Young Lunya - Freestyle Sessions 5 (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 5 лип 2023
- #YoungLunya #Mbuzi #FreestyleSessions5 #NewMusicFriday
Sessions 5 freestyle is here!!!
Young Lunya is the Future of Tanzanian Hip Hop and a trail blazer for the Tanzanian Hip Hop community as a whole. The Freestyle Sessions are homage to Tanzanian rap culture and an invitation to experience Swahili "lyricalilty" at its finest.
Freestyle Sessions 4:
• Young Lunya - Freestyl...
Freestyle Sessions 3:
• Young Lunya - Freestyl...
Freestyle Sessions 2:
• Young Lunya Freestyle ...
Freestyle Session 1:
• Young Lunya Freestyle ...
For Bookings: younglunya@wearerockstarafrica.com or Lunya14@gmail.com
For More Young Lunya Please Follow socials:
/ younglunya
/ younglunya
Copyright Rockstar Africa, LLC 2023©
For Young Lunya on Streaming Platforms:
Apple Music: / young-lunya
Spotify: open.spotify.com/artist/0xfpc...
Dezeer: www.deezer.com/en/artist/1361...
Shabiki mkubw wa young lunya dondosha like yako apo chini. 🎉🎉🎉
😢😢ua-cam.com/video/upSIEbNVaLA/v-deo.html
Ngoma.kali sanaaaa
Tamba pande zako pande zetu autambi
umetisha
ukimaliza apo nenda kamskilize dizasta vina 😍
🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenyans let's gather here for this amazing rapper..hit like kama unadhani collabo ya young lunya and Khaligraph inaeza hit vi'amazing ❤️ 💯💯💯🔥🔥
Ili swala kama mashabiki inabidi tuwalazimshe
Balaaaa atauwaaaaa
Naona finally wamefanya collabo...OG ni moto wa kuotea mbali .collabo inekomaaa 😂
ifikee wakataii Mjuwee kutofautishaa Msanii Mkubwaa na Mkongwee,, Lunyaa ni MKUBWA yulee mwingunee MKONGWEE,,, Lunya Ndo namba 3 2 1 na ndo mwishoo
Kuanzia Leo tuache kumshindanisha young lunya na young kilaa young lunya ni nembo ya taifaaa
Mwanangu lunya hii umetisha sana kuliko zote ila nategemea kali nyingine zaidi ya hii😮😮😮😮
Mbuzi aliyepita Iddi salamaaa... kaanza sumbua nchini, like zakeeee🔥🔥🔥🔥
ua-cam.com/video/O0IALZfelFc/v-deo.html
😂😫😫
Tamba Pande Zako Pande zetu Au tambi 🥂
Wale wa 2024 wagonge like hapa ❤
Nani kaja baada ya freestyle session 6 ya msoodoki 😂😂 tujuane🤝
Kabsaaaa😂😂😂
Nipooo
Tume kuja ku chungulia Huu Huu😂😂
Yea ni kweli hata mi nimeitafuta hii baada y sesn 6 y killer,we ndo utajua nani kampush mwenzake
Tupo hapa😂😂😂
'acha mchezo na mi mwenzako kuna kitu kichwani hakijaakaa sawa'👽 'stimu mpya,same kiko' 🔥Oh my.💯 You the goat. Let's give Lunya his flowers💐,damn!
