TUMIA MAMLAKA HII ILI KUFUNGULIWA-- PR. DAVID MMBAGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 135

  • @annamanyam2010
    @annamanyam2010 2 місяці тому +32

    Namshukuru na kumtukuza Mungu wa Mbinguni, nimepata period kwa muda wa siku 17 mfufulizo, nikaenda hospital na kupewa dawa lakini bado haikukata, lakini baada ya kujiungamanisha na maombi haya Mungu ameniponya na period imekata kabisa. Asante Mungu

  • @AgripinaKivike
    @AgripinaKivike 2 місяці тому +38

    Ila wasabato Kama tutaelewa ptr mbaga anavofundisha tutapendeza saana mabakibaki ya ufarisayo yapo Roho mtakatifu tutawale na utuongoze ameni. Haleluya

    • @daudnyore4696
      @daudnyore4696 2 місяці тому +4

      Wengi hawataki Kubadilisha Mtazamo wa kiakili

    • @neisaprince
      @neisaprince Місяць тому

      Mungu endelea kutumika kwenye maisha yangu hatima yangu Iko kwako🙏🙏

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 Місяць тому +3

    Nimerudi tena kusikiliza neema Mungu aliyo mpatia Mch .Mmbaga. Nimerudi hapa kwa mara ya Tatu. Ila leo ,nimemsikia Mungu akiniambia soma Waefeso sura ya Tatu. Baada ya kusoma Roho Mtakatifu amenisemesha, 'Ombea Kanisa lipokee ujumbe huu hasa fungu la kumi'. Hii siri niya kufunuliwa Kanisani (Waefeso 3:10).
    Asante sana Mungu kwa mafunuo haya. Zidi kumtumia Mch .Mmbaga na team yake . Bariki kila atakaye msikiliza aelewe ,apate neema ya mahitaji yake yake yote. Kisha Injili itakwenda kwa haraka nawe utarejea kutuchukua Kwenye makao ya amani . Kwa Jina la Yesu nimeomba .Imekuwa .

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 2 місяці тому +28

    Baba yetu wa MBINGUNI, nakutukuza daima kwa kumtumia Mch. Mmbaga. Leo naombea hufahamu wako ujidhihirishe kwa kila atakaye msikiliza Mch. Mmbaga, asikie sauti yako ikimdhibitishia kuwa neno lako ni Kweli na lakuaminika. Kwa Jina la Yesu, AMEN.

  • @godlovemapunda774
    @godlovemapunda774 Місяць тому +6

    Ee Mungu wangu naomba ktk maombi haya ndoa yangu uitete shetan anataka kuvunja amina

  • @wiza2309
    @wiza2309 Місяць тому +2

    Amen Mchungaji. Mungu anisamehe kwakweli na kunifungua. Mimi ni mdhambi nahitaji kuokolewa na damu ya Yesu.

  • @MakaleCostancia
    @MakaleCostancia 10 днів тому

    Pr Mbaga, huyu jehova tunayemwabudu naomba akupe maisha mareeefu sana
    Ww n sababu ya mimi kuwa na maisha hya niliyonayo kupitia maombi yako nilipata kazi tna siy kazi tu, kazi nzuri na hpo ni baada ya miaka mitano nkitafuta
    Asante nko nyamongo Tarime ulikuja net event
    Nakukumbuka sana sina namna ya kuwasiliana na wewe MUNGU WA MBINGUNI AKUTUNZE
    Ombi langu leo Kama MUNGU alivyonitendea awatendee na wengine

  • @DeborahMganga-p9y
    @DeborahMganga-p9y 27 днів тому

    Pastor Mbaga Mungu wetu wa mbinguni aliye juu kuliko vitu vyote aendelee kukubariki katika siku zote za maisha yako.

