I listened to this last night and I was really blessed. Later in the morning I prayed continuously that ' Mungu nionyeshe utukufu wako' and He answered the same morning.. Glory be to God forever and ever! If you've not prayed after listening to this, pray because God is listening.
Nabarikiwa sana na soma hili umenikumbusha mwaka 2016 nilipata changamoto lakini niliuona utukufu wa Mungu kwangu ,hakika Mungu ni mwaminifu kwangu,pastor Mungu akubariki sana kwa masomo haya
Baba nakushuru umenipisha kwa mengi ilinione utukufu wako, Pastor endelea kutufunza Mungu anakoa wengi kupitia wewe, Mimi namwona Mungu Bwana ninyenyekeshe, nitehemu Mimi mwenye dhambi Asante
ewe binadamu mtumishi umejua kunipa ustadi wa kufikiri kimaarifa. asante sana. Mungu akujalie maarifa zaidi ili kama sio wote basi wachache wafanyie kazi
Yan mm mchungaji ni mbishi na wananichanganyaga Sana watumishi wengine Ila kwa mafundisho yako nimegundua kua bado Kuna wahubir wanaofanya Kaz ya Mungu kwelkwel
Asante Asante sana may God bless and protect you and your family pastor thanks for the service please you really make us satisfied with your spiritual food
Jina la Mungu lizidi kuinuliwa kwa maana kila ukuchapo nazidi kubarikiwa na kutiwa nguvu na kunikomaza ki Imani kiukweli nafurahiya uduma Yako ni likuwa mfungwa katika gereza kwenye inchi ya ugeni na sikukuwa n'a Msahada wowote Ila kulingana ginsi nilizidi kuisikiya mafundisho Yako ilikuwa iki ni badilisha kila leo n'a hata ilipo fika Siku yangu ya ukumu na kuliko nipewe ukumu nikapewa uhuru jina la Mungu lisifiwe ninayo Raha maishani mwangu
Indeed God is great. I've been blessed by your sermon. I can attest that now I look things at a different angle. May God bless you paster for letting us understand God's word more clearly. Glory be to God
From Kenya pst Asante sana kwa kuniinua kihimani naningelipenda kuongea na wewe Nina shinda nyingi sana, ninaona nikiongea nawe nitasaidika .Mungu akulinde sana utaokoa mwionyo sawengi uniombe .nataka kuongea nawe kwa simu be blessed pst
I listened to this last night and I was really blessed. Later in the morning I prayed continuously that ' Mungu nionyeshe utukufu wako' and He answered the same morning.. Glory be to God forever and ever! If you've not prayed after listening to this, pray because God is listening.
Hallelujah hallelujah, we ni kichwa Una ni bariki sana
Nabarikiwa sana na soma hili umenikumbusha mwaka 2016 nilipata changamoto lakini niliuona utukufu wa Mungu kwangu ,hakika Mungu ni mwaminifu kwangu,pastor Mungu akubariki sana kwa masomo haya
Natoka Kenya,nimebarikiwa sana na mafundisho yako,Mungu akubariki saidi mchungaji
Baba nakushuru umenipisha kwa mengi ilinione utukufu wako, Pastor endelea kutufunza Mungu anakoa wengi kupitia wewe, Mimi namwona Mungu Bwana ninyenyekeshe, nitehemu Mimi mwenye dhambi Asante
Mungu akuongezee miaka mingi uendelee kutubariki na neno lake Amina
Nabarikiwa sana na masomo yako mchungaji.
Mungu atukuzwe
Barikiwa Mchungaji kwa somo hili.Nimebarikiwa sana
Mchungaji kweli kila ninapotazama na kufuatilia mahubiri yako nazidi pia kujenga imani yangu. Asante sana na Mungu akuinue zaidi
Amen bwana akubariki mtumshi happy new year 🎉🎉🎉🎉
MUNGU akubariki sana mchungaji; Mungu afanye njia pasipo njia kwa watu wake tukapate kuokolewa dhidi ya muovu ibirisi" 🙏🙏🙏
Nashukuru kwa somo Zuri mwenyezi mungu akubarik sana
Very interesting sermon....stay blessed Pastor
Amen.ubarikiwe pastor Mbaga
Amen pastor waniitia nguvu ninapofatilia mafundisho yako
Amen mungu akupaliki pastor
Merci beaucoup pour un enseignement de qualite' ,que la grace de Dieu soit avec vous .merci pasteur
Nashukuru Mungu Kwa hili soma pastor Mungu azindi kukupa hekima
Ni grace pastor niombee nipate kasi
barikiwa mtumish wa MUNGU Amina umeniongoa hakika nimeona utukufu wa MUNGU
Pastor unanibariki sana Mungu mwema akulinde, unikumbuke kwa maombi.
Mutumishi wa mungu ubarikiwe kwasababu ninapo sikiliza mahubiri yako najegwa sana kiimani nipo uko Congo PVc chopo kisangani
ewe binadamu mtumishi umejua kunipa ustadi wa kufikiri kimaarifa. asante sana.
