MREMBO Tajiri mwenye miaka 20 aliyeacha Shule akiwa KIDATO cha Pili afunguka haya mazito - PART ONE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @stewartrichard1316
    @stewartrichard1316 4 роки тому +11

    Embu acheni majungu huyo msichana ni selfmade millionare kuna watu wanawazazi wenye fedha na hawawezi kizitumia hizo fursa salute kwako dada

  • @husseinwemmar6217
    @husseinwemmar6217 4 роки тому +147

    I was not able to watch the whole interview cause the story does not inspire a poor child as it discourages education which is the only way for a poor child. Zainab had a very bright future ahead due to a concrete family background as she was working while at school that means there was a push behind her that encouraged her and had no fear to fail which everyone of us was missing. Kwa ufupi masikini tusome tusidanganyike na hawa watu wenye familia zenye uwezo.Unaacha shule kivipi.

  • @sekymwasumbi1938
    @sekymwasumbi1938 4 роки тому +6

    Guys Embu acheni roho za korosho bhana... Hajasema watoto zenu waache shule, wewe unayeamini in education well and good.
    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, sio wote watoto wa mboga Saba wana uwezo wa kufanya hicho alichokifanya! Keep up girl!

  • @vumipeter9404
    @vumipeter9404 4 роки тому +20

    Jamani Mimi huwa napenda kusema hivi, hatupendi kujifunza wenzetu wanafanikiwaje. Hatusikilizi mazuri tunasikiliza makosa tu. Tujaribu kusikiliza na kujifunza. Huyu Dada yupo safi. Supper woman

  • @hassanhancha1413
    @hassanhancha1413 4 роки тому +278

    nani aliesikia "nilipofanikiwa kuacha shule"😀😀 a gonge like hapa

    • @DuniayaHabari
      @DuniayaHabari 4 роки тому +1

      subscribe, share, like, comment kwenye link yetu .. Angalia hizi uvunjike mbavu.. Usipocheka nakurudishia PESA yako
      ua-cam.com/video/ye9pJCgjrQU/v-deo.html

    • @trishtrish2349
      @trishtrish2349 4 роки тому +13

      Nimesikia. Ana bahati familia yao ina uwezo . Wengi wetu tunangangana na masomo kwa sababu wazazi wetu walifikiri that was the only way to make it.

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 4 роки тому +1

      @@trishtrish2349 Ndio the only way unaweza kuajiriwa na hicho cheti

    • @trishtrish2349
      @trishtrish2349 4 роки тому +3

      @@mrsliverpool4235 Cheti husaidia but not all the time . Many times uta realise masomo hai endani na kazi ambayo we end doing.

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 4 роки тому +1

      @@trishtrish2349 kina umuhimu wake Lakini, ni vizuri kua nacho kama I'd

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 4 роки тому +63

    Allah haangalii ukoo ama nasaba ya mtu cha Muhimu kwake Ucha Mungu(TAQWA)

    • @ugonjwanadawa5041
      @ugonjwanadawa5041 4 роки тому

      Familia ya kitajiri kufanikiwa ni kwaida hahaaha , kingine kumbuka huyo ni ngozi ya yemeni

    • @محمدشريف-ي9ل6س
      @محمدشريف-ي9ل6س 4 роки тому

      🤔🤔

    • @sashasasha9253
      @sashasasha9253 4 роки тому +2

      Nasab ya mtume haipo Tena hapa duniani Hamna kujibasib na imefanywa hivyo kwasababu ilijulikana Kuna watu watakuja kujidai au kujitofautisha na wengine kwajifanya wao ni nasab ya mtume

    • @محمدشريف-ي9ل6س
      @محمدشريف-ي9ل6س 4 роки тому +1

      @@sashasasha9253 wako NASAB wamtume wako

    • @ToneTone-ll3qb
      @ToneTone-ll3qb Рік тому

      ​@@sashasasha9253haha huo niuongo bwana
      Nasabu ipo bibie ila wengi wajinasibisha kwakwe

  • @edishaa3108
    @edishaa3108 4 роки тому +25

    Nasabu ya MTUME alafu unatuonyesha mkia wa farasi kichwan duu...
    Pole sis

  • @chamandaayolaiza1535
    @chamandaayolaiza1535 8 місяців тому +2

    MTUME 😳 HAPO UMEKOSEA SNA TUBIA UPESI NAUBADILI MANENO YKO MTUME KWELI KAKUFUNZA UNYESHE NYWELE ZAKO MBONA UNAUKOSEA UISILAMU 😭😭 UNAPO MSINGIZIA MTUME BC UMEMSINGIZIA ALLAH. NYWELE UMEZIACHIA NAUNALIJUA HILO ILA UMEAMUA TU 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭UMEIZALILISHA DINI 😭😭😭😭

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 4 роки тому +18

    Mmi nikajua kapambana mwanzo mwisho mwenyewe kumbe kwao pesa na viwanja vipo 😅😅😅

  • @mordally
    @mordally 4 роки тому +2

    Nakupa hongera kwa bidii ya muendelezo wa utajiri na kujituma, baba akiwa mwalimu, ila nakusihi ukasome vizuri uislam na historia kamili ya mtume, usije ukajinasibisha na ukoo wa Rasula Allah, kumbe unainganishwa na ukoo wa mjomba wake mtume Abuu Jahal.

  • @kudrajuma2576
    @kudrajuma2576 4 роки тому +4

    Acha zako Dogo we inspire watu wasome ,we mtoto wa kixhua ndio maana imekuwa hivyo.my fellow students strive to excellent.

