Wananataka mazur waoooo tu😢😢😢 wapo wanawake walojitahidi Kila sector lakin mwanaume anaamua kuchepuka na mtu ambae Hana nyuma Wala mbele mhhh mapenziiiii yaacheni tu kama yalivo
Wanaume wanataka kupendwa wao tu lakini hawana upendo wa kweli kwa wake zao.kama ww ni mkristo ukumbuke biblia inasema wawapende wake zao km Kristo alivyolipdnda kanisa.
Kwa sasa wanawake changamkia fursa ninachoamini hakuna mwanamke asiependa kumpendeza ni maisha tu mwanamke jitafute ujipate sali,mwamini Mungu heshimu watu . Utapendwa tu .
Kama hauna mwanaume utavaa vizuri au rafurafu? Kama utajitunza ata kama ukiwa single başı kujitunza ndio iwe tabia yako sio mpaka ukiwa na mume cos hiyo itakuwa rahisi ata ukipata mume utaendelea na usafi wako bila kungoja hadi afanye yeye
@@PrinceBenjamin-b7w heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
Kaka ushauri mzuri,ila kakangu kuna wanaume wengine vicheche,mtu unajitaidi kufanya kila kitu,usafi,mahaba lakini bado utareswa na maneno juu,anakwambia mim sishitushwi na mambo yako,mpaka anakwambia sipendeki wakati kuja alikuja mwenyew kuku aproji😢Dah we acha tu😢😢anatumia hayo mapochopocho unayomfanyia kukuadhibu😢wengin waseme mim mmmmh 🤐
Ni kweli usemayo mwanamke akisimamia hapo utaskia kamroga kumbe wao hawana na hawayajui hayo, safi sana mwenye kujifunza na ajifunze upendo hutengenezwa kwa juhudi maalum pande zote. Wanawake wengi wa sasa hawayakubali haya wanaona yote ya nini wakati ndio kazi yao dunian kuwa kitulizo cha mume.
Hivi huyo mwanamke mtumwa au mke kama kubembe leza hata mwanamme abembelexe mapenzi sio mwanamke peke yake usijifagilie mnapenda sana sifa AkiendA aende
❤basi ninae mwanaume shetani, namfanyia kila kitu kizuri lkn kwa kujitegemea kwa hela yangu mwenyewe. Hela yake anamtunza nayo Dada yake anayemwita ni muhitaji wake na alimtoa mwenye kwa mume wake eti alikuwa anateswa na mumewe. Kwa hiyo yeye ndiye anamtunza yaani kamtoa kwenye mateso. Lkn mimi mkewe najitunza mwenyewe nikimwomba hela yeyote ananiambia mimi sio wa kumwomba hela yeye anatoa hela yake kwa wahitaji na wahitaji ni dadake na watoto wa dadake (wapwa) zake. Nikimuuliza shida na mahitaji yangu nikapate wapi ananiambia yeye ananipenda na mimi natakiwa kitii chochote anachokifanya ni Amri ya Mungu hiyo. Jamani huyu mwanaume umfanyie nini? Nisaidieni.
Nakwambia haya mafunzo kwa mwenye anapenda ndoa yake ,,yana faida 💯 Kwa kweli niko 95 percent ,hiyo tano ni saa zile nimechoka/kukasirika. But i appreciate my husband ananishukuru hadi sometimes ananisaidia kupika.kwa yale nimeyafanya😂😂❤❤
Mh MTU akikupenda kakupenda tu kuna mama hapa mtaani kwetu nimchafu atali miguu imempasuka ukiingiza 200 inazama lakinianapendwa na mumewe atali mumewe msafi yuko smati ila sasa uyo mwanamke mchafu atali akienda kuoga dk2 nying atakama umebanwa natumbo rakuhala akiingia chooni msubili maana akawii kutoka ila sasa anapendwa atali
Fundisha wanaume mwezako usafi Kuosha pumbu mkundu wakitoka kunya wajioshe vizuri mikundu yao Kusugua meno na KINYWA Kwapa kunyoa na Kuosha vizuri JAMANI WA BABA NI WACHAFU HALAFU UKUTANE MUBABA MJEULI HATAKI KUAMBILIKA KABEBA UJEILI KWENYE DAMU
Mungu wangu jmn kuhusu mwanaume kutoosha pumbu na mkundu jmn ukifua boksa unakuta mavi jmn mm nilishafikiria vby mwenzenu jumlisha mwanaume kujamba kulko mwanamke jmn mm cjui mwenzenu🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Numependa sana somo lako! Tstizo langu ni wake wanawake mtu anaamka na night dress kutwa mpaka jikoni anaingia nayo! Mie utakosana na mie na chakula chsko sili! Good advice brother continue to educate more women ❤❤
Tengeneza na topic ya wanaume pia. Sometimes I advise you to prepare a topic which will benefit people /society. You seem to be a man of diginity so try to maintain your profile please.
