Dah kwakweli wale wanaosema ukisoma you tube huwezi kuelewa so kweli Kwa mara ya kwanza yani Kwa mara ya kwanza nimetoa cake laini tamu imechambuka vby mpk nilitamani kupiga kelele dada umeongeza mwanafunzi big up sana
Eti Dada mziwanda nilisikia kama unatumia cake gel Mayai ndio yanapungua hapa nimeona umepunguza blue band nimeshindwa kuelewa naomba unieleweshe asante
Dada kwa kutumia recipe zako na kutoa keki nzur sana, tatizo langu ni kwenye cupcake, znapasuka sana na kuwa ngumu juu sielew nakosea nini naomba msaada wako.
Asante kwa kuendelea kutufunza naomba kuuliza nmetumia cake gel kwenye cupcake lkn keki zinatoka zinakua hazijai Yaaaan inaweza ikawa imevimba vzr lkn ukiikata tayar kwa kula unakuta inasinyaa haina nyama kabisa ttz ni nn msaaad plz
Nimejaribu kutengeneza ila nilipopiga ute na improver na sukari haikujaa na ikawa imekatika imekuwa kama mtindi lkn sikusita nikaendelea cake imetoka nzuri laini na imechambuka
Dah kwakweli wale wanaosema ukisoma you tube huwezi kuelewa so kweli Kwa mara ya kwanza yani Kwa mara ya kwanza nimetoa cake laini tamu imechambuka vby mpk nilitamani kupiga kelele dada umeongeza mwanafunzi big up sana
Nashukulu Sana kwamalayakwanzakutumia keki jeli nimeona mafanikio mungu akuongeze miaka mingi dada
Asante sana dear kwa ujuzi mzur sana mungu akubariki
Nice, natamani kujua zaidi kwa ajili ya biashara
Asante my dear kwa kuzidi kutupa ujuzi mwenyezi mungu akubariki
Hlw, naoma namba ya mwalimu tafadhali
0768859358 WhatsApp
Asante sana Mungu akubariki sana
@@renathajames2540 imrover ndio gani
Mziwanda bekari Asante sana kunifingua macho
Madam darasa lako nalipataje
Hongera sana my dia. Kwa kweli unajitahidi mnooo kutupatia elimu. Mungu akuzidishie zaid.
Asante sana kwa kutufundisha
Unaweza weka maji kwa niaba ya improve
Yaani hadi sasa nimejua kupika cake. Mungu akuzidishie na kukubariki zaidi
Asante Sana dear kwa somo zuri. Ubarikiwe Sana.
Samahan mm naomba kujua wanasema improver na jelly nitofauti improver ipo kam unga mweupe hiv na hiyo jelly ndokam hiy uliyoi2mia naomba kufahamishwa
Nakupenda na Mungu akubariki sana maana unanivusha sana sana.
🙏🙏🙏❤
Asante sana,Mungu Akubariki
Asante sanaaa
Asante sana Mwalimu,naendelea kujifunza
Huwezi changanya na mkono
Mchanganyiko wa improver ni lazima kuwa mzito sana
Nice ubarikiwe mno🙏
Asante. Improver uli weka kinase gani.
Nilikua naskia kusu kitu hii inshallah ntaleta mlejesho
Hongera dada kazi yako nzuri sana
Asante kwa somo Dada , Mungu akubariki nakupenda
Ameen
Asante Dada,wewe ni mwalimu wangu,asante kwa Elimu,barikiwe.
❤
Hongeraa
Shukran sana
Naweza kutumia maji badala ya maziwa
Kwa moshi naipata wapi improver
Nakushukuru Sana kwa elimu
Inapatikana wapi hiyo
Mungu akubariki sana mamy
Barikiwa sana Dada ntajaribu
Improver umeweka GM ngapi ktk hyo mchanganyiko wako
Ntajaribu ntaleta mrejesho
Je unaweza kutumia mafuta ,badala ya blue band?
Kwani ukipika keki improver uwezi kutumia vyombo vetu vya bati
Unaweza kunifundisha watps live
Uko vizuri Dada
Iprover kiasi gani
Naweza kutumia ovalet
Sijajua nimekosea wapi
Eti Dada mziwanda nilisikia kama unatumia cake gel Mayai ndio yanapungua hapa nimeona umepunguza blue band nimeshindwa kuelewa naomba unieleweshe asante
Blue band ndio inapungua dear
Naweza kutumia maji badala ya maziwa?
Dada kwa kutumia recipe zako na kutoa keki nzur sana, tatizo langu ni kwenye cupcake, znapasuka sana na kuwa ngumu juu sielew nakosea nini naomba msaada wako.
Labda zinazidiwa ukali wa moto
Sawa dada ngoja nijaribu kubalance moto.
