Rapcha Ft Young Lunya x Dwin - Unaua Vibe (Official Video) SMS SKIZA 7917700 to 811
Вставка
- Опубліковано 6 жов 2024
- Song : Unaua Vibe
Artist : Rapcha Ft Young Lunya & Lil Dwin
Producer : Gachi B ( Justin John Mhagachi)
Mixing Engineer : Justin John Mhagachi
Composer : Justin John Mhagachi (Gachi B)
Author of Lyrics : Cosmas Paul Mfoy, Rashid Shabani & Godwin Leloy
Record Label : Bongo Records Ltd
Year Recorded : 2020
Year of Release : 2021
Follow Rapcha : / rapcha_tz
/ rapcha_tz
Dwin : / dwin__tz
linktr.ee/lildwin
Audio Produced By GACHI B | Instagram : / gachib
#Rapcha #YoungLunya #UnauaVibe
Asanteni Sana kwa Kutazama Video Hii.. Itapendeza Tukiendelea Kuitazama Zaidi Na Kushare ili Iwafikie Watu Wengi Zaidi. Pia Usiache Kugusa SUBSCRIBE ili Uwe Wakwanza Kutazama Kila Video Yangu Mpya!!
Yours,
Rapcha ❤️
Tuko pamoja
Mmeuwa Vibeseeeeeessss!!!!!!🔥🔥🔥🔥💯%
Usijal mkal
🔥🔥🔥
we are together
Bia umelipia ,Chumba nacho umelipa,msosi pia umeulipia, hata mchezo nao umeulipia alafu unachagua pa kumwagia wangapi wameelewa hii verse like
nomaaaaa
Htr
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
😁😁😁😅😅😅😅
The New generation in Bongo flavour Music Industry we call it New Skool..
The story line club banger.... It reminds me of Noorah, Mangwea and Mchizi Mox and professor Jay..... Rapcha keep on pushing uko na future bright sana kwa hii Industry 💪💪💪💪💪💪💪 you gat love from 254 Wacha pia Mimi niipost
Asante Sana Uncle 🙏🏾
@DJ SHITI omba collabo ukimbize kawangare. 😂 Last king of the 90s nakutambua, naona unapeleka vijana wa 80s to early retirement. Kwa mwendo huu lazima waombe kikokotoo cha pensheni😂
Ile ngoma yetu ya nyanya wa kambo si nyanya Ina itaji vers ya bwana Rapcha kabisa 😂 😂 😂
🔥🔥🔥🔥🔥bless up
254 tupo ndani
Unaua vibe unanikata stimu. Gonga like Usiue vibe✊🏿
Wananguko mmeuwaa!!! 🙌🏿
Diehard fan toka Mombasa Kenya...Rapcha na Mbuzi nawakubali sana ...Alaf Dwin kumbe ni mnoma hivi? 😁
Aminia sana ✊🏾
@@RapchaTz Mungu anakupa mkate wa kila siku ww ukishashiba tu unapata nguvu ya kuzini? 😅 Aisee ww ni balaa! Ukichana watisha zaidi!
JINSI GANI TUNAKUKUBALI RAPCHA TUMESHALIKE KABLA YA MZIGO YAN 🙌🏽🔥shytown tulike apa #wanangu99
Asante sana Mwana
Skrirrrr🔥🔥🔥
Madogo wanajua wanachokifanya
HUNA GARI,HUNA PESA alafu m2 akupende 😀😀😀 UNAUA VIBE😷
Haha nomaa
Unaua vibe bob Unaleta hic A mapenz ya huruma huruma yapo kwenye Tamthilia💪💪
Rapcha namwona ngwea na Baba star ndani yako keep rocking blood
Sio pw
Hapo baba stars kwenye verse, Halafu ngwair kwenye chorus
💋Kunawana wanamishe zakinseee
M'meuaa😍🔥🔥🔥🔥🔥
Gambe unagongea unalewa alafu mawege😂😂😂😂😂 hiyo ndo mbaya @Lil Dwin Big up @Rapcha
noma nomaaa
Namwomba GodFather asichoke juu yenu
@@RapchaTz😇😇😇
Nakukubali na kila kazi yako ujawahi niangusha big up sana br rapcha this song is💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥 UNAUA VIBE .......