  • @mtumishiraymond2001
    @mtumishiraymond2001 2 місяці тому +3

    Jina la bwana wetu Yesu kristo liimidiwe nimepokea neno 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @JacklineMoti
    @JacklineMoti 2 місяці тому +6

    Amen 🙏🙏 naskia kufarijika sana mafundisho yenye uelewa Bwana akuongoze siku sote mtumishi WA Mungu 🙏🙏🙌

  • @GloriaKayumbaKabange
    @GloriaKayumbaKabange 7 днів тому

    Nous rendons grâce à Dieu pour votre vie, pasteur que Dieu vous bénisse

  • @kalengalukozi9242
    @kalengalukozi9242 2 місяці тому +2

    Hubarikiwe sana mtumishi wa Mungu David kwa mafundisho siku ya leo nimepata chakula chenye uzima Amen

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 2 місяці тому +3

    Amen bwana asifiwe namshkuru niko salama nabarikiwa na mafundisho haya mzuri

  • @AwAw-i3d
    @AwAw-i3d 2 місяці тому +2

    Bariwa sana, kwakweli nilidhofika sana kulingana n changamoto kazini, nikaamua naacha kazi leo asubui nikiwanaski hili somo nikapata nguvu mpia naendelea n kz, Mungu amenipa nguvu mpia sifa n heshima zimrudie amen 🙏🙏

  • @PheadaKasigwa
    @PheadaKasigwa 2 місяці тому +2

    Ahsante mtumishi wa Mungu aliye hai umeugusa moyo wangu na kufunu wazi mapungufu yangu ukweli nikuwa naona kama Mungu yuko mbali nami lakini kuanzia leo yeye ni Aba kwangu.

  • @williammanyasi9196
    @williammanyasi9196 Місяць тому +1

    Guy pr mungu amubariki pop

  • @hellen.b4ga2cj7m
    @hellen.b4ga2cj7m Місяць тому

    Bwana Yesu asifiwe....Nafurahia Mafundisho yako sana Mchungaji Mbaga hakika yamenibadilisha mtizamo wanguu Kiroho🙏🙏🙏

  • @RoseMwema-ix8hb
    @RoseMwema-ix8hb 2 місяці тому +3

    Amen,am much transformed, God bless you pastor mmbaga

  • @berthadaudi-n2m
    @berthadaudi-n2m Місяць тому

    Kwa kweli MUNGU ananipenda yaani ulichofundisha na kuomba ni kama nimekueleza Pasta, Asante Mungu kwa kunijibu ninaamini umenifungua leo

  • @KajuraMkama
    @KajuraMkama Місяць тому

    Asante Mungu kwa kuruhusu kusikiliza mafundisho haya ambayo napata kuwekwa huru kupitia kristo mwana wa Adamu katika jina la Yesu kristo Amina.

  • @jonacemanyama4858
    @jonacemanyama4858 2 місяці тому +3

    Natamani kukusikiliza Tena na tena Mungu aliehai akulinde Pr.DAVID AZAEL MMBAGA,pamoja na familia Yako.AMINA.

  • @Issasaku-n6f
    @Issasaku-n6f 15 днів тому

    Asantee Mungu kwa neema yako nimekuwa huru

  • @judithdaniel5089
    @judithdaniel5089 2 місяці тому +1

    Amina, Ahsante sana pastor Mungu akubariki unapoendelea kufanya KAZI yake kwa bidiii

  • @edsonmashama6782
    @edsonmashama6782 2 місяці тому +3

    Ninabarikiwa sana na mafundisho yako! Mungu amenitendea mengi na makuu tangu nimemjua hyu Mungu! Ni dhahili na hakika Baba yetu hayuko mbali nasi

  • @JacksonSwai-g2y
    @JacksonSwai-g2y 5 днів тому

    Unanibariki sana Pastor Mmbaga

  • @agnesmushi5709
    @agnesmushi5709 2 місяці тому +2

    Mungu wewe ni Aba , nisaidie leo 🙏

  • @Marianamsafiri-sm2vx
    @Marianamsafiri-sm2vx Місяць тому

    Amen mchungaji.Mungu naomba unisamehe dhambi zangu, pia uniondowe katika kila vifungo vya ukoo na vya familiya,uniponye na adui zangu uniondelee kila mikosi na mabalaa Amen 🙏

  • @williamkasubi2436
    @williamkasubi2436 2 місяці тому +1

    Atukuzwe Yesu Kristo, Baada tu ya maombi haya nimepokea muujiza wangu.