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 4 роки тому +27

    Huu sasa pisi kaliii👌🏾👌🏾👌🏾
    Ila mkono wa wazazi umechangiya
    ALLAAH azidi kuku endelezaaa

  • @halimamohamed2146
    @halimamohamed2146 4 роки тому +3

    Shule si kila kitu kinachokufanya ufanikiwe maishani ni uwe na mwelekeo maishani na ujue unataka nini big up Zena sharif would like to meet you one day am from kenya a lady like you 🤣🤣🤣

    • @mgosimkome9242
      @mgosimkome9242 4 роки тому

      Wee uliesema shule si kila kitu pia kumbuka unaweza kosa shule na ukakosa vyote pia maisha na shule kuna wanaokosa vyote, hapa inategemeana mfano kwa mtoto anaetoka familia ya kimasikini ama hali duni Kwake shule ni mkombozi msimdanganye, lakni kwa ambao kwao uwezo upo shule sio lazima kwani hata akiacha anaweza Pewa mtaji kirahisi na akafanya mambo makubwa lakni mtoto wa masikini akiacha aseme apambane aisee mtoko wake ni mgumu na inachukua muda mrefu Sana na pengine asipate kabisa ndugu zangu watu wengi mnaosikia oh sijui nilianza na nn leo niko hapa sijui saivi ni tajiri sio Kweli, angalia akina MO utajiri ni wa baba zao, Alihaji Aliko Dangote babu yake alikuwa ni tajiri mkubwa Nigeria akamwachia mwanae ambae ndo baba wa Aliko Dangote leo huyo hapo tunamsikia, lakni alisoma na ana Bachelor degree of business administration hivyo alienda kusoma ili aje kusimamia biashara na Kama ni mtaji alipewa mtaji sio wa kitoto, hivyo sio kila anaeonyeshwa mtandaoni anajinadi oh mm tusiige, ni dada mmoja eti nilianza kupika Makande na leo nina ofisi kubwa ya kuuza Makande ukiangalia amesoma Marekani ndo akaja Tanzania hivi mtu Aliesoma Marekani unadhani wazazi wake walikuwa kapuku na hakuwa na Scholarship, Kaja kapewa mtaji lkni anakuambia oh niwashauri wasomi wasikae tu, wabuni vitu vya kufanya hivi Nani asie penda kufanya kitu shida atatoa wapi mtaji wa kufanya hicho kitu ndugu zangu.

  • @ndengeyepatrick1108
    @ndengeyepatrick1108 4 роки тому +3

    Hongera sana Sister kwa baba mzazi, ni neema laki pekee kumpata baba mwenye usikilivu kama yeye.🇨🇩

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 роки тому +10

    Zenna wajina jamani Etiii ulifanikiwa kuacha shule😜😅😅😅hongera zenna km zenna

  • @feiz3180
    @feiz3180 4 роки тому +16

    Yaani watz wengi wanachoyo mwenzao akifanikiwa. Nimepitia maoni ya wengi na nimeona yaani ROHO mbaya kweli. Poleni. Mungu atamlinda huyu dada na macho yenu ya UHASIDI poooo

    • @faudhiyahimidi2129
      @faudhiyahimidi2129 4 роки тому

      Hajapondwa ila kapotosh mn yy yupo family ya kitajir then kajinasbish na mtume yaan mtum nasab yak iliishy njian iko hiv

    • @feiz3180
      @feiz3180 4 роки тому

      @@faudhiyahimidi2129 choyo jitathmini.

    • @faudhiyahimidi2129
      @faudhiyahimidi2129 4 роки тому +1

      Wal cn choyo upo mm maish yng ctoyatoa mitandaon wal ctojip nasab zilokuw cfanan naz hooi

    • @feiz3180
      @feiz3180 4 роки тому

      @@faudhiyahimidi2129 kwani ungenyamaza ingejuwa nini?. Kila kitu museme. Mengine muyapishe.

    • @UmiMarya
      @UmiMarya 7 місяців тому

      Kwani kaongea kipi kibaya jomn

  • @fadhilaliussi7421
    @fadhilaliussi7421 4 роки тому +98

    Haya sasa watoto wa kitanzania nanyinyi acheni shule mumeone mwisho weyu 🤣😃😂😂 jamani naombeni like hapa

  • @halimaamini8015
    @halimaamini8015 4 роки тому +9

    Usisubutu kuacha shale kufata huyu dada huyu ni wakishuwa 😂😂😂 katoka shule naingia kwenye campun ya mdingi zingatieni ilo

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 роки тому +18

    Jamani nothing is impossible..tuendeleze hustle..usikate tamaa.

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 4 роки тому +5

    Mashallah na atusaidiye sisi masikini mana twafaa njaaa.

  • @therealbriannoel7389
    @therealbriannoel7389 4 роки тому +4

    She's really intelligent..elimu ya Tanzania haiwezi kuhandle akili kama ya huyu dada thank God she found her true calling. Congrats!!

