleikum salama hope everything well on your side, I'm from Kenya and I really enjoyed your interview with rich billionaire and the previous interviews too.. Wanna request if possible to bring him back again coz he's educate so many people in this world. And it's gives people not to give up in life.. SALAMA we love you and Allah bless you good things happen to you. xxx
Asante Salama kwa umahiri wako ktk uandishi. Big up!
"Umeletwa ili usaidie, siyo usaidiwe." 🙌🤛
Interview Bora sana kwangu imenipa majibu mengi,good job salama kip it up.
The best of the best interview.....
Sisi sote ni wa Tanzania 🇹🇿 hakuna cha udini,ukabila wala rangi.. tusigombanie maini kabla mwenye ng'ombe hajachinja
Ubarikiwe sana mchungaji,umetoa madini ya thamani sana.❤❤❤
Masha'Allah Tabaraka'Allah
Yani mda mdogo sana, Salama tunamuhitaj tena please
Dah huyu mzee kichwani yupo vizur sana ubarikiwe
Nilijihisi kuwa nipo kwenye lecture room nakula nondo ❤
Best interview 2023🙌 nmepata majibu ya maswali
Nakupenda alafu najifunza sana kwako baba Mungu akutunze
"Jambo la kwanza siyo maombi. Jambo la kwanza ni Ukombozi wa fikra." 🤛🙌
Salama, swali lako kuhusu imani na dini pamoja na sayansi ni zuri mno na limewagusa wengi sana, pia nashukuru kwa patience uliyonayo wakati unamuuliza maswali.
Daah one of the best interviews from Bongo in recent times, Salama you are the best keep this up. Your interviewees give us relevant information and education and I'm sure I'm among many who appreciate this show.
Kwa kweli Aliposema kuhusu muda ameni inspire mambo mengi
JAMANI TUCHICHEENI BASATA WAMPE TUZO YA KUFAFANUA KUHUSU MTU NA DINI ALIYO TOKEA... THIS IS REALLY REALLY REALLY HARD TALK
Mtumish Nimekpenda Sana nimejifunza vtu we ni jasiri Mungu azidi kukupa nguvu na uishi miaka 10000000
Salama we mzur sanaaaa, na be blessed kwa kutuletea watu wa kutujenga
Huyu baba ni fighter hadi sasa anajihusisha na vinyago nafahamu vzr sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tufanye ibada ndugu zangu, Mim Huwa naumia Sana napokuta mtu wa dini fulani anamchukia wa dini nyingine,
Hongera sana Dada Salama, Unajua sanaaaa, interview inaubora wa hali ya juu, inavutia kusikiliza. Nimejifunza sana. SHUKRANI....
Huyu mchungaji anamjua kufundisha, ukweli huwezi kudai haki bill wajibu, wajibika na haki inakuja yenyewe. Asante kwa mauojiano Dada Salama
I love this pastor.. lazima nije kutoa chochote kwenye kituo chako kabla robo ya kwanza ya Mwaka huu kuisha.. Serious naguswa sana na mission hizi
Please don’t forget if you haven’t 🇬🇧😁
Hakikaaa mungu awe nawe daima mchungaji
ni inspire sanaaa hyu mchungaj anatoa nondooo sanaaa mungu akuweke
Ahsante sana baba mchungaji Hananja umetufungua kifikra namna ya kufikiri kwa mapana zaidi ili kupata ukombozi wa kiuchumi
I'm blessed through this interview
Thanks God and to U Salama and Young Rich
Yani natamani msimalize maana nabarikiwa sana nacheka hadi nashangaa najihisi mpya kwa maongezi ya MCH Hananja Mungu akulinde na akutunze mpendwa
Funny, educational, humble, inspirational, loving, caring what an interview. Respect to you Salama and the billionaire.
Salama , ubarikiwe sana , kutuletea mtu na nusu , bonge la elimu , billionaire ni full package abarikiwe sana 🤝🤲
"NDANI YA UJANA KUNA UTAYARI WA KUFANYA KAZI"
#WALK_THE_TALK
🎉Hongera sana maneno yako mazuri
Wallahi nimecheka sana, pia nimejifunza kwa nondo za Hananja
Hongera sana Salama kwa kubuni kipindi kizuri Mungu akusimamie ufike pale unahitaji
Mtumishi wa mungu ubarikiwe sana na mungu akupe maisha malefu uendelee kuokoa hiki kizazi kilicho sahau kazi na kubaki kutegemea miujiza kutoka kwa watumishi wa mungu
Mimi ni muisilamu Ila uyo mzee mchungaji ,nampenda sana mafundisho yake ni bora
😂😂kwani waislamu hawapendi mafundisho yake😂
This man has such fidelity to humanity; nonetheless, he speaks really fast for Kenyan ears.
Jamaniii...."Jicho lako linaona nini".. hii ni muhimu sana...
Salama huu mwaka umetufungulia na mazuri sana kwa kila jambo vijana tunajioliza tumepewa majibu hongera sana salama salut kwa mzee wetu mchungaji nipo KENYA nainjoi
Hii ntarvew imenifunza na imeongeza kitu kwenye Maisha Yangu kupitia hii interview naenda kua tajiri huu Mwaka imenipa ujasir Zaid ya kutafuta ishi Sana Salama na Father apo rich billionea mchungaji
am rich kid..inspired by rich bilioner..lifee is good. thanks much SALAMA JABIRI for this message ..always you are at the Top ❤
Hii like 100 ni yangu natamani nilike Mara Mia Mia what an interview!
