MAULID NI SHIRKI KITABU CHA BARZANJI CHATUPWA HUU NI UKAFIRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лют 2023
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

КОМЕНТАРІ • 115

  • @musamohamed5830
    @musamohamed5830 10 місяців тому +1

    Barzanj ni kufru na ni uongo,toeni ushahidi kuwa maneno msomayo ni ukweli

  • @rashidsalum4689
    @rashidsalum4689 Рік тому +5

    Sheikh Muhammad al Khatim. Naomba Achana na huyo mgonjwa.
    Usijibizane nae, ukimya utakueka pazuri inshallah.

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому

    Usibabaishe maneno, uwezo wako ni mdogo sana kwenye hili, hivyo basi achana nalo, usishawishi watu wamchukie Shekh Muhammad, bali kaa kimya maana huna hoja wala huwezi kujadiliana na Shekh Muhammad Bachu ktk hili.
    Kunyamaza kwako nibora kuliko kusema.

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 Рік тому +2

    Hatutoacha kusoma maulidi mpaka qiyama,ww mtoto wa bacho kielim bado saanaa...unachokiweza ni kukosa adabu kwa wanazuoni

  • @user-br9je1qd2d
    @user-br9je1qd2d 9 місяців тому

    KWENDA KASOME ILMU NA NAHW KISHA UTOKE KUTOA DAWA MUNGU AKUONGOZEE

  • @user-br9je1qd2d
    @user-br9je1qd2d 9 місяців тому

    MAULID YALIKUA TOKA MYAKA NA MIKAKA NA INAKUA NA ITAZIDI TUONE NYINYI WAPOTOFU KAMA KWELI MWAWEZA WAZUIA WATU KWELI.. MAULID MPAKA QIYAMAH

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому

    Ikiwa mwanafunzi yupo hivi hasira na jazba je mwalimu wake yukoje

  • @ALHIMUTV
    @ALHIMUTV Рік тому

    Elimu ni nuru nuru haimuongozi aaswi.

  • @maimunaabdallah1294
    @maimunaabdallah1294 Рік тому +2

    Mtihani kweli nyie ndo mumesoma munatuletea maajabu ndo mumesoma nini upuuzi tu

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 Рік тому

    watu waachemzaa na mtumie wetu Muhammad allahumma Salim wasalim alei hiinimakosa makubwa Sana hery watuwakaekimia kulikohoja za kusononesha uislamu nimakosa

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому

    Ukisema watu wana sikiliza na wanapima, wewe ndie uliekuja na kuunga mkono daawa ya Ibliis ya kuwashawishi watu wawaabudu viumbe wenzao na kuwategemea na kukitisha Imani zao ktk kuona kua hao viumbe wenzao wana uwezo na nafasi kama alio nayo Allaah Azza Wajalla!!!
    Kwaio wamemuacha Allaah na kuwaelekea viumbe kwa matatizo yao yote.
    Na ndio mana yana tokea haya, watu wanaoneshwa kua hii njia ni ya makosa ndani yake kuna haki za Mola Mlezi peke yake zimeondolewa kwake na kupelekwa kwa viumbe wake.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому +4

    Shekh unajua ww watu wanakuona kama hujui kusema kwa maana
    hutoi hoja watu wanataka hoja za kielimu
    Bachu katoa hoja kwa elimu vipengelee kadhaa ktk kutan ktk hadith na maneno ya wanazuon juu ya ufafsnuz wa baadh ya maneno ndan ya barzanj
    sasa na ww tupe vipengele aya hadith maneno ya kutetea barzanj il tuone barzanj aliandika maneno hayo kwa kuzingati Aya hadth na maneno ya wanazuoni
    Mbona unalalamika tuuu !
    Hapo hutaweza kuwashawish watu kukuelewa
    karne hii watu wamesoma hawapelekw pelekw kama ulivyosoma ww zamaniiii
    kila alhamis dufu mtu unakesha usku kujifunza kuimba ili ukaonekane unajua kuimba ktk maulid ijao
    hahahahs
    Sasa hiv huwez kumpeleka peleka mtu kiputula putila hapa
    lete hoja tukuone kweli Wewe umemudoma Barzanj na kumuelewa