  • @sophiajoseph1461
    @sophiajoseph1461 4 роки тому +2

    Asante kwa ukwel bhana kama kichwa hakina kitu bora ujisemee tu😹😹✍

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 4 роки тому +23

    From 🇧🇮 Saudia ila jameni mwarabu awana akili 🤣🤣ya Shula ata kidog🤣

  • @youngbreezy6615
    @youngbreezy6615 4 роки тому +7

    Kwa sisi ambao tunafatalia successfull people in the world na kueleza wao wamefanikiwa vipi wengi wao mafanikio yao yameanza from zero to hero but huyu mdada inaonesha kwao kuna hela then baba ake amechangia asilimia kubwa katk kufanikiwa kwake lakn sio SELFMADE but all in all hongera

    • @akshaydavid159
      @akshaydavid159 4 роки тому

      Amejitahidi ila utajiri wake sio wa kujivunia Sana kwa sababu ya background yake

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 4 роки тому +37

    Tuliofanikiwaa kuachaa xhulee kama dada,ila kwasisi homee kunaukapuku tujuanee hapaa😂😂😂

  • @davidboniphace8159
    @davidboniphace8159 4 роки тому +8

    Hao waarabu in nature huw hawapend shule Wana vichwa vigumu San kuelew darsna

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 4 роки тому +66

    Mnatakiwa muwe waelewa huyu binti hajsema muache shule yeye anatoa storia yake na la kujifunza ni kua kufanikiwa maisha sio lazma usome mpaka uwe na madigirii

    • @mgosimkome9242
      @mgosimkome9242 4 роки тому +2

      Jamani lakini msidanganye watu waache kusoma eti kisa mtu flani aliacha shule na akafanikiwa, huyu anaonekana uwezo wake pia haukuwa mzuri darasani hivyo akaona anapoteza muda tu akiangalia kwao maisha ni mazuri maana amesema kwao kuna ma hardware, maviwanja mengi hivyo alikuwa na uhakika wa kupata mtaji, sikiliza anasema hakuwa na target yoyote kuhusu shule huko mbeleni, so ukiingia shule ukiwa huna malengo basi shule lazima uache, mm nimemsikiliza vizuri hadi mwisho kuwa hakuwa na uwezo. Hivyo ndugu zangu tusiige .

    • @moreenrespishazy29
      @moreenrespishazy29 4 роки тому +1

      Watu wagumu kuelewa ila wepesi kunakili

    • @pendoshao9519
      @pendoshao9519 4 роки тому +1

      Kabisa yani kila mtu anauelewa wake

  • @sweetyjanne255
    @sweetyjanne255 4 роки тому +1

    Mfyuuu Wengine Wanawapaga Hela Muwafanyie Interview Kupata Kiki Mtu Anaonekana Alipewa Mtaji Katoka Ushuani Alafu Mnataka Danganya Watu Waache Shule Jamani Jamani 😃😃😃😃😃😃

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 4 роки тому +34

    Shule mara nyingi ni tumaini la maskini kupata kazi nzuri kama wazazi wanahela Shule ni waste of time

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 4 роки тому +3

      Huu ndio upumbavu wetu wa Africa kusoma sio lazima uajiriwe, kusoma ni kufuta ujinga,hata ukiwa na biashara yako mwenyewe ukisoma huibiwi kirahisi

    • @nanaleetz
      @nanaleetz 4 роки тому

      Umeongea utopolo majinaa mpk unatia hurima walai

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 роки тому

      @@NR-ll4sr Hakuna mwenye hela mjinga.... Na kusoma si mpaka uende shule..... kuna home schooling na matajiri wengi watoto wao wanasomea nyumbani na wanafanya vizuri.... Shule ni ujinga hata alieanzisha Shule hakusoma

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 роки тому

      @@nanaleetz Umesemaje? Kiswahili chako si cha nchi hii 🤣🤣

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 4 роки тому

      Mishonoya vitenge MAHARUSI nk bonyeza link pia usisahau kusubscribe
      ua-cam.com/video/Et2V-nqV7CI/v-deo.html

  • @jokarotv
    @jokarotv Рік тому +1

    Hatutaki mtuletee watu kama hawa ,,sisi tunataka watu walioanzia chini ,,hawa hawawezi tufundisha kitu sisi,,tunataka wale ambao hawakupewa support kutoka kwa baba wala ndugu,,,,hawa sio Akina sisi

  • @JKQGAME
    @JKQGAME 4 роки тому +9

    Aliye sikia mshua kanipiga kampani like zangu jamani kwa wale kapuku Kama mm tunaozidi kuasi kila jua likichomoza hakuna Cha mshua kampani au Cha boss kampani wewe Kama wewe ndo nawataka hapa

  • @yasminmariambintyusuf5443
    @yasminmariambintyusuf5443 4 роки тому +1

    Hamna .. Waeza maliza ukaajiriwa kisha ukajiajiri. . u get that si wote wanafanikiwa kupata support ya wazazi kujiajiri . hawa wazazi kesho watakosa ama hawatakuepo u don't have anyone to support u to start ur own. . utaiba wapi?? Na kwa mfano .. Umeacha skull .. Hunapesa yakujiajiri. Chance ya kazi imetokea na niyamtu alie maliza utafanya nn ?? My dear brothers and sisters don't even buy her idea skiza tu ufurahishe maskio lakini elmu muhimu saana. Kila MTU nabahati yake. Yeye labda alipangiwa Iwe hivo ukafata mambo yakaenda mrama .mueke Allah akuelekezw

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 роки тому +7

    Hustle kama hustle👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @eliassabbath2480
    @eliassabbath2480 4 роки тому +20

    tangu lin mwarabu awe na akili ya kusoma😂😂😂

  • @khadijaabdulqadir1662
    @khadijaabdulqadir1662 4 роки тому +17

    SubhanaAllah Allah atuhidii yaraab. MWANANGU jistirii kisharia nyele haifai kuonekana ☹️

    • @halimaabasi1031
      @halimaabasi1031 4 роки тому

      👍

    • @yusuphmwalunu2307
      @yusuphmwalunu2307 4 роки тому

      Khadija Abdulqadir nyie msio na pesa ndio inatakiwa mfuate sheria zote

    • @jumanasoro8903
      @jumanasoro8903 4 роки тому

      Yusuph kumbuka kwamba wewe ni muislaam acha kejeli,kukejeli sheria za dini humtoa mtu kwenye uislaam.
      Chunga ulimi wako ndugu yangu

