Young Lunya - Freestyle Session 6

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,9 тис.

  • @lazenbett5813
    @lazenbett5813 7 місяців тому +25

    Mkenya wa kwanza hapaa🇰🇪 kufuatilia the season kama kawa

  • @Aloysmalon
    @Aloysmalon 7 місяців тому +17

    Lunya fire ukipend mwite mbuzi mweny nyam nyingi .unyam wotz yaani jaman mu like ndo lengo

  • @user-pb2jx5zm3k.MBUZIII
    @user-pb2jx5zm3k.MBUZIII 7 місяців тому +23

    MBUZI 🐐 napendwa jince ulivyo iachia maick🎤 Unamaanisha Na yeye atoe tena free stelyle sission 6 out run

  • @abouskillskefea3413
    @abouskillskefea3413 7 місяців тому +10

    Mi namkubali sn young killer...
    Ila hapa LUNYA kuna Jambo kafanya..👍 hp amekaza sana yn kila ukijitahd ufungue unaogopa unahc utavunja

  • @__its__gray3747
    @__its__gray3747 7 місяців тому +9

    Anakwambia "sio kwamba sidate ila simwoni wa kumweexpose " Young killer kajibiwia hii si alisema "kwanza dgo demu wako hatumjui"🎶🎶🎶 good music from Mbuzi

    • @farajimahamudu2808
      @farajimahamudu2808 7 місяців тому

      Mbuuzi

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 7 місяців тому +2

      Mbona verses nyingi tu kachanwa Killer, mfano "pisi yangu ww haikuhusu" izo kelele zangu ndizo zilizokupoteza ww " c kule alimwambia kua akitoa ngoma kelele ka za jenereta😂 pia kuna seem anasema "this is session 6, najua ushaickia ile nyengine ambayo n mbovu ila this is fixed" he si really got🎉🎉🎉

  • @BrianAbanja-tq9rq
    @BrianAbanja-tq9rq 7 місяців тому +28

    Wanao mkubali huyu bwana all the way from country 245🇰🇪 relax hapa guyzz

    • @Mkfamily89503
      @Mkfamily89503 7 місяців тому

      Am 254 bt Tanzania hip hop for me.

  • @Ahmed-fr6le
    @Ahmed-fr6le 7 місяців тому +25

    kwa 2naopenda muzik wa west side kwa hapa tanzania 2naupata kwa young lunya au mbuzi never disappoint us

  • @erickhenry2619
    @erickhenry2619 7 місяців тому +1

    Director scene ya box umeuaaa..very creative…akili hizi nazionaga ulaya..tishaaa sana

  • @Threefingers-ik3pk
    @Threefingers-ik3pk 7 місяців тому +19

    Kusema kweli Unajua bro
    Wanao mkubali Lounya gonga like apa

  • @sumadady06
    @sumadady06 6 місяців тому +2

    Ah kumanina we m 2:26 senge unajua #mbuzi Huna mpinzani baba

  • @achukamwalimu1596
    @achukamwalimu1596 7 місяців тому +11

    Mi ni mmoja ya Wakenya🇰🇪 wanaomkubali sana LUNYA. MBUZI!! 🐐

    • @ladslausemmer9577
      @ladslausemmer9577 7 місяців тому

      Mnapenda vibovu

    • @achukamwalimu1596
      @achukamwalimu1596 7 місяців тому +1

      @@ladslausemmer9577 kama yeye kibovu pia nawe kibovu. Same category

    • @davidmshighwa8444
      @davidmshighwa8444 5 місяців тому

      @@achukamwalimu1596 awezi kuwa same category na mbuzi
      Ye huyo ni lofa.

  • @depsmilindi8424
    @depsmilindi8424 7 місяців тому +2

    As usually the best rapper kwa generation hii... Wewe na Rapcha nawapaga maskiyo yangu kwa mda mrefu.... One love from🇨🇩✌️👌

  • @vampiro7663
    @vampiro7663 7 місяців тому +26

    +258🇲🇿
    Mbuziiii 🔥🦅
    Esperando essa vibração do outro lado

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 7 місяців тому +1

    5:11
    Rada ni safi navizia watoto wa Nairobi.....damn !!! Ulimanisha nini Lunya kama ni kuchana Nairobi rappers own hip-hop shit

  • @emariohjohn3743
    @emariohjohn3743 7 місяців тому +4

    Young killer ......nìfichie tena huyuu mtoto wa bombom...

