SIRI IMEFICHUKA! MAKONDA AMBANA MKURUGENZI, MADUDU ya KUTISHA na RUSHWA OFISI YA HALMASHAURI ARUSHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 157

  • @hassaintz9255
    @hassaintz9255 3 місяці тому +24

    Huyu mzee anajua sana. Ila wabongo niwapagaji ila hawajui jinsi ya upigaji

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 3 місяці тому +41

    SAMIA DADA YANGU NIMEKUELEWA!! DUH NDIO MAANA ULIMTOA UENEZI UKAMPELEKA MAKONDA ARUSHA KUMBE UNA JAMBO!!? HONGERA MH RAISI WANGU!! MPE ULINZI WAKO BINAFSI KAMA UMEMZAA TUMBONI HUYU KIJANA NI KILAKA HAKYAMUNGU ATAKUSAIDIA! ❤

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 3 місяці тому +2

      Kabisaa

    • @mackjr5291
      @mackjr5291 3 місяці тому

      Duuu nje ya ulinzi wa serikali

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 3 місяці тому

      Mimi nilijua tu Samia hawezi kumpeleka Mh Makonda Arusha bure bure piga kazi Mh Makonda Viva mama Samia Suluhu Hassan 🙌

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 місяці тому +7

    Mh Mkuu wa Mkoa-Arusha tunaomba ktk shuguhuli za kutetea haki siku moja basi nendaga magerezani ukakutane na wafungwa na kesi zao kiongozi wangu. Asante

  • @ausmsuya3335
    @ausmsuya3335 3 місяці тому +2

    Indeed is remarkable well explained
    Congratulations Mh ..🎉

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 3 місяці тому +22

    Yani makonda alikua makini sana uyo mzee mwenyez mungu amemsaidia maoni yake yamesikiliswa❤

    • @labancharles8453
      @labancharles8453 3 місяці тому

      nimeipenda comment yako ila MUNGU UANDIKE herufi kubwa

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 3 місяці тому +7

    Paulo me Ni Rafik yko kaka nakupenda kuliko vijana wote hapa duniani ila na mimi kijana mwenzako napambana xana kaka mungu atupe wepesi kaka

  • @asifsilima4704
    @asifsilima4704 3 місяці тому

    Definition of Education🎒🏫📚🎓 Congratulations Mr Williams and Mr Paul Makonda❤

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 3 місяці тому +4

    Mama samia tunaomba tuletee huyu mwamba mbeya, tuletee makonda aje atunyooshee watu wenye madudu yakutosha huku kwetu wanao sababisha jiji letu kuonekana kama sio jiji vile kuanzia kodi zetu ambazo hazitendewi kaz vyema kwa sisi walipa kodi, mpango mji,masoko na standi zetu,nauozoo kibao mkoani kwetu tunaomba sana ❤

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 місяці тому +15

    mipete mingi ya kuzimu ya lile shetani joka la kale,lakini joka wa kale aka shetani hajamsaidia amechapika kwa Damu ya YESU ALIE HAI

  • @hafsahamadi1631
    @hafsahamadi1631 3 місяці тому

    Nataka nikirudi bongo nimuone Mh makonda inshallha nataka kumuona tu nimpe hongera kwa kazi nzuri anayoifanya

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 3 місяці тому +1

    Mh mkuu wetu wa mkoa,kwanza mungu akutie nguvu kwa kazi ngumu hii ila pitia mabaraza yote ya ardhi za halmashauri utajua mengi zaidi

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 3 місяці тому +1

    Aisee imeendahiyo vizurisana mzee, hakisawa Mungu ibariki Tanzania. Twaamini iposiku viongoziwapendaruswawatakwisa

  • @EmmmaTembo
    @EmmmaTembo 3 місяці тому +10

    Kutoka Zambia napenda nisifu huu yu mzee na wafanya biashara waliyo mchaguwa awe kiongozi wao hakika anajuwa kuweka mambo sawa na kujieleza sawa sawa

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 3 місяці тому

    Watu wanafikiri Kila mtu mwizi,,,,mzee Chambulo safi sana,,,,Allah azidi kukuongoza 🤲

  • @patrickfanuel
    @patrickfanuel 3 місяці тому +3

    Mkuu Makonda mungu akubaliki sana katika maisha yako.🎉🎉🎉

  • @walterp.makundi5640
    @walterp.makundi5640 3 місяці тому +2

    Well articulated Mr Chambulo, Good job!

