MAJIBU KWA MPAMBE WA YUSSUF DIWANI || Muhammad Bachu || March 2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 бер 2023

КОМЕНТАРІ • 281

  • @ibnomar8144
    @ibnomar8144 Рік тому +4

    Burundi 🇧🇮 Tumeshaga vunja hao watu wa bid'a ila karibu saana kwetu Bujumbura

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 Рік тому +3

    MTOTO wa bachu binti yangu angekuws mkubwa ningekuozesha !!

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 Рік тому +12

    Maulidy nimeacha juzi kati baada yakubainishiwa haki Alhamdulillah kuwa mtu wa sunna

    • @ismailowino2866
      @ismailowino2866 Рік тому +1

      Masha'allah tabarakallah,Allah aendelee kupa istiqama kwa Hilo akhui

    • @muslihallyiddi
      @muslihallyiddi Рік тому

      Hukuw mtu wa maulid tokea kale

    • @ismailowino2866
      @ismailowino2866 Рік тому

      @@muslihallyiddi kwa sababu ulikuwaga na unamjua toka kale?

  • @badrudinsalum3139
    @badrudinsalum3139 Рік тому +4

    Mashaallah maneno mazuri kabisa yenye kutia faraja na raha ktk nyoyo za waislam siyo yale ya upande wa pili ya kujivimbisha vifua eti atamaliza mjadala kwa dakika 5 kwa dalili gani alizokuwa nazo au ndo hizo za kukaririshwa? Cha ajabu hata jina la shekh wetu pia anakosea eti anasema Bacho sisi tulidhani kiarabu tu kumbe hata kiswahili kinampiga chenga! Allah akulipe kheri shekh wetu Muhammad Bachu

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +7

    Hii ni vita baina ya Haqqi na Batili, na watu wa Haqqi siku zote hawaachi kuitetea Haqqi na Watu wa Batili siku zote hawaachi batili yao.
    Allaah akupe nguvu na ulimi nyoofu uweze kuwatandika hawa jamaa mpaka tujuwe moja, kukaa ktk usawa au kukengeuka kabisaa kila mmoja ajuwe kua hawa watu ni waovu kweli.
    Na munaaqasha tuna hamu nao sana Wallaah

  • @mkitukhamis-uu5vq
    @mkitukhamis-uu5vq Рік тому +5

    Hakika naamini watajua mwanakulitafuta mwana kulipa shkh Allah akuhifadhi na wahirikina.

  • @mireztv2217
    @mireztv2217 Рік тому +5

    Sheikh siku ume points kitu kizuri kusema munakasha ufanywe kila sehemu natamani kumuona alhatmiy kuja zanzibar alipopeleka salam umepokea salamu sheikh Allah akuhifadhi

  • @omarsima2763
    @omarsima2763 Рік тому +1

    Shekh Bachu hili Sakata watalikimbia wanasema tu wala hawatahudhuria. Mungu akuzidishie kila lenye kheri

  • @mtailwahamisi
    @mtailwahamisi Рік тому +3

    ASALAM ALEY KUM SHEIKH MUHMAD BACHU MTATUJULISHA MUNAKASHA UTAKUA WAPI

  • @zaydamos874
    @zaydamos874 Рік тому +17

    Safi sana Muhammad bachu sheikh mwenye alimu safi Allah ukulipe kher nyingi kwa kutuelimisha swahihi

  • @AliAhmed-vd6qp
    @AliAhmed-vd6qp Рік тому +12

    Safi sana sheikh bachu munakasha uwe live tutafaidaka nimefrahi sana

  • @benjaminkangolo2017
    @benjaminkangolo2017 Рік тому +3

    Allah Akbar, Allah yuko nawe nina imani hawata kuja

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 Рік тому +5

    Me naweka kabisa pesa yangu ya mchango na bando, haqi itasimama tu.
    Allah atusafishie nafsi zetu mjadala ufanyike kwa ikhrasi na atuondolee chembechembe zote za ria, kwa wasemaji na wasikilizaji ili wote tupate faida fidunia walakhera

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Рік тому +4

    Ma Shaa Allah sheikh Muhammad Nasor bachu Allah akuhifadhi nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @bobjob856
    @bobjob856 Рік тому +9

    Mungu akuhifadhi cheikh wangu wewe pamoja na mzee wetu Nador bachu

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Рік тому +6

    Sheikh Muhammad wallah unatupa nguvu sana sisi watu wa sunna kwa durusu zako na rudud zako Allah akupambe kwa siha na uvumilivu na akujaze Ilmu zaidi.....