  • @NoelLeka-hy1ch
    @NoelLeka-hy1ch 7 місяців тому +1

    Young king always on top GAOT at young age utengwe bro inabd tukatafutie mbuga yako mbuzii talent hi inajtenga na talent za ovyo oovyo uwez ka mbuga moja nao fake rapers

  • @JordanSolomon-dy9pv
    @JordanSolomon-dy9pv 7 місяців тому +6

    Mh hapa kama munatoka nje ya bara bara mbuzi ana roo ninaona kabisa anaanza kumuogopa muuaji hili dude kwakweli sijalielewa alafu kitu nimejifunza kwenye haya maisha unaweza ukawa wakwanza kila kitu ila ukachelewa kujua😊😊😊 huu mchezo hauhitaji hasira

    • @abumuhammad9615
      @abumuhammad9615 7 місяців тому +1

      Choko wa young killer

    • @JordanSolomon-dy9pv
      @JordanSolomon-dy9pv 7 місяців тому +1

      @@abumuhammad9615 waoooh nawewe ni wayoung kunya au vp mimi ninasikiliza muziki aina zote sinaga ufagio mzee nivile tu hujanijua hata kwakuniona siwezi kusema kwamba haunijui vizuri 0

  • @koonama14
    @koonama14 4 місяці тому +2

    so much love from Cameroon #YungL. U are highly underrated bro, but your hiphop will inspire Tanzanian generations and young African rappers trust me. LET'S PUSH THIS DUDE GUYS.

  • @yusuphmyinga
    @yusuphmyinga 7 місяців тому +24

    Nashukur sijachelewa kuskiliza maunyama alo ya fanya mbuzii leo daaah hatariii 💪💪💪💪

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 7 місяців тому +14

    Du huku young lunya kaimprove sana michano yake amekomaa

  • @Izoodaddy
    @Izoodaddy 7 місяців тому +9

    Freestyle No 2 na no 5 ndo Ngoma kali

    • @86blizzo
      @86blizzo 7 місяців тому +1

      Bado hapo
      Ki ukalii xanaa freestyle zote
      1. Announcement freestyle
      2.Freestyle session 4
      3. Freestyle session 2 afu
      4.Freestyle session 1
      Ukitaka kuamini anza kuzsklza tena upya kw huo mtiririkoo📻🔥🔥🔥

    • @BockrineSimchimba
      @BockrineSimchimba 6 місяців тому +1

      Kwako

  • @josephfestus2551
    @josephfestus2551 7 місяців тому +1

    Humu hamnaa rapper now,,my all time session is 3&4 after hapo naona lunya aachane na sessions coz kadili anavyozidi kwendaa mbele naona anaharibu

  • @RamadhanKessi
    @RamadhanKessi 7 місяців тому +31

    Wakanza naomba like zangu kama unamkubali lunya

  • @KEVOSHIZO
    @KEVOSHIZO 7 місяців тому +2

    Lunya ameweza anatisha sana! With Love from 254

  • @winniearaka8487
    @winniearaka8487 7 місяців тому +27

    Tulioskia shoutout ya Nairobi weka likes hapa. Young Lunya never disappoints 🔥

    • @TushabeAmos-z9f
      @TushabeAmos-z9f 7 місяців тому +3

      Welcome bongo, I love you❤

    • @winniearaka8487
      @winniearaka8487 7 місяців тому

      ​@@TushabeAmos-z9fasante...I'll actually be visiting in August ❤

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael 7 місяців тому +9

    Waruka juu huwa atuogopi mabaunsa, ata uwe mjeshi kichura utaruka ukuuuh uku inapigwa kidole inanuswa hzo n nyama tu zipo ata kwenye sambusa😋😋✌️✌️@motra the future.