@@ElizabethMasamu Asante kwa ushauri.. but ukitembelea videos zangu utaona mafundisho mengi sana yamewalenga wanaume so nafanya hivyo n nitaendelea hivyo nashukuru
Mfyuu! Somo zuri Lakn kwa mwanamme anae kitambua anastahil kufanyiwa hivyo. Sio mwanamme hajui nahitaji ya mkeo hata shopping Kwa mwanamke hajawah kufanya hata siku moja, Kwa nn asivaliwe dela la kuchanika.
This is only applicable for house wives, a woman who has nothing else to do, Ila ndoa tu. Huu ndio Mimi huita upuzi wa hali ya juu…siku hizi kila mtu amesoma,kazi,sote tuko busy. Once in a while we spoil each other but isiwe mwanamke ndie wa kufanya tu na yeye hafanyiwi chochote. Wanaume watoa uvundo kwenye miguu, Pia SISI tumechoka na harufu mbaya.
Nakuelewa sana mpendwa. Ila nakuomba utafute video moja hapa hapa inaitwa Kosa la Mwanamke humo nimeeleza vizuri sana kuhusu huu mtazamo ulionao na natumai utanielewa vizuri sna.
Usafi mpaka usubirie kutunzwa kweli? Inamaana bila mwanaume utakuwa hauogi wala haupendezi kweli? Usafi ni jambo muhimu sana mpendwa ata kama upo Single mpendwa sawa mamaa.
Piano wanaume wanauka kola sehem napia hawatosheki hata ufanyeje viruka njia nyinyi sana mapumbu yananyata kama asali hakogi ila kwa kulala usijidai nass hatuwapendi pia upo bwamdogo tupishe uko muendekeze nyie tu kwalipi muhim umechelewa subutu aaaaa!
Mwingine hata ungeyafanya hayo ni bure tu,mbwa ni mbwa tu hata ungemfanyia nini hata kaa aridhike,hata ungekuwa na mahaba kwa kiasi gani ni bure tu,wapo warembo lakini wameachika,hii tote sio suluhisho,suluhisho ni mungu tu aingilie ndoa zetu,tabia haina dawa,
@@renathakalamage4931 weeeeeh ufundi upo mpenzi upo ufundi wa maeneo mengi mpendwa ukiona kaondoka kwako niamini nikikwambia kipo alichokifata kwingine
Kwa usafi wa nyuma na kubaliana nawe..lakini hayo mengine Nooo sikubaliani nawe.ongea na wanaume wenzako wajue mahitaji yao juu wanaume wengine hawa hudumii wanawake zao , sasa kama hata kutoa pesa ya sabuni ni shida mtu atafanya nini.. kwenda huko
Mada yako nzuri lakini nyinyi ni wabinafsi sana mnataka nyinyi tu mfanyiweyote mbona nyinyi hamtupi hayo mahaba mnajipenda ww tu hununui pafyum nguo mwanamke akavae nn 17:34
@@Afsa-z2v Mwanamke ukimpa nyama ya ulimi naku mheshimu nakumuonyasha upendo na kurekebishana Kwa hekima haki hata hicho kidogo umpacho ataridika na atakua.msafi Kila mahali,hakuna Mtu apendaye uchafu hutokea juu ya shida,ama wewe unapenda uchafu😅?
