MTOTO WA BACHU AMTUSI HABIB JUFRI | TAZAMA ALIVYOKITUPA KITABU CHA BARZANJ | SHEIKH ALHATIMY AMRIPUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лют 2023
  • MTOTO WA BACHU AMTUSI HABIB JUFRI | TAZAMA ALIVYOKITUPA KITABU CHA BARZANJ | SHEIKH ALHATIMY AMRIPUA
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
    UA-cam: / @babdeomiladu
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @user-yj9qc3zp2r
    @user-yj9qc3zp2r 11 місяців тому +7

    بارك الله فيكم سيدي العلامة الشيخ محمد الهاتمي حفظه الله تعالى ورعاه

  • @diiffarah3663
    @diiffarah3663 Рік тому +19

    Sheikh Mohamed Al hatimy Jazakallah kheyr Seyidii

    • @khamismajlo9333
      @khamismajlo9333 Рік тому

      Kz hii shekh bachu katow ushahid hakifaw ss ww unatkiwa utow ushahdi km kinafaa shekh

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven Рік тому

      ​@@khamismajlo9333Huyo mtoto wa Bachu ni mpuuzi sana.

  • @amantually1105
    @amantually1105 10 місяців тому +3

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh,Allah akujaze kheri sheikh wetu mohammad Alhatimy Allah akulipe kheri usichoke kuwatetea wanazuoni wetuu ndugu yetu

  • @NurdinKikwete-qz1ds
    @NurdinKikwete-qz1ds Рік тому +2

    Wallahu yaalam anil ghaib. Muhim ni kubaki ndani ya msingi wa uislam tofaut kila mtu anazake .... Tupendane kma ma imam wetu wa 4 walivo iahi mbali na tofaut zetu

  • @dahdahraawiyah1098
    @dahdahraawiyah1098 Рік тому +3

    Allah amsameh... وفوق كل ذي علم عليم..Allah akueke Al hatmiy kwa kutetea cheo ya maulamaa wa kubwa km barzanj

  • @aliabdullahi9200
    @aliabdullahi9200 Рік тому +12

    Subhanallah ewe kijana wa zanzibar mmwogope mwenyezimungu usivuke mipaka ikakukuta ballaa.kama sisi ni watu wa mowlid na hicho kitabu cha mowlid tukiwa tunamswalia mtume Muhammad sallallahu aleyhi wasallam.kila usiku.wa ijumaa.mungu anakuona.inshaalah

    • @hiqafilal9977
      @hiqafilal9977 Рік тому +1

      Shirki mwafanya kwenye kitabu

    • @mchagagaspar6649
      @mchagagaspar6649 Рік тому

      ALLA AMUHUKUMU KIJANA WAA BACHU KWAKUTUPA JINA LAALLAH KAMA KINYESI YAARABI YUKATIKA HUKUUZAAKO SISI HATUNA LAKUFANYA .

    • @aliabdalla6998
      @aliabdalla6998 Рік тому

      kijana wa zanzibar atoa maelezo,
      yasikie ndugu na ufungue kifua chako na utafakari, hii ni dini sio timu ya mpira kushikamana nayo hata wakikosea nyinyi mwawatetea bila dalili.
      hebu isikize hii 👇
      ua-cam.com/video/r96M_M7SLDk/v-deo.html

    • @AhmedAli-jz5it
      @AhmedAli-jz5it Рік тому +1

      Yote hii ni kukosa hikma. Maana kuna elimu (inasomwa) na hikma (Anatoa Allah), kama Anavyosema SW kwamba "Na aliyepewa hikma amepewa kheri kubwa". Sasa hivi kweli vijana wamesoma lkn hawana hekima.

    • @zuhuramohamed7306
      @zuhuramohamed7306 Рік тому +3

      @@mchagagaspar6649 kwani anrusha Quran ata useme hivyo kitabu ni Quran ndio mwuongozo wetu sio hicho kitabu cha barzanji useless

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому +5

    Subhanallah, Allah akusimamie shekh wetu, usikasirike msamehe, Allah, atakulipa ujira wak.

    • @hayberidris5684
      @hayberidris5684 Рік тому +1

      Wwe na shekhe wako zuzu

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Місяць тому

      ​@@hayberidris5684na ww mpotofu mtume alikwambie usitusi wanazuoni sasa ww wamfuata nani mtoto wa iblis

  • @hajiomari8198
    @hajiomari8198 Рік тому +7

    قل إن كنتم تحبون الله فاتبعوني يحببكم الله ويغفر لكم ذنوبكم والله غفور رحيم
    [ AL I'MRAN - 31 ]
    Sema: Ikiwa nyinyi mnampenda Mwenyezi Mungu basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni na atakufutieni madhambi yenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kufuta madhambi na Mwenye kurehemu.

  • @idarusalwi7962
    @idarusalwi7962 Рік тому +9

    أيها المشايخ كونوا منصفين في دعوتكم أ زيلوا الحقد في قلوبكم،وأصلحوا أنفسكم قبل أن تصلحوا الآخرين.
    ١_تعلموا الفنون التي ينقصكم
    ١_كالبلاغة ،علم العروض،راجعوا كتب السير والتاريخ لتساعدكم في تفسير القرآن والسنة وفهم عبارات اللغة العربية ،ولا يتم هذا بإزالة الحقد ثم الإنصاف.

  • @ibrahimrashid951
    @ibrahimrashid951 Рік тому +6

    mungu hapendelei shehk uchwara malemba kama kapu la mbaazi pumbavuu

    • @Mohammad_shidogo
      @Mohammad_shidogo Рік тому

      Kazi ya wahabi matusi tuu huu siyo uislamu,huyo mwalimu wenu awafunza matusi sasa wasiyo kuwa waislamu mnawapa ulinganizi wa matusi .....
      Mtume s.a.w asema
      "سباب مسلم فسوق و قتاله كفر"chagua pako bro

    • @mudathirhussein9557
      @mudathirhussein9557 Рік тому +1

      Jamani hii dini ni ya haki musilumbane mwenge tumia hekima mukaogea kwa siri mukasomeshana na kuelimishana na hata Kama mtu ana tofauti zake basi asiweke hadharani ni aibu munawapa picha gani watu wanataka kuingia katika uislamu jamani hivyo sio vyema allah sw) awape imani na mapenzi ya kutolumbana Kama hivi ni aibu sana

  • @HabibAliKishki
    @HabibAliKishki 7 місяців тому

    Mashallah!shukran shekh langu Hathmy Allah akupe subra na jazaa njema

  • @AhmedMohamed-um8ox
    @AhmedMohamed-um8ox Рік тому

    Doh sasa haya ndiyo mafundishow ya uwislamu kwa wale hawakusoma sheikh muhamad mungu amekupa kipaji kikubwana allah akuzidishiye basi ushasema mungu atahukumu 🤲 tafadhali mwachiye mungu chuki na matusi si mafundishow mazuri 🙏

  • @MAPETEE
    @MAPETEE Рік тому +5

    Allah Atampa LA Kumpa Uyu Muhamed bachu ndivyo Alivyo fundishwa NA baba yak na mama yak

    • @mohamedswaleh6778
      @mohamedswaleh6778 Рік тому +3

      Utapewa ww lakupwwa n allah kwa husda zako yye Allah atamlinda n mahasid

    • @sihainiahmad1624
      @sihainiahmad1624 Рік тому

      Al hatimy endelea nao jamaa hao maana hawatak kusoma wasomeshe kuingiza sumu

    • @ayoubrashid8392
      @ayoubrashid8392 Рік тому

      Uyu hafai kuitwa Muhammad...aitwe medi tu..

