Ahsante sana muhubiri, mafunzo mazuri sana nmejifunza kuishi kwa ndoa na kuitinza ndoa yangu,nina Imani nitapoingia kwenye ndoa yangu hivi karibuni,nina Imani nitayazingatia mafunzo yako🙏🙏 Mwenyezi Mungu anijalie maarifa na uelewa zaidi 🙏🙏
Amina Baba...Nimekuelewa sana...Nimekusikiliza hadi Mwisho ...Hakika ni Mahubiri ya KPHD...umehubiri ukweli mtupu...Yohane 13:16...Kwa Maana hii Mungu aliupenda ULIMWENGU...
Amen pastor Mmbaga, lakini hizi kanuni Saba ya faa uongeze zingine next time, very excellent teaching and may God bless you and bring more of this kind to marriage and church.
Ujumbe wa ndowa ni mzuri, Mungu akubariki sana, ila fundisha pia na jinsi ya kuvaa mavazi ya Heshima ndani ya nyumba ya Bwana na mtaani pia, wakristo tunapaswa kuwa tofauti, Neno Lina sema kuwa tusienende kwa kuifuatisha namna ya Dunia hii, kwa habari ya mwenendo na tabia na mavazi pia🥰
Mchungaji yupo sahihi. Upendo tu hautoshi. Biblia husema hivi: "wenye furaha ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika" Soma-{Luka 11:28} Kwa hivyo Kila mshirika wa familia mmoja mmoja kusimamia sehemu yake na kuiwajibikia.

Mimi naweza kukupinga Kwa hivyo VITU viwili. Kama hautavielezea kibiblia Msingi wa ndoa kibiblia Ni Moja kwa mwanamke 1-utii Mbili kwa mwanaume 2-upendo kwa mwanaume Hivyo vitu vikikosa kwa wanandoa lazima ndoa ife mapeeeema Sasa utakuja Kufundisha Nini maana ya utii na namna Gani utii unavyoweza kunisaidia ndoa au kuiangusha ndoa nk
Hello mchungaji! Mahubiri mazuri ya Mibaraka I'll Hawa wanadada wamejipodoa Sana huku Kenya huwa tunawafurusha hadi wavae kulingana na kanuni za kanisa
Watumishi wa Mungu aliye juu,Bwana asifiwe.Ninaloitaji la kipekee la kuongea mambo ya kiroho na mchunga Mmbaga tafadhari mnisaidie na namba yake.Mimi ni Murithi Harrison kutoka Kenya.
Asant kwa somo tunakusikiliza kwa neno na lina tujenga Nakuomba uwe unafundisha pia mwenendo ya nje maana niyamaana sana maana wao wake wamevaa vya kidunia na mapodozi yohovyo Maana ninyi ndo Wachugaji wakutwelekeza
Ndoa isiyo na upendo Sio ya kutoka kwa Mungu Waefeso 5:25 25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafsi yake kwa ajili yake ili 26 alitakase Wimbo 3:4 Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, Nikamwona mpendwa wa nafsi yangu; Nikamshika, nisimwache tena, Hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, Chumbani mwake aliyenizaa. 1 Yohana 4:12: Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote. Ikiwa tunapendana, Mungu anakaa ndani yetu, na upendo wake umekamilika ndani yetu Mithali 10:12: Chuki huchochea ugomvi, lakini upendo hufunika dhambi zote
Soma mithali 24:3...Je, unaweza mwambia mke eti unampenda wakati hujui kumjibu ki-hekima au hauna hauna maarifa ya mapenzi akuelewe?Upendo hauna lolote bila matendo (1john3:18) hekima na hapa ndipo hekima na maarifa huingilia
You don't get into marriage because your friends are getting married, but you get into marriage because you have found love and you are ready to commit. We have so many divorce cases these days because people think they are in competition with their age mates.....My dear, Life is never a race, things happen at different times for different people....Think before you say yes.
Ahsante sana muhubiri, mafunzo mazuri sana nmejifunza kuishi kwa ndoa na kuitinza ndoa yangu,nina Imani nitapoingia kwenye ndoa yangu hivi karibuni,nina Imani nitayazingatia mafunzo yako🙏🙏 Mwenyezi Mungu anijalie maarifa na uelewa zaidi 🙏🙏
Mungu akuongezee hio neheema Pst
Amen pastor, umeniguza sana hpo kwa kila ndoa iko na siri yake
Amina Baba...Nimekuelewa sana...Nimekusikiliza hadi Mwisho ...Hakika ni Mahubiri ya KPHD...umehubiri ukweli mtupu...Yohane 13:16...Kwa Maana hii Mungu aliupenda ULIMWENGU...
Uvaaji uo siomzuuri kwa mabest
Ikimpendeza Bwana I pray this servant of the most high weds me when my time comes 🙌🏿🙏🙏one of my favourite teacher .
