Ma shaa Allah, jazaqumullah kheir. Je siwezi kuchanganya unga na maziwa nikaweka muda mmoja? Yaani nisiweke unga kivyake na maziwa kivyake? 2. Haifai kutumia maziwa ya maji?? 3. Hayo machicha yatafanya cake inukie kama nazi au inatakiwa na ladha ya coconut ili kupata harufu?
Madam samahan je mchanganyiko wa sukari na magarine unatakiwa kukoroga kwa dk ngapi na je mwishoni unatakiwa kukoroga hadi mabuje yote ya unga yapotee unga uwe soft kabisa?
Sorry me nikipika keki huwa inakuwa kama ugal hv Yan inakuwa kama haijaiva hv naomba. Unisaidie shda nnn maan me najifunza kupika keki kwa kutumia jiko la mkaaa
Dada naomba kuuliza mimi nilipika keki ya gm 1200 ya unga ila nikatoa keki 2 za nchi 7 na moja ya nchi 8 sasa sijajua shida nini mpaka zimetoka keki chache. Pia naitaji kujua sheria za uwokaji maana keki zangu huwa zinachelewa kuiva katikati pia zinapasuka.
Mashallah unafundisha vzr mtu anaelewa
Mziwanda napokea maoder kibao because of you allah akuzidishie inshallah
Napenda sana maelekezo yako kwenye mapishi ya cake pia nakuelewa
Asante sana naomba kuuliza vp ukitumia blenda
Ubarikiwe Sana🙏
hongera dada
Salaam alykm vp hali mm napika cake kwa vipimo vyako na mashallah zinatoka best kabisa Allah akuzidishie mamy
Ahsante sana nmeelewa vema
Asante sana tajaribu inshaa allah 😊
Dada napenda mafundisho hongera sana mungu abariki kazi yako
Ameen karibu sana
Asantee nimeelewa vzur hili somo
Nasubiri mrejesho
Kiukweli mziwanda mko vizuri sana unatoa maelekezo mazuri mno
Shukran dear
Nakupenda sana mziwanda nimeaza kukufuatilia mda. Mrefu sana na ss nashukuru nimefikia hatua zuri Allah akuzidixhie
Nimefarijika na ujumbe wako
Mashallah ❤mi ata likuwa na kumiss
Jamani madam,nilizimisi video zako,Bora umerudi,naulivyo msema kweli Sasa...Mungu akubariki dear
Habari!Nashukuru kwa somo zuri
Karibu
🎉🎉
Asante sana dada angu unafundisha vizr sana
Karibu dear
Unafundisha vzr mno nimeelewa vema ahsante allh azidi kukupa maisha marefu uzidi kuelimisha watu
Ameen Jazakal Allah Kheri
Barikiwa sana madam. Hand miksa yako insitwaje inaonekana imara
Madam asante sana recipe zako nzuri mnoo naomba kuuliza unatumia unga aina gani
P p f
Mashallah imechambuka
Thanks teacher
Ahsante sana
Asante sana
Karibu ❤
Mwl.natamani kujua ukitumia nazi fresh inakuwaje.
Inapendeza pia ila utabalance kwa maziwa
shukran bidada jazakallahulkher
Amiin
Asante San nimeelew
Karibu
ahsante sana mziwanda bakers
Karibu sana
Ma shaa Allah, jazaqumullah kheir. Je siwezi kuchanganya unga na maziwa nikaweka muda mmoja? Yaani nisiweke unga kivyake na maziwa kivyake?
2. Haifai kutumia maziwa ya maji??
3. Hayo machicha yatafanya cake inukie kama nazi au inatakiwa na ladha ya coconut ili kupata harufu?
Wow😋
Asante
Maziwa ni fresh?
Asante San madame
Karibu
Thanks ❤
❤ mashallah
Mimi mwanafuzi mpya na maelekezi zaidi
Me natumia oven la Mr uk Linapata moto kwa chini lakini kwa juu alipati moto
9:35
Si wengni hatujui gram😂
Hongera sana dada na mimi nitapika
Unipe mrejesho
@@mziwandabakers8297 sawa
Asante,
Ntaleta mrejesho kesho
Nausubiri kwa hamu
Maziwa ni vuguvugu au kawaida
Naomba kujua Sheria ya keki
Naweza tumia mkaa
Sheria za cake
Sheria za upishi wa keki @mziwanda Bakers
Samahan dada ang hayo maziwa inabidi yachemshwe??
Dada naomba msaada oven yangu inaunguza juu ila chini inatoka vizuri
MashaAllah,
Hizo pan/tin ni Nchi ngapi?
7"
Asnt sn ❤
Karibu
Mkorogo katika kila pan umeweka kiasi gani samahani.
Na unga nusu ama vp
Mm mwenzenu nikiona keki nachanyikiwa kwerii napenda kujifunza sana
Karibu
Madam samahan je mchanganyiko wa sukari na magarine unatakiwa kukoroga kwa dk ngapi na je mwishoni unatakiwa kukoroga hadi mabuje yote ya unga yapotee unga uwe soft kabisa?
