Am 50 yrs old now Nimekufahamu since 2 weeks ago,nakusikiliza speech zako tangu za miaka 3 iliyopita mpaka sasa nahisi sijachelewa na nitaweza kutimiza ndoto. zangu
Mungu akupe maisha marefu yenye kheri na baraka Mr Joel nanauka nakukubali Sana Allah akuzidishie hotuba na speach zako nzuri kuliko kawaida . naitwa issa nassor naishi zenj , karibu Sana.
Ubarikiwe sana kaka joel umekuwa ni baraka kubwa mno kwetu na kuna watu walikata tamaa lakini baada ya kusikiliza mafundisho yako wameona wana sababu zaid ya elf 10 za kuishi 🙏🙏
Mr Joel mm nakupa big up San uko vym .🙏
ASANTE MENTOR, MASTER ARTHUR NANAUKA JOEL 🙏🙏🙏
Umeua kwenye hii elimu unayotupatia bureee Arafati Tz nanyumbu mtwara
Am 50 yrs old now
Nimekufahamu since 2 weeks ago,nakusikiliza speech zako tangu za miaka 3 iliyopita mpaka sasa nahisi sijachelewa na nitaweza kutimiza ndoto. zangu
Mungu akupe maisha marefu yenye kheri na baraka Mr Joel nanauka nakukubali Sana Allah akuzidishie hotuba na speach zako nzuri kuliko kawaida . naitwa issa nassor naishi zenj , karibu Sana.
Asante sana Mr Joel , Nina mshukuru Mngu mwenye kutupa mutu kama wewe🙏
(ENOCK from Rwand🇷🇼)
Mungu akubariki sana wasema kweli umeniumbia kitu ndani ya maisha ya ngu🇨🇩
Ukweli kabisa mungu akubaliki sana . Kupitia mafudisho yako sai najitabua sana .
Ahsante sana kaka Joel leo nimejifunza kitu kikubwa sana MUNGU akubariki
Kiukweli speech zako huwa nazikubali sana. Hasa kwa jinsi unavyotoa mifano
Maneno ya kiingereza mm cyaelewi, muwe mnajikita kwenye lugha zetu zilizonyooka ili tuwe tunaelewa zaidi.
Ni kweli baba mafundisho yako mazuri sana
Watu watatu kama wewe dunia inakuwa sehemu nzuri yaku ishi 🤝❤️🫴
You never disappointed daddy 👏🏼👏🏼🙏🏻 be blessed
That's what you said ni vizuri ❤
Ahsante sana kaka nina jambo langu nitakushirikisha kama unaniruhusu maana umekua mtu muhimu sana kwangu.
Ahsante 🙏
Nimekuelewa sana kaka
My MENTOR, God bless you
Asante kwa mafundisho yako Mr.Joel
Safi sana okoa jamii n kazi ya Mungu iyo
Kaka nakupenda sana unafundisha Mambo mazurió sana
Barikiwa sana kaka,na Mungu azidi kukujaza maarifa ili wengine tunufaike❤❤❤
Ubarikiwe sana kaka joel umekuwa ni baraka kubwa mno kwetu na kuna watu walikata tamaa lakini baada ya kusikiliza mafundisho yako wameona wana sababu zaid ya elf 10 za kuishi 🙏🙏
Asante san umetfunua san mung akuwek maish marefu
we jamaa uishi milele najivunia sana kuwa haki kipindi kimoja n wwe
God bless you servant of God
Uko vzr unafaa kuwa kiongoz wa taifa
Barikiwa Sana bro unatupa madini imara
Kaka Mung anakutumia kushape zone
Mi nakukubali sana mungu akubariki
Mungu akubariki sana sana ki ukweli Huwa unanifanya kupiga hatua kubwa
Unanifungua Sana ubongo na maneno yako na vitabu vyako usichoke kutupa maarifa
Mungu akubaliki sana!
Neno moja tu kaka Nashua sana
Brain Vitamins from this man is such an awesome❤
Kweli kabisa
asante kaka @nanauka ❤
Noel tunashukuru Tanzania lazima tupambane tuzishinde roho za umasikini 😢
Facts and inspires for really get u from malawi as a refugee in dzaleka dowa
Jamani uko sahihi mmmh penye kusaidia ndugu hapo hakika yakikukuata hata kama uliwasaidia vipi hawakusaidii dah Wacha nichukue hatua binafsi nimeshuhudia
Hakika umenifungua Leo
Unatakiwa utumie Lugha moja wapo,Kama Kiingereza au kiswahili
Nakutakia kila la kher
Brother Mungu akubariki sana
Kaka ubarikiwe sana
Kila siku napenda kuchukua point zako, napenda unachokifanya bro. Mungu akubariki sana Ili uzidi na uzidi kutupa hayo madini.
Brave one day I'll meet with you for more conversation sir brace
Mr joel nmekuelewa
Asante sana
Kweli ndugu yangu
Fact sana bro
Mm nilikua nataka no Yako kaka
Fact😢😢😢
Thanks a lot a man of God
Hakika ❤
Barkiwa sana
Good advice broh I want to be alike oneday🙏🙏
Sensa ya nchi gani hyo kaka
😅😅😅😅
BE BLESSED.
Be blessed
I'm speechless!
❤ asante Kwa kweli
Nakuelewa sana
Mwalimu ❤😊
Mwalimu wanqu huyu 👨🏫
UBARIKIWE KAKA
KAKA WEWE MTU BORA SANA
Blessed
Tatizo Unachanganya Lugha,
Madini ya kutosha
Nimekupata kaka
Asante brother ❤
Shukrani somo nzur la kujifunza 🙏🙏
Good bro
Vitabu vinapatikana wapi na vinauzwaje
Great
naitaji namba zako braza joel
Asntee
Kaka nilikuwa naomba unisaidie kwa kutoa ushauri kuhusu upambanaji kwa eneo la shule
🙏🙏🙏
💯💯
❤❤❤❤🎉
✍️
🧠🧠🧠🧠
😆😆😆😆💯💯💯💯💯💯💯💯💯
👍👍👍👍👍
That's what you said ni vizuri ❤
Asante sana