    • @jumanasoro8903
      @jumanasoro8903 4 роки тому

      Khadija Mashallah uko sahihi kujisitiri sio lazima usiwe na hela, wangapi wanamiliki mabilioni ya mapesa lakini wanajisitiri kisheria

    • @wilfredelimeleki4543
      @wilfredelimeleki4543 4 роки тому

      @@yusuphmwalunu2307 🤣🤣

  • @maestrojayysule5660
    @maestrojayysule5660 4 роки тому +120

    Uyo hajatafuta pesa kwao zipo. Ache ni kupotosha masikini

    • @kubrymtutala1736
      @kubrymtutala1736 4 роки тому +10

      Kweli kabisa, hawa watu sio wakuwaiga kabisa....yaani huo utajiri sio wakwake ni support kutoka kwenye Famili yake...
      Angalia shule aliyekua anasoma ni UPANGA hii sehemu wanasomaga watoto wa kishua sana..asitudanganye hapa

    • @aisha-ro5fr
      @aisha-ro5fr 4 роки тому +3

      Kweli kabsaaa

    • @mct2227
      @mct2227 4 роки тому +7

      Mm namjua sana babaake sio maskini

    • @shadyajecha1870
      @shadyajecha1870 4 роки тому +3

      Kweli

    • @yunyun799
      @yunyun799 4 роки тому

      @@kubrymtutala1736 😂😂

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 роки тому +9

    Nice sana kazuri nakupenda na pesa unazo mashallah

  • @middleplatnumz3629
    @middleplatnumz3629 4 роки тому +4

    Mtume mpya kutoka Yemeni😂😂😂
    Nilipofanikiwa kuacha shule😂😂😂
    Mwarabu na shule wapi na wapi😂😂😂😂

    • @hamonyyusto9907
      @hamonyyusto9907 4 роки тому

      Du!

    • @ZainabAtuli
      @ZainabAtuli 4 роки тому

      Nnaboss wang mwarab hajui kusoma vooh, si wa kingereza wala kiswahili, yy ajua kuongea Arabic tu, na jamaa zake huja kutoka Oman naona wote si wa kusoma wala kuandika ni mtihani tu

    • @buusaadia6449
      @buusaadia6449 4 роки тому

      Njoo inchi za kiarabu utaona elimu vip kwa mwarab... unaonekana hujawai kusafiri hahahahah

  • @footballprayers132
    @footballprayers132 4 роки тому +26

    Ety ana unasaba na mtume mmmh naomb npte kdg mm........ half we kapuku mwezng acha shule thn uone na ufala wako

    • @ashaally6662
      @ashaally6662 4 роки тому +1

      😂hajafunika hata kichwa vizur

    • @abubakaryalmas7673
      @abubakaryalmas7673 4 роки тому +1

      😂😂😂 Apo akili kichwani mwako, ukimfatisha huyu utapotea. Ina maana uo umbali alikua yeye tu anasoma kutoka mbali? Alafu kuna school buss sasa kama mukichelewa kosa si la dereva iweje adhabu apewe mwanafunzi? Uyu alikua hapendi shule tu ila asiongope umbali

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 роки тому +6

    Woyoooooooooo👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏hongera sana binti

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 4 роки тому +23

    Sawa kwao zipo vizuri ndio mana akaacha shule PESA IPO HATA MIMI ZINGEKUWEPO NIHANGAIKE NA MADAFTARI YA NINI

  • @amismochannel5983
    @amismochannel5983 4 роки тому +1

    Hakuna story za mashariffu ati wako na ukoo na mtume...mm niko saudia na iweje huku hakuna ukoo wa mtume but kenya na tanzania tu ndio wako...sijaskia mashariffu wakiwa morroco,tunisia,egypt,algeria naskia tuu huku uswahili.....na hao mashariffu ndio wakosefu wa adabu sanaa kuliko wowote....usijinasibishe na mtume dadangu kabisa...kizazi cha mtume hakikuendelea kabisa.....wajukuu wa mtume pekee Hassan na Hussein pia walikufa...unless ushariffu huo watokana na Abulahab

  • @rahmahassan3206
    @rahmahassan3206 4 роки тому +21

    Jamani umeshindwa kujistiri vzr hicho kichwa dada? Mbona mnautupa uisilamu hivi ndiyo kwenda na wakat sindio, Allah anakuona

    • @salmamohammad5614
      @salmamohammad5614 4 роки тому +2

      Lol ww sharifu kisha wasema uko na nasaba ya mtume then shungi wazi huna hata haya jiheshimu

    • @aminamohamed1828
      @aminamohamed1828 4 роки тому

      Hawa waarabu koko wanapenda kujishaua sana nahawana lolote wamepotea kweli Allah atunusur

    • @milermiler1504
      @milermiler1504 4 роки тому

      @@aminamohamed1828 Kabisaa

  • @abeidmohammad7773
    @abeidmohammad7773 4 роки тому

    Asalam alkum dadayanga nimea furahi sana kwamaendeleyo yako napia niko namawazo yakukupa uka andeleya zaidi yaivo dadayangu kwa biyashara ukawa tajiri sana bora uwamini tuuuu namimi sitakosakitu kwamungu amiin amiin amiin piya dada wewe ninasaba ya mtume plz jistiri nyele zako anakama nime kukoseya nisamea ni broo yako al habibi kutoka kenya mombasa mashaalh amiin amiin amiin

  • @anuwar6113
    @anuwar6113 4 роки тому +3

    MASHAA ALLAH. .zena binti Shariff .Allah akubariki nice job

  • @muzdalifatomar9712
    @muzdalifatomar9712 2 роки тому

    Huyu anatoka familia yenye uwezo asa ww kapuku acha shule uone km hujaenda kubeba vikarai🤣😂😂 nyie mskilizeni tu unaacha shule mtaji huna🤣😂😂😂

  • @emanigirls5444
    @emanigirls5444 4 роки тому +3

    Mabrouk Alf Mabrouk ukhty. You are very inspiring girl at your tender age and being a muslim girl. Big up to your parents and entire family. Radhiya Qoyan commenting.

