We dada ubarikiwe sana sana .mm sikuwah pula mandazi ndo mara ya kwanza nimefata vipimo vyako .wee yametoka mazuri malaini Matamu sana yan mpaka siku ya pili andaz lainiiii .ivi navyokwambia juzi nimepika nimeuza andaz miatano moja na yamegombaniwa hatar 😂❤love you
Mm naweka maji ya moto sana au huwa nakosea hapo? Mfano maandazi kilo 7 naweka vipimo gani ,sukari kiasi gani na Amira kiasi gani, ? Vipimo vinanichanganya sana
Habar dada, naomba utufundishe jinsi yakupik mandazi yale makubwa sana ya biashara,yanakua manene alafu yamejaa ,yanapikwaje? Na pia shida yangu ni asubh mandaz yanakua magum.
najivunia wewe Sana m/mungu azidi kukupa uhai mrefu nimejifunza mengi kupitia wewe
Nitaifanyia kazi ni kupe jibu Asante kwa somo
We dada ubarikiwe sana sana .mm sikuwah pula mandazi ndo mara ya kwanza nimefata vipimo vyako .wee yametoka mazuri malaini Matamu sana yan mpaka siku ya pili andaz lainiiii .ivi navyokwambia juzi nimepika nimeuza andaz miatano moja na yamegombaniwa hatar 😂❤love you
Nitapika Asante unafundisha taladltibu mtu anakuelew vizuri❤
Mashallah nimefatisha andaz limetoka amazingi
mi ni mshabik wako sana hujawah kunifelisha mung akubarik sana zaid ya sana
Yanakuwa magumu juu
Hiyo maelezo Iko sawa hadi nimeelewa
Hongera zako my. Nimekuelewa Sana ❤.
Asante sana unajua kupika good job
Karibu
Am Ugandan, i confirm Tanzanians make the best filled mandazi
Ahsante dad mungu akubark San
mnapatikana sehemu gani pia nataka whipping cream powder
Asante kwa somo ngoja kukuche niandae nitaleta majbu
Nasubiri mrejesho kwa hamuu
Asante dada sasa nataka kupika maandazi kilo moja nitakumia hamira ya chenga kiasi gani nasukari kiasi gan love
Ubarikiwe
Daah!! Nzurii sana nimepend mpk nameza mate❤❤
Congrats 🎉🎉unajua sana sister
Ubarikiwe sana nmeyapenda na nmejifunza
Asante upovizur mama nimeipenda iyo
Wawoooh
Ngoja niingie jikoni na mmi naleta majibu madam
Pia mandazi ngozi inakuwa ngumu sana, nakosea wapi?
Asante Kwa somo yangu huwa ni ngumu
Mm nimgenyi wa mdanzi ya biashala
Njia nzur
Kwan blubend hujaweka
Waoo maamdaz matam sana❤❤❤ ubarikiw
Mimi nikipika . maandazi yanakua magumu Ganda la juu
Asante sana nimepika maandazi laini kama sufi asante sana
Jaman UNGA kilo moja naombeni vpimo vya mchanganyiko ni kiasi gani,,! Kama hamira sukari na baking powder
🙏🙏 barikiwa
Waoooh 🙏🙏nimejifinza
Yanamuinekano mzuri
Asante san nmejifunza mandaz yangu yalikua hayachambuki
Umefanikisha sasa? Yanachambuka? Nipe mrejesho nitafurahi
Kazi nzuri
Just subscribed🌷🌷🌷
I like your channel, because it has English ingredients🌷🌷🌷
Mm naweka maji ya moto sana au huwa nakosea hapo? Mfano maandazi kilo 7 naweka vipimo gani ,sukari kiasi gani na Amira kiasi gani, ? Vipimo vinanichanganya sana
Mm nimgwn hapo ila nimekupenda Bure je hufundishi Kwa vitendo nje ya simu kipenzi
Nmeipenda
Mmmmh maandazi mazuri
Asnte kwa somo nafanyia kazi
How can I like this video a million times
Just a smile ❤❤❤
Kaz nzur mafuta ya mot au ya barid
Mm leo ndio najua kuwa kuna baadhi ya maandazi hayawekwi nazi😂😂😂😂 ndio mana siku nyingi naunua maandazi matatu nakula 1😂
Ahsante
Naomba njifunze toka kwako kukanda mandazi vzul
Shida ninayo mandazi yangu hukauka
Na je ukiweka nazi na maziwa utapata faida
Asante nimependa upishi wako wa maandazi na Mimi nitajaribu kipika
Do we have flour with out gruttain ??? watching in Mombasa,
Kazi nzuri sana
Asa kama huna mizani
inamaana umekata na kuchoma bila kuyaacha yaumuke tena?