    • @ayoubrashid8392
      @ayoubrashid8392 Рік тому

      Icho kitabu kina mpaka swala za mtume....kwa alivokitupa......Allah amlaani

    • @MAPETEE
      @MAPETEE Рік тому

      Ehee Kuna mpk Majina ya Allah mpk swala za mtume Nazan ndio ka fundishwa NA baba yak nasor bachu NA mama yak

  • @vanshowonline5958
    @vanshowonline5958 Рік тому +9

    Safi sana Shehe baacho, hakuna chuki bali ni ukweli. Jibu hoja kwanza Umeshika umetukanwa😂

    • @Mohammad_shidogo
      @Mohammad_shidogo Рік тому

      Kwani haja tukanwa!!! We kwani washabikia boli

    • @maherzain989
      @maherzain989 Рік тому

      Ujaelewa baba kasema mskilizeni Kwanza Kisha nimuweke saw

    • @sharifamohd3857
      @sharifamohd3857 Рік тому

      Waambie hao mrithi wa baba ako hoja hawawezi kuzijibu

    • @sharifamohd3857
      @sharifamohd3857 Рік тому

      umeshika umetukanwa

    • @athumanipima
      @athumanipima Рік тому

      Wenawemjingatuyanishekheamembiwanimushriq badowashikilia

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Рік тому +1

    ALLAH NI MKUBWA!
    ALLAH HAWANUSURU WASHIRIKINA!!

  • @asalafiyahhussein7767
    @asalafiyahhussein7767 Рік тому +1

    Asalaam aleikum masheikh zetu , tufundishe tu alichotufundisha mtume wetu.(s.w.a) msilete debate hii sio Sanaa, mnatuudhi sisi talib Al ilmu . Nyote mmekosea someni wanazuoni wetu walikuwa wanakhitalifiana vip . Toeni porojo zenu😢

  • @hashimiddy4142
    @hashimiddy4142 Рік тому +12

    Safi sana shekhe bachu allah akuhfadhi hana hoja huyu mkenya

    • @sulaimaanunda2840
      @sulaimaanunda2840 Рік тому

      sema huyu sheikh fulani, wacha kusema mkenya babaa... kwa sababu ukisema mkenya umegawanya waislamu kwa hoja ya kitaifa na wala sio hoja ya ki ilmu alonayo mtu

    • @hidayasaid5131
      @hidayasaid5131 Рік тому

      Allahuma aamin

    • @ahmadseif7241
      @ahmadseif7241 Рік тому

      Ww ndo kibaraka wake

    • @sharifamohd3857
      @sharifamohd3857 Рік тому

      Hana hoja vooo mushrik😂

    • @SelemanUbuguyu-cd7hz
      @SelemanUbuguyu-cd7hz Рік тому

      Itakua ww bendela fata upepo ndomana waendelea kufata ujinga huyo anamwita mtu mushriki unajua kwer hukumu yahilo kaaa darsan kwanza usikulupuke ukafaaata mapenz yamaskio yako

  • @MAPETEE
    @MAPETEE Рік тому +8

    Uyu Muhamed bachu mjinga sanaa mtovuadabu sanaa mshenz

  • @hafswanaaman2911
    @hafswanaaman2911 10 місяців тому

    SubhanAllah huyo Ana laana ni mkosefu wa dini mwenye zemungu atampe adhabu

  • @hasreeyasini
    @hasreeyasini Рік тому +1

    Nashindwa kumuelewa sheikh alhatimy yy ana makusudio Gani ktk uelewa wa kusoma maulidi juu ya barzanji

    • @bouunlocked14
      @bouunlocked14 Рік тому

      Assalam Alayka Yaa Mahiya dhunubi
      Amani juu yako ewe mfuta dhambi.
      Je Mtume saw anauwezo wa kufuta dhambi? Hapana. Yeye kama yeyw hana uwezo huo.
      Sasa kwanini Imam Barzanj kasema maneno haya? Kwanini ampe Mtume saw ambayo hana? Tena sifa ambayo anasifika nayo Allah?
      Hakumpa sifa ya Mungu na wala hakukusudia kuwa yeye Mtume saw mwenyewe ndie mfuta dhambi.
      Sasa alichokusudia nini?
      Kakusudia kuwa Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Hii katika ilmu ya balagha inaitwa “majaz mursal na alaqa yake ni sababiya”. Yaani, Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi.
      Mfano Allah Anasema katika Quran:
      يتوفاكم ماك الموت الذي وكل بكم
      Atawafisha malakul mawt ambae amewakilishwa kwenu
      Ikisha kwingine Allah Anasema:
      الله يتوفى الأنفس حين موتها
      Allah Anafisha nafsi wakati wa kufa kwake.
      Sasa anaefisha Allah au malakul mawt? Tunasema Anaefisha hakika ni Allah ila malakul mawt kutajwa ni majaz mursal alaqa sababiya, yaani, yeyw ni sababu ila simfishaji.
      Law si hivyo utasema kuna kupingana katika Quran jambo ambalo ni muhali

  • @aliabdalla6998
    @aliabdalla6998 Рік тому +4

    Assalaam Alaykum Warahmatullaahi Wabarakaatuh, bwana Haatimy, toa dalili usizungumze bila dalili, jitetee kwa hoja, M Bachu Anatoa dalili, na sisi tunafahamu vizuri, kwa hio jogoo limekwisha wika, mimi mwenyewe nilikua nikisoma maulidi, Alhamdulillaahi Allaahu Ameniongoza nimeuona ukweli nimewacha bid'a hizo, namuomba Allaahu Akuongoze na atuongoze sote. aamiin

    • @mwalimumwanyongo880
      @mwalimumwanyongo880 Рік тому +1

      Hahaha 🤣🤣🤣 umeuona ukweli umeokoka, tusomeni jamani tuache siasa katika dini. Hii ni dini ya Allah, sio siasa

    • @abdulkrimalawi7165
      @abdulkrimalawi7165 Рік тому

      Amiin amiin amiin

    • @mwalimumwanyongo880
      @mwalimumwanyongo880 Рік тому

      Kwahiyo ukipewa hoja thabiti utarudi kupiga maulidi?

