Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
mapishi yako ni mazuri sana😊
Asante 🥰
Mashaalah imetokea hivo hivo So nauliza Kama nataka same recipe but without cocoa itakuwa tu soft ivo
Nimependa sana kwa kutumia vipimo vya uwezo wa watu wengi. Hongera sana
Nimekukubaliii❤❤❤
Masha Allah mapishi Yako mazuri kila nikijaribu kitu kina Toka kama unavoelekeza❤️Shukraan Allah akubariki .
Mashallah ❤❤
Yangu ilitokea vizuri thanks 👍🙏🙏🙏🙏🙏
Mashalah tabarakah allah akuhifadhi mikono yako
❤Ma shaa Allah dear.... Nitajaribu Allah akuzidishie
Definitely trying this Thank you for sharing 😊🙏
MashaAllah, nimependa hio sauce
Mash allah cake nzuri sana na ijumaa hii na kahawa ya jioni shukran dear❤❤❤
Nilijaribu imetoka vizuri can mung akujalie
Mashallah Moto wachini pekeyake
Thank you soo much for the Vedios it really helps us a lot ❤️
Mashaa Allah mi natak mafunzo privat habibty
Asante Kwa mafunzo mazur
Mashaallah nimeipenda .unawezakutumia moto wa chini na juu or lazima chini tu.
Unaweza dear
Asante sana nimejaribu keki zinatoka vizuri sana
Nimefurahi umeweza kujaribu
❤❤❤
nimepika leo wee imetokea km hivo Asante sana
Karibu sana. Na Asante pia kwa kujaribu. Unaweza pia ukanitumia pic Instagram ❤
Masha Allah, seems delicious 😋 Will definitely try this in shaa Allah
In sha Allah. I'll be waiting for your feedback ❤
Mashallah ntajarubu
Waooo mashaallah cake nzuri sana nimeipenda je naweza kutumia milo badala ya cocoa
No dear
Nimependa
Mashallah tabarak allah jazak allahu kher sister ❤❤❤❤
🥰❤❤❤
MashaAllah
Naombeni jamani mnisaidie mie nashindwa kuoka kila nkioka inatoka hovyo
Mashallah 😋 shukran
Afwan ❤️
Aslm nice recipe if I don't keep coco powder only vanila
Waaleikum Salam. Nitawawekea ya vanilla next ❤❤
Mashaallah ❤❤❤❤❤❤
😍❤❤❤
Nitumiye
Saba saba cake 🎂
Nice, je nikuulize kwenye mafuta waeza yayusha siagi ukaweka?
❤
Kufanya hio icing chocolate unaweza kutia Nutella?
A alaikum mimi nitaka kujoin naomba unipe maelezo vizuri.
Mashaa nitajarbu ln shaa allh
In sha Allah 💕
@mapishirahisi .. kama Sina corn starch sio lazma kuweka au
Mashallah nitajaribu
keki inaonekana tamu. tunaomba utuoneshe namna ya kutegenza iced tea mpenzi ahsante
Natamani kujua mapishi ya keki na mahitaji yake unga kilo
Jamani Kenya cocoa powder inapatikana wapi? Nimetafuta kila mahali
Cocoa powder supermarket yoyote ama A-one pia ukiuliza waonyeshwa
Nimetafuta kila mahali, kuna tu drinking chocolate hakuna cocoa powder
@@Mitta0787 ziko sis hata mm nimetoka kununua ama ununue za dukani 35 bob ukienda any shop ask for cocoa powder utapata
@@khadijaabdallah3469 ok ntatafuta tena
So kwenye oven unaweka moto wa chini tu juu huweki
Unaweza kutumia siagi kwa vijiko badala ya mafuta
Tuletee vyakula vikavu vya kutafuna
Mashaallah
mapishi yako ni mazuri sana😊
Asante 🥰
Mashaalah imetokea hivo hivo
So nauliza Kama nataka same recipe but without cocoa itakuwa tu soft ivo
Nimependa sana kwa kutumia vipimo vya uwezo wa watu wengi. Hongera sana
Nimekukubaliii❤❤❤
Masha Allah mapishi Yako mazuri kila nikijaribu kitu kina Toka kama unavoelekeza❤️
Shukraan Allah akubariki .
Mashallah ❤❤
Yangu ilitokea vizuri thanks 👍🙏🙏🙏🙏🙏
Mashalah tabarakah allah akuhifadhi mikono yako
❤Ma shaa Allah dear.... Nitajaribu Allah akuzidishie
Definitely trying this
Thank you for sharing 😊🙏