Msodoki Young Killer - A New Girlfriend Story (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 30 кві 2020
- #MsodokiYoungKiller #ANewGirlFriendStory
MSODOKI YOUNG KILLER SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.to/msodokiyoungkiller
Follow Msodoki Young Killer On Social Media:
/ youngkillermsodokii
/ ymsodokii
Channel Administered by Slide Digital
/ slidedigitaltz
"NA ULIVYO MWEPESI KAMA TEBO YA PILI...." huyo ndo Young mwenye Killer zake🔥
This song anayesikiliza till now aweke like❤️
Duuuuu hufai broooooo like hata 3 jamani.nimemkabidh ngombe anilindie majaniiiii....
Big killer🚳🚷🚷🚷🚷
unajisema Lilian tumewakabidhi mtulindie majani nyie
ANYONE WATCHING THIS IN 2024.
Am here bro 2024
Yessir
✌
Young killer best rapper of all time..
Kama unakubali nipe like zifike hadi buku kwa ajili ya mkali huyu..
Fid Q anaimba taarabu au sio
Bonge ngoma bro this real hip hop in tz kwa sas on trendng 1
Yap am like every day
Msodoki Mdogo angu eeee, l'm older than you, lkn nasema hivi,
"SHIKAMO YOUNG KILLER (MSODOKI)
John Mwandu 😂😂
Huy jamaa ni hatar Yan hii ngom kaandika kinomaaa du🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂 ukubwa pesaa
"Aina za wanawake na tabia zao"pita na link hii kujua ...
ua-cam.com/video/CuO1gbIMdss/v-deo.html
🤔🤣🤣
Hii ngoma kwenye flesh yangu lazima uikute tuleik 2024
I still listen to this Killer's song mpaka wa leo💙 Young killer is always gonna get respect from Kenya👊
Young killer..... Like Kama unaelewa mambo yake 🇹🇿🇺🇬🇰🇪
Naiona hit song hapa, who else sees? Press 👍
Tunasubiria hii video ifikishe 1M gongeni like hapa
Hii nyimbo Ni bora Sana katika nyimbo za young killer hii kali
Killer umeuwa sana kwenye hii🔥🌹. Mafans wa youngkiller kujen hapa🙌💔
Yan ww unapenda like Kama chakula vile
Killer 💯🔥
He's the best for sure
unapend like kwa ibra na konde boy umeomba like uku pia upo
Me nkomet kbxx kaz mzr
Tujuaneeeee mashabiki wa Killer gonga likeeeeeee
Most complete Swahili rapper...more love from 🇰🇪🇰🇪
Great rapping style.
Nice Beat.
Nice video.
Great production.
I love the song from deepest part of my heart.
Young Killer you did the best brother. Keep it up.
"Sio kila YOUNG ni Killer"....💥💥💥💥💥
Hhhh uwezo unajieleza au sio, Lunya aukalie mbal sn uwu 🔥, kwnz amuweze maarifa kwnz nd aje afkirie level izi....
Hii ngoma najua ina dis Kama zote Kwa wanaojilinganishanae😁😁😁 #my favorite rapper in East Africa
Two years later, this song still hits hard like yesterday release......sometimes I wonder if YK is fairly rated, way above a lot of rappers. 🔥🔥🔥
I wonder why they don't give ashit about him
Dogo ungekuwa mbele kwa nyimbo kali kama hizi ungekuwa billionaire lakini vijana wa bongo wanapenda bana pua. Ujumbe kuntu sana na hongera.