Kujitunza gharama hakuna mtu anapenda kuwa mchafu ila wanaume wenyewe hawatupi pesa tutajitu nza vipi mimi mwenyewe nauza mihogo na namtumia kuni nikipata buku ndio niwapikie watoto bamia ntanukua kweli
Jamani Unaweza ukawa smart sio lazima uwe kama Hamisa Ila Unaweza kuwa smart kwa level yako na unavyojiweza, umaridadi uficha umasikini sio kwasababu hauna ndio unuke moshi jamani😰
Crispin,bado u mdogo Sana katika nyanja hiyo, mahaba na michezo ipo pande zote, si kwa mwanamke tu mnaatakiwa nyote muwe hivyo. Nikwambie wanaume wengine Kama kuku, akifika mapajani tu tayari, hawana stamina.katika Hali Kama hiyo Sasa si utakaaa kwa mateso?wakati mwingine ndio sababu unakuta house boy anakusaidia kumrudhisha mkeo. Kama Hiyo hakîtoshi, mwanaume mkeo anaogea sabuni jamaa nakufulia na kuoshea vyombo,Sasa unategemea hiyo itaondoa kikwapa ilihali anapakaa mafuta ya nazi?. Wanaume mmbadilike kwanza ili na wake zenu wawe nadhifu.
@@marympochela7903 Kwahiyo usipokuwa na mwanaume si ndio adi sabuni ya kuogea utaikosa wewe ata mafuta nahisi hautakuwa nayo😣. Usafi ni jambo binafsi mpedwa sio hadi uwe na mwanaume Mama yangu maana mimi nimeshakuwa mdogo so wacha niongezee hapo Unatakiwa kuwa msafi ata kama ukiwa single.
Jaman ndoa ngum kwel 😮😮😮yote hayo afanyiwe mume mke anafanyiwa nn❤❤❤mwanamme hajui anachokitaka katika mapenzi
Kwakwel aliziki
Umeonaeeeeeeeeee, mara nyingibwanaume hawa timizi majukumu yao ila mke anajiongeza tu, ila wanaume hakuna kujiongeza wala nini
Wananataka mazur waoooo tu😢😢😢 wapo wanawake walojitahidi Kila sector lakin mwanaume anaamua kuchepuka na mtu ambae Hana nyuma Wala mbele mhhh mapenziiiii yaacheni tu kama yalivo
Nashangaa pia
@@SabinaChacha-dy2ygmwanaume hataumpe nini atachepukatu. Huwa awaliziki na mwanamke mmoja hayondiyo maumbile yao
😂😂 hapo kwenye dira ma chupi 😅 jaman kaka nimecheka sana, namshukuru Mungu niko msafi kwakweli nauchukia uchafu, ila kuna wanaume wachafu sana pia
Karibu saana, na usiache ku subscribe🙂
@@mbekitv693utakuta wewe ndo nimchafu namba 1
Wanaume wanataka kupendwa wao tu lakini hawana upendo wa kweli kwa wake zao.kama ww ni mkristo ukumbuke biblia inasema wawapende wake zao km Kristo alivyolipdnda kanisa.
Hl n kwel nakuxapt
mke sio wake😅
Atali wewee
Kwa sasa wanawake changamkia fursa ninachoamini hakuna mwanamke asiependa kumpendeza ni maisha tu mwanamke jitafute ujipate sali,mwamini Mungu heshimu watu . Utapendwa tu .
Amen🙏
Wenye hizo sifa hatuna bahati 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 why God
@@FurahaThadeus Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
@@mbekitv693 hzo darasa unalipia au
Baba asante kwama fundisho munatowa mungu akubariki zayidi@@mbekitv693
Asante kaka kwa elimu zuri unayo tupa me bado sijaolewa ila kunavitu nimejifunza sana
Good👏
Naomba nikuoe
Vizur na mtununulie na nguo pafyum salon nadhan hakuna ambaye hapend kuoendeza
Ndio sitaki ndoa hizo kazi nyingi sana. Watoto, kazi za nyumbani, jumlisha na huyo mtoto mtu mzima mwe😅😅
Ndoa haikwepeki ni kama hatma tu wakati ukifika ama riziki yako ikifika hautakuwa na chaguo. So no vyema ujiandae 😀
😂😂😂
Kama unanipa pesa sawa
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
😂😂😂😂😂
Asante kaka kwa elimu zuri unayo tupa me bado sijaolewa but nimejifuza vitu mingi sana kutoka kwako may god bless you
@@AdmiringChameleon-uw6ol asante sn
Huyo mke anaekaa Madela mabovu Huyo mume Kazi yake nn kama SI kumtunza mkewe kula mavazi na maradhi Au hulitambui Hilo muhudimie Atakuwa vizuri.
