SHERIA 8 ZA UPISHI WA KEKI/8 BASIC RULES IN BAKING

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2021
  • SHERIA 8 MUHIMU ZA UPISHI WA KEKI/8 BASIC RULES IN BAKING @mziwandabakers8297

КОМЕНТАРІ • 196

  • @khadijajuma3887
    @khadijajuma3887 27 днів тому

    Umenisaidi sana shukran kipenzi

  • @SemeniMkombozi
    @SemeniMkombozi Місяць тому

    Asante darasa zuri

  • @joinanganunga6985
    @joinanganunga6985 8 днів тому

    Naomba uniunge kwa group

  • @Georges.Kitchen
    @Georges.Kitchen 2 роки тому +17

    Nashukuru sana dada kwa somo hili zuri la leo yani kwa mafunzo yako mpaka saivi nina bakery yangu na mimi nashukuru sana sana dada ❤️🤍❤️

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 роки тому +1

      Karibu sana na hongera kubwa kwa mafanikio Mwenyezi Mungu azidi kuweka baraka.

    • @hadijasaleh7357
      @hadijasaleh7357 5 місяців тому

      Ni lazma kutumia sukari nyeupe?

  • @happinessgeorge
    @happinessgeorge Рік тому +1

    Barikiw sana nmejifunz zaid leo

  • @RodomilaJoseph-ye2rt
    @RodomilaJoseph-ye2rt Рік тому +2

    Asante sana kwa maelezo yako lakini Mimi sijui nakosea wapi keki zinakuwa ngumu haziwi lakini sana kila wakati

  • @user-di8kj6de9m
    @user-di8kj6de9m 3 місяці тому

    Sawa nimempata mwanga Kwa kiasi chake, maana najifunza Bado, lkn nikifikia ile hatua ya kuweka mayai mbona keki inakatika nakosea wapi sijui

  • @user-fg5oh7od3w
    @user-fg5oh7od3w 2 місяці тому

    Naomba namba

  • @anthonychinguile8674
    @anthonychinguile8674 5 місяців тому

    Asante sana dada kwa mafunzo mazuri mie naomba darasa jinsi yakupamba keki kutoa mauwa kwakutumia zile nozzle

  • @janesiulapwa8793
    @janesiulapwa8793 2 роки тому

    Your the best mziwanda bakers🥰

  • @MA-kh2lr
    @MA-kh2lr Рік тому +1

    Beautiful mashallah. From instructions to practical. Stay blessed.

  • @winnieshayo1826
    @winnieshayo1826 Рік тому

    Wooow sasa nmeelewa kabsa nashukuru kwa hii video

  • @anthonychinguile8674
    @anthonychinguile8674 5 місяців тому

    Asante hivi dada huwa navurugwa na maumbo yakeki utakuta keki ina umbo la kitabu au mdoli hv inakuwaje hapo

  • @user-di8kj6de9m
    @user-di8kj6de9m 3 місяці тому

    Asante jamani oven nayo inanizingua sana Kuna wakati hasomi muda pia Kuna wakati inatoa moto wa juu lkn moto wa chino yaani koil haziwaki

  • @upendokasumani8384
    @upendokasumani8384 2 роки тому +1

    God bless you ♥️

  • @thumaiyamussa555
    @thumaiyamussa555 Рік тому

    Nawwapongeza Sana muko vzur ktk mapish nimevutika kujiunga na hii chanel

  • @saumukibupa9432
    @saumukibupa9432 2 роки тому

    Nafurahia sana masomo yako dada Mungu akubariki

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 2 роки тому

    Asante kea somo my wangu

  • @RodomilaJoseph-ye2rt
    @RodomilaJoseph-ye2rt Рік тому

    Naomba unisaidie Na kama kujifunza je manake MN I Mimi natamani kujifunza hata kuingia darasani sawa napenda sana kujuwa zaidi Na hasa kupamba ndo bado sijui vizuri