    • @shaibhemed4152
      @shaibhemed4152 Рік тому

      Sasa wwe watetea mauliditu toahoja maulidi nibidaa nabora kitupwe ichokitabu wwe Alhatimi hojayako kubwa nikusema kimeandikwa na mwanachuonimkubwa hata kama kaandika mwanchuoni kikiwa nashirki hakifai semaupendavo ongeza kilemba cc twaona chuki unazowwe usokua nahoja

  • @SAIDKHAMIS-fy8fz
    @SAIDKHAMIS-fy8fz 7 місяців тому

    Na SS tunabaki ku comment

  • @joshuajohn2668
    @joshuajohn2668 Рік тому

    Mimi sio Islamic Ila sheikh Mohammed unajiziba uyo jamaa anatoa hoja za wazi wazi na Wala hataji watu wengine zaidi yako wewe mpinge kwa hoja sio kuingiza watu wengine au wewe ni mshirikina kweli

  • @abuukauthar525
    @abuukauthar525 Рік тому +1

    Yan kila mada unayoleta wajibiwa kielemu Kisha unahama hii nayo utahama Tena inshallah

  • @bashirosman9665
    @bashirosman9665 Рік тому

    Huyu kijana wa Bachu ni wa kusamehewa hajui afanyalo na asemalo miaka nenda rudi watu tynanasoma MAULIDI huyu ni LANATULAHA muachieni ALLAH atamuadhibu

  • @SalumMruma
    @SalumMruma 3 місяці тому

    Kwahiyo ushikamane na baranji halafu ujione uko sahihi!!!?

  • @hasanguler679
    @hasanguler679 8 місяців тому

    Kafiri ni yeye na huyo alo mfundisha kwasababu ni mtoto mjinga

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d Рік тому +1

    Huyu bachu hakusoma hebu mpuuzeni zime mshote

  • @idrisamajambis-mv9zs
    @idrisamajambis-mv9zs Рік тому +1

    Uyo Shee wa Zanzibar somzim akapimwe akili ayupo saw kabisa

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 Рік тому

    UKWELI KIJANA WA BACHU ALLA NDIE ATAEKULIPA NAKUKUWEKASAWA WEWE KUTUPILILIA KITABU KIMO NDANIMO ( JINA LA ALLAH ,BISMILAHI)ALLAH ASIKUFISHI ILA UIPATE THAMANI YAKUDHARAU KITABU ULICHO TUPA NA ULIMIWAKO HUYO ,Allahhumma amin .

  • @user-br9je1qd2d
    @user-br9je1qd2d 9 місяців тому

    SIJAWAHI KUONA SHEKHE MPOTOFU KAMA HUYU SUBHANALLAH SIO KUHUSU MAULID PEKEYAKE FUNGUWEZI VIDEO ZAKE ZOTE MPOTOFU MTUME ALKUA AKITOA DAWA KWA UPOTOFU KAMA WAKE YY

  • @mfaumeally5424
    @mfaumeally5424 Рік тому

    Assalamualaikum bahati mbaya sana masheikh wengi wanaopingana kuhusu maulid,arobaini,karamu n.k,Hua hawana nidhamu ya mazungumzo,unapokuja hadharani heshimu kwanza nafasi ya uislam na waislam masheikh zetu pande zote mbili huja kwamlengo wakupata ushindi ktk jamii wakati hakutokua na mshindi ktk malumbano km haya pia tunaoshabikia haya malumbano hatuutendei haki uislam hawa masheik niwanadamu wakati mwengine wanaongozwa na matamanio yao kuliko elimu.

