Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Ahsante Rais mwinyi Allah akupe Afya Njema Umri Mrefu ili utuongoze mpaka 2030 Amin, mambo unayoyafanya ni mazuri na makubwa Ahsante sana Rais mwinyi.
Alhamdulilah inshallah tunazd kufurahia kuona nchi yetu inaleta Mambo makubwa kwa maendeleo ya wte😍
Maendeleo Kama yepi, wakati ukipita barabarani na chombo chako, basi ukifika salama nyumbani kwako shukuru, lkn pia nyonga au kiuno na mwili wote taabani kwa mtitigo.
Hayo ndio mambo
❤
Safi Sana. Msukuma nakubaliana na hili.
Pemba twateseka kwa vyuo mpaka Tuje Unguja au ndio cc tuwakenya