  • @islamkarata9655
    @islamkarata9655 7 місяців тому +4

    Sijasikia chorus aseee khaaaaaa

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 7 місяців тому +3

    Huyu mtoto ni mshenzi kwa hii kazi wambieni hao wataenda sana kwa wa ganga lakini huu muda ni wa mbuzi❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 sitaki kukuaminisha uamini ninacho kiamini lakini angalia kazi zake

  • @AbdulySaleh
    @AbdulySaleh 7 місяців тому +25

    Is CASPER NYOVEST Well mannered??.. "I don't know any Rapper I just know Musicians".. Many LIKES To This TALENTED! BLESSED! CREATIVE CREATURE.. What A work of ART!!!

  • @EzekielTv49
    @EzekielTv49 7 місяців тому +1

    Hii ngoma nimeisikiliza in detail,, rappers wa bongo jiapangeni,,Lunya kwa sasa hamumuwezi,,,

    • @JuliusJrayda
      @JuliusJrayda 7 місяців тому

      Una miaka mingapi we jamaa?

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49 7 місяців тому

      @@JuliusJrayda sijui unataka kusema nini mpaka uniulize nina miaka mingapi,,,chukua hii kama baadhi ya bars zinavyosema kwenye hiyo ngoma,,,"Lunya anasema kwa sasa yeye ni wa kwanza,,na uelewe vizuri hamaanihi nani alianza",,,so it's currently na sio issue ya miaka kwamba labda siwajui rappers wa zamani,,,we talking about current issue.....
      Na Lunya kapiga kwenye mshono maana alijua mtakuja watu kama nyie kuanza kuongelea watu wa zamani ambao muda wao umeisha,,, mtasema sijui fid q na kina nikki mbishi ambao wana manyimbo yao mengine wanaelewa wenyewe

    • @rojanhodeasismoreila435
      @rojanhodeasismoreila435 7 місяців тому

      Mbna kama hii sio Distrack

    • @sadikimasawa4048
      @sadikimasawa4048 7 місяців тому +1

      Kipi haswa ambacho hawamuwezi?

  • @CarlyTexxy
    @CarlyTexxy 7 місяців тому +4

    mbuzi mashien umetoka 5 now umenda 6 oy zote umetembea dakik Kam life str zinavuotak dakik 6 👋👏

  • @HassanPacha-f9w
    @HassanPacha-f9w 7 місяців тому +4

    Lunya kwa upande wangu mimi killer akikujibu ameondoka na kijiji

  • @lweshamagauni2459
    @lweshamagauni2459 7 місяців тому +15

    Mbuzi kiwalani bombom

  • @ismailmenk8188
    @ismailmenk8188 7 місяців тому +2

    Lunya mbuzi umeshindikana wasikushindanishe na young killer ume muacha mbali sana.

  • @RobertRobertjoseph-i8i
    @RobertRobertjoseph-i8i 7 місяців тому +47

    Mbeya boy like apa

  • @cyprianyinnocenty2002
    @cyprianyinnocenty2002 7 місяців тому

    Daaah! Sina nen0 katika hii kitu 0yaaa baba UMEUWAAAA! Br0h! Y0ur Magic Br0h! Aaaaaah!! N0 Way 0ut 🎉🎉

  • @warriomashaz5184
    @warriomashaz5184 7 місяців тому +11

    Mboga zinataka nizile hata zikijua natoka nanani✌️✌️

  • @Triwezah_official
    @Triwezah_official 6 місяців тому +2

    Mbogi Zima nakujia na Khali.Khaligraph Jones bila d mbili huwezi ukaelewa

  • @rejius11
    @rejius11 7 місяців тому +2

    Nilichili kidogo kusikiza hip hop bongo jamaa amefanya nasikiza tena, this iz hit bro 🔥

  • @daystardancol
    @daystardancol День тому

    Unakubalika Kenya 🇰🇪🇹🇿 og na lunya wapuzi

  • @jadendax2040
    @jadendax2040 7 місяців тому +5

    Najua ushawahi kusikia Ile Nyingine Ambayo Ni Mbovu Irahii ndo session6

  • @BrownPascal
    @BrownPascal 7 місяців тому +1

    Lunya we ni msanii mzur lkn punguza kujiimbia ww tushajua km ninmsanii tyr so tupe ngoma zilozo tofaut na maisha yako ukienderea ivi unashuk soko bro