  • @shuaibsaid515
    @shuaibsaid515 Рік тому

    Safi Sana Ali Abubakar

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 Рік тому

    Mtandao wafaa tuutumie vizuri lakini naoma nikudhalilishana hamtufunzi elimu

  • @azizisulay6005
    @azizisulay6005 Рік тому +1

    Sasa hivi bidaa imeelemewa sana kwa kukosa hoja, na bado tu Allah Atazidi kuidhalilisha, eti kaumia kutupa chin barzanji angekichana napo,

  • @niceboy6943
    @niceboy6943 Рік тому

    Ni kwel hatumii hekma Ila hujatuambia kwanin anakuita kafir mushrik

  • @saeedabdulatiff4505
    @saeedabdulatiff4505 Рік тому

    Subhanallah

  • @salumasaa7933
    @salumasaa7933 Рік тому

    Ndugu yangu hapo ulipo tupa kitabu tu ndipo uliponikera kwa sababu ndan Kuna jina la Allah na mtume wake let's istikhifar kwa Hilo Kwan si Jambo dogo ulilolifanya Anglia

  • @araali2012
    @araali2012 Рік тому

    Maulidi sio dini . Yatosha hawafunya masahaba . Na sisi hauezi kua bora kuliko masahaba mpaka kiama kisimame . Maulidi sio dini.

  • @salumajuma9583
    @salumajuma9583 Рік тому

    Mashekhe wamekosa yakufanaya mtihani kweli makafiri wana uvuruga uislam kwa nje nawao wana uvutuga kwandani amakweli nikama mapovu yabahari lakini yana maan yoyote ila ilio kusudiwa

  • @SAIDKHAMIS-fy8fz
    @SAIDKHAMIS-fy8fz 7 місяців тому

    Huu ndo uislam ulobakia!

  • @zimammbaruk4231
    @zimammbaruk4231 Рік тому

    Mbwa ataendelea kua mbwa tu hata ukimvisha joho na dhahabu, huyo mtoto ana kibri sana, yaani anajiona hakuna msomi zaidi yake yeye na marehemu baba yake, yeye mshomi sana lakini ameshindwa kujua Mungu amesema nini juu ya kumuita Muislam mwenzio (Kafiri) Mushrik

  • @shuaibsaid515
    @shuaibsaid515 Рік тому

    Hatimy amepewa offer ya MJADALA USO KWA USO mpaka Leo kimya. Shirki iko wazi hapo haihitaji tochi

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому

    Borojo uwache uende kuwake ana ku ana u vunje hoja

  • @shaabanmanase6351
    @shaabanmanase6351 10 місяців тому

    My friends mbona mwaitana majina ya makafiri na munaswali ?c muende mkawasilimishe ambao c waislam

  • @gadonassir4261
    @gadonassir4261 Рік тому

    Hahaha malalamiko tu unaruka rukaa malemba hamna kitu apo.

  • @omarlangat980
    @omarlangat980 10 місяців тому

    Anafuta kweli madhambi mtume?
    Hicho kilemba imetoka kweli kwa mtume?

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 Рік тому +1

    Cha pili sioni mafunzo hapa. Elimu ni Pana.

  • @shuaibsaid515
    @shuaibsaid515 Рік тому

    Al hatimy ungekua na busara ungetueleza mwanzilishi wa maulidi nani?

  • @hafidhseif9638
    @hafidhseif9638 Рік тому +1

    Kwani maulid mtume au maswahaba walifanya? Mbona majibu hatupati .na nini maana ya maulid,

  • @yunusramadhan2546
    @yunusramadhan2546 Рік тому

    Hatimi ameshindwa hoja sasa watafuta vimakosa makosa makosa nisawa wewe pia unayo mengi sanatu wajifanya unahikma lkni nibure tu, toa hoja zakueleweka tutakuelewa lkn kinyume bado elmu nindogo tu

  • @mchagagaspar6649
    @mchagagaspar6649 Рік тому +1

    SINA SHAKA HUYU KIJANA WA NASUOR BACHU ZIMEMRUKA AKILIZAKE .

    • @hasreeyasini
      @hasreeyasini Рік тому

      Ww ndie hulorukwa na akili kwa kutetea mijisheikh isiyojielewa chanzo Cha maulidi ni mashia na ndio waanzilishi na miongoni mwa baaddh ya mashia ni makafir

  • @hafidhseif9638
    @hafidhseif9638 Рік тому

    Wacheni kuharibu dini kama kitu hakipo kwenye dini musikitie.