    • @aliabdalla6998
      @aliabdalla6998 Рік тому

      niliyaacha kwa sababu nilipoziona dalili za kweli na nikauona ukweli nilijua tu kwamba tulikua katika upotofu,
      dalili gani nitakazopewa na huyu kijana wa bachu awaambia mwende uso kwa uso na mada muchagueni nyinyi mwashindwa kuandaa hilo?
      nyinyi ndio mwaleta siasa,
      قل هاتو برهانكم
      leteni dalili wacheni ushabiki

    • @aliabdalla6998
      @aliabdalla6998 Рік тому

      @@mwalimumwanyongo880
      naam nineuona ukweli,

  • @user-qb3yh9gq5l
    @user-qb3yh9gq5l Рік тому +4

    INA LILAH WAINA ILAH RAJIUN HUYU MADEVU BACHU ANA MATATIZO YA UBONG'O NA ALLAH ATAMPA CHA KUFANYA WALLAH MTIHANI MKBWA UNAMKUFURISHA SHEKH WETU DIYO DINI GANI ULIO SOMA WW ALLAH ATAKUHUKUM WW

  • @abdulmalikabdulmalik5408
    @abdulmalikabdulmalik5408 Рік тому +2

    Sheikh AlHatimy, Huyu Ana Laana na mkosefu Adabu, Mpotofu, Wote Wapotofu, Mwenyezi Mungu atawapa Adhabu zao In Shaa Alaah

  • @abdulahmed2772
    @abdulahmed2772 10 місяців тому +1

    Hapa kila mtu abaki kwa imani yake kuwa mimi ni muislam kama nimetoka katika maulid nitabaki huku huku na kumswalia mtume muhammad s.w.m vinginevyo tunakwenda kukufuru allah atustiri

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 Рік тому +10

    Al-hatmiiiiiii, mbona hujib hoja ulizoletewa, unanichekesha sana mie.

    • @maherzain989
      @maherzain989 Рік тому

      Ujaelewa baba kasema mskilizeni Kwanza Kisha nimuweke saw

    • @aliabdullahi9200
      @aliabdullahi9200 Рік тому

      Hoja umetoawee.ama mjinga mwenzio.usiwe benderafuata upepo

    • @bouunlocked14
      @bouunlocked14 Рік тому

      Assalam Alayka Yaa Mahiya dhunubi
      Amani juu yako ewe mfuta dhambi.
      Je Mtume saw anauwezo wa kufuta dhambi? Hapana. Yeye kama yeyw hana uwezo huo.
      Sasa kwanini Imam Barzanj kasema maneno haya? Kwanini ampe Mtume saw ambayo hana? Tena sifa ambayo anasifika nayo Allah?
      Hakumpa sifa ya Mungu na wala hakukusudia kuwa yeye Mtume saw mwenyewe ndie mfuta dhambi.
      Sasa alichokusudia nini?
      Kakusudia kuwa Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Hii katika ilmu ya balagha inaitwa “majaz mursal na alaqa yake ni sababiya”. Yaani, Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi.
      Mfano Allah Anasema katika Quran:
      يتوفاكم ماك الموت الذي وكل بكم
      Atawafisha malakul mawt ambae amewakilishwa kwenu
      Ikisha kwingine Allah Anasema:
      الله يتوفى الأنفس حين موتها
      Allah Anafisha nafsi wakati wa kufa kwake.
      Sasa anaefisha Allah au malakul mawt? Tunasema Anaefisha hakika ni Allah ila malakul mawt kutajwa ni majaz mursal alaqa sababiya, yaani, yeyw ni sababu ila simfishaji.
      Law si hivyo utasema kuna kupingana katika Quran jambo ambalo ni muhali

  • @swiddiqabubakar7500
    @swiddiqabubakar7500 Рік тому +8

    Wallahi huyu kijana wa bachu ana shida sana wallahi mungu amswaameh

  • @muftiahmadimahmudulemba1918
    @muftiahmadimahmudulemba1918 10 місяців тому

    Aaaamiiina
    Umemjibu vizuri kabisaaaaa
    Mungu atujalie tusome na tuelewe na tujue sikurukia rukia tusio yajua tusiseme tusio yajua tunadhalilika kwa wasomi na watu wanajua kumbe huyu yuko hivi uwezo wake mndogo? tulijua bingwa wafani kumbe mweupe? mwengine aliekua anakuheshim atakudharau na kusema kumbe huyu hajui hatamiye ninamshinda? tujitambue kilamtu ajue sehemu yake sio lasima sisisote tue dhehebu moja dunianzima nasiolazima tulingane elimu na uelewa na ufahamu wewemwenyewe hapo mkonowako mwenyewe vidole vipo vitano nikuulize vimelingana? kwanini visilingane wakati vyote navyowewe? kwahio unayegemea kwasababu mtume tunaemfuata ni mmoja akili inakutuma elimuzetu na akili zetu na uwelewa wetu utakua sawa sawa?
    Mchamungu ningumu kumjua na dhehebu sahihi na watu sahihi wachamungu anawajua Mungu pekee anaejua ninani kapatia au kakosea tuepuke kuingia katika nafasi ya Mungu:

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 10 місяців тому

    Mohamad Bachu ww umepata kuzijua Siri za Mbinguni ndani ya moyo wako sioni unafiki ktk kumuabudu Allah. Mungu akuinue zaidi na zaid

  • @rushu1232
    @rushu1232 Рік тому +11

    Kukosa adabu na jeuri nyingi haiwezi kuvunja hadhi ya sh.Barazanji Mwenyeezi Mngu amekitilia taufiq chasomwa ulimengu mzima.

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 Рік тому +3

      Acha kujibu ujinga, maulid ni shirki,Tena msitafute kujifaharisha na Hawa watu,hakuna kitu

    • @rushu1232
      @rushu1232 Рік тому +1

      @@mwajumamohd7930 Maulidi sio shirki kabisa tuko na dalili na hujja na haya ni masaala ya ikhtilaf yaweza kuwa bidaa lakini kwetu ni bidaa hasana lakini hakuna mambo ya ujinga.

    • @G.r.e.a.t.I.Q
      @G.r.e.a.t.I.Q Рік тому

      Ndugu yangu, kusomwa ulimwengu mzima si hoja ya kuwa ni halali. Wengi wanasoma kitabu kile bila kujua maana ya maneno yaliyo andikwa. Wanasoma na kukiamini vile wanaamini ndani yake amesifiwa Mtume (SAW). Lakini, Je, amesifiwa kihalali? Au amepewa sifa ambazo mmiliki wa sifa hizo ni Allah (SW) pekee?
      Point ya msingi hapo ni Sheikh kuacha jeuri kwenye kuongoza wale ambao anadhani wamekosea au wale walio kosea kweli.

    • @MuhammadMuhammad-gr2qv
      @MuhammadMuhammad-gr2qv Рік тому +1

      @@rushu1232 hakuna bidaa Hassan katika dini Bidaa ni Bidaa na MTUME alikuwa ashawajuwa watu Kama nyinyi ndio Akasema WAKULLA BID'ATUN DHWALALA , WAKULLA DHWALALTIN FIL NAAR....
      Mumeshakanywa na MTUME (S.A.W) kuhusu BID'AA...

    • @ramadhanimbulu4941
      @ramadhanimbulu4941 Рік тому +1

      @@MuhammadMuhammad-gr2qv kapande ngamia,usitumie spika msikitini,usisalie kwenye zuria maana mtume hakufanya hivyo,usitumie mitandao ya makafiri kama hii ya simu mtume hakutumia.hata Quran zama za mtume iliandikwa kwenye mawe,magome ya miti,ngozi, Leo mbona INA muonekano tofauti na asili yake?hebu rudini mkasome vinginevyo pandeni ngamia au punda ndiyo ulikuwa usafiri wa mtume.