  • @JamesReuben-gt8up
    @JamesReuben-gt8up 7 місяців тому +7

    Mbuzi huyuu jamaa wek mbalii na watoto

  • @skygold5495
    @skygold5495 3 місяці тому +1

    We unamjua mtoto wa dandu (cool James) under Sony music around 1998 we makelele tu

  • @AbuKebu-kw6og
    @AbuKebu-kw6og 7 місяців тому +54

    Km we nishabiki wa mbuzi like hapa

  • @kgbkgb6790
    @kgbkgb6790 7 місяців тому

    Thats so hard jamaa wewe wakwanza sasa hivi bro,n'a mimi hapa shabiki Yako mkubwa sana.
    Kusema kweli nime injoy

  • @is-mailh.makame5420
    @is-mailh.makame5420 7 місяців тому +6

    You are muuufck best RAP after Vina its you my G.O.A.T....... #MBUZI

  • @stevenbosco255
    @stevenbosco255 7 місяців тому +1

    Ay wakwanza Kwa Kila kitu mzee unapenda jisifia Kwa vitu vingine ambavyo sidhan kama katika uandishi wako ulipaswa kuviweka

  • @ShamilahSalum
    @ShamilahSalum 7 місяців тому +3

    ...kumamakeee kaingiaa mazimaa mleteni young killer wenuu . oii makelele yanguu ndo yalokuzimaa

  • @nkaliedward1065
    @nkaliedward1065 7 місяців тому

    Lunya anaiheshimisha RAP game,anastahili heshima for that and truth be told amemature kama fine wine ana rhymes kali and viburi flow.

  • @JordanMichu
    @JordanMichu 7 місяців тому +34

    Wa pili mimi Leo mwaga likes zako apa

  • @simeiamuma9961
    @simeiamuma9961 7 місяців тому +1

    # mbuzi #lunya bruh hii umeuaaa ..video imetii🔥🔥
    Bars huezi maliza daah😂💯

  • @Ramaah17
    @Ramaah17 7 місяців тому +10

    Normal😏 ngoja nimsubir Mwanangu Msodoki soon tunakuja kuzima kelele

    • @DimosoBarackswed
      @DimosoBarackswed 7 місяців тому

      Tunakuja kufunga midomo ya watoto wa juzi😂😂

    • @nassorsuleiman9155
      @nassorsuleiman9155 7 місяців тому

      Usisahau kumkumbusha msodoki aongeze dakika asije akaja na dakika zake mbili😂😂

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 7 місяців тому +1

    Rapper yeyote anae suka mm Huwa simkubali,,,but lunya you are good,,,ila tu kwe kusuka mm binafsi Kwa nafasi yangu kama shabiki nakushusha

  • @blook_maina
    @blook_maina 7 місяців тому +9

    Rada safi nafisia watoto wa Nairobi ❤

  • @BabuLodge
    @BabuLodge Місяць тому

    We waje hao machalii wa +254 Huu moto mwingine tuache masihara NAIROBARY mkajifunze hapo muache kushembeten lugha hata haieleweki

  • @pagallohumphrey722
    @pagallohumphrey722 7 місяців тому +21

    I liked this mpaka nilipo sikia MEEH ya Toxic fuvu... nasubir majibu nione kama kweli tuna Goat

  • @Barakajones7
    @Barakajones7 4 місяці тому +2

    ukiskiliza ngoma hii utagundua muhuni anataja ngoma zake zote za kwnye album dogo ni hatari acheni majungu🔥🔥

  • @chikaweabdalah280
    @chikaweabdalah280 7 місяців тому +20

    Huyu mwamba ni Tanzania special one

  • @Jacde6ix
    @Jacde6ix 7 місяців тому +1

    Lunya lunya lunya unatuumiza mashabiki zako why kila msannni wa raper wakudisi jomba tunataka kichupa kingine kikali acha kujisifu waonyeshe kuwa tunapasuka hata bila kujisifu nakubali mbuzi

  • @jossonchauler1707
    @jossonchauler1707 7 місяців тому +3

    I remember in my O level studies I used to escape from school..
    Whenever I hear Mbuzi 🐐
    Has released new song 🎉
    My classmates used to call me Mbuzi too❤
    Because I am the mad fan of young Lunyaaa❤🎉

