Je mtume alienda na ngoma makaburini??ama hapakua na ngozi.kuzuru makabiri sote twajua nisunna kubwa yafaida kwa aliekufa,zingatio kwa mwenye kuzuru,na thawabu.shida yenu mwenda kinyume na mtume saw
Indio ni suna hamna dini ila suna Indio dini ya haki ni suna dufu ni wewe impuzi umetoka utokako kuja hapa na opotofo wako mungu atakushinda InshaAllah
@@RekhaRekha-es8br ndugu mbona waanza kulaani au umekurupuka kujibu swali? . Mie nimeuliza kwa uzuri tu je ni sunna kupiga dufu makaburini?. Kama ndio twaomba ushahidi tujui. Labda ipo kwenye quran au hadithi .tuelimishane tupate faida ndugu.
Mashallah Mashallah Mashallah
MashaAllah MashaAllah
Ma"Sha"ALLAH Swaleh Hussein Badawy Wapi apoo???
Mashallah
MashaAllah mungu awaweke pheponi InshaAlla😢
Mola amrahamu amlaze pema pamoja na Waja wema
Mmmmm hii mpya makaburini na ngoma wametoa wapi jamani
Haraaaaaaam kuzuru maqaburi kwa vyovyote mutawaomba tu shida zenu
Kweda zako wewe nibida huna dini wewe umaya nasir kasome dini
@@RekhaRekha-es8br mfundishe huyo hajui kitu
yarabbi warehemu ndug zetu wote walotangulia mbele ya haki
Tueleze asili yake Sharifu Hussen ni wa wapi Ana watoto wangapi Ana toka wapi
hamna akili
Je mtume alienda na ngoma makaburini??ama hapakua na ngozi.kuzuru makabiri sote twajua nisunna kubwa yafaida kwa aliekufa,zingatio kwa mwenye kuzuru,na thawabu.shida yenu mwenda kinyume na mtume saw
Madufu makaburini?sina elimu nalo hili. Is it sunnah??