  • @ismailabdul-wl5qy
    @ismailabdul-wl5qy Рік тому +1

    Sheikh bachu Allah akujaalie umri..... Shukran tuko nyuma yako na kusimama na haki

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Рік тому +12

    Jazaaka-llaahu khaira,Shekh tunakuombea Kwa Allah akuzidishie kila la kheri insha Allah

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 Рік тому +18

    nimechelewa kidogo ila sasa ngoja niskilize maneno mazuri Allah atuwafikishe kuona haki na kuweza kuifata na batili kuweza kuiwacha .amin amin amin

    • @ausatmwangi6464
      @ausatmwangi6464 Рік тому

      Huyu atadhalilishwa subiri mtaona hamuezi yule sheikh sabas ata robo. Huyu ni msemaji tu sio msomi na ukitaka muulize Kassim mafuta anamjuwa

    • @othmanali7408
      @othmanali7408 Рік тому

      @@ausatmwangi6464 shekh sabas ndo yupi ?

  • @ismailowino2866
    @ismailowino2866 Рік тому +1

    Allahu Akbar,Allah azza wa jal akuhifadhi Sheikh wetu.Huku Kenya twangoja kwa hamu na ghamu!In shaa Allah

  • @hakizimanaally803
    @hakizimanaally803 Рік тому +2

    Kwa kweli rudud zakweny mitandao bila kuika mueleweshane nikinyume sana sana Allah awahifadhi

  • @fatmasuleiman2710
    @fatmasuleiman2710 Рік тому +5

    InshaaAllah Allah atueke hai tuskilizeni Kwa makini tufaidike,kigogo wetu twakusubiri watu wailimike jamani Kwa hadith sahih na sunnah,naamini Allah ataonyesha Haki iko wapi .

  • @hansimassirhassan8154
    @hansimassirhassan8154 Рік тому +17

    Maasha Allah tabarakallah sheikh Muhammad Allah akupe afya njema na umri mrefu na ilmu zaidi tunaomba munaqasha uwe live sisi tulio nnje ya nchi tuweze kupata faida in shaa Allah

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 Рік тому +5

    Ama hapa moyo wangu baridi❤️
    Aje sas huyo mpambe anaependa kujipakulia minyama mara oooh nilimnyamazisha mara nilimpiga KO😀

  • @mbarakkhalid117
    @mbarakkhalid117 Рік тому +1

    Tukotayari kwa mchango shekh muhammad bachu siku yoyote inshaallah

  • @mkomwaaweso5109
    @mkomwaaweso5109 Рік тому +2

    Allah akuhifadhi sheikh sheikh wetu, namini wata elewa tuuuu hawa masufi

  • @Juleybibsalim
    @Juleybibsalim Рік тому +11

    Maashallah sheikh Allah azidi kukupa nguvu ya kueneza da'awa

  • @fatmasuleiman2710
    @fatmasuleiman2710 Рік тому +9

    Hapo quran na sunnah bas thumb up Allah akuhifadhi.

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 Рік тому +8

    الله يبارك في دينك وعمرك وبدنك وأهلك ومالك
    أشهد الله أني أحبك فيه .

  • @amourmakame9795
    @amourmakame9795 Рік тому +2

    Allah akuhifadhi sheikh Muhammad Nassor bachu

  • @aliabdulaziz7199
    @aliabdulaziz7199 Рік тому +8

    Twayiib.may Allah make the muslim umma in the right form of belief. Ameen ya malikul quddus.