Kama hauna mwanaume utavaa vizuri au rafurafu? Kama utajitunza ata kama ukiwa single başı kujitunza ndio iwe tabia yako sio mpaka ukiwa na mume cos hiyo itakuwa rahisi ata ukipata mume utaendelea na usafi wako bila kungoja hadi afanye yeye
p😅p😅p😅p😅😂
@@nyahumuresoleil1901M
Wanaume hamjui kuvisha wake zenu mnaubinafsi. Wapendezesheni wake zenu
@@johamrisho8637 Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
Jaman nimependa p0kea maua yako❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@@PrinceBenjamin-b7w heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
Kaka ushauri mzuri,ila kakangu kuna wanaume wengine vicheche,mtu unajitaidi kufanya kila kitu,usafi,mahaba lakini bado utareswa na maneno juu,anakwambia mim sishitushwi na mambo yako,mpaka anakwambia sipendeki wakati kuja alikuja mwenyew kuku aproji😢Dah we acha tu😢😢anatumia hayo mapochopocho unayomfanyia kukuadhibu😢wengin waseme mim mmmmh 🤐
Ni kweli usemayo mwanamke akisimamia hapo utaskia kamroga kumbe wao hawana na hawayajui hayo, safi sana mwenye kujifunza na ajifunze upendo hutengenezwa kwa juhudi maalum pande zote. Wanawake wengi wa sasa hawayakubali haya wanaona yote ya nini wakati ndio kazi yao dunian kuwa kitulizo cha mume.
Hivi huyo mwanamke mtumwa au mke kama kubembe leza hata mwanamme abembelexe mapenzi sio mwanamke peke yake usijifagilie mnapenda sana sifa AkiendA aende
❤basi ninae mwanaume shetani, namfanyia kila kitu kizuri lkn kwa kujitegemea kwa hela yangu mwenyewe. Hela yake anamtunza nayo Dada yake anayemwita ni muhitaji wake na alimtoa mwenye kwa mume wake eti alikuwa anateswa na mumewe. Kwa hiyo yeye ndiye anamtunza yaani kamtoa kwenye mateso. Lkn mimi mkewe najitunza mwenyewe nikimwomba hela yeyote ananiambia mimi sio wa kumwomba hela yeye anatoa hela yake kwa wahitaji na wahitaji ni dadake na watoto wa dadake (wapwa) zake. Nikimuuliza shida na mahitaji yangu nikapate wapi ananiambia yeye ananipenda na mimi natakiwa kitii chochote anachokifanya ni Amri ya Mungu hiyo. Jamani huyu mwanaume umfanyie nini? Nisaidieni.
Kamroge atakaa sawa tyuu
Achana naye huyo amwoe dadake
Achana nae kaanze maisha yako huyoo ni mnyonya damu sio mume
Asante brother kwa ushauri Thanks you for Everyting
Karibu saana mpendwa
Asant kwa elim nzuri,unatufundisha tujisahau.