  • @Wolfpricencee
    @Wolfpricencee Місяць тому +1

    Amina

  • @gracej876
    @gracej876 2 місяці тому +1

    Eeh Mungu wangu endelea kunifundisha mimi mwana wako ni mengi bado tunajifunza haswa mambo ya kiroho, naja mbele zako fungua moyo wangu na uingie ndani yangu na ukaishi hapo kwakuwa nimekuchagua wewe kuwa Bwana na mwokozi wangu. Angaza maisha yangu eeh Mungu wangu mimi mwanao nipo tayari kuongozwa nawe. Maisha yangu nayakabidhi mikononi mwako ukaniongoze siku zote za maisha yangu. Nawaombea na watu wako ulimwenguni kote yeyote akuitaye kwa jina lako basi ukawatendee sawa sawa na mapenzi yako Amen🙏

  • @vinniebaraka132
    @vinniebaraka132 2 місяці тому +2

    Barikiwa sana pastor David, hii channel imenifunza mengi na kunifanya niwe na ujasiri wa kumtafuta mungu

  • @bridgetmbawala1029
    @bridgetmbawala1029 2 місяці тому +1

    Somo hili limeniinua kiimani. Namshukuru Mungu. Mungu akubariķi mchuñgaji.

  • @GetrudeMachimu
    @GetrudeMachimu 2 місяці тому

    Eeh Mungu katika maombi haya naomba kugunguliw nguvu za giza zote katika maisha yangu na mchumba wangu agunguliwe kwa jina la Yesu familia yangu na mdogo wangu binamu yangu watoke gerezani naamin Baba umetenda Amina😢

  • @DanfordMvela
    @DanfordMvela Місяць тому

    Bwana akuinue zaidi pr

  • @lutenenhatagambaga5050
    @lutenenhatagambaga5050 2 місяці тому +1

    Prom mbaga ubarikiwe sana tunabarikiwa mm na familia yangu; ulikuja Kilolo ckupata mda wa kukupa ushuhuda ila naamini tutakutana siku nyingne nikwambie Mungu alichotutendea.

  • @PhinaMoses-kd6fs
    @PhinaMoses-kd6fs 2 місяці тому +1

    Ahsante MUNGU napona kupitia mtumishi wako sifa ni kwako baba

  • @AlexAlipo
    @AlexAlipo Місяць тому

    Amen,nabarikiwa sana mtumishi wa mungu kwa kweli mungu amekupa karama ya ualimu na sio uchugaji tu ,

  • @WastonMkane
    @WastonMkane 24 дні тому +1

    Ingawaje sijajua somo lilitolewa lini, lakini MCHUNGAJI ww ndiye uliyenirudisha kwa bwana. MUNGU ashukuliwe sana

  • @AtimGrace-yk8sn
    @AtimGrace-yk8sn 2 місяці тому

    Amen aki nabarikiwa sana na ingili hii nikiwa Nairobi mutumishi wa mungu na mungu azidi kukutumia

  • @FridaMwaihojo
    @FridaMwaihojo 2 місяці тому +1

    Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri

  • @SamuelMwambene-b5s
    @SamuelMwambene-b5s Місяць тому

    Asante sana pasta kwakunifundisha siri hii ya maombi naomba mungu akubariki sana sana mpendwa wangu.

  • @KaviraMulumbi
    @KaviraMulumbi 2 місяці тому +2

    Amen amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @tuyizereJoel-n3q
    @tuyizereJoel-n3q Місяць тому

    Nashukuru MUNGU kwakukupa uwezo uwezowamahubiri.

  • @irineDancan
    @irineDancan 18 днів тому

    Amen and amen mimi nikohapa saudi karibu nikufena na sikukufa

  • @dianapeter9311
    @dianapeter9311 Місяць тому

    Naomba Mungu amponye baba yangu,, pr naomba uniombee

  • @EverlyneSinganga
    @EverlyneSinganga 2 місяці тому

    Amen....kpitia kwa mafundisho yako naendelea kukua kiroho na pia kumwona mungu kama kaka na rafiki wangu wa karibu.....yale mungu amenitendea na mahali amenitoa acha sifa na utukufu ziendelee kumrudia yeye maana anasitaili

  • @Theodora-k3h
    @Theodora-k3h 2 місяці тому

    Pastor Asante kwa maombi Mana nimefunguliwa na mungu kutoka kwenye nguvu za Giza Mana ulipoomba Mara ya Kwanza nilihisi Giza limetanda usoni nakama nahisi kuanguka Ila Mara ya pili na ya tatu nikajihisa nipo sawa kabisa namshukuru mungu kwa uponyaji🙏

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 2 місяці тому

    Amen my lovely Big Brother Jesus Christ my Saviour kwa kunifungua 🙏🙏🙏

  • @EvaMgongolwa
    @EvaMgongolwa 2 місяці тому

    Ahsante kwa Neno ubarikiwe mtumishi,

  • @PatriciaMwamba-h6y
    @PatriciaMwamba-h6y Місяць тому

    Tunashukuru sana Bwana kwa somo ii

  • @jeunerosemango8109
    @jeunerosemango8109 2 місяці тому

    Amina. Asante kwa maombi.
    Mungu nyumbaji na wa rehema ametenda maajabu.