  • @lemalisipilali
    @lemalisipilali Рік тому +1

    Hakika Allah akujalie mengi zaidi inshallah natamani ningekua na elimu
    Kwa Hawa wasio muogopa Allah bali wanaogopa
    Ukweli hakika natamani elimu insha Allah

  • @trucking2298
    @trucking2298 Рік тому +9

    Yuko pamoja Sheikh wangu Simba mwana wa Simba, tutachangia kama usemavo mijadala ndani ya nchi za East Africa.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +3

    Maashaallah tabarakallah. Allah atujaalie Afya na umli wenyeheri. Na munakasha ufanyike na tuelimike maana watuwa maulidi wanakela kuchezacheza bilayahaibu na mingoma yao

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Рік тому

    Allhamdhullillaih hapo ndipo tutamaliza na kukata na kujua MAULIDI yapo katika UISLAM na mafundisho aliotuletea MWALIMU wetu MTUME WETU MUHAMMAD( swala na salamu ziwe juu yake)

  • @mjedamjeda4734
    @mjedamjeda4734 Рік тому +5

    ربنا يبارك فيك يا اخي العزيز استاذ محمد

  • @abbasmosi4481
    @abbasmosi4481 Рік тому +6

    Hehehehe,kwanza nacheka kidogo! Sawa sisi tunajiandaa kwa NAULI na BANDO na kuisubiria siku ifike inshaallah.

  • @suleimanabdul-karim1212
    @suleimanabdul-karim1212 Рік тому +4

    Mashallh Sheikh Muhammed Allah akubarik

  • @kavumohemedi871
    @kavumohemedi871 Рік тому +2

    Allah atuongize na atuepushe na Shirk pamoja na bid'aa hakika mawili haya ni yenye kuangamiza

  • @seifllahmahmoud2107
    @seifllahmahmoud2107 Рік тому

    Mungu akuweke akupe umri mrefu shehe Muhammad bachu ..wafundishe hao watu wa maulid

  • @mamaiftahiftah8928
    @mamaiftahiftah8928 Рік тому

    Watu wanaeneza ushoga, kuijaza makosa dini yetu, nyinyi mnabaki mashallah , pumbavu, tutafute mambo ya msingi ya dini vipi tutawakinga watoto wetu na mashakili yalotuzunguka na kusimama na kalima LAILAHA ILLA LLAH MUHAMADA RASUULULLAH. Maulidi , hitima, muandamo wa mwezi sio mada za kujiona wewe unaelimu ya dini, chako ni kiburi tu kujiona unjua zaidi ya wengine,MOH'D ALLAH AKUONESHE NJIA SAHIHI, NA USIWAPOTEZE WENGINE

  • @abdallahmgaya7521
    @abdallahmgaya7521 Рік тому +2

    SINA HAKIKA KABISA KAMA SHEIKH DIWANI OMBI LAKE NI LA KWELI. (ALLAH AALAM)

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Рік тому +4

    Tuko nyuma yako sheikh Muhammad usijihisi mnyonge wallah tunakufuatilia sana na tunakuunga mkono wa sunna

  • @princeabuu8297
    @princeabuu8297 Рік тому +12

    MASHA~ALLAH
    Allah akulinde al-Akhi Muhammad

    • @shadhilfaki1457
      @shadhilfaki1457 Рік тому

      Sawa inshaa Allah atupe Allah atuwepesishie maana huku shekh Diwani anatoa Darsa hakuna tauhidi Aina tatu ni kugawa Allah sehemu 3 kama wa Kristo atahaiendani

    • @zahorsuleyman3429
      @zahorsuleyman3429 Рік тому

      ​@@shadhilfaki1457kitu Cha kwnza nakusih usome iyo tauhid kwnza halaf uone km kwl Allah kagawiwa ktk sehem 3 hio sio kwl kabsa kaisome utaelewa mwenyewe

    • @shadhilfaki1457
      @shadhilfaki1457 Рік тому

      Shukurani najua wao Hawa Akina shekh Diwani wanaendekeza Dunia lkn mm uoni wangu, Shekh Muhammad Nassoro Bachu kesha wa Maliza na wesha kiri kwamba kesha waweza wote ndio maana hawataki aendelee na hizi nakashi kwa ajili watazidi kuadhirika