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 Рік тому

    Wewe sheikh auna lijiwalo

  • @lancetkenya6720
    @lancetkenya6720 Рік тому +2

    Bachu ni mkosefu wa heshima kwa kila mtu Allah atamchapa si mbali.

    • @salumjuma9072
      @salumjuma9072 Рік тому

      Atakufa vibaya kama baba yake Inshaallah

    • @hassanmohamedigo9021
      @hassanmohamedigo9021 Рік тому

      Tusome kaka tusikurupuke na tusipate madhambi tuombe sana tawfiiq ya Allaah atuongoze na atuoneshe njia ya haqi

    • @taturamadhan5940
      @taturamadhan5940 Рік тому

      @@hassanmohamedigo9021 tusome kweli, maulid sio mazuri na hayana msingi wowote lakini na yeye hana lugha nzuri ya kumbadilisha mtu yeye anawadharau na kuwafanyia kejeli hali inayosababisha waislamu kwa waislamu kutukanana wenyewe kwa wenyewe sio vizuri hata kidogo

    • @ibn_maleeqqeibraheem_188
      @ibn_maleeqqeibraheem_188 Рік тому +1

      Wakosefu wa heshima ni hao mushrik kina hatimy na wapigao maulidi wote

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 Рік тому +1

    Alkhatmy mbona kuna Mambo unayakimbia unazusha mengine

  • @hanafanysociety7405
    @hanafanysociety7405 Рік тому

    Sio kila msikilizaji alisomeshwa peke yake. wangine baada ya kusomeshwa walisoma .kueni makini baada ya kusomeshwa musome.

  • @nayef3903
    @nayef3903 Рік тому +2

    Maulid ya nafaa si bidaa

    • @yunusmussa7980
      @yunusmussa7980 Рік тому

      Toa dalili

    • @maccabilal4868
      @maccabilal4868 Рік тому

      @@yunusmussa7980 Hzo Dalili azitoe wp,Hana watu wa bidaa wana taabu

    • @nayef3903
      @nayef3903 Рік тому

      @@yunusmussa7980 hata mukielezwa vipi hamuelewi

    • @nayef3903
      @nayef3903 Рік тому

      @@maccabilal4868 wewe jielewe unavyozungumza hakuna mwalimu yoyote hata huyo bachu hawezi walimu wa twarika

    • @saidiabdallah-kv7bd
      @saidiabdallah-kv7bd Рік тому

      @@yunusmussa7980 ww hutaki dalili we ushapotea tu

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому

    Alhaatimi usitake kuwaaminisha watu kitu ambacho sicho wala hakipo.
    Hakuna mahala Shekh Muhammad Bachou alisema kua wewe na wasoma maulid ni makafiri, sio kweli, nawala hakuna chuki za sampuli hii, bali huko ni kukimbia nondo ulizo tandikwa nazo.

  • @rashidalbalushi8355
    @rashidalbalushi8355 Рік тому

    Ni masikitiko yangu kuona waislam wanatofautiana ktk kitu ambacho hakina msingi mitandaoni.Mi naona iwapo kuna tofauti juu ya jambo lolote ni bora kukutana na kujadiliana na kufikia muwafaka au kuachia kila mtu na lake kuliko malumbano yasio na maana

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 Рік тому

    inasikitisha mtume alikuwa mwerevu sanna na mvumilivu lakini mashekh wetu wanakuja mitandaoni kuonyesha ujinga ulio vichwani mwao, huku kuna wajinga wasioelewa kama sisi tunataka kuelimishwa mtatuelimisha nini ikiwa nyinyi wenyewe mnatoleana lunga mbaya na kudharauliana kama vile huo ndo msingi wa dini ya kiislam watajifunza nini wasiokuwa waislam kwa kweli dini ni akhlaki njema turudini tuangalie tulipojikwaa.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому +2

    umeamua kuhamia kwa shekh mwingne Bachu humuwez
    Hahahah

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Рік тому

      Mwisho atakuwa chizi bachu sisi zanzibar amefungiwa mtovu wa adabu muhammad bachu