  • @zabronmgusi7771
    @zabronmgusi7771 2 роки тому

    Nafaidika sana na vipindi vyako, ubarikiwe

  • @user-di1ur5bj2s
    @user-di1ur5bj2s 10 місяців тому

    Asante nimejifunza kuoka keki

  • @pulcheriamayombo5780
    @pulcheriamayombo5780 7 місяців тому

    Nimeongeza maria mapya asante sana

  • @beatriceojwang8553
    @beatriceojwang8553 2 роки тому

    mashallah nimependezwa sana

  • @floralyimo7362
    @floralyimo7362 2 роки тому

    Asante nimejifunza

  • @silviakidibule5871
    @silviakidibule5871 Рік тому

    Asante dada nimeelewa somo

  • @user-jm7ki1mq5f
    @user-jm7ki1mq5f 10 місяців тому

    Mashallah,,,,ila nahitaj kujua zaid

  • @user-sp3gg7id8q
    @user-sp3gg7id8q Рік тому

    Allah S W A akubarik inshaAllah

  • @businessadshomedec7998
    @businessadshomedec7998 2 роки тому +2

    Jazaakillahu khayra that was wonderful

  • @user-ow6sh5rr9n
    @user-ow6sh5rr9n 2 місяці тому

    Unapatkana wap

  • @halimaathumani6480
    @halimaathumani6480 2 роки тому

    Asante kwa darasa zuri

  • @salmazuberi-pd2zn
    @salmazuberi-pd2zn Рік тому

    Hongera dada unaelekeza vizur

  • @user-lt1vp8sz7x
    @user-lt1vp8sz7x 5 місяців тому

    Dada naomba unisaidie wapi nakosea maana keki inakuwa ngum

  • @laureenmwafula4567
    @laureenmwafula4567 10 місяців тому

    😂😂😂ugali tutapkia tembele nishapka sana ugal jaman shukran sister

  • @user-fe6uv4mn2k
    @user-fe6uv4mn2k 8 місяців тому +1

    habari madam naomba msaada aisee mm mchanganyiko wangu wa sukari na blueband nishaweka mayai huwa unakatika sijui kwanini naomba msaada..?

  • @user-xy9ct2uz3h
    @user-xy9ct2uz3h 7 місяців тому

    Napenda sana😊❤😍

  • @nancyngoiri4367
    @nancyngoiri4367 2 роки тому

    You are such a blessing

  • @shadianewrin601
    @shadianewrin601 2 роки тому

    Asante mpendwa

  • @winnieshayo1826
    @winnieshayo1826 Рік тому

    I love baking

  • @estermvungi2500
    @estermvungi2500 2 роки тому

    Asante nilikua najiuliza nikwanini kekizangu haziwi nzuri kumbe sababu ndio hiyo yakukoroga sana asante mpenzi nazidi kuelewa

  • @user-mu8cu8we1q
    @user-mu8cu8we1q 9 місяців тому

    mashallah maelekezo mazuri,but mm napenda and i wish one day niwe napika keki nzuri but nimejaribu mara kadhaa hazijawa nzuri yaan zinaiva lkn chini zimafanya mafuta😢 please i need your help

  • @edithanicodemus7759
    @edithanicodemus7759 2 роки тому

    Asante sana my Best Teacher

  • @miriambuda3794
    @miriambuda3794 2 роки тому

    Ubarikiwe

  • @user-rm3jq8yc2g
    @user-rm3jq8yc2g 3 місяці тому

    Jamani mmi keki yangu juu haibonyei hvyo halaf ndio ijae inapasuka why??

  • @allymwajuma1262
    @allymwajuma1262 2 роки тому

    Shukran sana najifunza vingi toka kwako Allah akubarikie zaidi

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 2 роки тому +1

    mziwanda nakupenda sn my mafunzo yako ni mazur sn dear ubarikiwe sn dada

  • @munazahormohd2269
    @munazahormohd2269 2 роки тому

    MashaAllh🤩

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 2 роки тому

    Mashaallah shukran daa kwa somo zury hakika unatupa mafunzo mazury tunafaidika uwe na cku njema kwako pia

  • @aminambegu1564
    @aminambegu1564 2 роки тому

    Asante mpenzi kwa darasa lako nzur Allah azidi kukupa ujuzi zaid, but changamoto yangu ni moja mpenz tafadhali naomba unisaidie kila nikipika cakes inapasuka niambie shida nini plz 🙏

  • @user-ro1lu7oo1s
    @user-ro1lu7oo1s 10 місяців тому

    Dada Asante ,ila mm sina mnzan wa jikoni,na vikombe vya kupimia

  • @fathatjuma9265
    @fathatjuma9265 2 роки тому

    Maashaallah....