DAH NIMEFUNGA LAKINI NIMEANGALIA NIPE LIKE YANGU 🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Budaaa... Ngoma kali kabla sijaangaria we mtu mbaya msodok,, like zenu kwa uy msukuma mazee
More love from Kenya Young Killer Msodoki this is lit
G
Killer utaniua🔥🔥🔥🇰🇪
Mdogo wangu YangKila Umeaua sanaa hii Ngoma
Lyrics-100%✅
Young Killer Msodooooki 👌👌, I'm watching from Kenya, ndugu zangu wa Bongo nipen likes aisee 💪💪
Aiseee bonge la song Umeuwa xana nimei❤️
Uakika 🇹🇿
@@jacquelinejohn5415 yakila
@@jutoomaachurauklourownandy9175
C,mu bp.b 🥰😋🥳🥳
Worry out bro👎👎
Hii ngoma nimekuangalia mara mbili mbili sana. Kama. Wewe pia. Umefanya ivyo. Coment. Reply. Na gonga like twende sote.
Hii ngoma Ni kali kinyama. Ameanza kumwambia mshikaji wake jinsi demu wake alivyo mzuri na anavyo mkubali.
Baadae kageuka fasta na kumueleza mshikaji jinsi alivtobadilika na vituko anavyomfanyi mnyamwezi.
Baadae aliamua kushusha pumzi na kushauriwa aongee na demu wake, Jamaa kapiga simu demu kapokea kwa mbwe mbwe utadhani yupo sahihi kwamba hana kosa.
Jamaa alipoanza kumueleza ujinga wake demu anaonesha kweli kamfanyia ujinga mshikaji, demu akaendelea kuka kimya kusikiliza akichanywa ujinga wake
Mnyamwezi amemaliza kumwambia kwa uchungu kinyama, eti demu anaomba msamaa. Dah! Mshikaji akauna huo Ni ujinga, hakujibu kitu, akabidi awashe gari na kusepa zake.
Good song, good creativity, good Idea, good video and audio in all.
Since wayback Dear Gambe mpaka leo my New Girlfriend story is not easyy..Killer dem bro
Your magnificent super dupa fan ever👑
Dogo umeua.
LAZIMA TUSHIKE TRENDING NO1 HII 🔥🔥🔥🔥🔥
Bonge la ngoma miaka na miaka 🔥🔥🔥🚀🚀🚀
🌝🌝🌝 nakubal young killer boy kam unakubal young killer ngonga like👍👍👍👍👍
Jaman na mm naomba like hata 10 kwa kaka msodoki
Edwin gwesso nomaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaàaà godo anajua
"Aina za wanawake na tabia zao" pita na link hii kujua ..
ua-cam.com/video/CuO1gbIMdss/v-deo.html
Kubali sana young killer u kill it broh respect....!!!
Nice
Og
Naam Young killer msodoki...Tupiteni huku jamani na malikes
Shikqmoo big killer
Yaani mistari ziko Sana kwako kaka, Chana Kabisa bro.. 🇰🇪
Rapper Bora kwa East Africa kwa Sasa!
Mzee naElewA toka unaanza music Kama una mkubali Kiler Zaidii ya dondosha like hapo mzee
Likes zenu kama unaamini hii creativity inatisha kuliko corona😊
Killer uwezo mkbw bro
Noma sana
The idea is amazing! In fact, the WHOLE song is awesome!! #respect @YoungKillerMsodoki
Msodoki popote ulipo bro,
Tunahitaji hit song kama hili
🙌 hata jina lina stahili kuwa lako wewe Ni KILLER💥💥💣
Kama unaamin nyimbo iko kimambele achia like
Young Killer u r Killin it man... Too deep in feelings
"Kuna kosa kalifnya ule wa muda kuvutana nikachukua simu" Balaa lilianzia hapooo😁😁 ni yeyeeee Wolper
Wolper!! ahhh Noo
Hatari
Hatari yangikr
Young mweke killer zake, mitaa imetulelea kipaji, maudhui, dhamira, wahusika bila kusahau msimamo wa mwandishi, japo umtokea puani! Hili ndio tawi la fasihi(sanaa), lenye kulenga hadhira kulingana na muktadha wa jamii lengwa..!!