Mungu akuongoze
Wooh thanks for the teaching nimejifunza mengi
God bless you pastor. Thanks for your nice sermon
Uko vzr mtumishi mungu akubaliki sana❤
Amen pastor Mmbaga, lakini hizi kanuni Saba ya faa uongeze zingine next time, very excellent teaching and may God bless you and bring more of this kind to marriage and church.
Ubarikiwe sana pastor
Ujumbe wa ndowa ni mzuri, Mungu akubariki sana, ila fundisha pia na jinsi ya kuvaa mavazi ya Heshima ndani ya nyumba ya Bwana na mtaani pia, wakristo tunapaswa kuwa tofauti, Neno Lina sema kuwa tusienende kwa kuifuatisha namna ya Dunia hii, kwa habari ya mwenendo na tabia na mavazi pia🥰
Mchungaji yupo sahihi. Upendo tu hautoshi. Biblia husema hivi: "wenye furaha ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika" Soma-{Luka 11:28} Kwa hivyo Kila mshirika wa familia mmoja mmoja kusimamia sehemu yake na kuiwajibikia.
Mchungaji yupo sahihi. Upendo tu hautoshi. Biblia husema hivi: "wenye furaha ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika" Soma-{Luka 11:28} Kwa hivyo Kila mshirika wa familia mmoja mmoja kusimamia sehemu yake na kuiwajibikia.
Ahsante saana Pastor kwa ujumbe huu ❤
God bless you Dr.Mmbaga
Amen 🙏 ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Amen Pastor Mmbaga kwa somo zuri tumesoma vema
Wow I'm being blessed with your advice and preaching,be blessed
Ahsante Sanaa pastor nimebarikiwa sanaa🎉
Mungu azidi kuku inua na kukupa ufahamu zaidi na watu mishi wenzako aminaa
Amina paster mungu akubariki sana na huu ujumbe .nasikia nimebarikiwa .mungu akufunulie zaidi ya hivi❤❤❤🎉
Amen barikiwa umenifundisha kitu mtumishi wa Mungu
Endelea hivohivo mnekuelewa mngu akupe maisha malefu❤
Barikiwa sana! Masomo mazuri.
Be blessed mtumishi umenifunze na nimejua mengi na kukumbuka mengi Mungu azidi kukupa hekma zaidi
Asante Sana pastor kunakitunimepokea kwakweli🎁
Pr. Mungu akubarik sana.Songa Mbele Mungu Akutie Nguvu
You are so interesting sir. Thank you for your teaching. My family will prosper. Dicken from Kenya
Very true darling
Asanteee kw somo mungu akujalie pastor
Mungu akubark pasta Kwa ujumbe mzuri sana nimebarikiwa sana
Asante past mafundisho yamenibaliki
Mungu akupe maisha malefu mtumish,
Mungu akubariki sana uishi miaka mingi.Amina
Pastor Barikiwa sana
Hakika pst mungu akubariki
Barikiwa Pastor
Ubarikiwe kwa neno lenye kuponya ndoa zetu
Ubarikiwe sana mchungaji
Great massage
Ubarikiwe kwasomo
Nashukuru Sana pastor kwa mafunzo haya
Mungu alibariki mutumishi wa Mungu ❤❤❤
Thank you Pastor Mmbaga. Beautiful sermon. Needed this. Shukran.
Nakuelewa sana mungu akubaliki sana
Asante pastor
Mimi naweza kukupinga Kwa hivyo VITU viwili.
Kama hautavielezea kibiblia
Msingi wa ndoa kibiblia
Ni
Moja kwa mwanamke 1-utii
Mbili kwa mwanaume
2-upendo kwa mwanaume
Hivyo vitu vikikosa kwa wanandoa lazima ndoa ife mapeeeema
Sasa utakuja
Kufundisha
Nini maana ya utii na namna Gani utii unavyoweza kunisaidia ndoa au kuiangusha ndoa nk
Mch.Mbaga unanibariki Sana Mungu akutumie vema
Be blessed pastor
unarikiwe sana umenijenga Sanaa pokea salamu zangu kutoka Congo DRC n'a kushukuru
Pr ubarikiwe sana mafundisho mazuri
Amen MUNGU akubariki
Hello mchungaji! Mahubiri mazuri ya Mibaraka
I'll Hawa wanadada wamejipodoa Sana huku Kenya huwa tunawafurusha hadi wavae kulingana na kanuni za kanisa
Nimeipenda pastor unanibariki sana ila wanaume hawapendi criticism na wakikataa tunawaachia afu yakiharibika ndo wanajirudi
Rafiki mpendwa hii ni arusi ,so Kila mtu ni msabato
Amen pastor nabarikiwa nafundisho hii👍💐
Pastar mungu akubariki kwa ushauri wako
Unanibariki sana paster
Your sermon is very encouraging paster
asante nafatilia mafundisho yako
Yani wewe mtumishi pastor ufike mbali....nakuelewa sana na unaeleweka sana...barikiwa sana unatubariki sana...