Mpaka sasa MWANZA NO 3
Lunya NO 5 Trending….🔥🔥🔥Nipen like kwa uchambuzi huu
5 ni hatari kama umekubar piga like hapa
ua-cam.com/video/O0IALZfelFc/v-deo.html
🎉
Young lunya anamzidi killer swaggs na flow..but killer anamzidi lunya punch lines...lunya is da morden Rapper..na killer is da natural rapper
Real bro
Ningependa kumuona lunya na kaligraph. Let’s give it a like ✌🏾
Keeep that
Young lunya moto sana hakuna rapper kama yeye ye ndo namba 1,2,3 na ndio mwishooo
Lunya hits different, pure talent pure skill,his flow and songs are here to stay..💗 from Kenya
ua-cam.com/video/O0IALZfelFc/v-deo.html
@kaligraph OG
Ambao wamerudia mara nyingi Zaidi leta mrejesho hapa 🔥🔥🔥🔥
ua-cam.com/video/O0IALZfelFc/v-deo.html
Namkubali kama mondi
Nipo hapa kuliko kuangalia amapiano Bora niangalie hii michano niliimiss real Hip-hop boomkubam✔️💯
Umetisha brooooo
@@wemakingdaily1462 💯
Tuache utani lunya is on another level👑 yeye ni wa kwanza wa pili na wa tatu na ndo mwisho😕
🐐Mbuzi og🐐🐐🐐
Am a Zambian 🇿🇲 though I don't understand the language, this guy is hard Asf... Prolly one of the best in Africa
The guy is doing code mixing, swahili and english but the main content is to show other tanzanian rapper that he is great than them, and then he talks about how girls like him, but the whole song is all about proud
@@harakationlinetv8224😂😂Asante Mjomba 👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿
@@yustobitalio3597 😄😄😄mzambia kaelewa apo ilo yai ila cha ajabu wabongo watajifanya awajanipata fresh, but the whole content of young lunya to show other young rapper that is on top, once it comes to swaggz and flows
Zonaaa bakamba 😢😢❤😂
Huyu awe best afrika? 😁😁Unamjua mex cortez wewe? Unamjua kaligraphy Jones wewe? Unamjua "katapila wewe? Unamjua" conboi canabinno wewe? Tanzania kuna wakali wa hiphop unamjua "Nikki mbishi wewe?
Wen it comes to hip hop,, lunya u kill niga❤️❤️ from Zambia 🇿🇲🇿🇲
Mbuzi kama mbuzi🔥🔥🔥💯
Apa me napita mana uyu sio type yangu me team killer ❤
... Young Lunya anajua nyiee daah🔥🔥🔥💪💪💪BIG Love zidondoke Kwa husani ya 'Mbuzi'😅😅
Chuma yenyewe lazima tufike 1 trending
MbuZi the GREAT 🔥🔥🔥Sjaona wa kumcompare nae uyu niger ni Balaa,Dondosha like hapa kama unamkubali #young lunya
Badili kauli kaka
Kabsa abadili kauli😂
Taarabu tupu😂😂😂
Hujui unachokiongea! Hivi unawajua kina mex cortez wewe? Unamjua Frederick mullah? Kuna watu hatari nyie tz, huyu hamna kitu
Libya Kwa sasa ni unyama mtupu tumfananishe Ila kidogo bastrams
Kumamamake hiii session5 is dangerous ☠️ lunya is the best lapper😂❤❤
Wote ma YOUNG lakini sote tunajua nani ndio KILLER😅
Kama una mukubar lunya gonga like hapa chini
Lunya hii Kali wanao ikubali weka like hapa%
Skiza flowz afu skiza lyrics soo crisp qmmke kama unamshindanisha na rapper yyte now bongo peleka ungese wako hukoooooo👏👏👏👏 lunya you did it bro
Kama unamuelewa wewe komaa na zako broo
Tunaojua Kama Rapcha Amepondwa Humu Like tafadhali
Mbuziiii niii mmojaaaa tuh kumamake umechinjaaaa sisi wapenda rap tumelizika 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤴🤴🤴🤴🤴🤴wew 123 ndooo mwisho 🤣🤣🤣