    • @mawaidha386
      @mawaidha386 Рік тому

      @@abduomar8438 dah nakuonea huruma Kwa usemayo unasema jambo amabalo hulijui na hili utalipa mbele ya Allah ...IKIWA Kam hujui bachu kafungiwa Kwa Nini Bora unyamaze tu .. kuliko kusema yasio ya kweli .. nenda kasikilize muhadhara wa uharamu wa anasheed ndio utajua Kwa nini amefungiwa ametaja humo sababu ya kufungiwa ...ndugu yangu muogope Allah

    • @mawaidha386
      @mawaidha386 Рік тому

      @@abduomar8438 kafungiwa Kwa sababu ya kupiga vita vitendo vya kihanithi .... Vp unafurahia ww hilo ... IKIWA utafurahia hilo basi ntakua na shaka na ww ....

    • @mawaidha386
      @mawaidha386 Рік тому

      @@abduomar8438 kupiga vita ushoga ndio kafungiwa we unafurahia hilo kufungiwa kwake ndio hio sababu ... Allah amlipe Kwa anayoyafanya amejitoa muhanga basi Allah atamplipa ...

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Рік тому

      @@mawaidha386 ww bado mtoto mm nakuzidi kw umri toka nizaliwe sijawahi kuona kijana yoyote aliyelelewa kw adabu na heshima akakulia ktk dini akawa km muhammad bachu hana adabu mashekhe hakuna hata baba ake alikuwa anaheshimu mashekhe kaishi na watu vizuri kila mmoja na msimamo wake na alikuwa na mashekhe wengi wamesomesha akienda vibaya wanamrekebisha sasa muhammad bachu kwanza hana shekhe ndio maana hana adabu wala heshima km angelikuwa ana shekhe bc shekhe wake angemwita akampa nasaha sasa anawadharau hadi mashekhe waliomsomesha baba ake

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 Рік тому

    jufri na wewe ukiangaliwa ilimu yako na akili yako ndo sawa na sheikh jufri, hahahaha kajiangalie kijana, wapenda kiki

  • @SalimSalim-ec9jo
    @SalimSalim-ec9jo Рік тому

    Waislamu wacheni kuzozana kwa kila mtu kujiona bora kiliko mwengine.. Hebu fwateni Quran vizuri kwa maana haikusaza kitu.... Pendaneni ndugu zangu Waislamu..

  • @mustafahkapopwa5239
    @mustafahkapopwa5239 8 місяців тому

    Huko kutupa kwake kwa kitabu ambacho ndani yake mna maneno ya Allah na mtume wake bila shaka balaa ime anza toka siku hiyo mpaka qiyam . Ujinga kitu kibaya saana ...

  • @hassanmohamedigo9021
    @hassanmohamedigo9021 Рік тому

    Asslm alkm ndugu zangu Allah atuongoze sote lkn ewe muislamu mwenye akili timamu wewe usiyepelekwa pelekwa ebu msikilize Muhammad Bachu umsikilize na huyo mwingine utaona haqi iko wapi
    Huyo shekhe hana hoja kabisa
    Ana ujanja ujanja tu kiswahili kingi

  • @salehmohammedsalum2054
    @salehmohammedsalum2054 Рік тому

    Yani hichi kihatmiy kinatia huruma ivo kinavozungumza hahahha

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 Рік тому

    Nyie wa soma maulidi amjielewi nyie mna wafata wakristo

  • @hajimasoud7210
    @hajimasoud7210 Рік тому

    Mzee wa porojo umeshindwa kwa bachu umeamia kwingine

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 Рік тому

      Mimi pia nafuta madhambi wachilia mbali mtume Muhammad

  • @yassinm69
    @yassinm69 Рік тому

    Hatotukana lakini tayari katukana

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 Рік тому

    bachu soma sio watukana watu, unawakufurisha watu,,,, acha ujinga ulo nao wewe jinga zaidi ya wajinga sema hujielewi wewe kijana, mjinga mmoja weeeee, zuka kuku

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 Рік тому

    Ndio wewe ni mushirik wa soma maulidi ni wa shirikina ndio ni mamakafiri

    • @mfaumeally5424
      @mfaumeally5424 Рік тому

      Asalam alaikum tunaacha kupambana na makafiri badalayake tunatengeneza makafir ndotupambanenao hakika sote tutakua niwanafiki kutumia akili na uwezo aliotujaalia allah kufanya mambo km haya hekima haipo kwa masheikh wetu nasisi wafuasi tunakubali kila neno km tupo kanisani vile.