Hongera sana mchungaji vijana tufanye kazi mambo ya kupakwa mafuta utapeli mtupu
Salama ni hatari. Elimu tumepata❤
... Interview Bora kabisa kutokea kwenye ubora wako #SERMON
"Mnajenga majengo kutega uchumi, sisi tunajenga kutega huduma." 🙌🤛
M. Mungu amfishe haliyakua ksmridhia
Nakupenda sana maneno yko yananipa moyo nguvu na usabiti
I wish to meet this man one day, very humble, very intelligence man, he is third eye opened, he is just see life in a spiritual way. he see love 😍.
I think he meditate
Hata mimi nimetamaani
This will be interview of the decade.
Kabisa ✊🏾
He talks real and reality.... Nice and good thanks for this fantastic show
Hii ni interview bora zaidi kuwahi kuitazama.
Best Interview 2023..MCHUNGAJI HANANJA KIBOKO
Maneno n mengi na hapotezi point🙌🙌
Point inabaki imesimama
In whatever he does, he sees and encourages live for one another, nampenda sana very open minded. Thanks for a great listening skill @Salama
Tusisifie tu interview jamani tubonyeze na kitufe cha support ....Salama you the best Kuna mengi wenye digital media zao wana cha kujifunza kwako....keep going!
Wew ushabonyeza?
Tunashukuru Sana Salama kwa kumleta Pastor hakika tumepata bonge la lesson.
😊😊😊 ety Imani zingine ukifa unakamuliwa hili urudi ukiwa mtupu.
Rev, hakuna kazi bila.kumshirikisha.mungu,hata.mama anajua, lazima mwejyezi mungu asimame na kila jambo.amen.
Giant wa Tanzania 🇹🇿 🤝🤝🤝👊👊
"Imani siyo kuelewa, Imani ni kukubali." 🙌🤛
This is the best interview ever🙌🏽
Kule unaenda kutiwa moyo tu, muhimu FANYA KAZI. 🤛🙌
❤😂Nakupata sana billionaire Rich 5/5 från Stockholm Sweden Ubarikiwe sana
Hongera sana mchungaji umechagua fungu lililo bora sana,Mungu azidi kukutegemeza,imani bila matendo imekufa
Very true maisha ni kufanya kz kupambana na Iman na subra
Kama mmenotice salama haonekani sana atakuwa hana mbavu muda mwing sanaaa
Mchungaji yupo Vizuri sana hongera. Soba House naomba unisaidie mdogo wangu mlevi wa pombe
Asanteeeeeeeeee"watu huwa wanauliza mbona hunywi pombe majibu hayo"akili yangu yenyewe pombe🤣🤣🤣🤣ikinywa ni hatari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hatari sana
Hata mimi. Najiona hivyo, kuwa sinywi pombe bado huwa najitafakari maamuzi na matumizi yangu naimagine ningekuwa mnywaji ningekuwa je sasa!! 😂😂
@@filamupictures9349 tungekuwa wehuuu😂😂😂
Safisana Mzee hananja mafundisho mazuli naumenipanguvu yakuzidi kupambana hakunakushindwahapa tokapepolakushindwa Mungu yupopamoja nasi tutashida Barikiwasana
Hongera salama Kwa kipindi mie nakufuatilia sana unatujenga sana ,hakika mungu akutie nguvu
Barikiwa Sana Mtumishi, Interview nzuri sana, hongera sana Salama.
Salama huyo mzee anayo iq kubwa sana.huchoki kumsikiliza na anachosema ukikifanyia kazi unakuwa mfano wa kuigwa kwenye maisha yako yote.
Asante sana salama asante hananja kwa mazungumzo wameenda vyema sana mungu awabariki nyote
BWANA YESU ASIFIWE.
TUMSIFU YESU KRISTO.
Uko vema salama na mchungaji hananja Mungu awabariki
Nimeguswa sana sana sana na mchungaji huyu... Daah!! Barikiwa salama kwa exposure ya watu hawa!! We need this things to trend 📈 jaman
The best lesson, utoto utumwa ,ujana maswali,uzee ugonjwa
Hakuna kushindwa kweye maisha. Maisha ni kupambana jiamini.
Best interview ever
Daah mwalimu wangu kitambo sana...leo nmecheka...naomba nipate number yako ...mwanafunzi wako msasani Luther an church 2002
Nimeangaliaaa nikajua Salama ndio anahojiwa!
Mchungaji Thanx ur genius
Woow best interview....shukran dada Salama kwa interview bora na mchungaji ametuweka sawa kiakili kwa namna tofauti.... Big up!
machali wa arusha musiyopenda kazi munajambo la kujifunza hapo
Nakupenda sana unaongeleyaga point nakufataga nikiwa marekani.
Salama leo umepatikama hata swali Huna nafasi ya kuuliza😆😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣
you should be inviting smart people like these ....best pod so far💪
Mwamba huyu hapa..anatoa sana Elimu
Salama ni mwandishi bora... umemwacha mzee aongee,nasi tumepata elimu. Kuna waandishi wengine wangemkatisha... salama ni type ya Millard ayyo
Salama naangali Mtumishi ananipa raha mbavu zangu
Hakika
yes
Salama always the best interviewer
hii mimi pia nimeliona salama is professional ever
Hii ndio ya Yahstone town👍👍