  • @VanessaJohnson-lw5mz
    @VanessaJohnson-lw5mz Місяць тому

    Amen Pastor.nimefunguliwa

  • @AshaMazuri-m4g
    @AshaMazuri-m4g 2 місяці тому

    Amina nimebarikiwa sana mchungaji naomba uniombe nizidikuwa na ujasili

  • @esthersikilio657
    @esthersikilio657 14 днів тому

    NIMEBARIKIWA SANAAA

  • @EvaKsrsiti
    @EvaKsrsiti Місяць тому

    Asantee mtumishi kwa somo❤

  • @SweetbetVentura
    @SweetbetVentura Місяць тому

    Amen Amen 🙌

  • @BeatriceKingeli
    @BeatriceKingeli 2 місяці тому

    God bless you pastor mafundi zo yakoyameninua sana

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 2 місяці тому

    Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️

  • @rebeccamwangi9888
    @rebeccamwangi9888 2 місяці тому

    Amen barikiwa sana mchungaji. Nimebarikiwa

  • @GeorgeBarnaba-to5sx
    @GeorgeBarnaba-to5sx 2 місяці тому

    Amina, na kuelewa sana pastor

  • @pmgpmg7717
    @pmgpmg7717 2 місяці тому +4

    Thanks pastor for sharing napenfa mahubiri yako Sana.
    Teach us about tithe.
    Nikichukuwa tithe kwa kusaidia watoto yatima au kwa kujenga kanisa nitakuwa nimekosea?

  • @ajelicakobiazaaieaqk3278
    @ajelicakobiazaaieaqk3278 Місяць тому

    Nina mskru mungu Kwa kupitia mafundizo yameninua kiroho Sana mungu akubariki pastar undelete kubariki wengine

  • @elizabethmakaranga218
    @elizabethmakaranga218 2 місяці тому +1

    Mch Mbaga barikiwa sanaaa

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 2 місяці тому

    Amina Mungu atusaidie

  • @ngolorose
    @ngolorose 2 місяці тому

    Amina pastor tume barkiwa

  • @magdalenawerema1658
    @magdalenawerema1658 2 місяці тому

    God bless you Pastor Mbaga

  • @eunicenyandiko1389
    @eunicenyandiko1389 2 місяці тому +1

    Amen hallelujah ❤❤

  • @gladysmwende7500
    @gladysmwende7500 Місяць тому

    Amen and Amen

  • @vinniebaraka132
    @vinniebaraka132 2 місяці тому

    Sifa na utukufu kwake mwenyezi Mungu

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 2 місяці тому

    Zidi kubarikiwa Pastor

  • @golasrichard4400
    @golasrichard4400 Місяць тому

    Yesu tusaidie katika saa hizi za jioni

  • @DayanaMoshiro-gd8pr
    @DayanaMoshiro-gd8pr Місяць тому

    Hakika nimeiyona nguvu ya mungu pr ulivyo momba nimeona mwanga mkali kama moto na ulivyomaliza maombi nikaswet hakika bungu kaniweka kaniponya🙏🙏🙏

  • @pendomarc9286
    @pendomarc9286 Місяць тому

    Amen 🙏

  • @EuniceOlumbe
    @EuniceOlumbe 2 місяці тому +1

    Pr. Niombe nguvu za Giza inanisumbua na watoto wangu kuna mtoto wangu aliingia Kwa Devo na inamsumbua sana

  • @NgegeGilinde
    @NgegeGilinde 2 місяці тому

    Mungu nisaidie niodokane nazabi napepo watama

  • @dativapeter6700
    @dativapeter6700 2 місяці тому +2

    Mchungaji naomba uniombee nipokee uponyaji ili niwe ushuhuda kw wengine,n Mungu wa mbinguni ukabari