@@JudithLoserian karibu sn
Ila mke wako anaraha Sana kapata mwanaume anaejitambua kwenye mahusiano na ni mbunifu pia hongera🎉
Na mimi pia ni binadamu mpendwa so sijakamilika saaaaana😀
Thank you for your good advice
😂😂😂😂
Asante kwa mafunzo mazuri kweli❤❤
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
Yeye ndio huniosha miguu,niko na mimba kubwa hata mguu siwezi kuosha,,,wanaume sometimes mtushughulikie hata nyinyi,,,wacheni kutusumbua hapa,,
Zamu yao kuwaambia itafika ila kwasasa. I zamu yenu kwanza
True ,wakimbushee,ni haki.kumpa kitumbua kwa style zote yeah nimo sawa kwa .kote ya rabbil amina
Kuna wanaume pia wachafu sana, mwanaume ananuka mapumbu, ananuka mdomo , ananuka kikwapa cha hatari hao pia wapooooo
😂😂😂😂😂
@@JacklinePoyongo-xe7io 😂
Ndo hapo sasa. Wewe uwe msafi yeye mchafu how come? Wanaume ndo wachafu kuliko wanawake
Kama mkenya ako hapo aniambia 😂😂😂😂😂😂😂😂
@@vanessalaizer4363 kwakweli
Asante kaka nimejifunza kitu 😊nikiolewa tena ntamfanyia mume wangu na atafika vilele vyote😂😂ila kwa sasa bado niko mbioni
@@ummibabysalim9522 Mungu atakubariki😊🙏
Shukra kwa ushauri mzuri sana ubarikiwe
Karibu sn n usiache ku subscribe
Ahsante kwakutuweka wazi
@@StellahGodfrey-o1v Karibu😊
Hata umfanye vp mwanaume Hana akipendacho Ni zumbukuku tu
Jamani usiwafanyie hivyo🙆♂️
Dada umenitonesha kidonda
Mimi nacheka tuu
Jamani 😂😂apo kwenye chupi zakutoboka haaaa 🤣🤣🤣 mambo yangu ayo 😂😂😂sema mimi sina mume 😂😂
😂😂😂😂😂
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu,wewe mwanamke ukiweza kuwa msafi unashindwaje kumfanya mumeo awe msafi,
Kaka ,nmependa elimu yako,Mungu akubariki
Kweli kabisa mpendwa una mawazo mazuri👏
swadakta umeongea point sana 🥰❤️
@@jasminselemani62 asante sna😊
Asantee kwa somo zuri
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
Iyo ndoa wacha ikae,bora tuandikiane mkataba,keee
Tena mtahukumiwa na mandoa yenu hayo sana wanaume sijui mijanaume ikoje mbona mihuni.sana shetani anaitumikisha mimiana ndoa mm nachukia
Ahsante kwa elimu nzuri
Karibu saaana
😂😂😂😂😂😂 my God ni mecheka kwenye madira 😂😂😂😂😂 ss tusie juw kujipodoa
Fanya kitu cha kukufanya uvutie
Nakwambia haya mafunzo kwa mwenye anapenda ndoa yake ,,yana faida 💯
Kwa kweli niko 95 percent ,hiyo tano ni saa zile nimechoka/kukasirika.
But i appreciate my husband ananishukuru hadi sometimes ananisaidia kupika.kwa yale nimeyafanya😂😂❤❤
Wwwwoo👏👏
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Daaah ni kweli unachosema bro lakin mahusiano n fumbo mm naona damu ziendane tyu ilihsia zwepo kwa wenza pande zote
hata ukirembaa mtu hata hakusifii mmmmh! unachoka ati
hahahahaa bora useme mama angu hakuna kitu hapo
Nmeeeecheeeka kma mazuuur
Yes yes good thanks 🎉🎉❤
Karibu katika darasa letu la WhatsApp 0659152333
Kujifunza ni vizuri jamani kuliko kupinga jamani watanzania lililo la kwako toa la kwako na ujitafute
Hakika
Asante sana kaka yangu Mungu akutunze inategemeana na mwanaume
Mh MTU akikupenda kakupenda tu kuna mama hapa mtaani kwetu nimchafu atali miguu imempasuka ukiingiza 200 inazama lakinianapendwa na mumewe atali mumewe msafi yuko smati ila sasa uyo mwanamke mchafu atali akienda kuoga dk2 nying atakama umebanwa natumbo rakuhala akiingia chooni msubili maana akawii kutoka ila sasa anapendwa atali
mnato hapo
Asante kwamafunzo mwenyekusikia naasikie
Fundisha wanaume mwezako usafi
Kuosha pumbu mkundu wakitoka kunya wajioshe vizuri mikundu yao
Kusugua meno na KINYWA Kwapa kunyoa na Kuosha vizuri
JAMANI WA BABA NI WACHAFU HALAFU UKUTANE MUBABA MJEULI HATAKI KUAMBILIKA
KABEBA UJEILI KWENYE DAMU
Sawa mpendwa asante kwa maoni nimeyapokea
Jaman nimecheka sanaaaa
@@janechaula2870 😀
Mungu wangu jmn kuhusu mwanaume kutoosha pumbu na mkundu jmn ukifua boksa unakuta mavi jmn mm nilishafikiria vby mwenzenu jumlisha mwanaume kujamba kulko mwanamke jmn mm cjui mwenzenu🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Hahahaha
Apo kwa chupi 😂😂😂😂zina matobo ndio mm ssa😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️hoooowiiii
😅
😂😂😂
@@FelisterOnderi msisahau ku subscribe jamani😀
Hahahaha na sidiria moja kila siku ....
