All the way from Kenya. Nakukubali bro, #tembeleakenya upige collab na Khaligraph Jones #khalicarter naona hio ngoma itakua liiiit siomchezo #OG Kama mnakubali hii gongeni like 👍
me sio shabiki wa rap ila kwa uyu jamaa ni fire ni moto ni hatari ni matatizo ni hafai ni hatari kwa afya 😂😂😂😂💥💥💥💥💥ata usipolike fleshi tu ila @young lunya ni fireeeeee
Huyu jamaa anarap maneno mengi lakini rap yake haiko conscious yaani anachokirap kikostraight forward hakifikiriki mara mbili. He’s so soft , conscious rapper akirap msitari mmoja unaanza kuwaza alimaanisha nini. am not a hater mimi napenda sana rap ila huo ndo ukweli
upo sahihi sana na uneona kitu, lakini kaka katika rap kuna style nyingi. Kuna kings of Flows na kings wa mistari. Afu kuna watu wamejaaliwa mambo yote. Mfano mzuri ukimsikiliza Kaligraph jones mistari yake ni ya kawaida sana lkn anaflow kali ambayo inamuweka tofauti. Fid Q ye ni King wa mistari, lkn Mungu kamjaalia pia ana flow nzuri tu. Kwahyo huyu jamaa ye anajivunia ile Flow aliyonayo, ndomana y mwenyewe kasema ana flow za kinyamwezi..Kwahyo mtazamo wamo haujakosea upo sawa sana, lakini huyu siyo mtaalam wa mistari, ni mtaalam wa KUFLOW. Tunachotaka ni burudani kaka, tukihitaji mistari kuna watu tunawatafuta, na tukitaka flow kuna watu tunawatafuta kama hawa.
Nindey Balcazar Rap ya bongo ni ya kusikiliza sisi peke yetu na labda wakenya wachache wanaofuatilia skendo za kibongo maana rappers wetu wanarap skendo za bongo na wengine siasa, kwa maana hiyo usimfananishe Khaligraph na rapper yeyote hapa TZ yule jamaa is international ngoma zake 70% kaflow kimombo na siyo cha kuungaunga anamiondoko sawa na rappers wakubwa duniani akina cassidy, the game hata royce 59. sikiliza diss track yake ya best rapper in nigeria halafu unambie ni rapper gani bongo ana uwezo wa kufanya hata nusu ya alichofanya? Yes huyu Lunya anaflow kali lakini masikio ya hiphop hayasikilizi flow zaidi yanasikiliza consciousness. He can do better though apambane kuandika.
Binafsi, siwezi ingia utube bila kuisikiliza session3, 🙌ah hii ngoma sio poa🔥, this is my 100+ times listening to it in two weeks time, young lunya big up, more success to u bro #✊we shouldn't compare u with any rapper in tz, actually in east africa
Sikiliza tena alafu rudia tena msikilizishe na mwenzio harafu msikilize atasemaje harafu na wewe nenda getto rudia tena pumzika rudia tena alafu njo u comment nafikir utakuwa najibu.
Nimekuku Bali sana lakini ninge penda unge piga song moja Na young killer pamoja Na dogo d mtatisha sana Na stamina bila kusahau kaza nakuku Bali una pumzi sana
ekheeeeeeee hawa binadamu wa hivi niliamini waliishaga zamani walikufaga..... ila huyu sijui young lunya ndio kaja sasa kutupa tunaojua music(hiphop) ilivyo... congrats
2024 bado
Tupo
Live
kaoge
Kama unasubilia collabo ya @young lunya ft young killer session ya 4 kama mim gonga like twende sawa.
Mkn
Hakuna chemist hapo
Hakuna chemistry kabisa Killer is too rylical....na anaandika kwelikweli, huyu wakwenu Ni Flow tuu.
Bernady Joshua 💥💥💥💥💥
Bernady Joshua 💣💣💣💣💣
YOUNG LUNYA NOMA SANAA👊👊💪💪mi siombi like wala nn kininja zaid
kama kawa mz kaz😎😎
@@mariambawala8177 mamb vp
Kizazi
Big ups bruh make sure u take tz rap to next level. Grow up with that fire its amaizing.
