WACHOKONOZI
WACHOKONOZI
  • 434
  • 2 356 295

Відео

WATOTO WADOGO WAENDE SHULE SAA 4 ASUBUHI
Переглядів 3,8 тис.2 години тому
WACHOKONOZI
WAZAZI, KUPELEKA WATOTO PRIVATE SCHOOL NI ULIMBUKENI
Переглядів 4,8 тис.4 години тому
WACHOKONOZI
MAREKANI TAIFA LA HILA TAIFA LA WAHUNI
Переглядів 5 тис.7 годин тому
WACHOKONOZI
HAKUNA MUNGU ALIYECHOMA LOS ANGELS, NI UJINGA WA WAFIA DINI TU.
Переглядів 8 тис.9 годин тому
WACHOKONOZI
WANAOSAIDIA OMBAOMBA WAFUNGWE MAISHA
Переглядів 3,4 тис.14 годин тому
WACHOKONOZI
AINA 14 ZA MAPEPO HATA WACHUNGAJI HAWAYAJUI
Переглядів 10 тис.19 годин тому
AINA 14 ZA MAPEPO HATA WACHUNGAJI HAWAYAJUI
CHUMAULETE, MISUKULE, MAJINI NI VITU VIPO
Переглядів 6 тис.21 годину тому
CHUMAULETE, MISUKULE, MAJINI NI VITU VIPO
KUWA MAKINI NA MAJINA YA KURITHI
Переглядів 7 тис.День тому
KUWA MAKINI NA MAJINA YA KURITHI
NENO MIZIMU LILILETWA NA WAZUNGU
Переглядів 8 тис.День тому
NENO MIZIMU LILILETWA NA WAZUNGU
SABABU YA KUCHIMBA MWANANDANI ILIKUWA NI MBWA
Переглядів 9 тис.День тому
SABABU YA KUCHIMBA MWANANDANI ILIKUWA NI MBWA
AFRIKA KUZIKANA KWENYE MAKABURI NI USHAMBA
Переглядів 4,5 тис.День тому
AFRIKA KUZIKANA KWENYE MAKABURI NI USHAMBA
HAKUNA MAISHA BILA URITHI
Переглядів 3,7 тис.14 днів тому
HAKUNA MAISHA BILA URITHI
MKIACHANA KILA MTU AENDE KWAO MALI ZIBAKI KWA WATOTO
Переглядів 6 тис.14 днів тому
MKIACHANA KILA MTU AENDE KWAO MALI ZIBAKI KWA WATOTO
HUWEZI TAFUTA HELA KWA KUSALI KANISANI
Переглядів 8 тис.14 днів тому
HUWEZI TAFUTA HELA KWA KUSALI KANISANI
UTAMADUNI WA KULIA MISIBANI ULILETWA NA DINI
Переглядів 7 тис.14 днів тому
UTAMADUNI WA KULIA MISIBANI ULILETWA NA DINI
SERIKALI INAJUA HUU SIO MWAKA MPYA
Переглядів 9 тис.14 днів тому
SERIKALI INAJUA HUU SIO MWAKA MPYA
MCHUNGAJI WA WASABATO AJIBIWA NA WACHOKONOZI
Переглядів 32 тис.21 день тому
MCHUNGAJI WA WASABATO AJIBIWA NA WACHOKONOZI
KUWAACHA WAZAZI WAKO KUANZISHA FAMILIA YAKO NI UJINGA
Переглядів 12 тис.21 день тому
KUWAACHA WAZAZI WAKO KUANZISHA FAMILIA YAKO NI UJINGA
MUNGU NA SHETANI NI CHARACTER WA KUTENGENEZA
Переглядів 11 тис.21 день тому
MUNGU NA SHETANI NI CHARACTER WA KUTENGENEZA
WACHOKONOZI NA RADIO 5
Переглядів 7 тис.21 день тому
WACHOKONOZI NA RADIO 5
ONGEA NAYE SAA 7 AU 8 USIKU ATALIPA DENI LAKO
Переглядів 6 тис.21 день тому
ONGEA NAYE SAA 7 AU 8 USIKU ATALIPA DENI LAKO
AJALI NYINGI MWISHO WA MWAKA, KWANINI?
Переглядів 10 тис.21 день тому
AJALI NYINGI MWISHO WA MWAKA, KWANINI?
CHRISTMASS NI SIKUKUU YA MASHOGA
Переглядів 24 тис.21 день тому
CHRISTMASS NI SIKUKUU YA MASHOGA
URITHI
Переглядів 4,6 тис.28 днів тому
URITHI
MASIKINI WANATAFUTA VITU NA PESA, MATAJIRI WANATAFUTA WATU
Переглядів 13 тис.28 днів тому
MASIKINI WANATAFUTA VITU NA PESA, MATAJIRI WANATAFUTA WATU
OMBAOMBA USIWAPE PESA UNAJI-BLOCK
Переглядів 11 тис.28 днів тому
OMBAOMBA USIWAPE PESA UNAJI-BLOCK
HAKUNA MAFANIKIO BILA KAFARA
Переглядів 25 тис.28 днів тому
HAKUNA MAFANIKIO BILA KAFARA
KUZAA WATOTO BILA FALSAFA NI UZINZI
Переглядів 6 тис.Місяць тому
KUZAA WATOTO BILA FALSAFA NI UZINZI
HAKUNA MALEZI BORA NDANI YA DINI
Переглядів 5 тис.Місяць тому
HAKUNA MALEZI BORA NDANI YA DINI