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 Рік тому +6

    Hizi ni hitilafu katika dini, usivuke mipaka kuhisi wewe ndio upo sahihi kuliko wao, Allah atupe mwisho mwema inshaAllah, Nakupenda kwa ajili ya Allah🙏

    • @aliabdalla6998
      @aliabdalla6998 Рік тому

      ua-cam.com/video/r96M_M7SLDk/v-deo.html

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid Рік тому +1

      Brother hakuna hitilafu ya uzushi na shirki. Maulid ni shirki na uzushi mtupu

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid Рік тому

      Brother hakuna hitilafu ya uzushi na shirki. Maulid ni shirki na uzushi mtupu

    • @coolpara8192
      @coolpara8192 Рік тому

      Msiseme Mambo msiyoyajuwa

    • @SWAFIYAMUHAMEDMZEEMBABA-ue3zq
      @SWAFIYAMUHAMEDMZEEMBABA-ue3zq 9 місяців тому

      Unataka fata hutaki acha

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 Рік тому +1

    Mimi nasikitika saaaana kuona munajiangika kwenye mitandaoni, mauudhu ya dini ni uso kwa uso mukarekebishana, Ile yausawa tukafundishwa, ni aibu kubwa maneno makali na vitendo vichafu mashekhi, kwani hakuna mashekhi wakubwa waku ya hukumu makosa hayo, tafadhalini mukae chini utaratibu wa kidini, alhamdulilah bi neema tul Islam, wa allah yahdikum,,,,

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 Рік тому

    WAISLAMU WOTE WENYE KUSOMA DUA, UISLAMU UMEDHALILISHWA. ATAKAELIWACHA HILI KUMUOMBA MUNGU AWADHALILISHE WALIOTUPA UZAO WA MTUME SAW, BASI ATAHUKUMIWA.

  • @omarykilapo9173
    @omarykilapo9173 Рік тому +6

    Bachu mungu akajalie uwambuwe mashehe wa mchongo

    • @Safinatulshifaa
      @Safinatulshifaa Рік тому +1

      Naam

    • @ahmedmukolwe43
      @ahmedmukolwe43 Рік тому

      Ndo nyinyi hao,na nyinyi ndo mnafanya hakunyeshi mvua

    • @Safinatulshifaa
      @Safinatulshifaa Рік тому

      Watu wanajipa utukufu na kuzusha masuala ya maulidi
      Hakufanya Mtume Muhamad S.A.W
      Wala maswahaba hawakufanya
      Tabiina
      Wala
      Tabii tabiina

    • @Safinatulshifaa
      @Safinatulshifaa Рік тому

      Maulidi ni Mila za mashiaza kuwakashifu maswahaba WA Mtume na watu WA maulidi wanasema asiepiga maulidi hawampendi Mtume tofauti na mashi ipo wapi hapo
      Maana wasiopiga maulidi ni maswahaba hivyo tunawatukana
      Shia wanatumia DIRECT SPEECH
      WATU WA BIDAA WA MAULID WANATUMIA INDIRECT SPEECH

    • @haridyhillaryndembo1946
      @haridyhillaryndembo1946 Рік тому

      Uislam wa hivyo wa majivuno haupo wa bachu

  • @reonidajohn7857
    @reonidajohn7857 Рік тому +4

    Wallahi ukisoma ukafahamu raha sanaaa kwa hakika anavyo tafsiri barzenjiii ananifurahishaa sanaaa manaaa hakuna anacho patiaaa katika tafsiri yakee Maulidi ni yakwetu kitabu chetu lakini Maana anatoa yye asiehusika Wee unafikiri atapatiaaaa

    • @abuukauthar525
      @abuukauthar525 Рік тому +2

      kwel barzenjii ni kitabu chenu nyie masufi

    • @faisalmohamed727
      @faisalmohamed727 Рік тому +1

      Lazima mujitetee kama munavopindua tafsiri za ayaa na hadithi ili mutetee uzushi wenu.

    • @Alegria_doPovo
      @Alegria_doPovo 11 місяців тому

      Mtume gani alipewa hicho kitabu chenu?

  • @Toh.blogger
    @Toh.blogger 4 місяці тому

    Inalilalah wainailaih rajiun shekh bachu mungu atakuadhibu

  • @shariffali7780
    @shariffali7780 Рік тому

    Ukitizama picha kubwa tuwape hongera maadui wa kiislamu namna wamefaulu kutugonganisha! Na hapa utakuta hizo fitna za Najdi zafanya kazi. Mawahabbi wana ukosefu wa ilmu Kisha na adabu!

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 Рік тому +6

    Babake alipoambiwa kafa na hakua mtu wa sunna aliteta sana lkn yy akufurisha na kutusi wazazi na mashekh wa wenzake anaona ni vzur tu yani hajafunzwa adabu kbsaaaa huyu bachu

  • @muhammadkhatwab
    @muhammadkhatwab Рік тому +4

    BAARAKALLAHU FIYKUM. Aina hizi za video zinatuelimisha

    • @khaleedabubakar4403
      @khaleedabubakar4403 Рік тому +1

      Kwani hajui kilicho mfika babake na yy aendelee kutukana mashekhe na maulamaa

    • @allyfutto8763
      @allyfutto8763 Рік тому

      zinatuaibisha japo zaelimisha aibu8 mafunzo2, ki mimi kama ni jihadi bora nipigane kupinga ufiraun na sio wenyewe kwa wenyewe ajili ya sifa za UKUBWA astaghafirullah mungu ametunusuru tunahepuka NUSURA Subhanallah

    • @ramlamburi9743
      @ramlamburi9743 Рік тому

      @@khaleedabubakar4403 Kilimfika Nini?

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 10 місяців тому

    Sheikh bachu yupo sawa Allah amuhifadhi

  • @sadofaraji5999
    @sadofaraji5999 Рік тому

    Kukufurisha umma mzima ni kosa kubwa sana na lugha mbaya siyo katika uislam.

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 Рік тому +6

    Njoo Kenya tukusomeshe Nathmi ni nini Sajg'hi n nini ndio uje umkosoe barzanj😂
    Sheikh Bachu yupo tayar uje umsomeshe lakini ulipoona jamaa yupo serious sabab kibaooo😜
    Hujibu hoja unadokoa dokoa t sehem ndogo ndogo kama ww una amini Elimu yako kubali kukaa na Muhammad Bachu mfundishane

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman Рік тому +8

    Fahamisheni watu musilumbane, akikosea njia ni wajib kumuelekeza.

  • @MuhammadMuhammad-gr2qv
    @MuhammadMuhammad-gr2qv Рік тому +2

    KITABU CHENYE USHIRIKINA NDANII NI MAKOSA KUKISOMA NA KUSOMESHA WATOTO.
    WATU LAZMA WAAMBIANE UKWELI NA UKWELI SIKU ZOTE UNAUMA SANAA .

  • @mohammedhegdah
    @mohammedhegdah Рік тому +1

    Tunapoteza wakati wetu kukashifiana na kutukanana badala ya kulingania suluhisho la kisawa Al-khilafah. Masheikh wetu wameghafilika na kuzama katika mijadala isiyo na maana. Lau nguvu hizi zingetumika kwa njia ya sawa, Wallahy Uislamu ungekuwa unatabikishwa katika mgongo wa ardhi.

