Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

ZANZIBAR NA OMAN NI NDUGU WA KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 34

  • @Hawa-rt3jl
    @Hawa-rt3jl Місяць тому

    Masha Allah nafurahi sana kuona Oman wana moyo thabit na ndugu zao zanzibar Allah ibariki Oman 🇴🇲 na watu wake ibariki zanzibar na watu wake❤❤

  • @MAPETEE
    @MAPETEE Місяць тому +8

    Oman na zanzibar.zanzibar ni warab na km oman najivunia kua Mzanzibari je ww

    • @Hilali-ff5ul
      @Hilali-ff5ul Місяць тому

      Ndio

    • @111dudi
      @111dudi Місяць тому

      @@MAPETEE znz Ilikuwa ya mataifa mengi, Wahindi, Washirazi (Irani) Waafrika weusi, Wazungu, wachina

  • @seifseif9215
    @seifseif9215 Місяць тому +2

    Mashaallah hii misaada isiishie hapo iendelee na ya mambo ya kifua kikuu na cancer wao wako na vyombo vya kisasa walete wasaidie hispital zetu allah awajaaalien kila la kher

  • @obeidgalib1878
    @obeidgalib1878 Місяць тому +2

    ondosheni ubaguzi oman nz zanzibar ni ndugu pia hhuduma hazitomfaa mzanzibar kila mtu itamfaa ondoen ubaguz watu wote ni wamoja

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 Місяць тому +5

    Sio Oman na Tanzania,ni OMAN na ZANZIBAR.

  • @SultanAllyazaiz
    @SultanAllyazaiz Місяць тому +1

    Acheni mambo yakiswahili sasa eti nilithani waarabu hatuwataki ndonin sasa sema Mashallah

  • @saudalharthy9398
    @saudalharthy9398 Місяць тому +1

    ❤🇴🇲

  • @rajabrajab9747
    @rajabrajab9747 Місяць тому +2

    Mashallah Allah akupeni kila la kheri ❤

  • @mohammedkhkombo4439
    @mohammedkhkombo4439 Місяць тому +1

    Watoto wa bwejuu mashallah wanajua kuongea kwa kujiamini.

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 Місяць тому +1

    MashaAllah 💚 🎉🎉🎉

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 Місяць тому +1

    Haya Nimaneno Tuu Siasa Wanyumbo Wanaimba Mpaka Kesho Mtoto Wanyoka Ni Nyoka..Nikawaida Unampenda Mtu Kwakitu Sio Utu..ila Allah Ndio..NK..

  • @TalibMuhsin
    @TalibMuhsin Місяць тому +3

    Oman na ZANZIBAR

  • @alhamiraj4570
    @alhamiraj4570 Місяць тому +1

    Mashalla mama

  • @w4058
    @w4058 Місяць тому

    Ubaguzi uondolewe ikifika kupiga kura waseme hawatowi Serikali hijaishia hapo tu na pia kusema maneno ya utovu wa adabu na kukiuka mpaka eti Mpemba kuingia ikulu haiwezekani Subhanallah kusamehe watu watasamehe lakini CCM hawasemeheki maana kila ikifika uchaguzi huwa kuliko hao wanyama

  • @111dudi
    @111dudi Місяць тому +1

    Mwaka 1964, undugu uliwekwa kando, akaja John Okello ndugu mpya.

    • @froma3732
      @froma3732 Місяць тому +2

      Akauwa watu wasikuwa na hatia na anajivunia kwa kwa Hilo

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa Місяць тому

      Kakwambia nan zanzibar zimeungana na Oman na sio unyamwezini

    • @salehkhamis9994
      @salehkhamis9994 Місяць тому +2

      Hivi jaman watoa comment mnabishana siasa2 Tuacheni migawanyiko wanayozungumzwa hapo maswala ya afya sio siasa

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Місяць тому +1

      Huwezi kuitowa histry ya Omani bila ya Zanzibar.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Місяць тому +1

      ⁠@@salehkhamis9994Kweli…. Wao lazima watie siasa na ubaguzi. 😂😂😂 hawataki afya kwenye Nchi yao wala furaha wao Siasa mbaya tuu ya kuharibu vizazi vyao.

  • @BestBest-rx3sb
    @BestBest-rx3sb Місяць тому +1

    Yaliyopita ni ndwele tukange yajayo someni uislam nini mtume kafanyiwa mecca na vipi alisamehe pia mzee mandela alisamehe

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa Місяць тому

    Mbwana ally kuwa mzalendo wacha kutaja tanzania zanzibar freee yule mbwana wa redeo nuru na wa hapa tofauti wa hapa anapangiwa cha kuongea

  • @pira7439
    @pira7439 Місяць тому

    Oman ni ndugu wa kweli , wa bara ndugu wa vp ?

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Місяць тому

    😅

    • @Ali-uh9wb
      @Ali-uh9wb Місяць тому

      @Khadijahajajiali3918 naona unacheka😅

  • @salyali7807
    @salyali7807 Місяць тому

    Nilidhani waarabu hatuwataki.. wamerudishwa kabla ACT kuingia madarakani

    • @salumalriyamy
      @salumalriyamy Місяць тому

      Akija mzungu kuleta madaktari unasema hivohivo pia?

  • @obeidgalib1878
    @obeidgalib1878 Місяць тому +1

    ondosheni ubaguzi oman nz zanzibar ni ndugu pia hhuduma hazitomfaa mzanzibar kila mtu itamfaa ondoen ubaguz watu wote ni wamoja

  • @obeidgalib1878
    @obeidgalib1878 Місяць тому +2

    ondosheni ubaguzi oman nz zanzibar ni ndugu pia hhuduma hazitomfaa mzanzibar kila mtu itamfaa ondoen ubaguz watu wote ni wamoja

    • @111dudi
      @111dudi Місяць тому

      @@obeidgalib1878 Kuna watu wenye chuki hawataki kulisikia hili.