Mm kipimo chamafuta tu dada
Waoooo, nimeipenda
Ila dada HIV usipotoa hewa, kwenye kikanda chako kilichoumuka tial Kuna shida ganii? Au unapata madhara gani?
Safi
Sawa
Shidayangu kilanipika yanakua mahewa ndani
Mie yanatoka ndan hayaiv cjui kwnn au muda mwngn ynakuw na mafut mngi ndan
Mimi nimetoa yanaumuka upya ndan yaan ngano kabisa🥺
maandazi yangu yanatoka malaini lakini yakilala tu yanaamka magumu
Yaweke kwenye kifuko
Asante dada kwa somo ila Mimi nikipika yanakuwa na ugali katikati namba unisaidie
Hongera sana dada unajua kupika maandazi
❤❤
asante dada mandazi ni matam. je nikitaka yakae siku tano bila kuaribika niweke nini
Habar dada, naomba utufundishe jinsi yakupik mandazi yale makubwa sana ya biashara,yanakua manene alafu yamejaa ,yanapikwaje? Na pia shida yangu ni asubh mandaz yanakua magum.
Yangu yanakuwa magumu
Moto unachomea mdogo sana huenda
Jitahd kukanda pia...
Changamoto kubwa ni kukanda na kupimia baking powder
nimeelewa, je nataka maandazi yangu yakae siku tano bila kuaribika niweke nini
I need to learn for bsnz
🎉
Je kama Sina maziwa yaunga naweza nikaweka yakawaida
❤❤❤🎉🎉🎉
Mimi naomba kuuliza nazi aichemshwi inakandwa ivyo ivyo ya baridi unakandia
Vzr sana
Jamani me nimepika ila mandazi ndazi yamechambuka ila Ganda la juu limenyonya mafuta Yan ukibinya mafuta ya ndoka matone kabisa 😢😢😢
Ooh pole ,moto wakuchomea ulikuwa mdogo sana kwa matokeo haya
Mie napima na kikombe au macho
😢 mimi shida yangu ni mandaz yanakua magumu nahisi nakosea kwenye kukanda, natakiwa kukanda unga kwa muda gani?
Kama sina mzanj
1:09 mimi na shindwa kwenye vipimo vya kupima mda wa kutengeneza
Hauna mzani?? Au unapata shida sehemu ipi zaidi?
Nambie ebu
Kataka kujiunga
Jamn unga kilo 3 viungo saizi yake
Asante sana
Amazing recipe!
Mm nikipika madazi juu yanakua na ugumu sijui kwann
Mazuri sn
Ukikata hivyo unauzaje
nimekuelewa nafaniakazi ubarikiwena bwana 2:15
Nataka kujua hamuweki baking powder
Kumbe ukiweka Nazi unaweka na mafuta pia?
Matamu sanaa
Mashallah ilo nipate na mbaazi weeh shukran daa
😉😉👌👌
Hapo kwenye maandishi ( recipe) hukuandika chumvi na mafuta ya kukandia japo umeelezea wakati wa kuongea.
Asante sana dada nitajaribu na mimi
Asante sana mziwanda Bakers
Nataka kujua kupika afkeki jeeunaweza kunipa darasa hilo
Mashaalah missing you mamii. Tofauti ya mandazi na mahamri ni ipi?
Sijajua tofauti yake ntachunguza au ni jina tu ??
Nahisi nikitu kimoja lugha tofauti
Kangu mimi shida kubwa mandazi yanakunywa mafuta
moto mdogo
Mm naponda unga nayakata mandazi ila ukat wAkuchoma yanazama mpaka bade yanakuja ju tatzonn ala yana paxuka
Masaala
Yana uwezo wa kukaa kwa siku ngapi?
Kwa nnje yanakua magumu
Na pia maandazi yangu yanakua hayana kitu ndani