  • @azizbashir
    @azizbashir Рік тому +3

    NI KWELI HATA KUSHIKA HII KITABU NA KUSOMA KWA MUDA UTAPOTEA HAWA WATU WA MAULID NI HATARI ILIKUWA ZAMAN WANATEMEA CHAKULA MATE WANASEMA NI BARAKA

    • @hassanramadhani8527
      @hassanramadhani8527 Рік тому

      Ushaidi wako ukowap

    • @bouunlocked14
      @bouunlocked14 Рік тому

      Assalam Alayka Yaa Mahiya dhunubi
      Amani juu yako ewe mfuta dhambi.
      Je Mtume saw anauwezo wa kufuta dhambi? Hapana. Yeye kama yeyw hana uwezo huo.
      Sasa kwanini Imam Barzanj kasema maneno haya? Kwanini ampe Mtume saw ambayo hana? Tena sifa ambayo anasifika nayo Allah?
      Hakumpa sifa ya Mungu na wala hakukusudia kuwa yeye Mtume saw mwenyewe ndie mfuta dhambi.
      Sasa alichokusudia nini?
      Kakusudia kuwa Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Hii katika ilmu ya balagha inaitwa “majaz mursal na alaqa yake ni sababiya”. Yaani, Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi.
      Mfano Allah Anasema katika Quran:
      يتوفاكم ماك الموت الذي وكل بكم
      Atawafisha malakul mawt ambae amewakilishwa kwenu
      Ikisha kwingine Allah Anasema:
      الله يتوفى الأنفس حين موتها
      Allah Anafisha nafsi wakati wa kufa kwake.
      Sasa anaefisha Allah au malakul mawt? Tunasema Anaefisha hakika ni Allah ila malakul mawt kutajwa ni majaz mursal alaqa sababiya, yaani, yeyw ni sababu ila simfishaji.
      Law si hivyo utasema kuna kupingana katika Quran jambo ambalo ni muhali

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 Рік тому +3

    SUBHAANA LLAH,Mtihani kwakweli .

    • @ahmedrashid7638
      @ahmedrashid7638 Рік тому

      Hakika kijana hata kama wewe Mohamed Bachu hukubaliani na Barzanji, haina haja ya kuita wenzako Mushriik, Jaribu kuwa funza, ndio sawa, hicho nikiburi

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 Рік тому +1

    Eeeh Muhammad bachu hio sio tabia ya mtume wetu Muhammad
    صل الله عليه وآله وسلم

    • @hammidmundu5192
      @hammidmundu5192 Рік тому

      Bachu ana lana huyo kijana very disrespectful...kwa qawli..

  • @fahmiwaummy4293
    @fahmiwaummy4293 Рік тому

    Mimi nataka kuuliza sheikh Othmani maalim na sheik mohammed bachu, nani alie soma zaidi na mwenye elimu zaid.. acheni kupelekeshwa na bachu kwani machache anayo yasema ni ya kweli na mengi yao anayasemea jinsi unavo mtuma moyo wake kusema ivo.. Alhatimy nawe jifunze jinsi gani ya kuielewesha jamiii ili uweleweke unacho ongea, kwan kushindwa kwako kufafanua ndo kunapelekea lawama nyingi sana kwa watu wasio soma sana elimu ya dini kuangukia kwako japo kua upo sahihi..

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 Рік тому +5

    Huyu kijana ni muhuni mkubwa kumbe hafai hata kukaa mbele ya jamii hana adabu kbsaaaa anatukana watu hajali hata ukubwa wao na elimu zao shenz fedholi sana huyu jamaa

  • @tariqinhosaid3447
    @tariqinhosaid3447 Рік тому +12

    Shekhe nataka utupe dalil kuwa roho ya mtume sallalahu alayhi wasallam ilipotolewa malaika walipiga laini mpaka mbinguni

    • @muddybreezy4595
      @muddybreezy4595 Рік тому +1

      Hahaha

    • @moskiley0025
      @moskiley0025 Рік тому +1

      😅😅😅😅😅

    • @haridyhillaryndembo1946
      @haridyhillaryndembo1946 Рік тому +1

      Fikra iko chini
      Hebu iulize tu AKILI yako
      Inawezekana au haiwezekani
      Kabla hujapata dalili, ikiwa kama mtu wa kawaida hupokewa na Malaika wa heri na kuogelea na ROHO yake hata wakaipeleka ROHO wanakoipeleka "wannashitwat nashata"
      Kwani Quran haikusema utafakari "Afalaa tafakkarun"
      Hebu TAFAKARI inawezekana au haiwezekani?

    • @khadijaabdulkarim4567
      @khadijaabdulkarim4567 Рік тому

      😁😂😂

    • @IbnuAlly-cg2gn
      @IbnuAlly-cg2gn Рік тому +1

      ​@@haridyhillaryndembo1946tunatakiwa tutangulize kitabu na sunna sio akili

  • @FatimaFatima-wz2qt
    @FatimaFatima-wz2qt Рік тому +1

    Inalilahi wainailayhi rajiuna Dunia imeisha mashekhe wapigana vita mpk lini jamani

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 Рік тому

    Mi nlidhani utajibu hio hoja kuwa hio ibara inayosema kuwa amani iwe juu yako ewe mwenye kufuta madhambi.. Msituchanganye kwa sababu sisi wengine alhamdulilah tunajua kiarabu.. Mi sisemi kuwa maulidi yanafaa au hayafai kwa sababu sina dalili.. Ila kama mnataka mufanye maulidi basi tafuteni kitabu Chengine sio hicho kimejaa uongo na shirki.. Mtume hasamehe madhambi Bali Allah ndio anasamehe madhambi

  • @khajumkhamis7910
    @khajumkhamis7910 Рік тому +3

    WEWE BACHU KASOME., USIZARAU

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline Рік тому +17

    Adabu ni chombo muhimu katika elimu.

    • @abasmaalim5423
      @abasmaalim5423 Рік тому

      Sahihi kabisa ndugu yangu. Ila bid'aa za mambo ya maulidi ni jambo ovu mno kwenye uislam mzima

  • @HabibAliKishki
    @HabibAliKishki 7 місяців тому

    Kumbe hawalali umekuwa mauwui kwao mashallah hiyo ni neema kubwa sana

  • @fauzia4610
    @fauzia4610 Рік тому

    SubhanaaAllah hyo n kitabu bachu anarusha hvyoo😢😢😢

  • @ahmedrage9664
    @ahmedrage9664 Рік тому +3

    Jufri ni mshrikinaaaa

  • @majidsaid08
    @majidsaid08 Рік тому +9

    Mtume s.a.w, alisema zitafika zama dunia itachafuka yaani wenye ilmu wataonekana hawajui kitu na amabao hawana ilmu ndio wataonekana wajuwa na kupata wafuasi.... vijana wadogo wanaosoma sasa wana hamasa sana na kujifamya wao ndio wajuwa kila kitu ilhali mtu amesoma kodogo tu. Hao wazee waliopita walifanya mengi na maisha yalikuwa mazuri na heshima na adabu kwa kila umri angalia leo mambo yalivyo kuwa kila mtu hajui wao ndio wajuwa. Na huyu kijana bachu yeye kazi yake kukosow tuuuu yaani yiwafwatilia kila mtu kumtowa dowa badala yakutowa darsa zake. Msubiri imam mahdi aje kukukosowa na kukutekebisha na wewe

    • @saidbajoun4374
      @saidbajoun4374 Рік тому

      Mahdi ??? Kwa ushahidi gani

    • @majidsaid08
      @majidsaid08 Рік тому

      @@saidbajoun4374 nimekutajia mtume amesema bado wauliza ushahidi...... wataka kujuwa ama wataka ushindani?? Fwata unavyotaka kaburi kila mtu na amali yake hulazimishwi kama wajuwa na wajitosheleza haina haja ulize......