Mungu akujalie maarifa zaidi ili kama sio wote basi wachache wafanyie kazi
Yan mm mchungaji ni mbishi na wananichanganyaga Sana watumishi wengine Ila kwa mafundisho yako nimegundua kua bado Kuna wahubir wanaofanya Kaz ya Mungu kwelkwel
Nabarikiwa sana na mahubiri yako Pastor
Nabarikiwa sana na huduma yako umefanya badiriko kubwa katika maisha yangu
Amen
Asante Asante sana may God bless and protect you and your family pastor thanks for the service please you really make us satisfied with your spiritual food
Jina la Mungu lizidi kuinuliwa kwa maana kila ukuchapo nazidi kubarikiwa na kutiwa nguvu na kunikomaza ki Imani kiukweli nafurahiya uduma Yako ni likuwa mfungwa katika gereza kwenye inchi ya ugeni na sikukuwa n'a Msahada wowote Ila kulingana ginsi nilizidi kuisikiya mafundisho Yako ilikuwa iki ni badilisha kila leo n'a hata ilipo fika Siku yangu ya ukumu na kuliko nipewe ukumu nikapewa uhuru jina la Mungu lisifiwe ninayo Raha maishani mwangu
I am blessed!!! God bless u man of God, God protect u for his Glory IJN
Indeed God is great. I've been blessed by your sermon. I can attest that now I look things at a different angle. May God bless you paster for letting us understand God's word more clearly. Glory be to God
Amen 🙏🙏🙏 huu ujumbe ni wNgu
From Kenya pst Asante sana kwa kuniinua kihimani naningelipenda kuongea na wewe Nina shinda nyingi sana, ninaona nikiongea nawe nitasaidika .Mungu akulinde sana utaokoa mwionyo sawengi uniombe .nataka kuongea nawe kwa simu be blessed pst
Am spiritually uplifted. Thanks pastor.
Ameen Ameen ubarikiwe Mchungaji hakika ulintoa mbali ukanipa ujasiri na matumaini 🙏🙏🙏🙏
Indeed he has been my mentor and im gaining alot, pastor may God fill you more to bless many
I'm blessed God bless you pastor
Asante Bwana YESU. MUNGU MKUU Azidi kukutumia kwa makuu zaidi
😍amina ubarikiwe sana mtshungaji
You are a blessing to my soul
May God continue using you to bless us
Amen amen.
Asante, been really blessed.
Eh Mungu uni rehemu na unionyeshe utukufu wako
Nimebakiwa na somo mchungaji wacha utukufu wa Mungu wetu uonekane. AMEN 🙏🏻🙏🏻🤲🤲
Yani nini napenda sana mahubiri yako Mungu akutie nguvu ameen
I am blessed. Denis Nyangeri kutoka kenya.
Ombi nmeliomba Jana nikiomba utukufu wa Mungu hakika bwana amejibu nmeitwa kwenye usahili jina la Bwana litukuzwe.
He is faithful
@@zaiokari1698 amen...
Aminaa waaah leo nimekusikia zivuri sana barikiw pr
Mungu akutie nguvu nakufatilia nabarikwa
Amen wow nimebarikiwa sana
Hili laniuhusu kweli, nizidi kumwombea mwanangu
Amen Pastor sifa kwa Mungu
Amen Amen mutumishi kwabkweli unanifungua
Ameeeen mtumishi wa mungu
Hakika leo nimefunguliwa ufahamu..... Ee mwenyezi Mungu uturehemu
Aksante sana,nataka kuona utukufu wa BwANA
may God be blessed pasta,
Nimeamini kwamb Toba yawezekana key tusigive up. Nimebalikiwa sana 😢😢 Mungu nisaidie
🙏🙏🙏🙏🙏
Tunakufuata vizuri baba
Amen show me your glory Lord
❤
Mungu naomba unionyeshe utukufu wako
Mungu aendelee kukutumia.barikiwa.
Natamani mnisaidie nijifunze kwa somo ambalo mchungaji David alinena kuhusu mifupa ya ezekieli please 🙏 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amen pastorAmen
Pastor ubarikiwe nimejifunza kitu hapa
Amina nionyeshe utukufu wako Bwana
Nguvu ya MSHAURI WA AJABU naiona hapa isaya9:6, pr Mungu akubariki na kuzidi pamoja na familia yako.
Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen
Mungu endeleH kuninua
Nashukuru sana kwa mafundisho yametutia moto ,ils mumetusahau Sisi wajane haustahili kufundishwa?
I'm following you from IRAQ I'm blessed pastor need your support of prayers
God be with you there
Asnte pr barikiwa kwa mafundisho
pastor umenifungua kwa mambo mengisana
Enoch was righteous man
Sasa mimi ndo huyooo nilikuwa nataka niende kwa mganga ila nmealisha
Ameeen Ameeen asnte Sana Kwa ujumbe huu mzuri barikiwa sana pastor Kwa mafundisho haya
Nimebarikiwa sana na somo hili
Amina
Ubarikiwe sana nipe address ya kanisa nije nishiriki na nyinyi siku moja
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏
Eeeh Mungu nionyeshe utukufu wako
Nasuru mungu kwa. Leo
Hakika Mungu anena waziwazi kwa mtumishi wake
Umenifunza mwengi
AMEN AMEN AMEN🙏
Je suis Jean-Pierre en provenance de la RDC
Unasemakwekabisi mahubiriyako ikonaniokomasa nandabatiziwa kweli sabanabatiza ukukwetu naikwa kakuru ushindi niko rutshuru kongo endiliyakuniombiyasina
Amin postor
Amen Amen pastor mungu akubariki
Reply
Jaman mwenye link ya telegram group la pr mbaga naombeni, maana nmeomba sana niungwe lkn sjafanikiwa
Nionyeshe utukufu wako
Asanteee munguu🙏🙏🙏
NIMEKUFATILIA KWA MIAKA MITATU SASA.. KWENYE MAHUBIRI YAKO YOOOTE HAKUNA HUBIRI NILILOKUELEWA KAMA HILI.. NINAENDELEA KUJIFUNZA
Thanks to God
Jamani huo wimbo unaitwaje unaoimba mwanzo
Bless bless
Pasta nahitaji namba yako nitaipataje kwan mbalaka ni mkuu
Amina Amina 🙏🙏🙏
Amen😊
Amena
Naendelea kubarikiwa
Naitaji namba yako mtumishi