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 4 роки тому +5

    Oya uyo sio tajiri kwanza familia yake ndo tajiri kwhy ikambeba ila angeanzia chini ndo ungesema tajir
    Alafu kavivu😂😂😂kusoma hahahhahhaa

    • @aminsalimali793
      @aminsalimali793 4 роки тому

      ZENA NA KUFUATILIA SANA NA KUKUBALI SANA ILA HILI LA UKO WA UTUME HUUU NI UWONGO UTUPU MUNGU ALIUONDOA UKOOO WA MTUME

  • @haimahaima9473
    @haimahaima9473 4 роки тому +6

    Famlia yke wanauwezo sasa ww kajamba nani fatiliza uone🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Happy-be8hh
    @Happy-be8hh 4 роки тому +2

    Naomba umuulize Al shareef ndio kabila lake au vp na yeye anasema nasabu ya al shareef inatokana na nasabu ya Mtume Muhammad (ص) na haliakua mtume kabila lake ni QURAISH wa sio AL SHAREEF na Mtume alipata watoto wa kiume 3 tu na wote walikufa wakiwa wadogo na na nasabu ilikatika hapa wapi imeanza nasabu hio??

    • @rawahrajab2419
      @rawahrajab2419 4 роки тому +1

      Ni kweli صدقت في قولك يا أخي الغالي

  • @jawaadfahad4155
    @jawaadfahad4155 4 роки тому +19

    Amesema sharifu nasaba ya mtume alaf nyele wazi dadangu waonesha picha gani hapo???

  • @petermaina-nb9xh
    @petermaina-nb9xh Рік тому

    Boss niconect na huyu mrembo nisha mpenda💯🥰

  • @nuruyusuf650
    @nuruyusuf650 4 роки тому +70

    Nasaba ya mtume nywele ziko wazi subhana Allah

  • @ickymirigo9743
    @ickymirigo9743 4 роки тому +20

    Na pesa zinachangia 😁Asa we kapuk acha shule uone 😋

    • @happygibson8517
      @happygibson8517 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂wakishua huyu

    • @JKQGAME
      @JKQGAME 4 роки тому

      Mtoto wa kifaru siuangarie hata rangi ya kinyaturu hiyo

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 4 роки тому

      Acha shule utakula msoto hadi njaa ikuzoee

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 4 роки тому

      Yaani acha shule uone uwe punda wa mtaani

  • @akshaydavid159
    @akshaydavid159 4 роки тому +70

    We mtangazaji acha ufala, tunahitaji utuletee tajiri ambae ni self-made sio Hawa mboga saba wanaopata mitaji kirahisi na sapoti ya nguvu kutoka kwa wazazi au ndugu.

    • @feiz3180
      @feiz3180 4 роки тому +1

      umemsikiliza vizuri. Huyu dada ni amejitahidi. Pengine wewe ungekuwa katika nafasi yake ungelifeli tu. Anacho kipaji na wazee wake wamesimama na yeye na kufanikiwa kwake anasaidia ambao hawana uwezo. Very creative.

    • @faridakidoti6734
      @faridakidoti6734 4 роки тому +6

      Ishu sio kutoka kwenye ushua ishu ni akiri yake tu ipo vizuri Kuna watu wametoka familia tajiri ila hawana chochote kile

    • @maryamomary9596
      @maryamomary9596 4 роки тому

      Naam

    • @aishahamoud2832
      @aishahamoud2832 4 роки тому +1

      Kabisa👋👏👋

    • @abubakarmahad3101
      @abubakarmahad3101 4 роки тому +2

      Mm naona anaongeza pesa kwao tu maana zipo

  • @mshalewasumu3121
    @mshalewasumu3121 4 роки тому +1

    Kabla sjamaliza kuangalia hauwezi shindana kibiashara na mwarabu Kwanza mtoto anazoeshwa biashara bado mdogo hata asiposoma biashara itamuinua

  • @SGL_tz
    @SGL_tz 4 роки тому +36

    What is really the meaning of Hijab?
    Kajielezea vzur but hio hijab imekua kofia kwa kichwa au ni kitu chakuheshimiwa katika dini.......coz why aivae nusu!!!!!! WAISLAM MPOOO!!!!
    Sawa Ni tajiri, but sio matajiri wote wana hojiwa why #SIMULIZINASAUTI. Nyie fanyeni ivo TRA WAMUONE.

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 4 роки тому +4

      ☝️ sioni amevaa hijab na amesema ni familia ya mtume, watu wanacheza na dini 🤔

    • @barakaohani5438
      @barakaohani5438 4 роки тому +2

      Maelezo mazur , ILA YAMEJAA CHUKI , TAFUTA PESA KIJANA

    • @SGL_tz
      @SGL_tz 4 роки тому +2

      @@barakaohani5438I was jus curious
      nothing more... sina chuki coz life n mzunguko wenda ataniajir apo mbelen

    • @zainabzainab9724
      @zainabzainab9724 4 роки тому +1

      Mwenyewe hananishtua..sasa inamaan ngani kwa kichwa.onyesha nywele zote dah but ujui unywele umoja dhambi.njee ziko ngapi kwa kichwa.