Aminia
Dwin nakubali sana mwanangu jovin apa
Ase mm Kama official dancer wake napenda kusema kuwa tunawashukuru sanaaaaaa wote mnao show love let's take this young star to the top @Rapcha mambo yakae sawa💥💥💥💥😁
Unyama sana mwanangu de_blonz keep on working Cc@rapcha
Kama unaamini vijana wameua bonge la ngoma gonga like
Ukiona nimelaiki nakukomenti ujue nyimbo yako nimeielewa ile mbaya 🔥🔥🔥🎤🎵🙌🙌🙌💎💎💎
Dahh Kali Sana wanangu . Yani nimechelewa koment tyr 1000+ sijajua Kama ntapata ata like
Rapcha unaua vibe unaua unaua vibe unakata stimu
Ila Rapcha ameuwa humu🎶🎶💪
Unyamaaa
Kaka wewe kazana unajua bro we the same land from shytwn 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
NOMA NOMA SANAA
Unyama sanaaa humu Wana mmeufanyaa nakubalii sanaaaa
Aminiaaa
Nakulubal sana SHY TOWN BOY
Rapcha uko vizuri nakukubari konoma wacha game liendeleee najua unamengi zaidi ya haya pull up
Aminia sana
From Kenya and we love it....Unaua vibe unanikata steam....Repeat!!!!!!
Rapcha ajawai niangusha ...huyo MBUZI ndo ashikiki siku hz....mtazameni vizuri huyu dwin anakuja vibaya ooooh.....ngoma kali sana
Imenikosha mbaya mbovu big manh #last king of 90's💪💥💥💰 MAPAMBANO YAENDELEE UNTILL FURTHER EXCESS🌅💥💥
aminiaaa
Demu wa pili nilimuona anajichetua kizungu kingii nikamuona huyu wa kishuaaaaa
nomaaa
1 ya Nembo zetu shinyanga #Rapcha
Bia umelipia pia msosi umelipia chumba umelipia afu unapanga pa kumwagia
balaa
Unanikata stem king 90's Lunya boe ✊💥💥
Akika
Noma sana kaka umetisha sana video n shida sana
Aminia kaka
Respect boy
Nakukubali Sana 😘
Uko very mwanangu lunya...Ooh my(OMG)👊👊 pamoja ile yetu ya watengwa sanaa
Hii ndo right time ya BONGO records💥💥💥💥💥💥💥💥feel the new rap generation
Nyieeeee Ila tuache utani toka my no one Fid Q, Lunya ni mtu mbad saaana
💥💥 kizazi sanaaa!! cant wait kuon rapcha👈👉 bando mc👉nacha💥💥💥 shytown boiz we aint for showoff💪💪💪💪 king of 99🕵 bango lako kubwaa broo since📚
Mkijaribu collabo na akina Rekles hivi na Benzema manzee from 254 East Africa itakua motooooooo......kazi safi
Kabisa 🔥
Last king of 90's 🔥🔥🔥🔥🔥📌📌💯,,mnyamwez sana
Bless up high
@@RapchaTz 🤝🤝🤝🤝💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥
Wakika
Ebwanee nyinyi mumeuawa kinyamaaaaaa wanyabi ndo mauaji yetu good music
Kama unamuelewa zaidi young lunya tujuane
Sana
Majembe yakikutana shamba halina say yaani vybe inamalizwa na vina daaah 🔥🔥🔥🙏
nomaaa🔥🔥
Rapcha kauwaaa coz laenda na mada mwanzo mwisho
Nomaaaa
Rapcha ni Rapcha tu,,,,nice track bro keep on doing good music,we love u RAPCHA
Aminia
✊✊✊✊
🙌🏽🔥🔥🔥🙌🏽 umelipia kila ktu afu unApangiwa pakumwagia
LIL DWIN NI MOTOOOOO
mnyama sana
Mzee umeua kinoma unaua kama ngoma yenyewe uunaa
Uyo dem ngeu vp unapenda ua bana
Lunyaaa kaua
Bongo records... Rapcha .. lunya.. dwin..
Wanangu 99+1=100
Unauwa vibe mamae goma Hili wahuni ndo tunalielewa kinoumaa daaah nouma sanaaaa🔥🔥🔥🔥
tunaemkubari rapcha na lunya na dwin tugonge like hapa basi ili wajue uwepo wetu
safiiiiii
@@RapchaTz rapcha your so good rapper in africa now because you come with new ideas like migos group keep it up broo
Yani una gari una pesa alafu mtu akupende naikubal sana 💥💥💥🤜🤛
Good song
Balaaaaaa unaua vibe @younglunya
Aiyeeeeee hatariiiii🤸🤸🤸🎺🎤🎺🎺🎤🎤🔥🔥🔥
Dwin #ndo nakuona kwa first time bt jua wee jamaa uko vzr...