    • @saidbajoun4374
      @saidbajoun4374 Рік тому

      @@majidsaid08 bado hujatoa dalili ukisema mtume amesema ata mimi nitasema mtume amesema nipe Aya au Hadithi ata dhaifu kaka sasa ukisema mtume amesema na hakuna isnad matin wala rawi utakua wewe ndo umesema njoo na dalili kaka haina haja ya kukasirika

    • @saidbajoun4374
      @saidbajoun4374 Рік тому

      @@majidsaid08 mambo ya Imam Mahdi ni Uzushi mtupu

    • @abuually-ol2xc
      @abuually-ol2xc Рік тому

      Kwelii Hawa vijana wanatusumbuaa Sanaa wanajifanya sana wajuwajii

  • @kazungukarisa55
    @kazungukarisa55 Рік тому +1

    MaashaAllah baaraka Allah

  • @fatmaabdul1047
    @fatmaabdul1047 Рік тому

    Wallah yasikitisha SUBHANALAH. ,Mkumbushe ...اياكموظن...kama pia wanakumbuka hadithi za mtume ...waonekana Wana Mtume wao

  • @mpondamedia2416
    @mpondamedia2416 Рік тому +5

    Bachu mtume hakufanya da’wa ya namna hiyo kumbuka hicho kitabu ulichokitupa ndani yake kuna jina la Allah 😭😭😭ebu fikiria mara Muhammad alafu acha chuki na dharau mihadhara yako imejaa chuki binafsi badilika Muhammad

    • @ashrafseif9460
      @ashrafseif9460 Рік тому +1

      Subhanallah huu n mtihan mkubwa kwa ummah Wa kiislam ,kukashfiana ktk mitandao mnachangany watu hasa weny elimu ndogo.tafuta njia nzur ya kufany ummah upate faida nzr

    • @dulaabdallah6127
      @dulaabdallah6127 Рік тому

      Hata upike chakula kizuri vipi ila kikiingia kinyesi utatoa kinyesi au utakimwaga?

  • @Salhiya-hr7dy
    @Salhiya-hr7dy Рік тому +3

    Allah atustiri Inshaallah heeeeeh ila hiy bachu anatumia maneno makali akaaaaa 🥺🥺🥺🥺🥺🥺

  • @jamilkarama4730
    @jamilkarama4730 Рік тому +1

    Kwan watu wa maulidi wanamuabudu Mtume S.A.W. Hicho barzanj shirk tupu

  • @Mohammed-fv1ur
    @Mohammed-fv1ur 10 місяців тому

    Ata baba ake hakuwa hivi fedhuli ijapo Haku support maulidi hakufika kufru hiii

  • @khamisqais7706
    @khamisqais7706 Рік тому +4

    Huyo Mtoto wa Bachu anapo alipoteleza hayo ndyo Matunda yake na kipo kitakacho mpata labda arudi nyuma na kuacha kutukana wanachuoni

  • @hashimshariff2743
    @hashimshariff2743 Рік тому +14

    Mungu amsaidie bachu kwa elimu yake chache na potofu. tumeona wengi walotangulia kama yeye mwisho wao ulikua vipi

  • @ibrahimutuwaamiri9163
    @ibrahimutuwaamiri9163 10 місяців тому

    ELIMU INAENDANA NA HEKMA HANA ELIMU NA HANA HEKMA HUYU BACHU BWANA MTUME MUHAMMAD S A W KUWALINGANIA MAKAFILI MIAKA YOTE HAJAWAII KUWAKASHFU HIVI MAKAFILI WA KUWATUPIA VITABUVYAO WANAVYO VIAMINI HIVII HUYU BACHU HAJIELEWIII

  • @niyonganjisadiki
    @niyonganjisadiki 4 місяці тому

    Muhammad bachu Allah amhifadhi

  • @athumanisese
    @athumanisese Рік тому +3

    Alhatimy imekuuma eeeh

  • @samsiakassakangeta1780
    @samsiakassakangeta1780 Рік тому +3

    { لَمۡ يَكُنِ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ مِنۡ أَهۡلِ ٱلۡكِتَٰبِ وَٱلۡمُشۡرِكِينَ مُنفَكِّينَ حَتَّىٰ تَأۡتِيَهُمُ ٱلۡبَيِّنَةُ }
    [Surah Al-Bayyinah: 1]
    Ali Muhsin Al-Barwani:
    Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana,
    { رَسُولٞ مِّنَ ٱللَّهِ يَتۡلُواْ صُحُفٗا مُّطَهَّرَةٗ }
    [Surah Al-Bayyinah: 2]
    Ali Muhsin Al-Barwani:
    Yaani Mtume aliye toka kwa Mwenyezi Mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika,

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      Leo Mtume huyo yametupwa history yake na makafiri. Kama alivyoyafanya aboud rogo. Yakamkuta

    • @zayumbahussein5766
      @zayumbahussein5766 Рік тому

      Twayiiib

    • @saidyiddy1770
      @saidyiddy1770 Рік тому

      baadae ya kuwaingiza watu kwenye uislam mnapigakelele wenyewekwawenyewe

    • @saidyiddy1770
      @saidyiddy1770 Рік тому

      kwani ww maulid umeyatowawapi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@saidyiddy1770 maulid (mazawa ya Mtume saw) tumeyatoa katika SIRA ya Mtume saw

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 Рік тому

    Na kama unasema daawa ya mtume s.a.w , Mtume Muhammad s.a.w hakulingania maulid. Acha makorokoro hayo na tosheka na yale aliyokujanayo mtume Muhammad s.a.w.

  • @athmanjumagongah5667
    @athmanjumagongah5667 10 місяців тому

    Hii ni fitna kubwa sana Kwa ummah na mujtamaa wetu. Mambo Yako mengi tu ya kunasihiana bal ni maudhi yalioje mtu na kijiilimu chake tayari ashambulia na kukashif Bali na kukufurisha mashekhe na Wanachuoni wengine.
    Inna Lilah...