Bonge moja la ngoma la hisia linalofaa kuchambuliwa kila mstari kama unakbaliana na mm nipe like
Booonge la Ngoma, WANAWAKE Mungu anawaona, like kama na wewe umeilewa hii Video.👊👊 🔥🔥
Kdg
Knoum
Noely
Xio pouwa
This s a hit song ...mwanagu killer umekill... professional kill tenaaaa..
Msodoki...creativity miakwa mia...yaaani apa this song inathamani ya taji👌👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ++🇸🇸🇸🇸🇸🇸....tunakubali saanaa
like zishuke
Nani amefeel line za #Blue #Mapozi,,gonga like tutambae pamoja! Umerudi killer, boom sana hii💥💥💯
This Jam is always on rewind mode 🇰🇪
From 254 feeling the vibe...izo views infaa iwe zaidi!!! Grown killer msodoki
Kama kweli anamkubali Y,killer kwa michano,,, gonga like twende xawa guys,,.
Killer yhu never dissapoint me since day one until now, besides that yhu talked really story I'm going thru with. watatokezea mayoung ila akuta kuwepo kama (Msodoki) 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I see weedogo nishida
@@muhamedialiy5469 freshy
Dayoniz masoga mlembeza
Huyu kijana n fireeeeyaaaa moto manze
Congo DRC Bukavu, we have a lot of love for you. If we don't say you're tough, that's a big mistake. Those who have merit must receive their merit. Big up bro
Nimerudia zaidi ya Mara 5 ngoma Kali
Yoh killer... I cant count times ive watched this. THIS IS MORE THAN A HIT SONG, SALUTE MSODOKI
Nasikia juzi..... Na selee. Jamaa mkali sana wewe
Wote naomba tu like hapa show love to young killer
🙏🙏
Ku like kwako ndo kushare love Kwa Young killer🤔
Muachage kujipigia promo zisizokuwa na maana
Sa kupata like katka comment yako inamhusu nn young killer
Labda ungenambia "wote tulike wimbo coz wapo wanao view bila Ku like "
Wewe man acha uzeche wewe
♥️♥️♥️♥️♥️
@@manbravofitnessempire7041 punguza gubu bro kha
Haipiti siku bila kusikiliza hi song #💥💣
Lyrics,story so fantastic
He is killer ,,not young anymore,,he is just an assassin...watch out
KWA wale wanaopenda kUjiFunza kuimba waje hapa#imbatokamoyoni
kwa ma young ote killer ndo baba lao kama unaamini hilo gonga like twende sawa
🇰🇪
Kabisaaaaaaaaa
Haipingwiii yan
"Aina za wanawake na k zao" pita na link hii kujua ..
ua-cam.com/video/CuO1gbIMdss/v-deo.html
Bonge ra ngoma Hadi nimetowa machoz Yasha wahi kunitokea wakenya mpoo kimya
Mnyabi we ni mbaya, balaa 2pu
Gusa like ka unamkubal msodoooki!!
nackiliza mar 10 kum yan I like the song💕🎀🎀love u msodoki
kama unamtambua kaka msondoki mkono juu kwa ishara ya like...
kama unaamini killer ndo young king gonga like twende sawa 👍
Yani nimemkabidhi ng'ombe anilindie majani kama umesikia hilo gonga like hapaa!
Demu mwepese kama tebo ya pili
saidi kalama hahaha noma sanaa
✊👏
😂😂😂
@@saidikalama1828 🤣🤣🤣
Talking into existence, Hamna Rapper aliefika level ya Young Killer, And still nawarespect kina OMG, Manengo, Nacha na wengine Ma young!!