Keep it up and stay humble always#utakuw mbal sana💪💪
Aminia
Nothing more to comment Rapcha😘nyce song,wonderful video everting kipo on fire Jah abbles ulete zngn kam hiyo yn💖💖💖
Thank you Ramla ❤️
Young lunya michano yako naielewa sana unajua mpk unaboa
🇹🇿⛽
RAPCHA BLOOD FAN Naomba Tujuane Hapa kwa Ku #LIKE AND #COMMENS #unauavibe Hapa Mda huu🔥🔥🔥🔥
Sapiboy🔥🔥🔥
Lil dwin mashine sana jamaa
nakubalii sana hii ngoma unaua vibe kama usipogonga like hapa 🔥🔥🔥🔥
Safi sana
Rapcha nipe no zako maana me shabik ako mkubwa sana fanya ivo kk
🔥🔥🔥🔥🔥
lunya na raptcha tayari tunawaamini sema huyu DWIN ana kitu ....am telling u wanangu
I thought hii ngoma Ni Kenyan........great song from our bros...big up
Uyu rapcha ni atali 100% kwake
NAMBILI
MBINGA FAMILY
Kama umeeleww mzigo kama Mimi fanya kurudia kucheki kama mimi
I like Bongo wanajitahidi sio kama Kenya ni ngoma tu za kitandani,nkt! Rapcha collabo na king kaka Mwanangu nazingoja,,,uko sawa last king of 90's wanangu wa 99‰
Ile KUTOA wigi tu Ana bonge la ngeo😂🔥🔥
Kauaaaa
Unyama ni mwinGi ndani ya video 🌴
Last king of 90's z here now 🔥🔥🔥
Sure
skrrrrrirrrr
Kiukweli nakukubali Rapcha bonge la video umeua Kama jina la ngoma
Last king of 90s baby
Wanangu 99 keeping it og bruh
bless up
Rapcha unatisha nkubali San
Manzi kagida bapa dry bila glass dah aseeee ili jamaaaaa @team rapcha tujuane gonga likes
Kuhsu rapcha#umetisha kinoma noma
Aisee Young Lunya daah 🙌🏼 🔥
Oooh my.....nikajua luuuunya 😂
Generation vibes... Young king shinning out there.. It's a big tune 💯
bless up
@@RapchaTz more blessings brother haina kufeli 🔥💯
Ngoma kali balaa
Oy kka umetisha sana tunasubir jingine
WaKenya🇰🇪 hii sasa do tunaita Dabonge. Kama ubapeda Sailors wacha like.
🔥🔥🔥🔥
#sema rapcha nifundi wanaguu sema tutembelee wanao huk tanga tuna kukubali kinyama
Naongea na boss
#asee unauwaa vaibe fany uje bhn
MY FAVOURITE SONG CURRENTLY ⛽⛽🔥🔥🔥🔥
Nembo ya mtaa, unaua vibe mwanang we mkal unatalanta ilyotutuka,
The last king of 19 u able bro keep moving..
A gooo far
Hivi Vichwa vya ndani navielew sana wote wapo on fire
Nice song
Kali sana imeua steam Kenya
Wonderful young talent you killed it ..Its a banger!
Suma
Vile marehem gwair alivyokuwaga favorite wang aki namuona gwair kupitia rapcha😍😍😍.. Safi sana
💯 💯 💯 💯 💯 💯 💯, this song is a whole vibe
Hiv vichwa noma sana....
Kaleeee🔥🔥🔥🔥
Hahahaha rapcha umeuwa mungu azidi kukupa ujasir
My favorite new skool rappers. Keep on doing yo tings ma men.
Kaka unajua mpka unakera, nakukubali kinoma an mzee wangu
Dah ngoma imekaa bomba kichz, big up broo always appreciate
Asante Sana man
Usiwaze, tuwakilishe tz tufke juu zaid
Vibe
🔥 pisikali iv upitshe wembe huna pesa huna gari aafu tu akupende unyamaa 🔥 unyamaa ☑️ wahuni mmeua vibe
We taking bongo rap to the next levels