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 3 місяці тому +4

    Haya mambo ya wizi kupitia watumishi wa umma.Huwezi kuyaona Europe ama nchi zilizosmart kwa upuuzi kama huu

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 3 місяці тому +20

    Makonda nakuombea Kila cku mana Hawa waizi hakupendi,

  • @villabashiri3457
    @villabashiri3457 3 місяці тому +1

    As Executive As Makonda,The Legendary John❤

  • @innocentmleli1196
    @innocentmleli1196 3 місяці тому +2

    Nakukubali mzee Chambulo, waeleze ukweli hao.

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 3 місяці тому +3

    Haya mambo ndiyo yanayofanya wawekezaji wasije Tanzania ....

  • @samtelah7578
    @samtelah7578 3 місяці тому +12

    Hamna mkurugenz hapa aiseee

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 місяці тому +4

    Kusema kweli nchi hii ina wezi wengi sana haswa halmashauri 😢

  • @AlexMahehula
    @AlexMahehula 3 місяці тому +3

    Mkuu mungu akuper ulizibinafisi amina

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 3 місяці тому +2

    Mh; Makonda +MUNGU+ azidi KUKUBARIKI na kukutunza siku zote hata na uzao wako baada yako YOHANA 14:14🙏🤝

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 3 місяці тому

    Mama Samia alikuwa ameshaona Kuna madudu huko arusha ndio maana akapeleka jembe lakuyafyeka hayo madudu huko...big up mh makonda Mungu akulinde tu

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 місяці тому +13

    Ukiwa Tajiri unakuwa na nguvu ya kujiamini kweli kama BIBLIA TAKATIFU iIlivosema umaskini ni laana,huyu mzee anajiamini na ni Mlokole huyu

    • @Jackiedaniel75
      @Jackiedaniel75 3 місяці тому

      Sure

    • @user-hh7df4mq1j
      @user-hh7df4mq1j 3 місяці тому

      Kwakweli kuna kaujasiri flani hivi unakuwa nako

    • @davidmalisa8043
      @davidmalisa8043 3 місяці тому

      Hamna mlokole hapo WWE jichanganyee

    • @norahmaxwell6853
      @norahmaxwell6853 3 місяці тому +1

      Yes Chambulo hana kona kona amenyooka kama pini cha pua hapendi uwongo uwizi uvivu na kuchezea muda 💪

  • @stevenmarunda4353
    @stevenmarunda4353 3 місяці тому

    Mwashimiwa makonda mungu akutunze utusaidie na upande wa jeshi la polish watches kusingizia kesi

  • @SonitajoseDonita-tm5ex
    @SonitajoseDonita-tm5ex 3 місяці тому +15

    Mapete ya kichawi Hakuna Akili hapo ,Makonda Tia jela wezi Hawa .😊

  • @doreengomes3489
    @doreengomes3489 3 місяці тому +11

    Protocol must be observed by addressing people with their right OFFICIAL NAMES...his name is Mr. William Chambulo and NOT KABURU.
    How can a government official send/address a legal notice to a business owner using his nick name?!

    • @Bettylaizery
      @Bettylaizery 3 місяці тому +3

      Not William. Call him Wilbard

    • @doreengomes3489
      @doreengomes3489 3 місяці тому

      @@Bettylaizery my sincere apologies, it is indeed "Willy"... but NOT KABURU. Thank you for the correction.

    • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
      @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 3 місяці тому

      Nimeshangaa sana mtu anarudiarudia kumuita KABULU ..
      HuYo mkurugenzi anatakiwa kutolewa hapo ARUSHA hapo hafai

  • @mlewamlewa976
    @mlewamlewa976 3 місяці тому +3

    Fact Mr chabro

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 місяці тому +5

    Mpitishe sheria za kuwanyonga hawa wezi mngeanza kunyonga kama China na Korea kusini mnawachekea ndio maana wanaendelea kuiba.

  • @dorcasdavid2247
    @dorcasdavid2247 3 місяці тому

    M/Mungu Naomba Ulinzi wa Kutosha kwa Mtumishi wako Paul Makonda,kwa Kazi Nzr Anayofanya kwa kutetea Haki za Wanyonge wote hp Duniani 🙏🙏

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂watu majambazi jamani,,,,mzee hakubali anataka kujua pesa zimekwenda wapi🙌

  • @riazshaikh8577
    @riazshaikh8577 3 місяці тому +1

    Mzee ameongea na full confidence

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 3 місяці тому

    Ubarikiwe mh Makonda

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 3 місяці тому +22

    Hiyo mipete tu aliovaa anaonekana kabisa ni muhuni na mwizi mzoefuu

    • @kikimshanga3412
      @kikimshanga3412 3 місяці тому +7

      Mshirikina

    • @ericknganzi398
      @ericknganzi398 3 місяці тому +2

      Nimeshangaa kuona hayo mapete kutoka kwa kiongozi wa utumishi wa umma. Daah huyu atakuwa ni hatari sana

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 3 місяці тому +1

      Yn kiboko😢

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 3 місяці тому

      Kwanxa aliivaa ya nini sehemu kama hiyo yenye presha yani linaonekana ni libaba linalopendq usera mtu mzima kuvaa mipete kama ile ni kuonekana muhuni tu apo qngevaa pete moja ya ndoa angeonekqna muungwana kimuonekano labda kama ajaoa angeacha kuvaa tu

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 2 місяці тому

    Jamani Wizi na Rushwa umezidi badala ya Watu kufanya kazi na kutafuta ajira poleni sana Wananchi na Serikali yake

  • @kristiankitali5505
    @kristiankitali5505 3 місяці тому +3

    Sheria lazima ziwe Strong

  • @samwelerasto7138
    @samwelerasto7138 3 місяці тому +4

    Duh Bora sipo hapo ningechoka kucheka 😅😅aibu jaman

  • @SanareLaizer-en5it
    @SanareLaizer-en5it 3 місяці тому +2

    Hatari sana Yani huyu makonda yupo makini sana

  • @Latifa123Latifa12
    @Latifa123Latifa12 3 місяці тому +1

    Mungu mwema Sana

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 3 місяці тому +3

    Nchi ngumu Sana hii, hayo hapa ni kwa makonda tu je mikoa mingine Hali ikoje, ebu amkeni nyie wakuu wa mikoa mkasaidie wananchi chalamia mkoa wa dar ndo una madudu kibao uwe upo busy kwenye bia tu

  • @BONIPHACEMOHABE
    @BONIPHACEMOHABE 3 місяці тому

    Ningekuwa na uwezo wa kuwaambia watanzania wakaelewa kweli kabisa ningewambia wakakupa urais ili angalau uwe magufuri wa pili uikomboe Tanzania ila wasikuue

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 3 місяці тому +1

    Muheshimiwa makonda mungu akupe miaka mingi mbele unasaidiya sana wanyonge natamani ungeletwa zanzibar maana kunanuka zulma

  • @salummakadi311
    @salummakadi311 3 місяці тому

    Raise Samia muwekee ulinzi wa kutosha makonda maana ni Kama mfano wa yesu Alie tumwa na mungu kwa Wana kondoo .aliifaa kuwa waziri mkuu ndio mahala pake viongozi mafisadi na Wala rushwa angewafutilia mbali

  • @SGVBnewsSAMWEL
    @SGVBnewsSAMWEL 3 місяці тому +7

    Huyu si ndio alikua serengeti warioba alimsema kuwa ni mwizi kumbe za mwizi ni 40

  • @OscerShop
    @OscerShop 3 місяці тому

    Mh. Paul Makonda wewe unatakiwa siku moja uwe Rais maana situ unajiruma ukweli no kwamba unakubalika kwanamna unavotatua migogoro hongera Sana .