Leo nimekua wa kwanza nipeni like zangu😢
Leo nimekubali wewe Ni msani all those day nilijuwa uko na swaga za music now your the really Mc 💯
🔥🔥lunya hakuna anaekuweza kweny hii game ya rap really appreciate broh💪
meeeeeeeeeeeee mbuziiiiiiiii,,,KAMA UMEPENDA RAP YA MBUZIIII WEKA LIKES HAPA,, ALAF TUNASEMA MEEEEEEEE🤚🤚🤚🤚🤚😀😂😂
Meeeeeeeeeeeeeeeeeeee😂🎉🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊💪✍️🐐🐐🐐
SIO KAMA TUMEPENDA MM TOKEA UKO NAJUAGA LUNYA NI MMOJA TU TZ
🔥🔥
Meeeeeeeeee namkubaliiiii
Rapper wa hovyo haijawah kutokea makelele tuu
Wtf🙌🙌🙌🙌 This's with no doubt the best rap song i've heard this year💯 This goes harder than most....Goosebumps bro,, much love from kenya mahn 🖤
aànipppo
Huyu jamaa anajua sanaa ni vile tu tunampa heshima Killer kwasababu ya kua legend but this talent hits different
Unyama mwingi
Huyu jamaa anajua kulap kisasa, ndiomana anakubalika na kulapu kwake kunapendwa na kila jinsia. 🐐🔥🔥🔥
After all
Ila beat la freestyle session 2
Ni kali zaid🔥🔥🔥🔥🔥
🎱🎱🎱🎱
Dis verses Killin it💀🔥🎱
kenya in the house.........best musician in TZ ...
Jamaa noma sana❤❤❤🎉🎉a nakipaj
Daaaah namkubali sana youngkiller sema daah malume umeenyoosha sana hiii 🫶🏼🫶🏼🙌🙌🙌
Oya lunya fanya kuwatafuta Migos mzee tulipuke 🌎💥💥🔥🔥
Miindoko ya migos 😂 au sio
@@mwajeymiraji kabisa mzee
Kenya we approve this...a banger....sasa weka khaligraph kwa remix and thank me later
Sema mwamba kafanana sana na Balaa MC.umetisha Kaka🔥❤
Anajua sana mbuziiii
This man deserves all of the respect, all of flowers and all of the love. LUNYA is one of the greatest artists of all time!💯
Bro ww ni mkali saan ila Kwa killer bado mtoto mdog saaaan
#skotziki tz boy kijana young rapper from tz ... ❤❤❤ Support. To see tz going up with real rapper.
#skotziki in UA-cam
#skotziki ana tu support ❤❤
I couldn't say it better..
Wale wanangu wa baba mmoja siwezi kuitambia OMG, Goat 🐐 🙌 🔥
Mwamba sana huyu mwenyezi Mungu akupe madini zaid na zaid .
Nakubali kaziyako
I wish rapper wa Marekan wakutafute Mfanye collabo. U never disappoint bro. Always On point.
Younglunya worldwide🔥🔥best rap in town so far👊👊👊
He take Tanzania #rap #hiphop to the next level
Mbuzii🔥👊
Nomaaaa
King of freestyle 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Session 5 ni sayari nyingine,kama umekubali like tuwe pamoja
Oya home boy sio powa lunya noma dar stend up
Tuache roho mbaya mwamba ni mkli sanaaaaaaaa
AKA mangwair🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏
Broo mauwa yako mapema sana ushayapata noma noma noma noma umezika Mzee mbuzi champion 🏆
Mim namba 1namb 2 na namba 3 ndo mwisho 😊gonga like Kama unamkubali lunya mbuzii
Utatoa mimba ya young killer acha kutunisha tumbo wangapi tunamshauri huyu kijana akaombe msamaha kwa kaka ake killer 😮😮😮😮😮😊
Tuloskiza zote na kujua mbuzi kaua twende sawa🔥🔥
Wa kwanza Leo naomba like ya mbuzi tu nyie wengine pita kushoto😊
I love the beat, rythm na hizo bars zilizotemwa humo.
