Music video by Roma performing Nasikia Harufu (Official Video) Feat Chid Benz. (C) 2024 Roma Mkatoliki under exclusive licence to Vydia.com vyd.co/Nasikiaharufu
Duh, qumamamae wabongo muziki mnaujua. Yaani ngoma inavuruga kichwa unaskia kinasisimka. Roma should feature chidibenz in atleast 5 trucks non stop, they are sure to cause a major wave in the east african music industry. One perfect love our swahili neighbors. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naskia harufu. Wale tulio rudia zaidi ya mara mbili tukutane hapa kwa like. VIVA Roma fan from Zurich Switzerland 🇨🇭🇹🇿👍
Kama umekubal alicho fanya chid benz gonga like haapa kwa legend
Kama unasubir hii ngoma kama mimi gonga like hapa🎉
Watu wa chidi likes hapa. Dmx wa East Africa. Show some love to chidi sisi wakenya tumekubali. Big fan of Roma as well very creative 👏 👌 👍
Huyu director ni next level... km na ww umemkubali kama mimi gonga like tuondoke...
😂Tako bila sura nisawa na uvimbe😂😂😂😂
😂😂😂tunahitaji lyrics ya hii ngoma mana kuna venye Roma simuelewi kwa vina flani.
Wakikwambia ndevu bila hela ni nyasi waambie tako bila sura ni uvimbe.😂😂😂😂😂na wengi wenye matako wamebarikiwa sura za baba zao😂😂😂
Chid Benz jaman anakipaji kama unawakubali hawa jamaaa likes hapa🎉🎉🎉
Nimebahatika Leo kukuwa mkenya wa Kwanza nawaombeni watanzania mnipee like tafadhali
Matusi yananoga mpaka usiku...gong alike kama umemuelewa Chidibenzino...nakwambia Tanzania mzima hakuna kama Chidi..respect Roma
Huu ndio msaada alikua anahitaji CHID BENZ big up brother's
Child Benz ni kitu ingine asee.mpeni like zake hapa chini
Huyu chidy huyu duu mungu amsaidie yan kaitawala nyimb o❤❤❤
Oyaaa wee anaemkubali chid benz andondoshe like jamaa kauwa walah chid his back🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
sauti ya chid benz sijawahi kuizoea kila nikiiskia hua na enjoy ina vibe lisilo la kawaida🔥🔥
Wale mnaorudisha verse ya chid kama mara 10, like 👍🏾 hapa😅😅😅
I'am from Kenya but hats off for Roma & Chid..this is lit
Duh, qumamamae wabongo muziki mnaujua. Yaani ngoma inavuruga kichwa unaskia kinasisimka. Roma should feature chidibenz in atleast 5 trucks non stop, they are sure to cause a major wave in the east african music industry. One perfect love our swahili neighbors. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sounds like a "PRIME CHIDI" jamaa ako na talent very natural ,am proud of him ❤king 👑 Kong mob love from Nairobi Kenya 🇰🇪.