КОМЕНТАРІ

  • @fadhiliwajikubali2540
    @fadhiliwajikubali2540 Годину тому

    Uhakika kabisa bro mtoto analudi ametolewa Malinda which next

  • @fadhiliwajikubali2540
    @fadhiliwajikubali2540 2 години тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @AkaroNdungu
    @AkaroNdungu 5 годин тому

    Shida sio wazee ni mifumo ya copy and pest au sio wazee💪💪💪

  • @YalucLileZairois1643
    @YalucLileZairois1643 5 годин тому

    😂😂😂 ningeomba muongeleya kuusu mkataba wa ndowa, kama ile ya changu ni chako chako ni changu. (1+1=1)😂😂

  • @MuganwaPatrick-jy3fx
    @MuganwaPatrick-jy3fx 5 годин тому

    Leo Sina cha Ku comment I'm chilling with my future wife

  • @SaidiRaul
    @SaidiRaul 6 годин тому

    😂😂😂 Hakika ndio mda mwafaka wa afrika kuamka!!!!!!!ila nina swala ningependa niulize!!!!huu ujuzi ni endelevu kwa africa nzima au kwa mtanzania peke yake?nimeuliza cz Kuna wengi hawajui kiswahili humu Africa

  • @AhaziBahalaye
    @AhaziBahalaye 6 годин тому

    ❤❤❤nicer

  • @YalucLileZairois1643
    @YalucLileZairois1643 6 годин тому

    😂😂😂 kamdomo ongeya

  • @abdallahamin4997
    @abdallahamin4997 6 годин тому

    Mbona hamlali.

  • @marykisara6692
    @marykisara6692 6 годин тому

    niko apa sjalala nipo na nyie sako kwa bako

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d 6 годин тому

    𝚃𝚞𝚔𝚘 𝚙𝚊𝚖𝚘𝚓𝚊 𝚠𝚊𝚔𝚞𝚞🎉🎉

  • @ngayeempire7292
    @ngayeempire7292 6 годин тому

    Tuko p1 wachokonozi

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d 6 годин тому

    𝚃𝚞𝚔𝚘 𝚙𝚊𝚖𝚘𝚓𝚊 𝚠𝚊𝚔𝚞𝚞🎉🎉

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d 7 годин тому

    🎉🎉

  • @johnyosia7342
    @johnyosia7342 9 годин тому

    Sonoma na gomola pia Safina ya nuhu kwauwelewawenu wa juu mnaninifundisha nini mimi ninae wafatilia wachokonozi

  • @PhilipoMesso
    @PhilipoMesso 9 годин тому

    Stop! Af deal na mambo mengne ila maswala ya Mungu mungeyaacha musije mukafanya mambo ya loss enjoys

  • @BahatiGwanjingi
    @BahatiGwanjingi 9 годин тому

    nawapenda mno

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 9 годин тому

    Kama mungu hayupo basi uwe wewe maana unamchambua Mungu sana kuliko shetani.Kama Mungu hayupo twambie kabla hatujawa binadamu kilikuwa kitu gani na kilitoka wapi

  • @DeusRobart
    @DeusRobart 9 годин тому

    Kwamba unataka ufungue kesi😂😂😂

  • @DeusRobart
    @DeusRobart 9 годин тому

    Lisu anasema ni sera ya faragha

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d 10 годин тому

    𝙼𝚙𝚘 𝚜𝚊𝚠𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚗𝚍𝚞𝚐𝚞 𝚣𝚊𝚗𝚐𝚞🎉🎉

  • @MashavuNgwali
    @MashavuNgwali 10 годин тому

    Sijawaona hawa kuchambua ule moto wa marekani

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 13 годин тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤100%

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 13 годин тому

    Huyu jaamaa ataeleweka kwawatu wenye akili timamu ila wasio naakili timamu hawawezi kumuelewa

  • @franktiba1506
    @franktiba1506 13 годин тому

    7:16 labda wafanye wasitoe mbegu 😅😅😅😅😅😅😅

  • @lazaromollel381
    @lazaromollel381 13 годин тому

    kumbe wamasai wako sawa wakiachana mwanamke anenda tupu mali ibaki Na watoto Na baba

  • @upendoabbi4479
    @upendoabbi4479 13 годин тому

    Wazee tujuane

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 14 годин тому

    haka ka jamaa kanako muhoji mchokonozi ni kanafiki sana we kuamakini kaangalie tu macho yake, kuna muda kanajifanya kama kanamuuliza swali ambalo lina pinga mawazo ya mchokonozi kumbe kapo pamojanae alafu kana itikia tu, eti mhhh mhhh mhhh.🤣🤣🤣