Ni sick, mpaka nakosa msemo.
mwamba nomaaa sannaa umeuwaaa🙌
Huyu jamaa ni fire hasa kwny styles, appearance na majigambo Ila msodock ni mbaya kwny Punch lines
Huyu kijana ni hatari... scheming yake iko top level ❤
Hatariiii 🙌🙌🙌 Kubwa sana hii 🔥🔥🔥
NIC Mkali wetuu Tanzania 🇹🇿✊✊ ooooh ooooh👋👆
Young Lunya,Kwa hiki kipindi hakuna mkali Zaidi yako..Hip Hop unaipa uhai Na sura mpya❤❤
Mbuzi sifa yake kula nyasi 🐐👊🔥🔥🔥
❤
Though its a month ago ..here to confirm that young lunya is saving bongo rap😢
Fanya kazi OG nimependa mziki wako
Lung master wa lap chukuw maua yak🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Lunya always goes hard tangu 1 mpaka sai 5 goat 🐐🐐
You killed it bro🔥🔥🔥🔥
Msenge tu lunya Kwa killer bado sana...young killer ni 🔥🔥🔥
Jamaa lunya kwenye raping hauna mpinzani tenaa bongo respect me ni fan wako mkubwaa xanaaa
punch lines on punchlines, already on my playlist
Lunya you a beat killa much love from Malindi Kenya.... I ❤ this Gangsta shit.....
Ngoma Kali Sana....
Jitahid Sana Uta kuwa kama Killer 👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿🇹🇿🇹🇿
Mbuzi kagoma kwenda shindana nawote ilaa siyo young killer kaka killer🔥🔥🔥
Young killer Ndio nani bro
Kama mnamkubali huyu mwamba gonga like🎉🎉
The only rapper I listen....his flow is lit💯💥
Mimi kwajina naitwa Rab mundo nimsanii mtoto sana nilikuwa nahitaji mtu wakuniShika mkono nikawaza nimchek mbuz anaweza kunisaidia lakini sijui nampateje SAS mimi nikijana wamiaka 16 kama akiniona basi ajue mimi nahitaji msada kutoka kwake
Oya jamaa ana balaaaaà 👍👍
NUMBER ONE RAP STAR IN AFRICA 🌍🌍🌍 YOUNG KING #MEEE BLESSINGS RASTA
Unamjuwa young killer mwanza mwanza on map 😂😂 ndio mbabe wakee
@@emariohjohn3743hamjui ucimpe faida
@@afixjomo kweli asipewe faida🤣🤣
Lunya lunya lunya fire 🔥 😭😭😭😭
Young lunya inaflooooow
Hewaaaa bonge lagoma
This is a banger
Young Lunya is my favorite rapper for sure, needles na kazi bruhh
If they don't play this song at my funeral, I ain't dying🎉
😅😅😅
Umekill ile mbaya ,we ain't dying bro !
😂😂😂
😂😂😂
😂😂
Kwaupande wangu nakuona wakawaida sanaaaa! Hususan kwa marapa walio Tz hii
Young Lunya is a combination of Darasa , Joh Makini and Godzilla in terms of rhymes just listen to his flows if you don't know him you may think it's Joh Makini rapping. Anyway you're dope bro continue doing your thing
Every session is better than the last one 🔥🙌🏾
Msodoki amekuosha bro we unastrugle sana ivi
Bro . Killer ..the next level....
@@tonylaizer3386 hujui kurap michano ya mchizi boti inawatesa skiliza freestyles brow ucpanic lunya nw days mkal kliko killer
@@user-vz4xj2ci2w siwezi sema lunya ni mkali killer miaka yote . Eeeeh hatujui kuskiza rap kweli lakin kwa killer huezi nitoa .Kama hujanileta hauwezi nirudisha nilipotoka...kwa kelele watatushinda lakin Soo kwa mistar
Session 3 is my favorite.
This guy has a taste in music buana ❤
Sinaga Swagger kabisa Yani .#usiji sifu una mbio msifu anaye kukimbiza .🏃..🏃
I arguably say this dude is far better than many rappers in Africa
Mbuzi this is lit maaaaaaan you killed it 🔥🔥🔥🔥