@@joycehaule9717 Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
Numependa sana somo lako! Tstizo langu ni wake wanawake mtu anaamka na night dress kutwa mpaka jikoni anaingia nayo! Mie utakosana na mie na chakula chsko sili! Good advice brother continue to educate more women ❤❤
Asante sn🙏
Tengeneza na topic ya wanaume pia. Sometimes I advise you to prepare a topic which will benefit people /society. You seem to be a man of diginity so try to maintain your profile please.
@@ElizabethMasamu Asante kwa ushauri.. but ukitembelea videos zangu utaona mafundisho mengi sana yamewalenga wanaume so nafanya hivyo n nitaendelea hivyo nashukuru
asante sana 🎉🎉nimejifunza kitu kbsaa nshkr
Karibu sna na usikose sehemu ya pili
Sauti gani Tena Kama mtu Una hisia
Mafundisho mazuri ,asante
@@AgnessKomba-qg1es asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
Asante kwa masomo mazuri
Karibu sn mpendwa, na usiache ku Subscribe kwa mengi mazuri
Ahsante jamaa yangu
@@rejinaglory Karibu
Imeeleweka kungwi..😍 wenye wapo na mahusiano watajifunza hapa... Lakini hata nje ya mahusiano ni muhimu pia.. haswa suala la usafi
Kabisaa
Na usikose muendelezo wa hilo somo.
Sawa kabisa anatokaje sasa mwanaume kwa mfano kitanda kimenyoka ahsante
@@selemaniseif7767 😀
Inategemea yeye anajitoa vipi kwako ndoa ni kupendana sio utumwaaaa
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
Safi sanaaaaaaa nimeipenda
Asante kua chauriwako❤❤❤❤
Karibu
Dila limechanika kwenye kwapaaaaa khaaaaa umenichekesha 🤣🤣
Yaani😀
God bless u kaka.nimejifunza mengi kwako
@@جنئكينيا asante sn mpendwa
Mwanaume mwenyewe naye anatakiwa atoe matumizi ilimwanamke aweze kujipanga kama kama amaacha 200 ya mboga unajigmngarisha na nini sasa.
Hahahaha
Mfyuu!
Somo zuri
Lakn kwa mwanamme anae kitambua anastahil kufanyiwa hivyo.
Sio mwanamme hajui nahitaji ya mkeo hata shopping Kwa mwanamke hajawah kufanya hata siku moja,
Kwa nn asivaliwe dela la kuchanika.
Hiyo yote hayasaidii kaka mwanaume akiamua kukuacha atakuacha tu
Fanya kwaajili yako
Kwanini mwanaume akuache unakua hujitambui mwanamke
@@alexbayingana7879 Achana na hizo habari wanaume hawana shukrani
@@mbekitv693kwaajili yangu ndo nini?😂 ukishakuwa unamfanyia hivyo mtoto wa mtu lazima uwe na expectations.. sasa matarajio yakiwa ndivyo sivyo unaachaje kuumia😅 yaan mimi nikuhangaikie kias hicho alafu unichukulie poa aah we!
Ila ukijitahidi atamkiachana atakumiss
Asante sanaaa nimejifunza kitu kikubwa sanaaa mungu akuzidishie inshallah
Hongera kaka mafunzo mazuri ila yataka moyo. ndoa za sasa zina mengi.Wanaume wengi wao ni wasaliti sana wana tamaa sana.
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
Be blessed
@@BenimanaJeannette-b3r asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
This is only applicable for house wives, a woman who has nothing else to do, Ila ndoa tu. Huu ndio Mimi huita upuzi wa hali ya juu…siku hizi kila mtu amesoma,kazi,sote tuko busy. Once in a while we spoil each other but isiwe mwanamke ndie wa kufanya tu na yeye hafanyiwi chochote. Wanaume watoa uvundo kwenye miguu, Pia SISI tumechoka na harufu mbaya.