    • @Ahmed-fm5fr
      @Ahmed-fm5fr 4 роки тому +1

      Lazima aonyeshe hzo pasta

  • @salahmbarouk3526
    @salahmbarouk3526 4 роки тому +1

    Jistir kwnza halafu utajtangazia nasabu ya mtume na mafanikio ya dunia ni muhim kwa binadam lkn usisahau na ya huko akhera izo nywele zihifaz mdogo wangu 🙋

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 4 роки тому +38

    Sijui watoa comment za matusi na lawama kwa huyu mtoto sijui zinatoka wapi .huyu mtoto yuko real anasemesha ukweli wake kuwa shule ilimshinda niwangapi shule iliwashinda na hawana hata akili ya kujiongeza? Hata wazazi wakiwa maskini kuna umuhimu wakujiongeza huyu mtoto mpeni hongera zake .

    • @yusuphmbugi8594
      @yusuphmbugi8594 4 роки тому +1

      kama alikua ana uwezo wa kulipiwa school bus kwa nn asihamie boarding

    • @amourflamin2092
      @amourflamin2092 4 роки тому +3

      Apewe hongera zanini au kwakuufanikiwa kuwachashule upumbavu huyu kazaliwa kazikuta helazipo kwao alicho kufanya yeye kipi kigumu

  • @adbashtv6701
    @adbashtv6701 4 роки тому +1

    Ila huyu dem anaongea mnooo😂😂😂😂😂
    Au ndokameza memort yangu

  • @victorwhitte
    @victorwhitte 4 роки тому +28

    🤣🤣😂😂🤣🤣, kama kwenu baba yako na mama yako (familia yenu kiujumla) hakuna mchele "umate mate" usijaribu hyo upuuzi

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 6 місяців тому

    Maisha ni ujasiri na maamuzi tu, jitafakari, omba Mungu akupe kibali the fanya maamuzi.

  • @lil-masougee7388
    @lil-masougee7388 4 роки тому +17

    Huyu dada nilisoma neye jaman duh mashaallah mungu akufungulie tena na tena

  • @z10jrtz47
    @z10jrtz47 4 роки тому

    Ungejistiri vzuri mrembo binti scaba Mana nasaba na kipenzi Cha umma mtume MUHAMMAD(s.w) then unaonesha nywele zako mtihani huo INNA LILLAHI WAINNA ILAIHI RAJI'UN..!

  • @tphj2913
    @tphj2913 4 роки тому +5

    Kumbe pesa toka mwanzo ipo umepewa mtaji wa kutosha 😂😂😂

  • @mcblife24
    @mcblife24 4 роки тому +1

    Lean to learn succes is ahead you

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 4 роки тому +64

    Mmm wengine nao waache shule waone moto wake! Uyu dada ukimuona anaonekana mpole, akianza tu kuongea mtu unashtuka kweli sijui kwanini🙉

    • @mishibabu8946
      @mishibabu8946 4 роки тому +5

      Hahaa pia mm nilijua anasautinyororo

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 4 роки тому +2

      🤣😅😅😂Ana asili ya kiarabu mumesahau, ya kuongea sana

    • @shanishosho911
      @shanishosho911 4 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 4 роки тому +4

      Exerctly hutarajii, ni muongeaji sana na atakaye muoa ajiandae 😉😁

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 4 роки тому +1

      @@aminanamoyo83 yani ajipange kuwa msikilizaji tu

  • @aishaissa2249
    @aishaissa2249 4 роки тому +1

    Hii hainuhusu baba mwenyewe anadaiwa kwa mangi halafu anichukulie mkopo benk😂😂😂😂😂😂Mungu akubariki kila mtu na rizki yake.

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 4 роки тому +35

    Umeacha shule kwa sababu nyumbani hela ipo na bussiness umeanzishwa nyumbani. Msije mukaacha shule mukaona mtatajirika kirahisi kama huyu. Huyu kwao tajiri kutoka asubuhi. Kajua ataanzishiwa mradi tuu

    • @pilihamis9657
      @pilihamis9657 4 роки тому

      Alaf mm huwa c hamasishwiii na hawaa wanaokuta magar nyumban kwaooo napendaaa inspiration anaetoa toa stor had unahc kweeeel pagumuuuu......sas huyuuu ad alkua anapelekwa na school bus shule🤣🤣🤣🤣

    • @OmanOman-lr4of
      @OmanOman-lr4of 4 роки тому

      Kabisa, hata huo mkopo aliamini akishindwa kulipa baba atalipa .

    • @rayshikeli1577
      @rayshikeli1577 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂Hapo sasa

    • @rayshikeli1577
      @rayshikeli1577 4 роки тому +2

      @@pilihamis9657 kweli kabisaaaaa,mtu kwao kuna kila kitu,hajui kuteseka kabisa.Twataka wale ambao wamekula msoto mkali.Huyu hakuwa na interest ya masomo kabisa.....😂😂😂😂

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 4 роки тому

      Mishonoya vitenge MAHARUSI nk bonyeza link pia usisahau kusubscribe
      ua-cam.com/video/Et2V-nqV7CI/v-deo.html

  • @badrubadran7663
    @badrubadran7663 4 роки тому +2

    Mm sijaelewa lkn uyu mdada apa nikama aalisaidiwa na familia yake ndo akawa tajiri sasa anatufunza tuache shule tufate dream mm dream yangu yanpotosha heri nisome kwanza kwetu ukiacha shule naa wazazi wanakuacha sasa ndio utajiunga na vikosi vinavopotosha hapo hujaongea dada heri tusome. Umefanikiwa ju kwenu kuna hela banaa uko na zaree.....usituharibu ety tuache shule kama sishiki heri niendde ivo ivo kuliko kukaa nyumbani....

