Kondoa bidaa ipo kubwa San, kaburi linajengwa km hivyo sijui mafundisho ganj hayo ya dini,kondoa bidaa imejaa San nimeend kujionea,maulid kila siku na wanawak wanaend kulala huko huko
@@aishaomari944 Oman ndio yupo mtume huko au ndio wao ndio kiigizo chako cha dini? Acheni bidaa ndugu zetu, uliona wapi watu wakakusanyana makaburini kama hvyo na kusoma visomo vya quran ilihali mtume allayhi swalatu wassalamu amekataza kusoma quran makaburin?
Mungu ailaze roho yk pahala pema peponi amin from Kenya wp like zenu
Yaalah tunakuomba ya rabbi tuongoze ktk njia unayoridhia na ulijaze NURU kaburi LA sheikh wetu
Allah Akuongoze ewe Ibun sungu akupe upeo kama wa shekh sungu . Na allah akuhifadhi na madhila ya dunia
Allah ajalie kabri lake liwe bustani la jannah pamoja na lawaisimu wengine in sha allah
Mabruki sanaa mdogo wetu kushika nafasi ya shekhe R.M.Sungu Takbirrr
From Oman
Allah amlaze pema peponi shekh wetu
اللهم اهدنا الصراط المستقيم
Inna lillahi wainna ileihi rajiun Allah amlase pema peponi
ALLAH AMUONGOZE KIJANA BADO MDOGO UONGOZI WA UJANANI MTIHANI SANA TUMUOMBEE DUA NYINGI SANA
اللهم ثبتنا إلى الصراط المستقيم
Si imani yenu dini ndo inasema ivoo.. lakini itikadi zingine ni bid'aa
Mashallah tabarakalah
Allah ampe kauli thabit shekh sungu
Yaallah
اللهم غفر له ورحمه واسكنه فى الجنة رمضان سونغو
Allah karim,
Allah akibar
Ukiacha msiba washekhe huu nao nimsiba
N msiba kivp
Kondoa bidaa ipo kubwa San, kaburi linajengwa km hivyo sijui mafundisho ganj hayo ya dini,kondoa bidaa imejaa San nimeend kujionea,maulid kila siku na wanawak wanaend kulala huko huko
Kasome tyu
Allahumma ghufirlahum warhamuhu waskinuhu filljannah
Nenda oman uone watu wema wanavothamiwa
Kaa chin usome utajua