  • @mtumishiraymond2001
    @mtumishiraymond2001 2 місяці тому

    Amina 🙌🏿

  • @LenaAuko-tj1io
    @LenaAuko-tj1io 2 місяці тому

    Amina Sana from saidi

  • @phiniassoli3903
    @phiniassoli3903 Місяць тому

    Somo Zuri ubarikiwe pr

  • @stevenkaunda1124
    @stevenkaunda1124 2 місяці тому +5

    Bwana Yesu asifiwe. Jamani huyu mchungaji amewahi kufundisha somo la kutafsiri vitu lipo humu ndani you tube ila sijui lonaitwaje. Yaani majina ya vitu na maana yake naomba msaada jamani

  • @carenjepkemboi6333
    @carenjepkemboi6333 Місяць тому

    Amen 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 2 місяці тому

    Amen!

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 2 місяці тому +1

    Emeeeen

  • @PauloMole-lv4tf
    @PauloMole-lv4tf 2 місяці тому

    Ameen

  • @abbasmkambara5815
    @abbasmkambara5815 2 місяці тому

    Mbaga Baba laooo 💪

  • @Trizah-254-e
    @Trizah-254-e 2 місяці тому

    AMEN

  • @khadijajulius2611
    @khadijajulius2611 2 місяці тому

    ameena

  • @mophinenyaboke8678
    @mophinenyaboke8678 2 місяці тому +2

    Nitataka kuamini kwa zia hivi pastor niombee

  • @linzah7563
    @linzah7563 Місяць тому

    Nimebarikiwa sana kulijikuta na wasi wasi sana lakini baada ya hili somo nimejikuta grafla nina amani na furaha sana

  • @abiahmagembe170
    @abiahmagembe170 11 днів тому

    Ni Mibaraka Tele atufundishayo huyu.mjolli wa Kristo aendelee kulindwa,kujaliwa Afya njema na familia yake pasiwepo na changamoto yoyote aendelee kutukumbusha jinsi ya kuyaishi maisha ya BWANA.

  • @DianaLameck-tj7rv
    @DianaLameck-tj7rv Місяць тому

    Mungu azidi kukutumia pastor,mimi naomba naomba namba yako pastor Mbaga nahitaji kuja oficini kwako.

  • @DeboraMuyenjwa
    @DeboraMuyenjwa Місяць тому

    Pasta nasumbuliwa sana na peresha,naomba unikumbuke kwenye maombi

  • @princessmbusiro
    @princessmbusiro Місяць тому

    mchungaji nauliza hilo ombi uliloelekeza hapo je naweza kuomba na watu 2 ndugu au rafki lakin tuko mbali hata kimkoa lakin tunaombea kitu kimoja na tukapata majibu au mpaka niwe peke yangu barikiwa

  • @davidmisiwa4622
    @davidmisiwa4622 2 місяці тому +5

    MUNGU AIBARIKI HUDUMA HII

  • @AsaMtuli
    @AsaMtuli 2 місяці тому

    Balikiwa mchungaji

  • @thejungletv493
    @thejungletv493 Місяць тому

    Kuna sehemu sijaelewa kusudi la kuchinja mnyama agano la kale ilikua kuwakilisha damu ya Yesu ambayo ingemwagika na dhambi ya Kaini ilikua kukiuka huu mfumo wa ibada akapeleka mazao ya kondeni Sasa hapa kwenye unga au divai hapa ilitolewaje kuwakilisha damu ili msamaha utoke mwenye maelezo please??

  • @IliminaKiwanga
    @IliminaKiwanga Місяць тому

    Natamni haya mahubir niwe nasikikiza mda wote tu sijui na download vip yajaetu kwenye sim yangu na ki share kwawatu wengi zaidi

  • @aleroalero277
    @aleroalero277 2 місяці тому +1

    Wakati mchngaji unaomba imekuja picha kama mwamke amevali mavazi ya kiganga amelala chali, naamini Mungu ametenda jambo

  • @Ungwamissi
    @Ungwamissi 2 місяці тому

    Amen❤️‍🩹

  • @AgripinaKivike
    @AgripinaKivike 2 місяці тому +2

    Mch Mbaga kanisa letu Lina idara na ni nzuri tu je kwa Nini maombi na maombezi hata ikiitwa vingine isiwe idara kamili hi ikiwa idara na ikaimarishwa tutawavuta wote kwa christo