  • @jamilaathumani9004
    @jamilaathumani9004 4 роки тому +25

    Nasibu ya mtume sasa usiweke kichwa waz nywele izo zinaonekana wewe umebeba jina kubwa la mtume wetu sw ,,mana wewe nishalifu

    • @sherin3171
      @sherin3171 4 роки тому

      Sasa huyu kwao walikua na pesa ... aseme tu ataka kujulikana sana

    • @kabyjxjrd9874
      @kabyjxjrd9874 4 роки тому +2

      Huyu ni kiki tu hkuna kizazi chochot kilobkia kwenye nasabu ya mtume

    • @abdulazizijuma226
      @abdulazizijuma226 4 роки тому

      @jamila athumani na wewe umedanganywa umeamini ukoo wa mtume!!!!!

    • @atfyahabdulfatah3197
      @atfyahabdulfatah3197 4 роки тому +3

      Hhhhhhh ety kuwa sharifu ndo kizazi cha mtume bc tupo weng maana hata mm ni sharifu na nasabu yng inatokea YEMENI pia

    • @ibnismail8831
      @ibnismail8831 4 роки тому

      @@atfyahabdulfatah3197😁

  • @SaidSaid-sl8ct
    @SaidSaid-sl8ct 4 роки тому +1

    Ndugu mtangazaji naomba no ya huyo zena sharifu.

  • @shaluissa3184
    @shaluissa3184 4 роки тому +17

    Wa kwanza Leo jamani like bas

    • @DuniayaHabari
      @DuniayaHabari 4 роки тому +1

      subscribe, share, like, comment kwenye link yetu .. Angalia hizi uvunjike mbavu.. Usipocheka nakurudishia PESA yako
      ua-cam.com/video/ye9pJCgjrQU/v-deo.html

  • @harunakayega5531
    @harunakayega5531 4 роки тому

    Tuwe tunaangalia sana tusipende kuiga sana maisha ya watu ya wapi wamepitia ili yawe kama inspiration kwetu kila mtu ana njia zake tukianza kuhoji kila mtu hakuna asiyepitia changamoto so tupite njia zetu

  • @theatushafamily4977
    @theatushafamily4977 4 роки тому +9

    U can have the money. To invest but if you don’t have a great connection everything is zero😂😂.

  • @rashidabdallah3253
    @rashidabdallah3253 4 роки тому

    Namkubali sana huyu binti ana wigo wakufika mbali mm namtakia mafanikio zaidi ya hapo alipo kama sharifu mwenzake kutoka pemba ole matumbilini huko nimwambie akaribie home pia

  • @yusuphmbugi8594
    @yusuphmbugi8594 4 роки тому +5

    hicho kiswahili anachoongea huyo dada sio Cha form two kwakeli, 😜😜🤣

  • @mwendaally8914
    @mwendaally8914 4 роки тому +1

    Mmmh hvi schoolbus imewachelewesha bado mpewe adhabu dada acha izo hukupenda tu shule😂

    • @sophykasichana9334
      @sophykasichana9334 4 роки тому

      Ama hata c angepelekwa boarding school na pesa zilkwako ziko..alkwako c mtu wakusoma alijua pesa ziko tu

  • @saudatkiuta5060
    @saudatkiuta5060 4 роки тому +8

    Ishikilie Sana elimu usimwache aende zake 🤔🤔🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️

  • @aminasoma8840
    @aminasoma8840 4 роки тому

    💃💃🙄🙄🙄🙄 jamani hahaha AstakafiriAllah nasaba ya mtume duh bora salama nywele ziko wazi basi hongera habithy

  • @luifdls6217
    @luifdls6217 4 роки тому +3

    nimemfatilia her story and big up to her maana yea even tho anaeza kua ametokea from a family ambayo wanazo but shes a hardworking gal as well,,,ila dada elimu ndo kila kitu yes inaeza isiwe ya maana kwako leo cuz unahela but mali bila daftar hupotea bila habari,,this advice haiapply kwa wote maana inawezapotosha watu wengine kua shule haina umuhimu which is not true 100%,,,afu kuhusu swala la kujiajiri ni mtu tu kua na mtaji na kua na akili ya maisha na ubunifu ila haimaanishi uache shule cuz unaweza kua unasoma na pia unakabiashara chako na kuhusu distance isiwe reason watu wanatembea kutoka vijijin kwenda mjin shule kwa miguu na hata km inachosha but ni kupambana tu maana fursa mtu anazopata akiwa ameelika ni nyingi sana ukiachana na kuajiriwa au kufata routine, mtu anaweza kujisimamia binafsi na kupanga maisha yake bila kuwa dependent kwa watu wengine na inakufanya uheshimike sana,,, kwahiyo hapo nakataa na ushauri unaotoa hapo,,wewe upo different na asilimia ya watu wengi sana ambayo elimu ndo ufunguo wa maisha na pia a good degree will make you so respectable hata ukiwa na hela kiasi tu,,,stay at school!

  • @kangabell16
    @kangabell16 4 роки тому +1

    She go lakin anasupport ya familia pia yaaan kwao wako vizuri sio kwamba ametoka shimon afu anachozunguzia ni mafanikio ya kawaida kwa watoto wa kishua story za kusisimua za maisha kama erick shigogo ivi jaman ametumia nguvu zake Lyke 90%

  • @salehsaleh548
    @salehsaleh548 4 роки тому +10

    Mtangazaji unazinguwa umeganda hapo kwenye shule tu itatusaidia nini uliza mawsali mengine bana...peole wanataka alifanikiwa vipi ktk maisha yake....