  • @BrayoDimpoz
    @BrayoDimpoz 3 місяці тому

    Mwanaume ule hela ya mwanaume mwenzako😂😂

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 3 місяці тому

    Lais wetu Samia asante kwa makonda atawanyosha hawa mafisadi

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 3 місяці тому

    Salute kaskazini kwa kujiamini

  • @frankwilliam144
    @frankwilliam144 3 місяці тому +1

    Imagine mkurugenzi anateuliwa na rais ili amsaidie kufanya kazi vizuri na kutenda haki, then hiki ndicho anachoenda kufanya. Ni aibu kubwa kwa serikali. Yeye ndo anafanya wananchi waichukie serikali kumbe serikali haina tatizo lolote.

  • @Enzo-cp
    @Enzo-cp 3 місяці тому +5

    Mkuruu amejichanganya

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 3 місяці тому +1

    Safi makonda kazi nzuri majizi haoo

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 3 місяці тому +4

    Mapete makubwa ya Mashetani ya nini ? ? Mtegemee Mungu kwa ulinzi wako, Achana na Mapete ya kichawi

    • @Lodrickmwambene
      @Lodrickmwambene 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂 msameheni jamani

    • @ericknganzi398
      @ericknganzi398 3 місяці тому +1

      Hayo mapete yanadhihirisha huyo jamaa ni mhuni.

  • @francisdeomassawe6307
    @francisdeomassawe6307 3 місяці тому

    Safi sana mkuu.

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 3 місяці тому +2

    Uyu Mzee nampenda sana

  • @adeliphinusgabone7431
    @adeliphinusgabone7431 3 місяці тому

    The guy is very smart and he knows whta is doing,Mkulu genzi Kayakanyaga kwelikweli.

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 3 місяці тому

      Kayatimba mana hlijiachia kwa wandishi wa habari ...hamjui chamburo akili kubwa❤❤

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 3 місяці тому

    Inauma sana

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 3 місяці тому +2

    Baba kanikosha huyu afu hana nywele za kitajeeer

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah 3 місяці тому +2

    Raisi anajua Kweli, kumbe ndiomana aka mteua makonda, Arusha wapigaji2

  • @mohamedkaranje8678
    @mohamedkaranje8678 3 місяці тому +8

    Mh kachoka kabisa....hii nchi tunamsiba mzito sanA

  • @Juke995
    @Juke995 3 місяці тому

    Watu waliosoma bhana yani hawana papara kabisa wanaongea point imekamilika .nyie elimu ni nzuri sana

  • @herimallya3385
    @herimallya3385 3 місяці тому

    Hayo majini kwenye mapete hayajamsaidia???jinga

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 3 місяці тому +2

    😂😂😂hapo kwenye jina kanchekesha et tuheshimiane

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 3 місяці тому

    Yaani hii ishu Makonda anaijua vzr na ndio systems nyingi za pesa zetu zinavyopigwa. Ataongea kama hajui ila utaona mwisho wake hao walarushwa wataenda wapi?

  • @kastoriooko7157
    @kastoriooko7157 3 місяці тому

    Safi mkuu

  • @ismailjuma1452
    @ismailjuma1452 3 місяці тому

    Makonda piga kazi kaka

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 3 місяці тому +2

    Ameandika kabulu ilikupoteza ushaidi puba kabisa atiwe ndani mwizi

  • @chekanao4298
    @chekanao4298 3 місяці тому

    jamani kaka wa watu anaongea vizur kwa msisitizo, kafichua madudu, makonda mpe ulinzi tafadhali.