Barikiwa sana pr
Ubarikiwe Sana pastor ...lakini washauri kuhusu mavazi ya kikristo
Ubarikiwee mchungaji
Mungu akubariki san baba mungu azidi kuku2mia kadri awezavyo
Watumishi wa Mungu aliye juu,Bwana asifiwe.Ninaloitaji la kipekee la kuongea mambo ya kiroho na mchunga Mmbaga tafadhari mnisaidie na namba yake.Mimi ni Murithi Harrison kutoka Kenya.
Hakika mchungaji uko vizuri saana
Nimejifunza mengi. Sana ubarikiwe pasta
Mungu akubarik sana mchungaj
❤❤ Mungu atubariki na kutuzidishia hekima na maarifa kweli.❤❤
Pastor uko vizuri
asante mungu Kwa ajili ya plaster unaponya ndoa zetu
Imeingia iyo past
Ahsante sana kwa somo zuri pastor
Mwenye namba ya cm ya hyu mchungaji jaman naiomba naitafta Sana jaman
Barikiwe mchunga kwa some mzuri ya ndoa.
Mahubiri mazur Ahsante
Mungu awabark
Barikiwa sana mchungaji maana hayo usemayo ni laivu bila chenga
Eeeee,Mungu tusaidie tujue hiyo
Powerful sermon but poor dressing, very unfortunate for our church
Aminaa
Aminaa Asante sana kwa ujumbe mzuri
Somo zuri sana limenijenga
Mung akubalik ❤
Amen mafunzo mazuri ya kujenga ndoa
A. Hj😮😊😮😊
Mchungaji kwahyo Kwa changamoto ya unzinzi wanandoa wanaweza kuachana???
Mm reu vz mke wangu zainess tangu tumeoana, hatujawahi kuwa na house girl mapema au at once.
Amina pastor somo zuri. Ila wamevaa ovyo sana jamani😢😢😢
Si Kila mtu ni msabato
Asant kwa somo tunakusikiliza kwa neno na lina tujenga
Nakuomba uwe unafundisha pia mwenendo ya nje maana niyamaana sana maana wao wake wamevaa vya kidunia na mapodozi yohovyo
Maana ninyi ndo Wachugaji wakutwelekeza
powerful message
Powerful message.thanks
Nimejifunza God bless you , japo sina ndoa😭😭😭
Ndoa isiyo na upendo Sio ya kutoka kwa Mungu
Waefeso 5:25
25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafsi yake kwa ajili yake ili 26 alitakase
Wimbo 3:4
Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, Nikamwona mpendwa wa nafsi yangu; Nikamshika, nisimwache tena, Hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, Chumbani mwake aliyenizaa.
1 Yohana 4:12:
Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote. Ikiwa tunapendana, Mungu anakaa ndani yetu, na upendo wake umekamilika ndani yetu
Mithali 10:12:
Chuki huchochea ugomvi, lakini upendo hufunika dhambi zote
Ndoa HAIDUMISHWI sio HAINSISHWI na upendo. Upendo upo lakini hautaidumisha ndoa.
@@Annie-u4n Kikwako lakini kibibilia upendo ndio Kila kitu,ndio utu wa Kila kitu
Asanteh sana chungaji napenda mafundisho yako♥️♥️♥️♥️
Soma mithali 24:3...Je, unaweza mwambia mke eti unampenda wakati hujui kumjibu ki-hekima au hauna hauna maarifa ya mapenzi akuelewe?Upendo hauna lolote bila matendo (1john3:18) hekima na hapa ndipo hekima na maarifa huingilia
Kweli mchg upendo ndio kila kitu mzigo huwa mwepesi kwenye pendo na amani upatikana kwenye pendo
Hakika mtumishi umefungua ufahamu wa akili yangu barikiwa pr Mbaga
Amen mtumish❤❤❤ 3:36
Whouah 👊
😂😂, mvua itanyesha leo.
Naipenda sana
Hata kupenda ni hekima baba
Asante sana mchungaji kwa hekima hii kubwa.
Mm ombi langu ni utakuja unifungishe ndoa panapo majaliwa ya mungu nmependa ushauri wako pr
Amina sana kwa somo
Amina sana ...Show off...Ndoa ni Siri na Ndoa ni Fumbo la Mwenyezi Mungu
Amina pastor mmbaga
You don't get into marriage because your friends are getting married, but you get into marriage because you have found love and you are ready to commit. We have so many divorce cases these days because people think they are in competition with their age mates.....My dear, Life is never a race, things happen at different times for different people....Think before you say yes.
17:47
Barikiwa sana