Mimi naomba namba yako dada
Cake improver ndo kitu gani?
Nami nitajaribu nilete mrejesho
Nausubiri hapa kwa hamu
Dada hapo umeweka improver umeweka kiasi gani sijaona gram
Naomba kuuliza hii mizan midogo ya elf 15 ni imara kweli au bora kununua tu kubwa
😁😁😁 kwel da mziwander unakaz hap 😁😁
Km hauna hio mezan unajuaje vipimo
Samahani,naweza weka improver ktk maandaz?
Asante kwa kuendelea kutufunza naomba kuuliza nmetumia cake gel kwenye cupcake lkn keki zinatoka zinakua hazijai Yaaaan inaweza ikawa imevimba vzr lkn ukiikata tayar kwa kula unakuta inasinyaa haina nyama kabisa ttz ni nn msaaad plz
Hlw, kama una whatsup ya Mwalim naomba
Yaani inakuwa hewa ndani?? Huenda ilipata hewa nyingi ndani
Napenda hii mixer
Jamani huna shule y kufundisha nahitaji n unasomesha shngapi n uko wpi
❤
Asante
Wow sturnning
Ahsante kwa SoMo madam,nataman nikuje office Yako Iko wap??
Habari madam naomba nitumie namba zako naitaji tuonane
Cake improver haiwekwi baking powder?
Asante dada hyo improver ntaipata wapi na bei gani??
Mara Nyngi nikipika cake nymbn hazichambuki cjui nakosea Nini na vipimo nahakikisha vipo sawa. Mara nyngi nafata maelekezo yko lkn nikilinganisha cake yngu na za bakers wngn naona yngu haiko sawa.
Naomba nieleweshe dada
Nimejaribu maelekezo yako..keki imetoka kubwa sana.ila imekua na tobo chache kubwa kubwa..sijui tatizo ni nn apo
Dada nisaidie niweke nini cake ikae muda mrefu?
Keki nzuri huwa hazikai muda mrefu
Hakuna madarasa
Improver ni gram ngapi?
Unapatikanawapi
Wa kwanza 😆
❤
Nice
Habari dear naomba unielekeze jinsi ya ku set moto ni kiasi gani kwa juu na chini kwa majiko yale makubwa 😢
Set 150 uone inaoka vizuri ama laah kisha tutajua ni moto upi uende nao
Amazing
Naomba namba yako ya simu
Asalam aleikum,niiini cake improver? Baking powder ama yeast?
Alayka salaam, ni cake improver hivyo hivyo
baking powder huweki dada
Shukran sana kwa recipe nzuri, hapo kwenye maziwa ni maziwa ya baridi au ya kawaida?
Improver na gel ni kitu kimoja?
Ndio
@@mziwandabakers8297 naomba Nieleweshe nioe picha ya improveer
Samahani kwahiyo ukipima unga nusu unaongeza mara mbili ya hivyo vipimo?
Ndio
Nimejaribu kutengeneza ila nilipopiga ute na improver na sukari haikujaa na ikawa imekatika imekuwa kama mtindi lkn sikusita nikaendelea cake imetoka nzuri laini na imechambuka
Hukuweka viungo kwa wakati sahihi ila Mungu kajaalia havijaleta tabu,ndo uzuri wakutumia improver
Mbona mim nikiweka improve haijai sana kwenye kapu keki
Hello mziwanda nina swali kuna mtu nimeona amewe bicarbonate+baking powder ni sawa
Ni sawa hakuna tabu inategemea na recipe yake
Wewe ni mwalimu mzuri sana barikiwa
Samahani hiyo lemon flavour ni lazima na je naweza weka vinega badala ya lemon
Weka flavour unayopenda
hlw
Vipi kuhusu ubaridi wengine husema mayai na maji mpk yawe barid ndio improver hupanda
Kuna improver ya jamani au.maana dukani nilikuta hiyo nn tofauti
Je waweza kuweka maji badala ya maziwa?
Ndio
Improver kazi yake nini hasa
Kuzuia povu la Butter lisishuke
Samahani dear improver ipi ni nzr zaidi kati ya ovalet finagel na hio uliyotumia ww hapo yaani ipi Ina pandisha zaidi Keki Kwa haraka
Blue bead
@@mziwandabakers8297 ok dear asant
Sorry madame hiyo improve umepima kiasi gani
Km hauna hio mezan unajuaje vipimo
Hakuna namna, nunua mzani, inauzwa mpk elfu 15 unapata. Kukadiria siyo option kwenye mambo ya keki
Nunua measuring cups lkn mzani pia ni muhimu sana
Shukran wote mliosaidia,majibu mazuri sana
@@roz3990 wap wanauza 15tsh dear nahitaj