    • @cholosadi4352
      @cholosadi4352 Рік тому

      Mashaallah

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Рік тому +3

    Ila natamani uongee tu sichoki kukusikiliza sheikh wangu kipenzi ila hata ukiwa safarini naomba uwe unawajibu hawa masufi bhana

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi Рік тому +2

    Allah ajaalie kila lenye ukwel lidhihirike hiyo sk inshaallah hlf iwe ndio mwiwsho wa maulid ambayo hayana ushahid wwte ktk qur an na sunnah

  • @salimalharrasi3943
    @salimalharrasi3943 Рік тому +3

    KWA KWELI SHEIKH MOHAMED IKIWA WANATAKA HIVO NAONA ITAKUWA JAMBBO ZURI SANA ITAWEZA KUJULIKANA MBIVU NA MBICHI IPI..

  • @amerwelder7786
    @amerwelder7786 Рік тому +1

    Huyu Muhammad bachu ,anajiona sana kasoma ,

  • @mbarakmsese8224
    @mbarakmsese8224 Рік тому +7

    Kila siku ukweli utamuweka mtu huru Allah akupe nguvu wengi wanakuwelewa

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 Рік тому +5

    Wanao Pata Shida niao majahir tunakupenda sana sheh mohammadi bachu

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y Рік тому +1

    MashaAllah Allah atufikishe na mchago tutatoa InshaAllah

  • @saidisaidi4502
    @saidisaidi4502 Рік тому +4

    Asalaam Aleykum Alhamdulullah sumah Alhamdulullah sasa tunaelekea mwisho wa bidaa

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 Рік тому +3

    Allah akuhifadhi na akuafikishe tupopamoja Kwa ajili ya allah

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 Рік тому +4

    MashaaAllah umenena vyema

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 Рік тому +3

    Tutachangia INNSHAALLAH mzizi wa fitna tuung'oe, tupe number zako sheikh Mohamed.

  • @BaaziKassim-zx9on
    @BaaziKassim-zx9on Рік тому

    Sheikh Mohammed nassor bachu Allah atakusaidia na atakuifadhi

  • @rayyanamohamed-pd3ob
    @rayyanamohamed-pd3ob Рік тому +2

    فسيعلمون غدًا من الكذاب الأشر

  • @mjb-qt3zd
    @mjb-qt3zd Рік тому +3

    Allah akupenguvu kwa kuidondosha bidaa

  • @albassammusaalbassam7487
    @albassammusaalbassam7487 Рік тому +2

    sheikh wetu zetu Dua tu tunakuombea Allah akupe thibati ktk huo mnakasha.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Рік тому +2

    Sasa watapoteza wale wafuwasi wachache wamebaki. Alhamdulillah

  • @khamisfundi9911
    @khamisfundi9911 Рік тому +7

    Barakallahu fiik ya sheikhunaa

  • @amissandayishimiye-su4wm
    @amissandayishimiye-su4wm Рік тому +2

    Inshaallah Allah akuhifadhi n'a akulinde n'a shari zao.munakasha endapo utafanyika ndo njia nzuri.yusufu diwani hana lake kujiaminiaminitu

  • @khalidjamadi6016
    @khalidjamadi6016 Рік тому

    Hapa Ashshaykh Muhammad Bachu anaanza kutuangusha.
    Sababu Ashshaykh Sabasi al Qubra amekuomba mufanye Munaqasha baina yako weye na yeye,
    Lakini weye unaposema kuwa unaomba Munaqasha huo wajumlishwe Mashaykh wengine.
    Hapo unanza kutuonyesha kuwa huwezi au unajaribu kuleta uzito ili Munaqasha huu usifanyike.
    LAKINI ALLWAHU LMUSTAAN.