Bro unajua
Young lunya mbuzi wa rap tz lotz of love from 🇰🇪
Nakubali
Tanzanian
Mbuzi meaning greatest of all time (goat)
Ooooyeeau
Ndani ya hii freestyle moja, ukiikata kata kuna nyimbo kama tatu hv afu zoote ni kali, dadeki, bro katisha sana
Kula chuma hicho
Wanangu wa Kenya comments kitu tuone Tanzania woyeeeeeee me napenda Sana kalikali 🎉❤❤
Mbona patamu hapa...oyaa Mr blue vibes safi peleka bongo flava mbele
Baada ya Hii session naenda zangu Zenji kula Pupwe 2024
Hiki ndo kitu Young killer anakosa, kizungu
kaka upo juu nakubaki biti zako nina uwakika siku za usoni utakuwa top one rap bongo✌️✌️✌️
"Flow zao za kitozi zimekataliwa,
ni uchafu kama kinga zilizovaliwa" Lunyaa🔥🔥🔥
😂😂
"Biti ya HIPHOP, verse za taarabu."
This is not the real nature of HipHop. Ninachosikia hum ni kujisifia t. "Mwana anakipaji Ila apunguze kujisifia"
Unakitu kizuri umegundua.... just keep moving more on this.... blessed
Ikr That's My Boy
Bonge la ngoma...sitaki like yoyote!! Kuleni kona wazee wa like.
All the way from Kenya.
Nakukubali bro,
#tembeleakenya upige collab na Khaligraph Jones #khalicarter naona hio ngoma itakua liiiit siomchezo #OG
Kama mnakubali hii gongeni like 👍
This guy is so talented 🔥🔥🔥 still on this 2023
Mwamba jeshi makinikia mjuba uko gud mzaziii🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Ngoma Kali
Haingi hamu 🙌🤫
Oya ii kali kuliko zao, uyu kijana anaimba mziki wa miaka 30 ijayo
Saivi amta muelewa ila tulieni dawa iingie👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
daa hii ngoma naikubal sana lunya uliuwa sana
I think this is the greatest rapper in TZ... If combined with Khali the OG, it can be a baaaaang!
True
U no nothing about tz music .shut the fuck up.!!
Dizasta vina
Oya we tunahitaji vibe kama hizi
This still sounds clean in 2022. Top-notch talent.
Crystal clear in Nairobi, Kenya.
This guy doesnt even rest abit..lunya is the best
C kwa Ubaya ila jamaa kachukua nafasi ya YOUNG KILLER kwenye michano ya HIPHOP much respect from +254
2023 inabamba sana hili goma Lunya 💪🦁👏👏
vina vimepangiliwa MWANZO, KATI NA MWISHOOOOO💣💣💣💣💣
Duuuuh
Mstari wake hauna uhalisia kwenye huu wimbo wake vina vimepangiliwa mwanzo Kati na mwisho....wakat ukiskiza hakuna Mahal kafanya ivo
Father Country jiangalie sana huyu mwamba sio mtu kabisa😎😎😎😎😎
Nairudia hii session kweli mi mshabiki wa damu wa msimbazi simbaa
Nandy nihatari yani hadi sichoki kuskiliza hii ngoma pamoja na hile ya njiwa njiwa aliyo imba na wilipoze
young lunya zaid ya young killer bhanaaaaaa ngonga like
Nitafika mpaka ulipo/fuata pesa zilipo/halluyah willy paul,,,,mob love from +254 🇰🇪
Young killer noma uyu dogo haiingii kama tupo sawa gonga like
If you're watching this in 2090 it's 2023 and Young Lunya was the doppest rapper in our times.
Panya, paka kafika nachokushauri chimba... - Lunya 2019..🔥🔥 Kid is fire
mi shabiki wa damu wa lunya
vina vimepangiliwa mwanzo kati na mwisho
uyu jamaa ni fund sana wanaemkubali kama mm gonga like
Maboy wa EASTLANDO Nairobi naomba muichukue hii kama darasa muache shembeten hatuwaelewi mazee machalii wa WESTIE ungemi kinoo pamoja sana
My favorite young tz rapper......lunya umetishaaa🔥🔥🙌🏾🙌🏾
August 2024 iam here to support my G Lunya you are king let no one degrade you 🇰🇪
New fan from Kenya 254. Young Lunya ur going places son.