Sijaon me ndo naanza sijui Jin's ya kuset moto
🙏🏼🙏🏼 lakini ujasema umepima grm ngapi kila tini au umekisia maana ulivyo mimina unga ujasema nikula tin ina gram ngap
Tin za 7" zinachukua 600g mpaka 670g
Mimi nikipika keki inapasuka juu alafu haiumuki vizuri
Naweza kuweka improver? Na ni kiasi gani?
Kiukweli najifunza mengi humu
Paste ndo nini
Jamani tuelekeze hata nusu ya ngano Kuna wengine wanatamani kujifunza hata kwa robo ya ngano,
Zipo fuatilia video zake Zipo
Ningependakujua unaseti Moto wa kiasi gn kwenye oven mpnz
Yangu 150 naset
Ipo ingine ni 180
Zingatia yako inatakaje pia
Asante,,,ila mim nina changamoto nikipika inapanda juu sijui nakwama wapi
Suali kwenye kuvimba cake nini cha kufanya ili cake isirudi?
Dada naomba namba yko nimekuelewa sana
Mm yangu inakuwa ngumu sana
Fuatilia moto huenda ni tatizo
Mambo natqka kujiunga na darasa
Dada Salama vp Mm nikipika cake inafura baadae i narudi chini shinda nini
Hujambo,hapa waweza tumia gel?
Kwa recipe ya improver sawa
Samahan sufuria ya inch saba unaweka unga gm ngapi?
650 mara nyingi
Mimi kila nikichanganya blluband na sukari inakatika sijui nakosea wap
Inakatika kabla ya kuweka mayai??
Mimi mbn inanitolea sufuria 2 tu
Kutakuwa kuna shida
Madam naomba kujua jina la hii miksa yako au picha naona ni imara
Iyo nusu kilo umetumia ama
Goood nimeipenda hii naitaka niijaribu ila naomba kujua coconut laste na coconut nisipotumia siwezi ifanya hii recipe plz nisaidie hapa mana hatutumii
Sio lazima kuweka coconut mbadala wake ni maziwa
Mchanganyiko wako uliweka gramu ngapi
Sijui Huwa nakosea wapi Hadi isichambuke
Mimi nikipik keki inavimba sana naaa inapasuka kosa ni wapi
Zingatia sheria na vipimo
mimi nikipika katikati inakuwa kama kiazi sijui nakosea kitu gani?
Unapima kwa kipimo au unakadiria??
Shida me huwa nikipika inatoka kama haijakauka vizur ndan lkn na tumia jiko la mkaa sijajuwa shda nn
Samahani ni lazima kutumia sukari nyeupe
Ni nzuri inaviwango vya juu
Madame napata changamoto yakupasuka na pia kuwa ngumu je nakosea wap tafadhali nisaidie
Lkn nko swali kama mtu anataka umpikie keki kwa unga wa 1 kg ni pesa ngapi
Machicha ya nazi yanapatikana wapi
Joto umeweka centigrade ngapi
Rudia tena
Sorry me nikipika keki huwa inakuwa kama ugal hv Yan inakuwa kama haijaiva hv naomba. Unisaidie shda nnn maan me najifunza kupika keki kwa kutumia jiko la mkaaa
Na joto cg ngapi
Dada naomba kuuliza mimi nilipika keki ya gm 1200 ya unga ila nikatoa keki 2 za nchi 7 na moja ya nchi 8 sasa sijajua shida nini mpaka zimetoka keki chache. Pia naitaji kujua sheria za uwokaji maana keki zangu huwa zinachelewa kuiva katikati pia zinapasuka.
Hongera kwa uthubutu,check video ya sheria nane za keki Mziwanda Bakers utapata cha kujifunza
Nikipika keki haijawahi chambuka
Me sijajua oven alaf nilivyochangany mchanganyiko wa blue band na mayai Kam mayai maji yanajitenga chini
Mchanganyiko ukiwa hivyo ujue mayai yalikuwa makubwa ila hainashida kujikata
Kama oven inabeba cake moja unaeza kusubiria moja ikaiva ndo ukaoka nyingine?
Unaweza ila isizidi lisaa
@@mziwandabakers8297 asnt sana dear
Naomba kujua mbadala wa kutumia maziwa niweke nn!
Ongeza mayai au tumia juice ya fresh fruits
Mimi napika lakin haipandi juu na inakuwa kama ugali nakosea wapi?
Sheria na vipimo zingatia sana
Kwann wengine wanaweka Amira? Kuna ulazima kwani?
Ni aina ya upishi tuu
mbona mm nikipika katikati inachelewa kuiva na inakuwa na kichuguu kwa juu nakoaea wap
Je,unazijua sheria sahihi za uokaji keki??
@@mziwandabakers8297 happana
Number yako please!
Kama haujatumia Nazi mayai unaweka mangap?? Yaan mfano Sina Nazi hzo naweka labda vanilla tu kawaida au lemon nitumie vipimo Ivo ivo??
Badala ya nazi uongeze maziwa pale
Asanteeee
@@mziwandabakers8297 Asanteeee
Hapo kwenye yai nitumie dakika ngapi iliniweke lingine
Mm mwenzenu nikiona keki nachanyikiwa kwerii napenda kujifunza sana
Vipimo hivyo ,pika just enjoy
Shida me huwa nikipika inatoka kama haijakauka vizur ndan lkn na tumia jiko la mkaa sijajuwa shda nn