  • @zahormbwana9916
    @zahormbwana9916 Рік тому +7

    Allahu Akibaru Allah atuweke inshaallah

  • @abdulshah918
    @abdulshah918 Рік тому +3

    Allah akbar maaashaalah bachu

  • @swalehjamal4867
    @swalehjamal4867 Рік тому +2

    Hakuna kisichoezekana sheikh kwa uwezo wake Allah dini lazma inyoke

  • @yakoubayoub8958
    @yakoubayoub8958 Рік тому +2

    Mimi napinga kabisa kabisa hili jambo linalofanywa na hawa Mashekhe wet sio sahihi, tabia ya kurushiana maneno mitandaoni si miongon mwa maagizo ya Allah kwenye Quran yake tukufu wala hizo Sunna wanazo zipigia zogo siku zote, "mtakapo tofautiana katika jambo lolote la dini rudini kwenye Quran na Sunna zangu mimi MUHAMMAD S.A.W" kwa kukaa shuura kwanza ndip mtangaze kwa watu kip sahihi kifuatwe.
    Mambo hayo waachiwe wasanii na wengineo...😔😔
    ALLAH ATUONGOZE KATIKA NJIA ILIO NYOOKA INSHALLAH 🤲🤲

    • @cholosadi4352
      @cholosadi4352 Рік тому

      Lazima wafahamishwe hawa wanawapotosha watu au naww ndiomingonimwao

    • @hishambakar5785
      @hishambakar5785 Рік тому

      Hawaelewi Sunna hawa lazima waelekezwe

  • @abeidali1756
    @abeidali1756 Рік тому +2

    Sheikh Muhammad, Alhamdulillah tumenufaika na mtiririko wote wa mjadala huu wa maulid, kwa mwenye kusikiliza bila ya shaka ameshajua ni ipi haqqi na batil ni ipi
    Ivi ni kweli kuna haja ya hili jambo kuliwekea munakasha coz kwa uelewa wangu mdogo wa hay mamb mwisho wa mumakasha hua haun mshindi pamoja na itakavokua kila mtu anaondok na msimamo wake ule ule.
    Mi nahic tu elimu ishawafkia wengi na huu mjadala ungeishia hapa coz hata ufanye nn wew kazi yako ni kuelimisha tu uwezo wa kuongoa anao Allah Subhaanahuu Wataala peke yake
    Allaah akubarik kwa jitihada zako zote

  • @abdallahmgaya7521
    @abdallahmgaya7521 Рік тому +1

    TUNAUSUBIRI KWA HAMU HUO MUNAKASHA ILI QURAN NA SUNNA VIPATE KUTAMALAKI MIONGONI MWA MAISHA YA WAISLAAM.
    ALLAHUMMA BAARIK

  • @humudseif2780
    @humudseif2780 Рік тому +1

    Safi sana tunasubir Insha Allah

  • @mohammedshikanda7706
    @mohammedshikanda7706 Рік тому +1

    Sheikh huwezani na Bachu...acha utajiabisha bure, nyinyi hamna hoja

  • @rayyanamohamed-pd3ob
    @rayyanamohamed-pd3ob Рік тому +3

    اللهم اعز الاسلام والمسلمين و اذل الشرك و المشركين 🤲🏼

  • @ibrahimjumaa538
    @ibrahimjumaa538 Рік тому +4

    Allah akulipe Khair Sheikh

  • @ausatmwangi6464
    @ausatmwangi6464 Рік тому +2

    Sasa ndio utadhalilishwa nguo zikuanguke

  • @salumalzakwan5959
    @salumalzakwan5959 Рік тому +5

    Wa kwanza leo kuview

  • @abdukhan4718
    @abdukhan4718 Рік тому +1

    Waislamu kuweni makini Sana Asaivi kuna njia nyingi watu kutafuta ama kukusanya pesa. Kama ni kuchangia kwaajili ya munakasha Kwanini Tusiwasaidie Majatima,, Masikini na Wajane.......

  • @akhyfarqanah4205
    @akhyfarqanah4205 Рік тому +6

    Nitakuepo insha Allah 😊

    • @ramadhantajiri6924
      @ramadhantajiri6924 Рік тому

      Ishaa alla alla atazidi kuku ongoza sheikh bachu tunasubiri kwa hamu. Ilanijuavyo hawana hoja. Niliwahi kusikia munakasha uliofanyika mwanga Kilimanjaro katiyao na qasim mafuta. Hawana hoja yoyote ya kiilmu ila ubishi tu.