Nakuelewa sana mpendwa. Ila nakuomba utafute video moja hapa hapa inaitwa Kosa la Mwanamke humo nimeeleza vizuri sana kuhusu huu mtazamo ulionao na natumai utanielewa vizuri sna.
Umenichekesha Uvundo kwenye miguu.
Mh mungu atusaidie ilitukiopewa kwenye ndoa zetu tuwafanyie il nas tudumu 0:00
You deserve a subscription..one pup!
Asante sn😊👏
Jamani huyu mkaka noma. Du,
Mambo😀
Wanaume nao wachafu sana
🎉🎉😂Shida sio huo usafi shida huyo mwanaume anamtunza mwanamke wake kwa vitu hivyo?
Usafi mpaka usubirie kutunzwa kweli? Inamaana bila mwanaume utakuwa hauogi wala haupendezi kweli? Usafi ni jambo muhimu sana mpendwa ata kama upo Single mpendwa sawa mamaa.
@@mbekitv693 sio kwamba usafi hadi kusubiri kuolewa laahasha
Kuna vitu vingine tu ulivyo vinzungumzia
😂😂😂🤣 usafi wako mwenyewe mpaka utunzwe!!! Mmmh mapenz shikamoo🙉
Piano wanaume wanauka kola sehem napia hawatosheki hata ufanyeje viruka njia nyinyi sana mapumbu yananyata kama asali hakogi ila kwa kulala usijidai nass hatuwapendi pia upo bwamdogo tupishe uko muendekeze nyie tu kwalipi muhim umechelewa subutu aaaaa!
MMH
❤ I love it
Thnks mpendwa
Usisahau Ku Subscribe🙂
Ahsante kwa ushauri
Karibu
Mwanaume akipenda kapenda tu unaweza fanya yote na bado akakuchukia 😂😂
Hiyo haitabadili uzuri wako wewe fanya kwaajili yako
Asante sana kaka yangu nimejifunza mengi asante
@@MonnaclassicFashion good
Hahahahahahah ila kaka unamdomo wew balaaa
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
Atar aiseee ila Kuna watu wako perfect na wanachukiwa😔
Hilo sio tatizo lako, kama utakuwa sawa na mtu atashindwa kuliona hilo basi hiyo ni hasara yake na wala sio yako na lazima atakuja kujutia.
Kweli hawana jema
Kaka umeongea point saan...mungu akubariki 🙏
Vizur
Tanx
Toeni pesa hakuna mwanamke mchafu😅
😂😂😂😂 jamani nimecheka ila pia ili somo uwape nawanaume kwani wanaume nishelia kuoga kutwa mara moja sipendi mwanaume asiye penda kuoga jamani
@@adelajames6119 sawa 😀
Wanaume wengine wananuka mikojo kwa kweli
MIKOJO🤔???
😂😂😂😂😂😂Yani nyinyi mna mambo kweli 😂
Jamaniiii
@@mememmeme7939 😀
😂😂😂😂
Pia hongera sana kaka kwa ushauli ubalikiwe
@@zawadimohamed-i1d asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
Ushauri mzuri kabisa
Karibu sn mpendwa
Usisahau Ku Subscribe🙂
Ata uwe vipi kama hupendi hupendi hupendi tuu 😅😅😅
Mwingine hata ungeyafanya hayo ni bure tu,mbwa ni mbwa tu hata ungemfanyia nini hata kaa aridhike,hata ungekuwa na mahaba kwa kiasi gani ni bure tu,wapo warembo lakini wameachika,hii tote sio suluhisho,suluhisho ni mungu tu aingilie ndoa zetu,tabia haina dawa,
Kuwa Mwanamke wa namna hiyo Usiwe Mwanamke kulingana na Wanaume
Plz Usiache Ku Subscribe
Kwel kabisa mpenzi hayana ufundi
@@renathakalamage4931 weeeeeh ufundi upo mpenzi upo ufundi wa maeneo mengi mpendwa ukiona kaondoka kwako niamini nikikwambia kipo alichokifata kwingine
Ukimpenda mkeo utamrekebisha kwa upendo na ataelewa tu.
