KHUTBAH YA MWENYE BABA KATIKA MAZISHI YA SAYYID HUSSEIN BADAWY JAMALULEIL | MASJID RIYA, LAMU KENYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @cesarustadh6280
    @cesarustadh6280 3 роки тому +1

    Haya yanayojiri hapa hakulazimishwa mtu kuchangia hapa au kuliunga mkono hili,sijui kwa nini watu wengine damu zao zimezoea mizozo na uhasidi?ikiwa wewe ni hodari au umeona kasoro weka darasa lako hukooo kwa wenzio sio hapa,haukulazimishwa kuyasikia au kuyaona haya

  • @twalaataib9297
    @twalaataib9297 3 роки тому +1

    Mashallah very nice khutuba Jazakallah khery

  • @wabongoughaibunimediaprodu4471
    @wabongoughaibunimediaprodu4471 3 роки тому

    Innalillah wainna illah raj uun

  • @sayyidhassanabdallah9746
    @sayyidhassanabdallah9746 2 роки тому

    Tushikane ahlu twariqa

  • @bahamadiali5049
    @bahamadiali5049 3 роки тому

    Kabla ya habib saleh hapa kua na watu riadha?

  • @AliMohamed-wp1op
    @AliMohamed-wp1op 3 роки тому +1

    WACHA UBAGUZI, RIYADHA NI YA WAISLAMU WOTE

  • @adeshmohsheikhsaid6472
    @adeshmohsheikhsaid6472 3 роки тому +1

    Nashanga watu WA lamu waabudu masayyids

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 роки тому

      Vp yan?

    • @cesarustadh6280
      @cesarustadh6280 3 роки тому +4

      Hivyo ndivyo mawahabi na mahasidi walivyowafundisha? Sisi tuko Amu na hao masayyid ndio walimu zetu na takriban waisilamu wote dini huko Africa ya mashariki bila shaka wao ndio wamechangia pakubwa kusomesha na kueneza dini isipokuwa hasidi hili Halioni!ebu tuambie hiyo ibada ya kuwaabudu masayyid huwa yafanywa msikiti gani Amu au eneo gani?sisi miaka yote tuko Amu toka kusoma mpaka sasa Alhamdulilah twasomesha lakini uzushi wako huu ulofundishwa na mawahabi na mahasidi eti watu wa Amu wanaabudu masayyid hatujauona mche mola wako wacha uhasidi