  • @ivangreen7655
    @ivangreen7655 7 місяців тому +1

    To be honest, 6:30 minutes of fluent rap is crazy 🔥🔥 Young Lunya ni mkali aisee

  • @sirizawa3360
    @sirizawa3360 7 місяців тому +4

    Ww mwakinyo hamna tofauti michambo mingi mkiitwa ulingoni mnakimbia we chupi bikini 2 unamjuwa wakwanza international kwenye hip hop ya bongo kajifunze kuandika kuku ewe

  • @gasperkairon1663
    @gasperkairon1663 7 місяців тому +1

    Kibongo bongo wachache sana lunya mshamba hawezi elewe waache chuki chuki 👊🏿usifagilie wajuaji

  • @jaruloner
    @jaruloner 7 місяців тому +15

    Mbuzi kwa ubora wake❤🎉....Showing love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @dancunsteven7486
    @dancunsteven7486 7 місяців тому +1

    Bars for bars, huge respect young Lunya
    🇰🇪🇰🇪

  • @ramaar_the_baddest_
    @ramaar_the_baddest_ 7 місяців тому +5

    big time GOAT 🐐 🙌🙌🔥🔥 tamba nikiwa sipo ila watambie fasta fasta 📌

  • @vema_tv
    @vema_tv 7 місяців тому +2

    Humu namuona YOUNG LUNYA mpyaaa. Noma sana

  • @anuaryayoub1143
    @anuaryayoub1143 7 місяців тому +5

    Hakuna kama wew mbuziii kweny hii new school hiphop ❤❤❤❤❤❤...

  • @AbeSalumu-z8u
    @AbeSalumu-z8u Місяць тому +1

    Unge Kua. Unaelewa hip hop usinge andika ulicho andika boya wewe beg b yung lunya

  • @amrzaqmlawa4015
    @amrzaqmlawa4015 7 місяців тому +10

    Niliposika dis track ya #toxicfuvu ikanibidi nije nisikilize hii session 6 nikagundua fuvu kafanya balaa sana

  • @yobrake5856
    @yobrake5856 7 місяців тому +1

    Lunya's number one fane from kenya ,
    I'm really jealous i arrived late for this masterpiece

  • @abdulkarimchongs
    @abdulkarimchongs 7 місяців тому +7

    All the way from 🇰🇪..love brother 🔥🔥

  • @FernandesKalokola
    @FernandesKalokola 7 місяців тому +1

    Mtu akifanya kitu kizuri apewe maua yake Tz damu 1big up lunya

  • @AllenKishandaire
    @AllenKishandaire 7 місяців тому +20

    Naomba like zangu mtu wa kwanza

  • @Midupa
    @Midupa 14 днів тому

    Mbuziiiiiiiii still bado bang mtaaa🐐Bora WA muda wote

  • @jaydenelsimith
    @jaydenelsimith 7 місяців тому +103

    naomb like zang leo nimewahi xaan lunya mbuzi nakbal xaan😢

  • @nicktyger7385
    @nicktyger7385 7 місяців тому +1

    Salut KAZI nzuri uptown tz duniani tumefika hawatuwezi Kwa kuropoka

  • @grizzboytz
    @grizzboytz 7 місяців тому +12

    Weee Lunya Nyimbo zako zina vibes sana Congo🇨🇩 Ila hatuja waii kuku ona My Ideal💯 i like your punchline my Blood

  • @saddybrezzy9777
    @saddybrezzy9777 7 місяців тому +2

    Dah bado sana kwenye hip hop

  • @K.I.l.o.n.zo..boys.m.a.t.a.t.a
    @K.I.l.o.n.zo..boys.m.a.t.a.t.a 7 місяців тому +8

    Oyaaaaaaaaah ikitu nyokoooooooooooh

  • @abuwjandal1198
    @abuwjandal1198 7 місяців тому +2

    Huyu jamaa ni goat ndo maana wanamchangia.