Oya young killer uko sawa bro me pia ni rapper na umeniispire one love from Kenya bro
Halafu huyu ndo anajilinganisha na #YoungKiller kweli daaahhh🤣🤣🤣😂😂😂😂😄😄😄😄😆😆😆😆😹😹😹😹🙆🏻♂️🙆🏻♂️🙆🏻♂️🙆🏻♂️
Hagahshggfhggagffgagghahahah
#Youngkiller anajua hatukatai lakini siyo mbunifu kama #Younglunya jaribu kumfwatilia utajua hili hatukatai anachana lkn ubunifu hana
@@heartmanbreven7186 Unataka kusema #Killer huyo lunya anamzid Hip Hop sio
@@manbebo4460 😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂
@@issanaseeb7699 sasa hilo unauliza unajijibu mzee wangu
Young Lunya Eeh....Me mbn Nilishaga sema #Wewe_Ni_ProblEm_KubWA
👐Young lunga
This is your time to shine .... Patience comes with blessings
Hoya 🐐🐐🐐Ni🔥🔥Anayebisha simlazimish..
Jamaa kwa flow na mistari yake ktk hili dundo ni 🙌🏽🙌🏽. Hii freestyle itakaa sana kwenye game maana ni 🔥🔥🔥
me sio shabiki wa rap ila kwa uyu jamaa ni fire ni moto ni hatari ni matatizo ni hafai ni hatari kwa afya 😂😂😂😂💥💥💥💥💥ata usipolike fleshi tu ila @young lunya ni fireeeeee
I am here after kuona cover yako ya yes bana challenge imepostiwa na Khaligraph Jones. You are good bro, keep up the good job. From 254
Ase young killer mziki umelala lunya we piga trap zako tu
Duuuuuh......the best Young Rapper yaan kila Freestyle...session u kill it bruh more lovee nakubali sanaaaa
Still coming here, time and time again after 4 years! Timeless
Huyu jamaa anarap maneno mengi lakini rap yake haiko conscious yaani anachokirap kikostraight forward hakifikiriki mara mbili. He’s so soft , conscious rapper akirap msitari mmoja unaanza kuwaza alimaanisha nini. am not a hater mimi napenda sana rap ila huo ndo ukweli
upo sahihi sana na uneona kitu, lakini kaka katika rap kuna style nyingi. Kuna kings of Flows na kings wa mistari. Afu kuna watu wamejaaliwa mambo yote. Mfano mzuri ukimsikiliza Kaligraph jones mistari yake ni ya kawaida sana lkn anaflow kali ambayo inamuweka tofauti. Fid Q ye ni King wa mistari, lkn Mungu kamjaalia pia ana flow nzuri tu. Kwahyo huyu jamaa ye anajivunia ile Flow aliyonayo, ndomana y mwenyewe kasema ana flow za kinyamwezi..Kwahyo mtazamo wamo haujakosea upo sawa sana, lakini huyu siyo mtaalam wa mistari, ni mtaalam wa KUFLOW. Tunachotaka ni burudani kaka, tukihitaji mistari kuna watu tunawatafuta, na tukitaka flow kuna watu tunawatafuta kama hawa.
@@chiconinde8135 exactly maalifa flow no ila mistari poa ila,Lunya ana vyote japo amejitambulisha commercial
@@homeboybeyondtheborders4935 Naaam upo sahihi sana.
Nindey Balcazar Rap ya bongo ni ya kusikiliza sisi peke yetu na labda wakenya wachache wanaofuatilia skendo za kibongo maana rappers wetu wanarap skendo za bongo na wengine siasa, kwa maana hiyo usimfananishe Khaligraph na rapper yeyote hapa TZ yule jamaa is international ngoma zake 70% kaflow kimombo na siyo cha kuungaunga anamiondoko sawa na rappers wakubwa duniani akina cassidy, the game hata royce 59. sikiliza diss track yake ya best rapper in nigeria halafu unambie ni rapper gani bongo ana uwezo wa kufanya hata nusu ya alichofanya? Yes huyu Lunya anaflow kali lakini masikio ya hiphop hayasikilizi flow zaidi yanasikiliza consciousness. He can do better though apambane kuandika.
We Sema humuelewi khaligraph jones usiseme Hana mashairi
Aaaaaa jaman lunya wamuache na mziki wake atawauwa
I heard someone listening
I just had to listen everything by you
You got talent❤
huyu ni Moto anaweza namkubali sana
Binafsi, siwezi ingia utube bila kuisikiliza session3, 🙌ah hii ngoma sio poa🔥, this is my 100+ times listening to it in two weeks time, young lunya big up, more success to u bro #✊we shouldn't compare u with any rapper in tz, actually in east africa
Kama unapenda simulizi za kihistoria, subscribe to my channel
Bado season 2 ni best kuliko zoteeee
Sikiliza tena alafu rudia tena msikilizishe na mwenzio harafu msikilize atasemaje harafu na wewe nenda getto rudia tena pumzika rudia tena alafu njo u comment nafikir utakuwa najibu.