  • @nayopamlimbatv1382
    @nayopamlimbatv1382 3 місяці тому

    Uyu makonda aletwe na Morogoro jamani

  • @AsiaNdwata
    @AsiaNdwata 3 місяці тому

    Hugo atakusaidia raising wetu kipenzi kumbe wanakuchafua saba bu ya ubazirifu

  • @jeremiahsumun1149
    @jeremiahsumun1149 3 місяці тому

    Mgogo unalea watoto sio wako

  • @deborahmollel3170
    @deborahmollel3170 3 місяці тому

    Yaani mkurugenzi Mzima ma Pete hayo Kama mpiga ndumba haina heshima kabisa,hapendezei cheo hicho Wizi tu

  • @user-qg7fw7si5i
    @user-qg7fw7si5i 3 місяці тому

    Hakika Mungu wa mbingu na nchi aendelee kukufunika kaka yangu Mh Paul Makonda.

  • @aqbizyaugust8919
    @aqbizyaugust8919 3 місяці тому

    Af jina langu sio Kaburu.... 😂😂😂

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 3 місяці тому

    Kuna wezi wengi sana hii nchi

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 3 місяці тому +1

    Serekeli ikipewa chimbo la wizi 😂😂

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 3 місяці тому

    Mmmmmh wizi inje inje😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @godfreymwanguku3396
    @godfreymwanguku3396 3 місяці тому

    Nahisi pia usipo lalamika unaweza Kuja kupigwa faini

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i 3 місяці тому

    Nilijua tu huyu mzee toka mwanzo alikuwa anatoa kicho kwa hasira

  • @devothabernard1570
    @devothabernard1570 3 місяці тому

    Pete za bahati hizo zina maelekezo yake😂

  • @ClementMekarnt
    @ClementMekarnt 3 місяці тому

    Upigaji unaendelea 😢😢😢

  • @Kivuruge255
    @Kivuruge255 3 місяці тому +1

    Pyee pyyee pyee, Fyuuu😂😂 kikowapi sasa na mipete yake ka mganga wa jadi

  • @emmilianlukaye3125
    @emmilianlukaye3125 3 місяці тому

    Watanzania tukinyoosha hivi, nchi itanjengwa kwa haraka.
    Majizi wanaturudisha nyuma

  • @user-ui1jz7su2p
    @user-ui1jz7su2p 3 місяці тому

    Jamani, jamani,MUNGU, kumbe yupo, EEEE,ARUSHA, kumekicha

  • @CharlesWilliam-iz3fz
    @CharlesWilliam-iz3fz 3 місяці тому

    Ungesikia weka ndani angekueo

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 3 місяці тому

    Chama chake hapana

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 3 місяці тому

    Wawekwe ndani wanaoshikwa na wizi wa fedha

  • @FunnyChess-ns9vf
    @FunnyChess-ns9vf 3 місяці тому +2

    Changulo umemalizaaaa duuh
    Inatosha brother

  • @chekanao4298
    @chekanao4298 3 місяці тому

    makonda anasikiliza kwa makini huku anaumiza kichwa jinzi atakavyowafanya hawa mafisadi.

  • @user-ws2uw5rd8i
    @user-ws2uw5rd8i 3 місяці тому

    Wakuu wa mikoa wengine mpo wapi Ina maana matatizo yapo Arusha tuu

  • @husseinmgoo3074
    @husseinmgoo3074 3 місяці тому +1

    Apo poa

  • @yohanamlowe704
    @yohanamlowe704 3 місяці тому +1

    Mmh

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 3 місяці тому

    Mzarendo wa kweli

  • @mohamedkaranje8678
    @mohamedkaranje8678 3 місяці тому

    Hiyo ni arusha...dar?
    Hii nchi ngumu mno

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 3 місяці тому

    Mapete ya huyu jamaa. Mshirikina huyo.

  • @Latifa123Latifa12
    @Latifa123Latifa12 3 місяці тому

    Duuuuuuuuu aibuuu Sana jamani

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 3 місяці тому

    Haamajizi kubewengiii maaa

  • @AdamMwava
    @AdamMwava 3 місяці тому

    Saf San mlipa kod