Shukran saana bro umegonga ndiipo
@@NasurAli-sx3bb 😊
Kwakweli umetufunza kitu😊😊😊😊
Asantee kaka upo vzr sanaa❤
@@winilucas asante sana😊🙏
Kwa usafi wa nyuma na kubaliana nawe..lakini hayo mengine Nooo sikubaliani nawe.ongea na wanaume wenzako wajue mahitaji yao juu wanaume wengine hawa hudumii wanawake zao , sasa kama hata kutoa pesa ya sabuni ni shida mtu atafanya nini.. kwenda huko
Labda usafi mengine jovyooo na wanaume hao wajitafakari 😂😂😂😂
Mada yako nzuri lakini nyinyi ni wabinafsi sana mnataka nyinyi tu mfanyiweyote mbona nyinyi hamtupi hayo mahaba mnajipenda ww tu hununui pafyum nguo mwanamke akavae nn
17:34
@@Afsa-z2v Mwanamke ukimpa nyama ya ulimi naku mheshimu nakumuonyasha upendo na kurekebishana Kwa hekima haki hata hicho kidogo umpacho ataridika na atakua.msafi Kila mahali,hakuna Mtu apendaye uchafu hutokea juu ya shida,ama wewe unapenda uchafu😅?
Kwanzia leo nitamfanyia mmewanguu❤❤ asante sanaaa❤❤❤
DERA! SIO DELA!
Ok
Mafundisho mazuri kweli ubarikiwe kaka
Asante sn
Kama wewe ni mkenya kuja hapa hy mwalimu uko single ama😂😂😂😂😂
Hatari
@@mbekitv693 hahaha
Kunguru hafugiki
@@ElizabethJoash 😢😀
Ahsante sana❤❤
Karibu sn
😂😂😂😂😂aise nimecheka vile unaigizia "bebi nacomee nacomee... usicome usocome mi bado😂😂😂 ...but nime-enjoy n kujifunza pia
Ahaha ndio mambo yako nini hayo😎😀
@@mbekitv693 akuu..🤣
Bwana wee kuna wanaume wananuka kama nini midomo mikundu na mapumbu kunanuka ajabu
😂😂😂😂😂😂
Mapumbu 😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂Wambieee,
Ni ukweli usemayo lakini hamtosheki anyway Acha tutimize wajibu🎉
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
Nilimpenda kwa kila kitu ila akaniletea gono ndani😢
Eeh
Pole mwaya
Mmm pole
Kweli jaman nashukuru MUNGU anaipa hekima jinsi ya kuwa msafi hata na mpenzi wangu
Karibu kutazama video yangu mpya
Asante kwa mafundisho
Karibu sana
Mwanamke kazi kwanza urembo baadaye mwanamke si pambo unaonekana umekaa warabuni wewe.
Ka wale wanatengemea habari ndio hiyo
😀
Mimi siogi, sipigi mswaki ila kwa kua kipato ninacho napendwa ajabu, hela wewe 😂😂😂
@@rosedzuya6869 😀
Kujitunza gharama hakuna mtu anapenda kuwa mchafu ila wanaume wenyewe hawatupi pesa tutajitu nza vipi mimi mwenyewe nauza mihogo na namtumia kuni nikipata buku ndio niwapikie watoto bamia ntanukua kweli
Jamani Unaweza ukawa smart sio lazima uwe kama Hamisa Ila Unaweza kuwa smart kwa level yako na unavyojiweza, umaridadi uficha umasikini sio kwasababu hauna ndio unuke moshi jamani😰
Crispin,bado u mdogo Sana katika nyanja hiyo, mahaba na michezo ipo pande zote, si kwa mwanamke tu mnaatakiwa nyote muwe hivyo. Nikwambie wanaume wengine Kama kuku, akifika mapajani tu tayari, hawana stamina.katika Hali Kama hiyo Sasa si utakaaa kwa mateso?wakati mwingine ndio sababu unakuta house boy anakusaidia kumrudhisha mkeo.
Kama Hiyo hakîtoshi, mwanaume mkeo anaogea sabuni jamaa nakufulia na kuoshea vyombo,Sasa unategemea hiyo itaondoa kikwapa ilihali anapakaa mafuta ya nazi?. Wanaume mmbadilike kwanza ili na wake zenu wawe nadhifu.