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529

    Muhammad Haya mambo yatakuja kukutia kwenye majuto siku zambele ujute ukijutia badilika Ndugu yangu

    • @mwaramimwarami1479
      @mwaramimwarami1479 Рік тому +1

      Acha mikwara ww

    • @alhamdulillahalhamdulillah7529
      @alhamdulillahalhamdulillah7529 Рік тому

      @@mwaramimwarami1479 Mimi sfanyi mikwara Endeleeni tu kumponza

    • @abdulwahabbakar8677
      @abdulwahabbakar8677 Рік тому +3

      Hakuna kitakachomfanya ajute huyo jamaa na wenziwe ni wanaoabudu makaburi hapana asiejua kwanza kusema kilemba chake ni tangu kutoka kwa Mtume huo ni uongo wa mchana

    • @jeyllanghulam7990
      @jeyllanghulam7990 Рік тому

      @@abdulwahabbakar8677 shida hamtaki kufatilia madamu shehe kasema bc ww unatosheka... fatilia ili ujue sheikh alisema ukwli au shehe wako kamsingizia na kumuita muongo bila ya sbbu.... afwan

  • @mbaroukbakar572
    @mbaroukbakar572 Рік тому +7

    jibu hoja usilete malalamiko

    • @bouunlocked14
      @bouunlocked14 Рік тому

      Assalam Alayka Yaa Mahiya dhunubi
      Amani juu yako ewe mfuta dhambi.
      Je Mtume saw anauwezo wa kufuta dhambi? Hapana. Yeye kama yeyw hana uwezo huo.
      Sasa kwanini Imam Barzanj kasema maneno haya? Kwanini ampe Mtume saw ambayo hana? Tena sifa ambayo anasifika nayo Allah?
      Hakumpa sifa ya Mungu na wala hakukusudia kuwa yeye Mtume saw mwenyewe ndie mfuta dhambi.
      Sasa alichokusudia nini?
      Kakusudia kuwa Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Hii katika ilmu ya balagha inaitwa “majaz mursal na alaqa yake ni sababiya”. Yaani, Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi.
      Mfano Allah Anasema katika Quran:
      يتوفاكم ماك الموت الذي وكل بكم
      Atawafisha malakul mawt ambae amewakilishwa kwenu
      Ikisha kwingine Allah Anasema:
      الله يتوفى الأنفس حين موتها
      Allah Anafisha nafsi wakati wa kufa kwake.
      Sasa anaefisha Allah au malakul mawt? Tunasema Anaefisha hakika ni Allah ila malakul mawt kutajwa ni majaz mursal alaqa sababiya, yaani, yeyw ni sababu ila simfishaji.
      Law si hivyo utasema kuna kupingana katika Quran jambo ambalo ni muhali

  • @aminuddinwacate
    @aminuddinwacate Рік тому +2

    Masha Allah alhamdulillah

    • @alfaniabdallahmshuza7058
      @alfaniabdallahmshuza7058 Рік тому

      Atatupa korowan ya Allah kweli wew nichizi ane tupa korowan ya Allah basi huyo kamkataa Allah kwaiyo huyu ni kibuli mungu akuhukum wew na walimu wako raana ya mwenyezi mungu ziwashukie

  • @suleimanahmadaali5989
    @suleimanahmadaali5989 Рік тому

    Jibu hoja alizozitoa sheikh Muhammad bachu ,usizunguke ukayawacha zile hoja zote za msingi alizozizungumza
    Kama huziwezi sema hoja ZAKE huziwezi
    Allah Akuongozeni watu wa maulidi murudi katika haki

  • @alshamsitz3961
    @alshamsitz3961 Рік тому +5

    Sishangai kwa mtoto wa Bachu kwa kitendo hicho maana nishawahi kumsikia kwenye moja ya clip yake akisema wazazi wa Mtume Mohammad wamekufa hali ya kuwa ni makafir na wataingia motoni

    • @halimakassimngare4873
      @halimakassimngare4873 Рік тому +2

      sasa shida iko wapii hapoo?? na dalili zipo tatizo ninii ama vile hujasoma waskiza tuu

    • @AliMohamed-gv7nw
      @AliMohamed-gv7nw Рік тому

      Ndio ilivyo hivyo mbona hajatajwa mwengine

    • @matataoneproduction5355
      @matataoneproduction5355 Рік тому +1

      Watoto wa zinaa ndivyo walivyo mumsamehe tu yule dogo hajitambui

    • @ibnuidrisa3996
      @ibnuidrisa3996 Рік тому

      @@halimakassimngare4873 tuekee huo ushahidi

    • @abdulrahmanabdallah132
      @abdulrahmanabdallah132 Рік тому

      Weee vp sasa wazaz wa mtume walkua waislam au,? Hem ustoe lawama wakt Elim yako ndogo

  • @sameermilo4907
    @sameermilo4907 Рік тому +7

    kweli huyu kakosa adabu ya elimu ... Mungu akuongoze bachu mdogo

  • @luqmanbaya2059
    @luqmanbaya2059 Рік тому

    Asalaam alaykum...uislam umetufundisha usitarabu..vip tena...tukose hekima ya kuambiana....yaani alhatimy..alimkosoa sheik Muhammad Nassor Bachu..kwa kielimu na aya ndani ya qur'an...na ushahidi kabisa...vip tena amuite mwenzake...mushrik...

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 Рік тому

    Umewekwa sawa mushrik.

  • @rajabumtanga8792
    @rajabumtanga8792 Рік тому +4

    shekhe unatutia wasiwasi kuhusu akili Yako kweli nimzima weweee hamna kilevi chochote unatumia aaa sio Bure umedata kijana pole sana duuu

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 Рік тому +4

    Basi andaeni mijadala tuje tupate elim,,

  • @mrben227
    @mrben227 9 місяців тому

    Bachu anajifnya yupo perfect si uislamu unavyotak

  • @nurasalimu2403
    @nurasalimu2403 Рік тому

    Nashangaa sana mashekhe mnapoteza muda wenu kujibizana na kijana mdogo ambae bd ana mambo mengi maana vijana wadogo mala nyingi balehe inawasumbuwa ndo maana mashekhe wengi hawakubaliyani na mauridi ila hawajarusha kitabu ila huyo muhammed karusha hamuoni ni balehe inamsumbuwa elimisheni watu siyo kujibizana mitandaoni kila siku radi jifunzeni kwa shekhe othumani maalim yy kimywa hajibizani na watu ni shekhe wa kuigwa kule kunyamaza kimywa kwa mtu mjinga ndo jibu lako

  • @abuuhanifa4569
    @abuuhanifa4569 Рік тому +3

    من جهل شيأ عداه

  • @hassanwaiswa692
    @hassanwaiswa692 Рік тому +4

    Al Hatimy. Wacha maongezi mengi!!!
    Wewe msomi na Sheikh Bachu msomi. Panga siku, wakati na eneo. Macho kwaacho Uso kwa Uso. Hii video nusu nusu waaachaaaa!!!
    Kidume wewe na Bachu kudume.
    #facethereality 😎

  • @fikiriayubu1358
    @fikiriayubu1358 Рік тому +1

    Innalillah wainnaailyh raajiun daawa ndo imefikia hapa kibri Cha wazi hiki hata hao wasio waisilam hawalinganiwi hiv dah mtihan tumeacha kuwalingania watu wasio swali tunatukanan leo dah

  • @user-fw6qd1mh4y
    @user-fw6qd1mh4y 9 місяців тому

    mashia mnatabu elim ndogo hta huna uelewa hlf eti shekhe mchamungu anamjua allah

  • @zenaahmedi8857
    @zenaahmedi8857 Рік тому +4

    SubhanAllah...mbon najisikia vibay mim

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 Рік тому +6

    Umeshindwa hoja sasa watafta vijisabab hahahaha

    • @mwaramimwarami1479
      @mwaramimwarami1479 Рік тому +2

      Hana hoja wallah,sioni anachoongea,na maulidi siendi tena

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Рік тому +1

      @@mwaramimwarami1479 kwahyo kuwaita waislam washrikina ni sahihi

    • @ramadhanirama7970
      @ramadhanirama7970 Рік тому

      @@mwaramimwarami1479 Ulikazimishwa kwenda??

