Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

HII NDIO PASUA KICHWA ILIYOIKUMBA ZANZIBAR.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 чер 2023

КОМЕНТАРІ • 47

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 Рік тому +14

    Yanauma sana ila walilolitaka limekuwa walaanifu hao ccm wametuondolea passport ili watuharibie nchiyetu wazanzibari wakweli hili jambo linatuuma

    • @abedomar5183
      @abedomar5183 Рік тому +1

      Nonsense linauma nin sasa

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 Рік тому +1

      😂😂😂

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 Рік тому +5

      Hata bado tutashuhudia mengi sana, maana hao wanaletwa na ni mtaji wa watu hao..
      Zanzibar imekwisha, ndio matunda ya Muungano hayo...😂😂😂😂

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 Рік тому +3

      Sasa wametuondolea passport ili waje kwa wingi lkn hawaulindi utamaduni 😂😂 Hata bado yajayo ndio yatakayofurahisha zaidi mana huko mashamba huamini km hii ni zanzibar.

    • @mwigaadam1179
      @mwigaadam1179 Рік тому +1

      @@abedomar5183 ndio linauma so Katia Mila na tamaduni zete ZANZIBAR wabara waneifanya Zanzibar Kama ulaya au Dubai ndogo

  • @aliy3303
    @aliy3303 Рік тому +5

    Alfatah naomba msaidie machinga walovamia michenzani na maeneo yote ya mjini waondololewe kwa nguvu zote.naskitika zanzibar mjini hakuna ustaarabu tena wanakojoa ovyo mitaani .fujo na wizi

  • @zainabissa7851
    @zainabissa7851 Рік тому +1

    Misadaa na elimu inahitajika ilii kuliondoa hili tatizo pia zakka laiti kungekuwepo hayo basi pasinge kuwepo omba omba uwepo mfumo kwenye serikali wa kuwapa misaadaa wale watu duni na masikini matajiri majibu yenu hayo sadaka hamtoi zakka hamtoi jamani

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 Рік тому +6

    Lugha kubadilika nyie ndio wa kwanza wasemaji shule 😅 changamoto limekua neno kubwa mie tangu nizaliwe nimeanza kulisikia hivi miaka ya karibuni na nilipolisikia tuu nikauliza maana yke nini? shida kubwa sisi tunapenda kuiga badala sisi tuseme lugha yetu wao watuige lugha yetu nzur lafdhi yetu nzur tunataka nn tena turinge na lugha yetu saiv imebakia mkaka, mdada, haupo, haukuwepo ndio maneno gani sasa ndio nn sasa 😅 tuseme lugha yetu

  • @eddyeddy1337
    @eddyeddy1337 Рік тому +2

    Hapo serikari iweke sheria ataemsaidia yoyote apigwe fine (mtoaji) elfu 50) nafikiri itasaidia pakubwa.

  • @mwigaadam1179
    @mwigaadam1179 Рік тому +2

    Watanganyika wameigeuza ZANZIBAR kuwa Dubai au ulaya mdogo wamejaa na wanajaa na watajaaa kribuni ZANZIBAR ni njema atakae na aje

  • @MAPETEE
    @MAPETEE Рік тому +4

    Wengi sio WA zanzibar hawo ni kutoka bongo

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 Рік тому +1

    Solution mamlaka kamili Zanzibar kuingia kwa kitambulisho kwa sababu malum huwezikuingia nchi y watu bila sababu malum but Zanzibar watu wanaingia bila sababu malum yote mumetaka nyinyi Ccm

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln Рік тому

    Hao omba omba wanatoka bara. mzanzibar humkuti barabarani kuomba.. wabongo muwe mnawashuhulikia hawa walemavu.. mbona wazanzibar wanawashuhulikia na kuwapa huduma stahiki watu wao walemavu. Tena humkuti kuomba omba mzanzibar ..Badilikeni wabongo hawa watu wanahitaji kupewa huduma musiwatelekeze

  • @isakhamisi8923
    @isakhamisi8923 Рік тому

    Wengine wanaoomba ni wazanzibari pia, la kufanya ni kusaidia hao watu wajengewe makazi wasaidiwe maisha.

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 Рік тому +3

    Asalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatu ¿tatizo sio omba omba tatizo ni Serekali yenyewe ni wizi wanawaibia Wanzaribar maamuzi yao katika uchagu halafu wanaigiza wageni kwenye visiwa ili kuja kuwasaidi kipiga kura katika uchaguzi unao fuata lazima mabalaa yote yatakuja Zanzibar, Hong-Kong ni part ov China kwanini wachainise wanaingia Hong-Kong kwa visa visiwa kwakutokana ni vidogo lazima vile na system yako ya kucontrol Imagination okay.thanks

  • @bahatihassan5413
    @bahatihassan5413 Рік тому +1

    Kikubwa ombaomba wote warejeshwe kwao tanganyika mana wote nikutoka tanganyika kisiwa kimeharibiwa nawatanganyika kwakila kitu full stop

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Рік тому

      ​​@@boniphacelusatokiambiwa ujiambie kazungumzia omba omba acha chuki wewe wapemba wanafanya biashara na mnafaidika sana tu ...lkn wao wanakuja kuomba omba huoni km ni aibu ?? Na wanaojituma mbona hawaambiwi kitu?? Hio ndo tofauti ..omba omba tu mnatutia aibu sema na jamaa zako wasije kuomba waje kufanya kazi...

