Hahahahhahahahahaha wachokonozi ni kweli ndio maana wengine tunawaonaga wanasinzia lakini jimboni kwano hakuna hadi karibu na ziwa Victoria hakuna maji lakini wanasinzia bungeni
Kweli kabisa, tuendelee kueleweshana bro,kuna sehemu tutawanasa,hakika kwa uelewa wangu,bora wasije kwenye majimbo yao wakaage huko huko bungeni wasije mtaani.
@@YusuphKayoka-d7o hauwez zuia negative kama unahitaji kujua mambo na Sio Haya tu pia Sio kila negative inaharibu wewe bado upo level ya chin ya uelewa hahahaha
@@rogerabdallah439 hata huku Ulaya wanalala kuliko Tanzania mimi nipo huku Ulaya Bunge la Ufaransa Italy Spen huwa walala sana ni tpfauti na Bunge la Germany Hawaii sana mimi huwa nashanga kwa nini wanalala
Kuchambana😅😅ila mjeshiii kikofia akili kubwa
Ndio mzee😅😅
Mimi msipo ni like ila tu muhimu ni mewakilisha wamasai wenzangu wachokonozi❤❤❤
1:49 📌📌
Nishajiuliza sana lile la uingereza kwanini lipo vile now i know
Tuna washukulu kwa kutupa ELIMU bila ada mungu awabaliki ndugu zangu
Bonge la comment
Naomba mda wakumjadili peter msingwa aliokimbia chadema
AKILI kubwa mnayo madogo nipe no niwachangie
subscribers tunaongezeka kwasana keep a good work bro
Hahahahhahahahahaha wachokonozi ni kweli ndio maana wengine tunawaonaga wanasinzia lakini jimboni kwano hakuna hadi karibu na ziwa Victoria hakuna maji lakini wanasinzia bungeni
Utadhani mupo kichwani kwangu
Bunge la uingereza yaan kama watu wapo kwenye kikao yaani hapo ni kuhojiwa tuu..
Hila bunge letu kama hotel vile..
Kweli kabisa, tuendelee kueleweshana bro,kuna sehemu tutawanasa,hakika kwa uelewa wangu,bora wasije kwenye majimbo yao wakaage huko huko bungeni wasije mtaani.
Oya nyie mungekuwa walimu wamsingi sizani kama mwanafuz 🎉
😂😂 hapo nimecheka kwamba illle show yenu 😂
Hii ni kweli kabisa bunge gani kama kiwanja cha mpira kinaround na viti vya kuzunguka
Tunaweza "kukunukuu"
Wewe jomri ni hatari sana
Mpo vizuri
Sabuni ya ubongo 🧠🙌
Japo mpo wawili ni platforms ambayo mnaongea realt mnafatiliwa na wengi
Hawa ni noma wekeni namba ya tigo pesa au m.pesa tuwasapoti tunapata elimu kubwa sana hata shulen hatujawai pewa na tunalipa mamilion ya pesa
Yeah
Tuko pamoja viongozi nawapata vzr
Hapo nikweli kabisa
😂 eti show mnayo act!
Miziki mikali
Ni kweli kimwili wanapigaga maniaje makofi aaiissee 😂😂😂😂
😂 ni kwere
🙌
Hiv basata hawajawasumbua ata kidogo maana tunahofia kuwapoteza
Kwa Nini unakuwa upande wa kunyamazisha vitu vinavyofungua fahamu za watu, usiwe negative sana.
Hapana ukiona watu wa hivi Kuna mtu mbele Yao sio Bure ukijaribu ww SIKU chachetu huna channel
@@YusuphKayoka-d7o hauwez zuia negative kama unahitaji kujua mambo na Sio Haya tu pia Sio kila negative inaharibu wewe bado upo level ya chin ya uelewa hahahaha
Naapa basata wakizingua navaa bendera tayari kufa au kuuwa viongozi hewa
Sikunyingine msikoment huu utumbo! Tunategemea mawazo ya kusonga mbele nyie mmejaa uhalifu vichwan mwenu, psychological problems
Bunge la Tanzania wamejenga kama mabunge ya Ulaya Tanzania wamejenga vizuri sana Kenya wamejenga kikoloni
Wewe uoni kaka wanavyolala
@@rogerabdallah439 hata huku Ulaya wanalala kuliko Tanzania mimi nipo huku Ulaya Bunge la Ufaransa Italy Spen huwa walala sana ni tpfauti na Bunge la Germany Hawaii sana mimi huwa nashanga kwa nini wanalala
Ni aibu sana tunapojenga kama
" wengine", tujenge kikwetu. Kama vile bongo Flava ni mziki "wetu" lakini teknolojia ya kuutengeneza ni ya wengine.
Hivi basata kwa ukweli huu watawafungia siyo muda mrefu ingawa mengi mnayosema ni kweli
Basata kuma tu
Basata? we nawe vip tena? Ee kweli saikolojia ya Watanzania wengi ni WAHALIFU
Yanawaza uwekezaji wao na kusaau shida za wananchi
😂matumbo joto! Yana matumbo makubwa Yale! Na mitumbo mikubwa haifany akili iwe active sana , ma bogus
3:25 ulichosema hp kmenifny nihusishe baadh ya mazingir niliyokaa 100%
Nahic had makanisan na misikit na madarasan tunalala sanaaa
Ni kweli kila mswada unapitishwa
Nawakubari yana
Wa choko nozi
Tuko pamoja sana🎉
Navakunda
🎉🎉🎉
Gombeeni kuna mbunge mmoja alikuwa analalamika eti kuongezewa mshahara
Yupo sahii mshahara kuongezwa kwasababu ya kulala
Vichwa kabisa aisee
Najifunza mengi kupitia nyinyi
Jogoo vp uyoo hauzwi 😂
🎉🎉
Exactly
✍️✍️
Aisee nyie hakiri zimeptiriza ndomana kuna kipndi munaweza kuongea ugoro
Mpo vzr kwa wenye akili ndio wanao elewa❤
❤❤❤❤❤❤
Nimekubali kabisa nawafatilia sana chokonoaen
😂😂😂😂 jomri
Uwakika
Elimu kubwa mno
✍️
Nawapata
😂😂😂😂😂
Logic
Jomri
🧠🔥🇹🇿