  • @D_smarty8
    @D_smarty8 7 місяців тому +3

    weeee mbuz umekua tishio kwa ma brother au basi ✍️✍️✍️💯💯💯💣💣🔥🔥

  • @mthiaspaul
    @mthiaspaul 7 місяців тому

    Sio poa bro!! Lunya anatembea mbali huwezi tembea hiv kama hujui kupumua jwa wakati!! Msodoki kashindane na mjomba mashairi na kaka yako mkubwa!!huwezi tema hizi pumzi!!🔥🔥🙊🙊

  • @Manjalino
    @Manjalino 7 місяців тому +219

    Tunaosubiri young killer ajibu like hapa

  • @SalminRahis-kd9sv
    @SalminRahis-kd9sv 7 місяців тому +2

    Lunya una ubongo mdogo hii ngoma haina mafunzo yeyote muone NACHA anavyokuwa na mafunzo ona kama DEA MSOMI nyimbo ilivyokuwa na ujumbe na mafunzo ira we lunya bado kabisa hujuwi muziki

  • @NandoWaUsa
    @NandoWaUsa 7 місяців тому +4

    Listening all the way from USA 🇺🇸 🔥

  • @BarakaJum-hr9jm
    @BarakaJum-hr9jm 7 місяців тому +3

    Namkubali luny moto kam pasi🔥🔥✌

  • @cbegram6161
    @cbegram6161 7 місяців тому +2

    Halafu hii beat Mbona Kama inasound Kama underrated, kwa mbali

  • @kelvinbeckson7554
    @kelvinbeckson7554 7 місяців тому +17

    we're waiting 🥶🥶🥶🥶

  • @deogratiusernest6293
    @deogratiusernest6293 7 місяців тому +1

    ya kawaida sana... season no. 2 na 4 ni noma zile

  • @nyuz_online
    @nyuz_online 7 місяців тому +23

    jiwe Kwa young killer kama umesikia like hapa

    • @FbiSmart
      @FbiSmart 7 місяців тому +1

      One for the money two for the show 😂😂

    • @DimosoBarackswed
      @DimosoBarackswed 7 місяців тому

      Na msubir mwangu killer ajibu huu upuzi😂😂

  • @JavasonZion
    @JavasonZion 3 місяці тому

    Wa mwisho anetoa vote of thanks🥰🥰🥰🥰🤝Nyau a good energy for Intro..
    Mnaua game mabratha..mko Top

  • @peterfrank5582
    @peterfrank5582 7 місяців тому +3

    My brother is a rapper but he ain't writing his own verses now but singing ur verses everyday ....back on days I was taking u for granted but for this shit...u kill it goat

  • @SalminRahis-kd9sv
    @SalminRahis-kd9sv 7 місяців тому +1

    Kwa rapu ya lunya bado yuko chini nyimbo mwanzo mwisho kujisifu na adi kuwafikia hawa dunia iko mwishoni bando,nacha,toxic,centrozone,wizzy,salmin,rapcha,msamiati,motre the future,silabi,manengo,boshoo,chaba,chin bees,testa tungo

  • @Ramson_Senior
    @Ramson_Senior 7 місяців тому +4

    Hii noma mzee umechana ramani 🙌

  • @REGINALJOHNIWOKER-fs8my
    @REGINALJOHNIWOKER-fs8my 7 місяців тому +1

    Ngoma imepoah Sana mbuzi kapoa tusubil killer session 7🎉

  • @gilbertjustine3999
    @gilbertjustine3999 7 місяців тому +5

    Hili nimeliwahi aisee sema mbuzi we made sana

  • @husseinliwali
    @husseinliwali 7 місяців тому +1

    YL MBUZI MKALI MBUZI MNGATA WATU S006 IS ON FIRE 🔥 BIG UP SANAA

  • @yusuphkacc6232
    @yusuphkacc6232 7 місяців тому +13

    hey siri anamaaaanisha dizasta vina 🙌🔥ndio siri ety

    • @jbsilulatv4513
      @jbsilulatv4513 7 місяців тому +1

      Kila mtu anaradha zake ktk mziki so tusimlist dizasta...

    • @kennedymafole
      @kennedymafole 7 місяців тому +2

      siri ni program such ipo kwenye iphone unauliza kituchochote online na inakujibu, acheni ushamba😂

    • @ottiefx255
      @ottiefx255 7 місяців тому +1

      Dizasta mtu mwingine lunya hawez kwea

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 7 місяців тому +1

      Hawezi kumsogelea kwa talent, lakini kila mtu na ladha yake