@@heartmanbreven7186 broh lunya fundii but me ndo naona ivyo season two ya Moto ad madem wanaimba
@@patricksamweli953 mzee wangu mademu kuimba siyo tatizo angalia vina vilivyo pangiliwa angalia jins anaichezea yani beat haimpelek yeye anaipeleka beat
@@patricksamweli953 humu kachanikaa Sana'a yani zote nzurii
Patrick Samweli hii Kali kuliko ya pili hii flow n atar mistar ni mikali mpangilio unaua hii wataimba mpak mabibi na watoto
Nakubali kaka wewe ni mbuzi kweli
This is rap. This is talent.
wakenya hamjafika hapa +254 love,piga pini pande zote halleluhya willi paul
Hii kwanin haina Million+ viewers ... Kali Sana 🇹🇿🇹🇿🎵🎶
Namkubali sana huyu .mshikaji
Ooh my ebu gonga like Kama unamkibali lunya
" Mi nataka kile kiti kilichoka liwa " Chamaro🙌🙌🙌🙌 fighting for my life to live
Lunya unatiishaa Unajua
We jamaa mkal. Hip Hop is ma favorite.
nouma snaa my young brrrrrrrr
Unajaribu sana big up
Km ynakubal hii ndiyo hip hop gonga like sasa🙌
Your definitely Young King.......mwambie tyu brother Country akupatie
Mdogo ang hizi punchline ni WORLD THREAT sasa hip-hop needs this
sure😎😎😎
Naona lunya unaendelea kunya tu.....wanyeeeee hao mabwanyenye kwenye game
Y'a Kibabe hiiiiii Love From 🇧🇮🇧🇮
Kingorongoro Official Mwamba njoo uombe collabor mzee baba.Halafu umekaa kimya
ngom kalii
Kimya Kimya Sio Ujinga Nacungulia tuuuuu 😂💪
Umetisha lunya
Young lunya! The TrueYoung Hip hop artist 👏👏👏👏🤙🏽🤙🏽💥💥💥🔥🔥🔥🔥
Mwanangu wew bingwaa akuna bongo kwa sasa mzee namba moja 1 mPaka 9 kumi rapcha hiiyo ndo kumi bora yanguu
Young LUNYAA de baddest massive blood💥💥🔥🔥💪🏻
Hii imekubali, unawakilisha bongo.Wakenya na wabongo leta likes
Nakubali Sana Yana, Duh!🔥🔥🔥
Duuuuh we mjingaaa unajuwa adi unakeraaaa chiiiiii
So proud of my day uno G bless up sana YL POPPA
Motooo limebaki jivuu tu, umenyooshaa snaaaaa
Luny una moto broo sema piga mawe si tupo
Umeniamisha mdogo angu hatar sana yan n ful rap mpya bongo
Makiniiii
Let me say "Lunya is underated rapper" this is Hit
Kazi safi bro
King Lunya on this again. Respect fam
Nani humu yuko blessed na hii ngoma ka mi in 2020 .
Mzigo umetsha mwamba
Respect🔥🔥🔥🔥🔥
Kujua unajua ila usijilinganishe na killer izo ni blessing
Mein this shii is 🔥🔥 much respect from Rwanda 🇷🇼 ✊
Hata mimi Ni mshabiki wa damu wa msimbazi simbaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🏼
Nimekuku Bali sana lakini ninge penda unge piga song moja Na young killer pamoja Na dogo d mtatisha sana Na stamina bila kusahau kaza nakuku Bali una pumzi sana
huu ndiyo mziki wa hiphop siyo wale wengine wanjiita wana hip hop kumbe taalabu tuu hii ndiyo no chorus safi sana mwanangu lunya
Mnyamwezii wa kizaramo 🔥🔥🔥
nomaaaaaaaa sana bro
Bro umetisha aisee. Im in love with this song. Keep it up.
ekheeeeeeee hawa binadamu wa hivi niliamini waliishaga zamani walikufaga..... ila huyu sijui young lunya ndio kaja sasa kutupa tunaojua music(hiphop) ilivyo... congrats
Young lunya unaweza but young killer anaweza zaid...
Wow Young Lunya umetisha sana...we ni Mc Mkali kuliko