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab Рік тому

    Hii Alfataha tv ni channel nzuri sana kwa Zanzibari MashaAllah kushinda hata Zbc maana wao wanayafikia matatizo ya zanzibari kuliko tvz hongereni sana Ila muwasemee Wazanzibari pia kuhusu uchafu wa Wamachinga na wamasai mjini kote kwa kuuza uza ovyo biashara zao bila ya utaratibu yaani wao wakiona eneo wazi tu wameweka kibanda,meza au wanatandika tandiko wanaweka biashara ,sasa hao wenye maduka wanaolipa kodi watauza nini? WAONDOLEWE NA WAPIGWE FAINI KUBWA ILI WASIYAFANYE HAYO MAKOSA

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 Рік тому

    #msiwape.
    #msiwape
    #msiwape...isipokua yule mwenye shida. ila hao wanao fanya hivo kwa ajili ya biashara #MSIWAPEEEEEEEE.

  • @abdalamohammed5391
    @abdalamohammed5391 Рік тому

    Nyie wenyewe serekali mnaenda kukopa njee hao watanzania wanao omba haijalishi wametokea sehemu gn katika nchi ya tanzania

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 Рік тому

    Wanakera sana .

  • @nachina3089
    @nachina3089 Рік тому

    Sas wazanzibar wanachotaka ni watawaliwe na waarab basi na wakati wao walio wengi originally ni wa bara lakini wazanzibar wana midomo sana na maringo na mzanzibar akishikwa dukani ameiba huku Uk anasema yeye ni mtanzania lakini akijitambulisha kwa heri yeye atajihita ni mzanzibari
    Yaani kwa uswalihina na wao na kila cha heli ni wao tu wengine sio binadamu kwao kabisa.

  • @nachina3089
    @nachina3089 Рік тому

    Wanzanzibar kasirikeni na viongozi wenu sisi Common citizen hatuna huwezo wa kutatua malalamiko yenu especially ya muungano waanzilishi washakufa waliobakia ndio muwasumbue hao

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 Рік тому +2

    Hapa kilichobaki n'kakojoe n'kalale

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 Рік тому +3

      Bora 😂 ndio lililobaki tukalale wasituchoshe tushachoka na ngonjera zao

  • @juma2979
    @juma2979 Рік тому +1

    Hao ombaomba wanalerwa na watu maalum km ma agent tena wanajulikana

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 Рік тому

    Mm naona kweli kwass wazanzibar niaibu lkn wengine wangaliwe kwajicho lakaribu sn

  • @najashdawood9680
    @najashdawood9680 Рік тому

    Mnawaleta kupiga kura kutoka bara sasa mnalo hili

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 Рік тому +1

    Sasa mtu asha kuomba na wewe unayo usimpe wkati mwengne walemavu

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Рік тому

    WAPIGA KURA WA CCM LEO MNAWAITA OMBA OMBA?? 😅😅😅

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Рік тому

    Shida muhal watoen bn wanakera

  • @salimalharrasi3943
    @salimalharrasi3943 Рік тому

    HAYA MAMBO YAKO DINIA NZIMA NA HATA HUKU OMAN WAPO WANAKUA WANALETWA MISIKITINI KWA MAGARI YAANI KAMA INAKUA KAMA KAMPUNI WAKATI WENGI WAO SERIKALI INAWATIZAMA

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Рік тому

      Huk QATAR hakuna omba omba namna hio..walijiribu ila serekali ipo vizuri sana.

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 Рік тому

    KUOMBA OMBA SIO SHIDA BALI NI DILI TENA WANAPATA KWA SIKU FAIDA HAIPUNGUI LAKI MOJA AU WENGINE HUPATA FAIDA ZAIDI YA LAKI 5 KWA SIKU.

  • @alijuju8697
    @alijuju8697 Рік тому

    Mwantum saidi wewe ni mtu mjinga sana hapa duniani. Zanzibar ni huru na uhuru wake umetokana mapinduzi ya mwaka 1964
    Yayo yote ni moja kati ya change moto za kimuungano mbona huseni kwa watu wa unguja na Pemba kujana huko bara unadhani watu waliko huko hawaoni impact ya wanzanzibar wanaoishi T/bara mbona huseni kuwa ni laana ya CCM.
    Usilete chokochoko za mchokoa pweza. Kama una chuki na CCM kajinyonge maana ndiio ianaendesha dola hivi sasa na hakuna chama kitachoizidi CCM usijidanganye. Utavimba hadi upasuke lakini CCM uzi ule ule.

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Рік тому

      Tatizo humjui mungu ndio unasema hakuna chama kitachomzidi ccm..sikushangai ni wale wale omba omba ukitoka kwa dada unaomba kwa kaka ...hapo ulipo madeni mpk juu ya kichwa njaa imekutawala ukila asubuhi cha kesho hulielewi alafu unaiona ccm km mungu mxiuuuuuuu ...nakukumbusha tu alikuwepo hapa mungu mtu na Allah amemuondoa yuko wapi??na ulitarajia km samia atakua rais??basi hapo ujue juu ya Allah hakuna kinachoshindikana...ccm ni kitu gani??ww hawana lolote wanachi wana njaa km nini ovyooo endelea kutetea ugali wako... ila ccm si lolote si chochote.

  • @soudia9084
    @soudia9084 Рік тому

    Huyo jamaa ni mtu wa bara jwa matamshi yake. Warudishwe kwao bara. Waulizwe wamefikaje hapo.