SHEIKH ALHATIMY WA KENYA APIGWA FAINI DOLA MILIONI SABABU YA PICHA YA SAYID HUSSEIN BADAWIY

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 112

  • @AllyHilal
    @AllyHilal 2 роки тому +6

    MaashaaAllah. Allah amng'arishiye kaburi lake Sayyid...

  • @lil_mo_salah_966
    @lil_mo_salah_966 2 роки тому +4

    Mashaallah Allah amjaliye umri mrefu ya kuukuza jina lake Allah s.w na pia wote wengine wanao fanya hiyo kazi

  • @abalqaassim5372
    @abalqaassim5372 2 роки тому +6

    MaashaAllah Allah awakutanishe tena na sie pia twaomba tupate zao mabwana wakubwa Kama Hawa🙏🙏🙏🙏

  • @user-yu9gy6dg3g
    @user-yu9gy6dg3g 10 місяців тому

    allahu akbaru mungu awahidi maana mmepotea wazi wazi

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 2 роки тому +4

    MashaAllah mapenzi ya hali yajuu Allah awahifadhi walimu wety na awarahamu maiti wety wrote kwa jumla allahumma ameen yaarab

  • @rahakesho5550
    @rahakesho5550 2 роки тому +4

    Mashaallah nimefurahi sana hayo mapenzi ya kuwaenzi wanazuoni wetu . Sheikh Khatim m mungu akuweke

  • @mwanaidhassan6170
    @mwanaidhassan6170 2 роки тому +3

    Mashaallah! Allah atuzidishie mahaba na Mashekh wetu

  • @awesuzazan3080
    @awesuzazan3080 2 роки тому +1

    Masha Allah masha Allah shekh ana thamani kweli na huko ndo kumtukuza

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 Рік тому

    Masharifu ukwaju

  • @nuruali9608
    @nuruali9608 2 роки тому +5

    Jamani mnatushtuwa cc wengine mioyo imechoka kwa mitihani ya dunia,, MUNGU AWAREHEMU MAITI ZETU NA WAISLAMU WOTE...NA CC TULIOKO HAI MUNGU ATUPE AFYA NA AFUWA NA UMRI WENYE TWAÀ NA HUSNIL KHAATIMA WAQT WAKUFA KWETU...AAMIIIN AAMIIIN...

  • @jumabias4917
    @jumabias4917 2 роки тому

    MashaAllah MashaAllah

  • @raziaidd2392
    @raziaidd2392 2 роки тому

    Nimeshtuka ma Shaa Allah sheikh

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 роки тому +2

    Masha Allah

  • @sadamyusuf2834
    @sadamyusuf2834 2 роки тому +1

    Allah atuongoze kwa namna tunavo ichukulia dini kama bongo fleva
    Wanaojiita mashekh wanataka kutred kama wasani

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 Рік тому +1

    Kwahiyo kubandika picha ukutani yafaa? Hamuwezi kufata Sunnah za Mtume, munaenda kinyume na Mafundisho ya Mtume صلى الله عليه وسلم.

  • @salhakhalfan8696
    @salhakhalfan8696 2 роки тому +1

    Maa Shaa Allah 😧

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 2 роки тому

      ua-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/v-deo.html guza link ukhty

  • @huseynmaitaya9002
    @huseynmaitaya9002 10 місяців тому

    Wallaah hii ndio sababu ya shirki kuingia duniani

    • @user-yu9gy6dg3g
      @user-yu9gy6dg3g 10 місяців тому

      dah ndo hapo ndugu watu waona mambo haya sahali sana

  • @mohamedamiri4597
    @mohamedamiri4597 2 роки тому

    Mashaallah Allah awazidishie kupendana Kwa ajili ya Allah

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 2 роки тому +1

    Sasa sauti ya kivoto niyanini

  • @abumuhidin6842
    @abumuhidin6842 2 роки тому

    Mashallh na mimi ni hatimi

  • @salimgachu6765
    @salimgachu6765 2 роки тому +2

    Mbona kichwa cha Habari hakiendani na Habari yenyew

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v Рік тому

    Hizo zumari sio katika uislamu

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому +5

    Kichwa chahabar kimenishtua

    • @salummalolo4496
      @salummalolo4496 2 роки тому

      Huu ndio uongo na ujinga wa baadhi ya warusha khabari

  • @fatmaismaili.mashaaallah4992
    @fatmaismaili.mashaaallah4992 2 роки тому

    Allah atujaalie mapenzi ya kweli katika nyoyo zetu

  • @doctarmasenga3995
    @doctarmasenga3995 2 роки тому

    Nampenda Sana badawi na
    hatmi

  • @asia1124
    @asia1124 2 роки тому

    Mashaallah

  • @user-yu9gy6dg3g
    @user-yu9gy6dg3g 10 місяців тому

    jamani dini yetu imetuharamisha kubandika mapicha ukutani waislamu tumcheni mwenyezimungu