  • @FrateryOrauya
    @FrateryOrauya 14 годин тому

    Nahitaji vitabu nitapataje mkuu

  • @jamuuhaman-ed2ij
    @jamuuhaman-ed2ij 15 годин тому

    duuh bila nyie tusingejuah dini na elimu vinatungiza kwenye mifimo ya watu

  • @EricEricsaid
    @EricEricsaid 15 годин тому

    Jameni brothers tutawapata vp hapa kwnya maana wajinga ni wengi mno

  • @marobaraka
    @marobaraka 15 годин тому

    usilolijua ni kama usikuwa kiza kinene. Ngoja nikufahamishe nini maana ya tumfanye mtu kwa mfano na kwa sura Yetu. Andiko linasema hivi:- Mwanzo 1:26 [26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. Sasa kusudi la Mungu la kumuumba mtu kwa mfano na kwa sura yake ni hili huyu mtu ATAWALE. Unajua hakuna kiumbe dunian anaweza kumtawala mtu. Sasa Mungu yeye anatawala viumbe vyote kwahiyo Adam anapewa mfano wa Mungu na anakuwa na uwezo wa kutawala ng'ombe, tembo, simba n.k. Mungu ni mtawala wa viumbe vyote mbinguni na duniani lakini Adam anatawala viumbe duniani manake Adam anashikilia nafasi ya Mungu kwa viumbe vya dunia hii. Ndio maana tunaweka sheria za kuwalinda wanyama pori na wakufugwa pia na sheria inayohusu wavuvi na wavue nini wasivue nini yote haya yapo chini yetu manake tumepewa uwezo na Mungu. Mungu ametupa uwezo wa kutawala maana maandiko yanasema yeye ni mtawala. Zaburi 103:19 [19]BWANA ameweka kiti chake cha enzi mbinguni, Na ufalme wake unavitawala vitu vyote. Mungu anatawala vyote. Adam anatawala ndege, wanyama, mimea samaki, nyoka n.k hii ndio maana ya kuwa na mfano wa Mungu. Maana aya inasema natumfanye mtu kwa sura yetu kwa mfano wetu WAKATAWALE. Aya hiyo haimaanishi kuwa tunamwonekano unaofanana na mwonekano wa Mungu hapana kwasababu hakuna aliyemwona Mungu. Manake nikimwona mtu hujamwona Mungu bado. Na maandiko yanasema hivi katika 1 Yohana 4:12 [12]Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote. Kwahiyo kiumbo hatuna mfano wa Mungu maana ingetosha kumwona mtu ningefaham mwonekano wa Mungu. Lakn maandiko yanasema hakuna aliyemwona Mungu HAKUNA

  • @jonasmbwambo3546
    @jonasmbwambo3546 15 годин тому

    Bigger mind

  • @EricEricsaid
    @EricEricsaid 15 годин тому

    Nawatafuta sana brothers i am from kenya plz

  • @EricEricsaid
    @EricEricsaid 15 годин тому

    For the first time nimepata watu wenye akili ya ualisia

  • @DicksonIgnas
    @DicksonIgnas 16 годин тому

    Kapewa nani

  • @jonasmbwambo3546
    @jonasmbwambo3546 17 годин тому

    Kwel kabisa

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 18 годин тому

    Mtu anaekufa ni yule ambae kafa kijana hajawa na mtoto ila mtu akisha zaa anapumzika

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 18 годин тому

    Kifo ni hatua ya mwisho ya mwili ila huumwili utakuwa umeacha kopi yaan watoto

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 18 годин тому

    Lazima waelewe

  • @aristotemohamedmz5979
    @aristotemohamedmz5979 20 годин тому

    Kweli KBs

  • @EricEricsaid
    @EricEricsaid 20 годин тому

    Mwanzo alikuwa ni mkabila

  • @EricEricsaid
    @EricEricsaid 20 годин тому

    Kweli kabisa maana mm niliwai kusema haya nilitukanwa sana napenda sana

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 20 годин тому

    Hija ilianza kabla ya kufa kwake, unaposema wanaenda kutambika, na YEYE alimtambikia nani Kipindi cha uhai wake? HAPO umechemka kabisaa!

  • @lazaromollel381
    @lazaromollel381 21 годину тому

    Kweli wamasai Pekee ndio hawana shobu na Vitu vya watu hata wakienda marekani wanaenda na mafadhi yake duh

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 День тому

    Kwahiyo ni faida kwao

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 День тому

    Lakini pia viongozi wa kisiasa hutumia viongozi wa kanisa kupata kura na kuwapooza watu wao wasiwe kinyume na serikali

  • @Kwizera_Cedric99
    @Kwizera_Cedric99 День тому

    Naomba mnambie kuhusu msalaba kinamaanisha nini

  • @AkaroNdungu
    @AkaroNdungu День тому

    Kama shule zote ni game mbona mnaponda shule binafsi kachezeni mnakochezaga wahuni nyie

    • @hassanjuma2688
      @hassanjuma2688 День тому

      Haya wanayo yasema wameyatoa kwa mungu moja kwa moja..wakati wao nao wameenda huko shule..hawa ni bure kabisa wakati mwengine

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d День тому

    🎉🎉