  • @ashajuma3228
    @ashajuma3228 Рік тому

    Allah akutunze we dada

  • @beatricearon6439
    @beatricearon6439 Рік тому

    Sufuria zako nazipataje nimezipenda niko kahama naomba na bei pia🥰🥰

  • @priscasteven455
    @priscasteven455 Рік тому

    Habar dada mm naomb namb

  • @neyskitchen
    @neyskitchen 2 роки тому

    Asante kwa masomo mazuri najifunza vingi sana kwako😍

  • @khadijaosuman7609
    @khadijaosuman7609 Рік тому

    Naomba kuuliza mnafundisha siku gani

  • @user-lc2cy2dn5c
    @user-lc2cy2dn5c 6 місяців тому

    Hello dada naomba unisaidie jinsi ya kufanya ili keki isishikize kwenye cupcake mm muda mwingine nikitoa keki uwaga inashikiza chini na sometimes inakatika kabisa

  • @MashaSuleiman-tb3po
    @MashaSuleiman-tb3po Рік тому

    Yaani Leo ndo nimeingia darasani. Nimekupenda mwalimu . Je una darasa la online?

  • @user-gn6bf1so6n
    @user-gn6bf1so6n 6 місяців тому

    Mpenzi mm nikipika keki inaiva vizuri ila kwanza inapasuka sana hadi rojo linatoka kwa pale kati halafu chini inakalina sijuwi kwa nn

  • @susanmasai8058
    @susanmasai8058 Рік тому

    Samahn mnapatikan wap

  • @kareemmkuki-pq8jq
    @kareemmkuki-pq8jq Рік тому

    Nashukuli nimepata kufaha kitu

  • @angelamulokozi4178
    @angelamulokozi4178 2 роки тому

    Masomo mazuri Dada asante sana

  • @sharifamchinjita-nd3rc
    @sharifamchinjita-nd3rc 9 місяців тому

    dada mm.nataka kujifunza kwako nipe muongozo plz

  • @susanmasai8058
    @susanmasai8058 Рік тому

    Mafunzo yako ni mazuri sn but mnapatikan wap mi Niko moro

  • @hafsahassan1548
    @hafsahassan1548 2 роки тому +1

    shukran unatufunza meng lkn changamoto kwangu inakuja kuwa keki inavmba vzur ukitoa inaonekana muonekano mzur na ukiweka kijit kinatoka kikavu lakin ukikata inakuwa haikuwiva .. changamoto yang n hyo

  • @Emmy_lee_beauty
    @Emmy_lee_beauty 10 місяців тому

    Hello my dear,kwanini keki yangu inasumbua sana kuiva kati?

  • @winnieshayo1826
    @winnieshayo1826 Рік тому

    Mm huwa nakosea kwenye moto

  • @getrudegregory5959
    @getrudegregory5959 2 роки тому

    Mungu akubariki

  • @jescahmaswi4270
    @jescahmaswi4270 2 роки тому

    Dada samahn mbn mm cake zangu hazipandi Sana ntakuwa nakosea wap

  • @jikonikwamamantilie9079
    @jikonikwamamantilie9079 2 роки тому

    Ahsante nimejifunza kitu,,Sheria namba 8,,Kama umekoroga unga mwingi na unatumia handmixer,,kutumia spatula ni ngumu,,unashauri nini

  • @fatumaismaili1267
    @fatumaismaili1267 2 роки тому

    Naomba video namna ya kuchanganya,icing ya kufunikia keki sijaelewa wanachanganya na nini ,kuna gell au ni butter

  • @user-cl6ut3gh5y
    @user-cl6ut3gh5y 7 місяців тому

    Namba kujua utaratibu wa darasa ni siku gani?

  • @jemaluganolugano6987
    @jemaluganolugano6987 2 роки тому

    Asante

  • @nurumwasunga975
    @nurumwasunga975 2 роки тому

    Safi hadi raha

  • @user-wg4rb8sc2l
    @user-wg4rb8sc2l 11 місяців тому

    Mbona cake inapasuka na kuwa ngumu kwa nn?