  • @khalefhamad4810
    @khalefhamad4810 2 роки тому +1

    Sisi wengine presha zetu zipo juu kwa iyo munapo andika vichwa vya habari musitumie maneno yenye kustusha kwa hicho mulichoandika

  • @fatmazena8886
    @fatmazena8886 2 роки тому +5

    Nimeshtuka kichwa cha khabari mwenzenu

    • @abdullhamidnanga1267
      @abdullhamidnanga1267 2 роки тому +2

      Uongo kwenye vichwa vya habari ni mambo ya wasanii hayo kutafuta wafuasi wapate tuzo youtube sasa na huku kwenye mambo ya Dini pia watu sasa hivi wanaharibu Sana ibada zao watatoka patupu kwa sifa

  • @muhibbualii4580
    @muhibbualii4580 2 роки тому +1

    Unwani inapotosha na si katika sifa za kiislamu mtu kuwapotosha watu Kwa niya yoyote ile,hata kama ni views tunatafuta jamani.

  • @mbarakali1873
    @mbarakali1873 11 місяців тому

    Mambo ya upuzi tuu

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 Рік тому

    Hahaaaa Hebu ianze tena hiii videos utagundua hili Sufi lilitaka kubusu mkono wa Maalim apo lkini hlikupta limepokonywa mkono. Hahaaa

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 2 роки тому +2

    Nyinyi mnajua maana ya Usufi? Mnajua ni nani Sufi?

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 Рік тому

    Habari tumeiona ila dhambi ya uongo wa ulichokiandika ktk kichwa cha habari unayo . Na kama hukubadilisha basi dhambi hii unayo kwa kila uliemvuta kwa njia ya uongo kufungua video hii

  • @mohamedamiri4597
    @mohamedamiri4597 2 роки тому

    Twarika twarika itaendelea

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 2 роки тому

    Masufi ni watu wengine mujuwe sio watu wa kuchezea

  • @amouris-haka6045
    @amouris-haka6045 2 роки тому

    Nahitaj kaswida inayoimbwa nyuma ya video

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 роки тому

    Tembelea Kule kumbea pole na sio sababu ya shariff mwenye acha aga.

  • @abuuirfan9523
    @abuuirfan9523 2 роки тому +2

    Mcheni Allah! munabandika mapicha katika kuta za nyumba hivi hamjui kama jambo hili limekatazwa

    • @talhamohamed5606
      @talhamohamed5606 2 роки тому

      Hakika kharam kabisaa

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 2 роки тому

      ua-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/v-deo.html

    • @abushahir2556
      @abushahir2556 2 роки тому

      Kwahio picha haifai lakini muko youtube munatizama videos.🤣🤣

    • @dulaseif5001
      @dulaseif5001 Рік тому

      Wee pia unaetizama video na mapicha fec hayafai

    • @WaziriMseli
      @WaziriMseli Рік тому

      Kam hazifai nyie mbona mnamapicha kwny sim zenu na mnaangalia youtube na kupost...mnafanya din ionekane ngumu mpk wasiokuwa waislam wanakimbia

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 2 роки тому +1

    Hio ndio raha ya sufi🙏

    • @talhamohamed5606
      @talhamohamed5606 2 роки тому

      Sufi ni watu dhikri yan dhikri tusema maka kukohowa vile ndio sufi wanao umiz vifua

    • @talhamohamed5606
      @talhamohamed5606 2 роки тому

      Sufi ni watu wale wanao umiza zijua vyao kwa kukorota saut zao na kucheza hao ndio sufi wanaitwa ahlu sufi wenyewao wanaita dhikri wanaimba na kucheza

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 роки тому

      @@talhamohamed5606 kwaio kinacho kuuma nini?

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 2 роки тому

      @@talhamohamed5606 Alhamdulillah asante mm nilikuwa sijui nini maana ya Sufi na ni ipi maana ya salafi maana nasikiaga tu

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 2 роки тому

      ua-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/v-deo.html guza tu link

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 роки тому

    Someone with their right sense is saying "alikuwa dariiqa". What is this nonsense called dariiqa??? Mfuate mtume s.a.w sio vikundi na mabid'a Cha kila aina

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 2 роки тому +4

    Masufi watabaki kuwa masufi tu Allah awaongeze watu hawa waache usufi wafuate sunna

  • @ahmadabdallah6641
    @ahmadabdallah6641 2 роки тому

    Mtume Swala Llahu Alayhi Wasalim amesema hawaingi malaika wa rehma ndani ya nyumba iliowekwa picha.