  • @albassammusaalbassam7487
    @albassammusaalbassam7487 Рік тому +2

    Nataman siku hiyo niwepo km utafanyikia dar Inshallah

  • @jumbemachano9207
    @jumbemachano9207 Рік тому +2

    Inshaa allah. Allah atuwafiq.

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 Рік тому +3

    Inshaallah haki itajitenga na batwili

  • @niffonlinetz7214
    @niffonlinetz7214 Рік тому

    SHEKHE HAO LAZIMA WAKIMBIE HAWAWEZI MUNAKASHA

  • @mbarakkhalid117
    @mbarakkhalid117 Рік тому

    Allah akuhifadhi muhammad bachu

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 Рік тому

    Toka niliposikia mtoto wa Bachu anamdharau baba yake Nassor Bachu mtandaoni nasema huyu kijana sio mzima kichwani. Anadhani kumsema marehemu ni thawabu, tena marehemu mwenyewe ni baba yake mzazi! Tena anamdharaulisha mtandaoni? Waislam tuwe makini. Uislam ni dini ya Allah sio ya mtoto wa Bachu. Muone tu anavyojitukuza na kujifanya ndio kiongozi wa Waislam. Subhaanallah!

  • @nercyb7619
    @nercyb7619 Рік тому +1

    Mola Akupe Ushindi Akhui Na Utashinda Kwani Mola Hayupamoja Na Madhalimu

  • @ujumbeonline9965
    @ujumbeonline9965 Рік тому +6

    Baaaraka Allah fiiika

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Рік тому

    Sheikh Mohammed bachu , kote uko muufanye Munakasha huo lkn usikose kuieka kenyya ndani ya listi za izo inchi aswa Mombasa kenya 🇰🇪

  • @yasirmister2934
    @yasirmister2934 Рік тому +4

    That's absolutely right

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 Рік тому +4

    اللهم وفقه معلمنا على الثواب وعذه من الحاسدين

    • @badrumulinda7349
      @badrumulinda7349 Рік тому +1

      Assalam Alaykum, tunaomba nasi tuone mnakasha huo online sisi tuliyoko nje.

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 Рік тому

    InshaAllah nipo tayari kuchangia ili mpango uwede vyema

  • @edinmaalim1207
    @edinmaalim1207 Рік тому +5

    Masha Allah

  • @abynduwimana1767
    @abynduwimana1767 Рік тому

    Akhee mhamadi hatuna uoganawewe tunakuamini kabisa na tunachokifahamu hawawatu hawatoweza kusimama mbeleyahoja zako wanachokijua kuweka hasirambele namatusi nakejeli kuitetea maulidi nabarzanji kwa aya nahadithi walishindwa na niliwambia wasipokuamakini watavuliwa nguo kiilim nawatatembea peku kiilim wawemakini nahilo nasi tutazidi kufatilia mihadhara yoote hadimwisho tutaona hatimaenu watuwamaulidi

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 Рік тому +3

    Baaraka llahu fik

  • @ujumbeonline9965
    @ujumbeonline9965 Рік тому +6

    Natamani uwepo huo munaqasha na niwepo

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 Рік тому

    Allah atuhifadhi shekhe bachu wewe sawa na dhaabu atawakutie mchanga hawawezi kukuchafua kanyaga wangaao kutwa kuvunja nazi

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Рік тому +1

    Tunakupenda sababu unapenda haqq

  • @abuusuhaibmchumi6509
    @abuusuhaibmchumi6509 Рік тому

    Njoon na Tumbatu nako tunahitaji kujua uharam na uongo wa Mauludi kwasababu huku imekuw ibada kubwa n madrsa zetu zilizokuwa za kuhifadhish qoran saiv imebakia mizik na maulidi Innalillah wainna ilaih rajioun msib mkubwa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +1

    Huyu jamaa na diwani wote waganga wa kienyeji

  • @salminazizi8039
    @salminazizi8039 Рік тому +2

    shhe bachu hao watu achana nao wababishaji t...

  • @swalehjamal4867
    @swalehjamal4867 Рік тому +1

    Bachu ni ngwamba✌🏻

  • @abdulrahmanmussa4479
    @abdulrahmanmussa4479 Рік тому +3

    Inshaallah sheikh wangu michango ipo tayari sema tu lini