  • @monicaantonyfredrick8684
    @monicaantonyfredrick8684 2 роки тому

    Asante dada nilijaribu nikabeki unga wa nusu kilo keki ikaiva vizuri na laini but haiwi kubwa sana wakati wewe nusu naona unatoa keki mbili

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 роки тому

      Inategemea umetumia tin za size gani ,hongera kwa kupika vizuri

  • @fatimasaid4855
    @fatimasaid4855 2 роки тому +1

    Masha allah

  • @agripinantiga9503
    @agripinantiga9503 Рік тому

    Nimeshindwa kujua moto wa oven naset juu chini au chini pekee

  • @RachelIsaya-nr3gl
    @RachelIsaya-nr3gl 12 днів тому

    Sorry naitwa Rachel, nilikua nauliza kwanini keki inaweka kama unjevu baada ya kuipika

  • @babykasisi307
    @babykasisi307 2 роки тому

    Shukran dear

  • @winnieshayo1826
    @winnieshayo1826 Рік тому

    Samahani sijaelewa hicho kipengele cha mwisho kabsa hapo kwenye kukoroga unga

  • @user-gw9qs3rc2h
    @user-gw9qs3rc2h 3 місяці тому

    Nahitaji vipimo mayai 10

  • @devothabishagazi2390
    @devothabishagazi2390 2 роки тому

    Ahsante sana

  • @healthcomoditysikika9545
    @healthcomoditysikika9545 2 роки тому

    Nikumiss sana ndugu yangu wa faida jamani sababu nilipoteza cm now nipo hewani halaf nimekutana na Somo zuri sanaaaaa🥰 much love

  • @user-sy3bz3uw6s
    @user-sy3bz3uw6s 7 місяців тому

    Naomba kujua kwanini cake inafanya mlima hapo kati

  • @zaibonge7867
    @zaibonge7867 2 роки тому

    Shukrani udugu WETU 🥰sikuhizi najua kupika kenki mpaka nimetamani niolewe gafula 🤣🤣🤣ishi bebe

  • @sarahgodson4115
    @sarahgodson4115 2 роки тому

    Me naomba kuuliza kwa nn cake inafura juu san na kupasuka

  • @mariekabikashabani4325
    @mariekabikashabani4325 Рік тому

    Asante san dada Naomba na mbazakoza whats app

  • @munahashim8898
    @munahashim8898 2 роки тому

    Shukran Sana mamy

  • @sarahmundhe8263
    @sarahmundhe8263 2 роки тому

    Mbona keki Wangu unapasuka juu

  • @careydany4177
    @careydany4177 2 роки тому +1

    Asante kwa somo dada, ubarikiwe
    Ila da Mziwanda Nina swali, je, ili kupata keki iwe juu flat bila kuwa na crack (kupasuka) unafanyaje??
    Maana Mara nyingi nikibake keki inafura Sana juu na inapasuka juu hali inayosababish keki ya kuondoa ili kupata level sawa inakuwa kubwa sana☹️
    Nn tatzo hapo na suluhu ni nn??

    • @furahashaaban5568
      @furahashaaban5568 Рік тому

      Nadhani pia chombo unachotumia kubake kikiwa kidgo sana cake ikipanda juu inaenda kuwa overheated inaungua su kupasuka juu

  • @petebakari8710
    @petebakari8710 2 роки тому

    mashaAllah

  • @hajraissa5089
    @hajraissa5089 8 місяців тому

    Keki yangu imeiva ila ina harufu ya mayai shida nini naomba kujua

  • @aqublessedchami6279
    @aqublessedchami6279 2 роки тому

    N vema Kama ungeonyesha jinsi ya kutumia mizani

  • @deniema3721
    @deniema3721 Рік тому

    dada huna darasa online

  • @salmarashid9365
    @salmarashid9365 Рік тому

    Nami nahitaji kujifunza

  • @maureenmbinile1655
    @maureenmbinile1655 2 роки тому

    Keki inaweza ikakaa muda gani Bila kuharibika

  • @rasheedahussein8433
    @rasheedahussein8433 2 роки тому

    Kutumia ovena

  • @sarahdaudi1135
    @sarahdaudi1135 2 роки тому

    Tapataje kama izo shelia mwalimuwangu

  • @winnieshayo1826
    @winnieshayo1826 Рік тому

    Yani hayo madurya durya ni mabonge ya unga! Au unamaanisha tusikoroge mpaka unga ukapotelea

  • @kalebugidion9779
    @kalebugidion9779 2 роки тому

    Nimejaribu kupika keki inetoka vizuri lakini ndani imekuwa kama imezidi mafuta sijui nimekosea wapi