    • @hussainahmad7833
      @hussainahmad7833 2 роки тому +2

      Kama malaika hawaingii nyumba yenye picha bc jaribu uone kama malakul maut hatokuja kukutowa roho

    • @hussainahmad7833
      @hussainahmad7833 2 роки тому +1

      Album lako zunguka nalo kila mahali kisha ndio utajuwa vzr 😂😂😂

    • @dktabbaimran2002
      @dktabbaimran2002 2 роки тому

      @@hussainahmad7833 hhhhhhhhhh......what a reply?

    • @user-pj8ed9kn6g
      @user-pj8ed9kn6g 2 роки тому

      @@hussainahmad7833 😂😂😂😂

    • @user-pj8ed9kn6g
      @user-pj8ed9kn6g 2 роки тому

      @@hussainahmad7833 😜😜😂😂Hatar sana

  • @yunusyusuf4614
    @yunusyusuf4614 2 роки тому +1

    ipo fursa na watu wengine kuwa nayo hio picha???

    • @uthmaanally418
      @uthmaanally418 2 роки тому +1

      Ndugu yangu fanya juhudi usome dini yako unaitaka picha ikusaidie nn huelewi hayo mambo ya picha ndo mwanzo wa shirki.....

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 роки тому +1

      @@uthmaanally418 shirki kubwa ni ile mliomgawa Mungu sehemu Tatu kwa Kusingizia ni tawheed ambapo hakufunza Mtume saw wala maswahaba wake. Mumeipata katika sunna gani tawheed 3?. NYIE mnakalia Mavi halafu hamuyaoni mnawaambia wenzenu wasikalie mavi😂. Kweli nyie majuha. Nani alosema kuwa picha ni shirki? Lete dalili na hoja na uache upumbavu wa kutoa hukumu za uongo

    • @ummuayaan6257
      @ummuayaan6257 2 роки тому

      @@hilalkhalfan1452
      Mungu Wako anaitwa Tawheed?

    • @ummuayaan6257
      @ummuayaan6257 2 роки тому

      @@hilalkhalfan1452
      Kama Mungu Wako Anaitwa Tawheed Basi Kagawanywa Mafungu matatu... Kama Sio Hivyo Basi Endelea Kubaki Na Ujinga Wako Ulioupokea Kwenye Kitabu Cha Mashia Kilichochapishwa Na Al Itra Foundation Dar Es Salaam Na Kusambazwa Na Wao Na Watu Wasiojielewa Na Mfano wako Kuchukulia Ndio Hoja.

    • @ummuayaan6257
      @ummuayaan6257 2 роки тому

      @@uthmaanally418
      Masufi Wana Maajabu Sana Wallah. Ila Alhamdulillah Kikubwa Elimu Ndio Dawa ya Ujinga Kwa Watu Hawa Hasa Wale ‘Awaamul Muslimiyn Wanaowala Pesa Zao.

  • @fauzjibaba5956
    @fauzjibaba5956 2 роки тому +1

    Ndio yanavyo anza mwisho mtamuabudu kama mnavyo abudu makaburi ya masharifu wa mambrui

    • @muddymtoro3929
      @muddymtoro3929 2 роки тому

      hujielewi wew mwanamke mungu akusameh!..🙏🙏🙏

    • @alikhamis6326
      @alikhamis6326 2 роки тому

      @@muddymtoro3929 anajielewa huyu fauz jibaba ni kweli anachokisema masufi wanaabudu makaburi na kuwafanya masharifu ni watu wasio na makosa na kuwaomba na hili ni shirk shirk Allah atukinge na watu hawa

    • @muddymtoro3929
      @muddymtoro3929 2 роки тому

      @@alikhamis6326 kwani maxufi ni wa2 gani..?

    • @alikhamis6326
      @alikhamis6326 2 роки тому

      Sufi ni watu wa twariqa ni watu wa dhirk za kukohoa pia watu wanaowatukuza masharif pia sufi watu wanaoadhimisha maulid pia ni watu wanao omba dua zao na kutaka msaada kwa watu waliokufa ila si watu wote ni watu wao maalum wanaowaita masharifu hao ndo masufi sijui na ww umo ktk twariqa hii ya kisufii pia wanasifa nyingi zaidi ya hizo hao masufi kiufupi masufi ni watu walioikataa njia ya mtume na masahaba zake wakajizulia njia zao za bidaa ktk dini hii hao ndo masufi uliokuwa unataka uambiwe ✍️✍️ wallahulmustaan

    • @muddymtoro3929
      @muddymtoro3929 2 роки тому +1

      @@alikhamis6326 mbon huwa wanaomba dua kutoka kwa mungu xio kwa masharif ndug ang..

  • @ghulamyassintv4825
    @ghulamyassintv4825 2 роки тому

    Masha Allah ua-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/v-deo.html
    ☝️☝️ Ndio kheir sote

  • @allyhamadi9205
    @allyhamadi9205 2 роки тому

    Masha Allah