    • @abubakarsaid8606
      @abubakarsaid8606 Рік тому

      Kweli kabixa

    • @faisalmohamed727
      @faisalmohamed727 Рік тому +2

      @@adamhashim3352 Kwa dalili ni sawa nyinyi ni washirikina sio waislamu, muislamu humuomba ALLAH tuu hapitii kwengine kama wakristo (kwajina la yesu), au umesahau (laa-tadduu maa-llahi ahada)?

  • @saidali5964
    @saidali5964 Рік тому +2

    Pasuwa akhiy usihofu Allah Allah Yuko nawe bn bachu

  • @user-xs7zn5sq4t
    @user-xs7zn5sq4t Рік тому

    Maulid shirk kweliii

  • @hasreeyasini
    @hasreeyasini Рік тому +3

    Alhatimy keshaelewa SoMo ila anatafuta njia ya kutokea

  • @ummyhawaaweis3867
    @ummyhawaaweis3867 Рік тому +4

    Subhanallah huyu kijana naona anapersonal issues...hana nidhamu kabisa...

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven Рік тому

      Ni mpuuzi huyo Bwana mdogo

    • @abdikrezyressurected616
      @abdikrezyressurected616 Рік тому +1

      Bachu ako sawa kabisa...watu wa maulidi wanakufuru kabisa...Hana hoja anatafa huruma huyu shehe wa maulidi

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 Рік тому +1

      Unataka nidham ipi kama m2 anapotosha wa2 kwenye dini

    • @mwalimumwanyongo880
      @mwalimumwanyongo880 Рік тому

      @@kassimali2273 Basi wakwanza kuwapotosha watu katika dini ni Allah, ukifanya Dhambi watakiwa umuelekee Allah akusamehe au wende Kwa Mtume Muhammad saw? Kasome Suratun nisaai Aya ya 64, acheni chuki hii ni dini ya Allah, tusomeni tuelewa then ndio tukatafute huo ukubwa mitandaoni na kwenye mimbari.

  • @kavumohemedi871
    @kavumohemedi871 Рік тому +2

    Mavitabu yamejaa shirk hayo maneno wanayomsifia mtume yafaa asifiwe nayo Allah ko sheikh Allah akuongoze ujue tofaut ya Allah na mtume .

  • @assimmhamed1851
    @assimmhamed1851 Рік тому

    Acha masheikh wakemee uzushii maulidiii harammm

  • @ahmedmalick5043
    @ahmedmalick5043 Рік тому +4

    Alhatimy wewe ni mbabaishaji tuu

    • @bouunlocked14
      @bouunlocked14 Рік тому

      Assalam Alayka Yaa Mahiya dhunubi
      Amani juu yako ewe mfuta dhambi.
      Je Mtume saw anauwezo wa kufuta dhambi? Hapana. Yeye kama yeyw hana uwezo huo.
      Sasa kwanini Imam Barzanj kasema maneno haya? Kwanini ampe Mtume saw ambayo hana? Tena sifa ambayo anasifika nayo Allah?
      Hakumpa sifa ya Mungu na wala hakukusudia kuwa yeye Mtume saw mwenyewe ndie mfuta dhambi.
      Sasa alichokusudia nini?
      Kakusudia kuwa Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Hii katika ilmu ya balagha inaitwa “majaz mursal na alaqa yake ni sababiya”. Yaani, Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi.
      Mfano Allah Anasema katika Quran:
      يتوفاكم ماك الموت الذي وكل بكم
      Atawafisha malakul mawt ambae amewakilishwa kwenu
      Ikisha kwingine Allah Anasema:
      الله يتوفى الأنفس حين موتها
      Allah Anafisha nafsi wakati wa kufa kwake.
      Sasa anaefisha Allah au malakul mawt? Tunasema Anaefisha hakika ni Allah ila malakul mawt kutajwa ni majaz mursal alaqa sababiya, yaani, yeyw ni sababu ila simfishaji.
      Law si hivyo utasema kuna kupingana katika Quran jambo ambalo ni muhali

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g Рік тому +3

    HIZO BIBLIA HAZITUPWI CHINI 😭😭😭

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому +3

      ABDUROGO ALIDHURIKA BAADA YA KUKIKEJELI KITABU CHA MAULID

    • @suleymansalim5732
      @suleymansalim5732 Рік тому +1

      @@hilalkhalfan1452 Ndoo Shirki hizi maswahaba waliuawa waliteseka na barzanji haikuwepo nao walikejeli nini. Kheri na shari zatoka kwa Allaah. Unatukuza hiki kitabu kana kwamba kinatoka kwa Allaahu. Nyie kama mnataka kumdhuru alfu mjifichie eti barzanji mmefeli

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@suleymansalim5732 kheri na Shari anaepanga ni ALLAH SW. kwaio wewe ni mshirikina wa kwanza kuamini Shari zinatoka mikononi mwetu. Abdurogo alidharau maulid na AKADHURIKA, kwaio kudhurika kupo njia nyingi. Sasa subiri uwone utabiri wangu kama utaanguka chini.

    • @mawaidha386
      @mawaidha386 Рік тому +1

      Msahafu unatupwa chini Kila Leo na hamsemi et Leo barzanji ndio mumekuja JUU Kila ni kitabu kama Vitabu vyengine au Kuna nabii kapewa brzanji ... Naona unakujua JUU na mambo ya kitoto kabisa alhatim ww ndie ulianza hii mijadala na yaonesha wazi ulikua hulala tangu 2017 uliopoiona ILE video ikawa unasema tu Muhammad bachu ntamjibu lin hilo ndio lilikua mdomoni mwako maiaka yote io duh

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@mawaidha386 kama msahafu umetupwa basi hujaja juu wewe tu, uliza tulinfanya nini yule mkiristo alioukejeli msahafu. Nenda kaulize. Sasa wewe naona unatafuta sababu za maksudi kuona ni jambo la kawaida tu kuikanyaga kitabu kilichohifadhiwa mazazi ya Mtume saw. HILO ATALIPIA UCHUNGU WAKE KILA ATAKAE FANYA. endelea kufuatilia

  • @kesajwatala8106
    @kesajwatala8106 8 місяців тому

    Roho inauma sana hivi ikishindikan ki daawa hakun ingin njia yakumuelewesh huu ambae anae chafua wanazuoni

  • @simbillamachiyya
    @simbillamachiyya Рік тому

    Asalaam alaykum warahmatullah, Mimi ni mfuasi wa Hadharat Mirza Ghulam Ahmad as imamul Mahd na Massih aliyeahidiwa, natoa maoni kuwa,Imamu Mahdi amefika, sawa na khabari alizotufahamisha mtume Muhammad saw, wacheni malumbano na kutukanana na kudharauliana, mpokeeni Mahdi wenu enyi waislamu,