    • @ashuraabby9544
      @ashuraabby9544 4 роки тому

      Siliza mpaka mwisho kwanza hii ni sehemu ya kwanza hivyo bila shaka Kuna vitu vingi huko mbeleni

    • @divinebernard2624
      @divinebernard2624 4 роки тому

      Mhhh Saleh ilo tu njo unataka?ao unataka aulizwe kama huko single ao kipi ili upenye😲😲😄😄🏃🏃nakimbiya mimi

    • @smknaturalorganic5287
      @smknaturalorganic5287 4 роки тому

      👏

  • @allyteacher7358
    @allyteacher7358 4 роки тому +1

    nikweli umzuri masha allha ilajitandevizuri mm kusema kweli nimekupenda kweli

  • @mohabatkhanmalak1161
    @mohabatkhanmalak1161 4 роки тому +8

    I am of the opinion that education is more vital now, in todays world. This is my advice to our youngsters - if you have to make a break from your studies do it, but later on finish your diplomas and degrees. For Africa, education is the key.

  • @ayoubsuleiman3675
    @ayoubsuleiman3675 4 роки тому +1

    Jmn Mtoto mzr na ametoboa maisha kiukwel wasichana wenzake naona wanavyo chukia nakumponda huyu mrembo jmn Shariifu au Saydah komaaa zaidi wanao kuhusudu washiiiiti

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 роки тому +16

    Waogopeni sana hawa walioacha shule lakini wanapenda kujieleza kwa kutupia kiingereza. Jueni walizaliwa na golden spoon, walikuwa wakila butter na mkate. Kama ulikula kiporo asubuhi au uji na muhogo. Someni kwa bidii zote elimu yako ndio ufunguo wako wa maisha. Hawa wazazi wao bank zilikuwa zinapumua hela za wazazi wao, na nyingine wamefaidi mali za nchi. Useless and meaningless interview for the poor child of Tanzania. Mtoto wa maskini bank gani itakukopesha? Someni watoto.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому +2

    Huyu anasema 'ile driving unafika shule umechoka' inamaana alikuwa anadrive kwenda shule akiwa form one.... It seems ni fiction tu, yaan hadithi za kubuni..... Ukifikilia sana utaniamini..... Nimefurah pia kama ni kweli alifanikiwa kuacha shule 😂😂😂

  • @zeyanamrope8943
    @zeyanamrope8943 4 роки тому +20

    Mhhh. unajinasibisha na Mtume wakat Hassan na Hussein wajukuu wa mtume hawakuendeleza familia. wewe umetokea wapi??

  • @Mrs.Mumewangu
    @Mrs.Mumewangu 8 місяців тому

    Yaani sipendi nyie wajiitaga wa mtume. Kina mtume awakuacha nywele wazi.... Mbona ukona shugu mikononi? Uko yemen unakujua ama ndio babu ya babu ya babu yangu 😂

  • @شيخنيف
    @شيخنيف 4 роки тому +27

    Acha kuji mwambafai kua na nasabu ya mtume sio sababu ya kujiona "Allah" haangalii nasabu anaangalia Taqwa ndani ya moyo

  • @muniraahmed2832
    @muniraahmed2832 4 роки тому +1

    Hahahhaha Daaah comment balaaa😂😂😹😹😹😹😹

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 4 роки тому +16

    Nasaba ya mtumee umeacha nyewele wazi inalilah wainailahi rajiuun

  • @ELVIRAPRODUCT
    @ELVIRAPRODUCT 4 роки тому +2

    Warab huwa hawapendi kusoma siku zote.... Kinacho wasaidia ni biasharaa zao

  • @johnwilliam5677
    @johnwilliam5677 4 роки тому +4

    Huyo ni Mtt wa marehem babu yangu mzaa rafiki yangu wa classmate wangu niliesoma nae kabla cjapata rafik mwingne

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 4 роки тому +1

    Tena mtanga mwezangu jaman nina bahati miyee dah nisaidiye angalau pesa ya mtaji

  • @maryamhadid7753
    @maryamhadid7753 4 роки тому +10

    MASHAALLAH ALLAH AZIDI KUKUCMAMIA .BUT DUNIA NA FEDHA ZICKUHADAE MAISHA NI MAFUPI NAKUOMBA UFUNIKE NYWELE ZAKO ILI UZID KUPENDEZA ZAID

    • @fahimayussuf362
      @fahimayussuf362 4 роки тому

      Yeah na ukizingatia ni nasib ya mtume

    • @mamually8932
      @mamually8932 4 роки тому

      Nkwel nasb ya mtume haiach nywel waz

    • @dominicktoledot5612
      @dominicktoledot5612 4 роки тому

      Acha xhobo kapendeza xn

    • @maryamhadid7753
      @maryamhadid7753 4 роки тому

      @@dominicktoledot5612 na kesho akhera nenda kaseme hivo hivo ..am muslim kwaio cwez kubishana na ww madhihebu yetu kwenye stara na mwenendo wa mwanaadamu unatuongoza kuwa stara kwa mwanamke nimuhimu saana kwaio kujibu hivo inaonesha mm na ww tuko tofauti

  • @abdusaalim5228
    @abdusaalim5228 4 роки тому

    Maashaallaah nimependa stara yako ungekua mkewangu ningesikia raha sana aisee

  • @am_fashabi3888
    @am_fashabi3888 4 роки тому +3

    Congrats sister ni Mimi kakako all the way from lamu kenya njoo unichukue Allah barik lakum

  • @gabrielalmighty14
    @gabrielalmighty14 4 роки тому +1

    nangoja miaka kumi ijayo kuona jinsi mtoto wa mo dewij akija na hizi motivation za kufanikiwa baada ya kuacha shule 😅