The story is really amazing....hahaa hiii Kali eeeh bwana eeeh
Walio irudia kuangalia Mara 2
#gonga like tujuane
Kizzo Bin Ze lemed mi x11
@@husseinbakary1969 nakubal
kwaleo hii mala ya7 naocheki
Kizzo Bin Ze lemed oya fanya kusubscribe youtube channel yangu
ua-cam.com/video/9GMXtIwoDwg/v-deo.html
Mara ya 10 sai
Daah Aisee young killer nahisi umenipatia kile nilichokua nakiwaza I like Song like kama na ww umeikubali kama mm
Mamaeeee kill ujawai fanya ngoma kali kama hiiiii wakat nsikiliza nimeimba baadh ya mistar na kupiga kelele sanaaaa!! Salute
Nakukubali Sana young killer like yo name you killed it man,👏👏👏
My Tz rapa napendaga Floww michano nomaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama unaikubali iyi ngoma itakuwa kali gonga like apa
Hatareee ngoma kali sana kama unakubaliana na mm like hapa
King Blizer
King Blizer
Itakua Kali mara ngapi!?...
Watoto wa mwanza mwanza tujuane 🤘✌
The masterpiece of all tz hiphop sonGs....young killer.youn muuaji..
Nyimbo nzur sana young killer 👏👏👏
Kama Umesikia vers ya Blue buyser kidogo Imetupiwa like Twende sawa wajameni
Kidogo namimi niandike kama ww, uko vizuri mdau
Verse ya mr blue limetumika
Aisee Young killer is not a young anymore, a grown man with a killing rapping style. Amazing story line....
He always great ahaaa 😂🤣
It's not just the rapping style the way he shot the video..unike 👏👏
By the way l hope he gets a colabo with diamond platnumz 🤩🤩
Umetisha
Msodok fund xan
Daaah why Iyi Song aina Views 1million Alaf Ngoma Kali saaaaana,Big up Yong Killer for this dude🔥🔥🔥
Since day one Young killer nakuelewa sana 🙌🙌Hii sio ngoma ni CORONA NI BALAA NA NUSU NA ROBO 😍
Dah naombeni ata like 1
Chukua hyo
Nakubal mzee baba
This is another level.
Big up Msodoki
Young killer nilishakwambiaga kuwa we si #young tena bali ni #Bigkilla
ngoma kali sana hongera sana kijana wetu Never dissapoint Love from Drc Congo Lubumbashi
The best HIP HOP artist in Tz ukimtoa fid q na Joh makini kwa sasa
Hyuu Msukuma Mwenzangu xx hizi sifa mbona hii ngoma cyo ya inchi hii kaka
Nakuona kama umezaliwa ulaya umejifunza tu kiswahili Daaah ngoma kali xna
Hii hata J.Z akisikiliza anakupa Corabo 💪💪💪👏👏👏
In 2020...i watched this song 360.cant believe...bro this is yur masterpiece
Na ulivyokua mwepesi kama table ya pili....creativity ya hali ya juu
Umemkabidhi ng'ombe akulindie majani 😂😂😂😂😂🙌🙌🔥🔥🔥🔥
msodoki mkali sana wewe kama unamkubali zaidi yangu weka like yako twende sawa//
I keep listening to this song every day, yoooooo it's hit 💯
Haujawahi kuaharibu kazi
Wote mnaomkubali Young killer weka like yako hapa
Oya tunaipandisha namab mmoja like one💪🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Aiseee brouh sijawahi ona idea na ngoma kali kama hiii....your the HIPHOP KING❤️
Young Super star ✨🇹🇿
Hii ngoma....unaisikiliza, unapata hisia, unazama kwenye dimbwi la mawazo, unamkumbuka demu wako aliekua mwepesi kama tebo ya pili,, unacheka rohoni, mzuka unakuja vesi ya pili unajikuta we mwamba na nimwanaume, then unaendelea kuenjoy music sasa💥💥
Can't i explain the quality of young killer🇿🇦
Dg anajua mpka anakeraaa
Anajua kinoma 🤦🏽♂️❤️🔥🔥🔥
Good creativity 👌👌👌👌
Bonge la vidaa mwenyetu umeweza
Hiiii ngoma kila nikiingia youtube lazima nisikilize
We fundi #youngmsodiki
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Story ni kali sanaaa hiii
Hivi wale wa gonga like hapa lengo linakua ni nn hasa
Mtuatariiiiii