  • @shabanialfani5394
    @shabanialfani5394 Рік тому

    Shida uliianza wewe inatakiwa usiwaone wenzio hawajielewi kwa wanavyovisema sasa Leo umejibiwa unarudi kwa jazba. Kama Mtu anasema Maulid ni Bidaa si umuache na kuamini kwake kwani lazima umjibu?

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому +1

    Huu ni unafiqi .MASWAHABA WANATUKANWA MPO KIMYA MNAKUJA JITETEA NYINYI TU NA KITABU CHENU NA VIREMBA MNAPEWA NA MTUME????????????? AJIBU HOJA NA SIO KUKWEP NA KUJITETEA KUTAFUTA HURUMA ZA WANANCHI. ATOE HOJA ATUAMBIE MTUME NI REHMA KIVIPI???? MADA AMEIP9GA PANDE AMEKWEPA

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 Рік тому

    Mtoto wa bacho laana inamsumbua

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 Рік тому

    jina ya mtumie wetu Mohammad Allah hummasalim wasalim alei kieshimiwe yye hakutudhalikisha Hana m8fano mibayakwetu watu kabla yakufanya jmbo watuwafikirie makosa jamani inakera

  • @hafidhseif9638
    @hafidhseif9638 Рік тому

    Kwani barzanji ni Quran hata kisitupwe.

    • @hutiswalehe2444
      @hutiswalehe2444 Рік тому

      Wewe sio mzima ndugu

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 Рік тому

      @@hutiswalehe2444 kwani barzanji ni katika vitabu vya mungu ? Je ni Quran taurat zabur au injili hata visitupwe?. Au ni hadith za mtume s aw.hata kisitupwe.

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 Рік тому

    Hafaa mtafutane mchmbue vitabu sio kudhalilishana kwenye media

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 Рік тому

    Asalaam aleykum ndugu siona elimu kama yako kutupa kitabu wewe uko na lako la chuki haya sio mafunzo

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Рік тому

      Huyo kijana zanzibar kafungiwa asijihusishe na mambo ya dini

    • @mawaidha386
      @mawaidha386 Рік тому

      @@abduomar8438 unajua ni kwanini amefungiwa ????

    • @mawaidha386
      @mawaidha386 Рік тому

      Unavo SEMA hivo unafurahia au vp ?

    • @mawaidha386
      @mawaidha386 Рік тому

      Kafungiwa Kwa sababu ya kupiga vita vitendo vya kujifananisha na makhanithi ... Vp we uko upande Gani wa kumsapot bachu kupiga vita hivo vitendo au upo upande wa kushoto ???

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Рік тому

      @@mawaidha386 wanajuwa wao waliomfungia

  • @selemani24
    @selemani24 Рік тому

    Hoja ndo muhimu usituleee ushehe wako ya maulid ,

  • @medwho959
    @medwho959 9 місяців тому

    Maulid ni uzushi. Bidaa tupu. Fundisheni arkan islam!! Mmefanya maulid ni ibada?

  • @hemedahmed3094
    @hemedahmed3094 Рік тому

    Yaaan likitabu limetungwa na Mtu tu ulipe heshma kama Qur'an?
    Hili ndio zuzu kwel

  • @fat-hiyasalum3187
    @fat-hiyasalum3187 Рік тому

    Musitukanane Wala msikasirikiane na msigombane namba hiyo uislam sivyo unavyotuongoza hivo.bora mnyamaze au mmoja wenu anyamaze huyo ni mbora .Allah karim