JE UNAMJUA YESU? | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 лип 2023

КОМЕНТАРІ • 78

  • @ednaagalla2595
    @ednaagalla2595 9 місяців тому +19

    Nimepokea uponyaji sasa hivi (saa 10:33pm)baada ya kusikiliza somo hili, nilikuwa nna maumivu ya mgongo na mguu ila katikati ya maombi nikasikia kitu kimeachia nikaanza kujinyoosha wakati mchungaji anaendelea kuomba kuhakikisha na alipomaliza nikajinyoosha tena ili kuhakikisha ,sina maumivu kabisa. ninamtukuza Mungu na Baba yetu wa mbinguni kwa hili na mengine yajayo ninaamini nmeshayapokea kwa imani na hili ni uthibitisho.

  • @tracysally-im7fw
    @tracysally-im7fw 11 місяців тому +4

    Napenda unavyo ubiri kwa nguvu na ujasiri,sichoki kukusikiliza,mungu akubariki zaidi milele

  • @MortonKaunda
    @MortonKaunda 20 днів тому

    Ubalikiwe sana mchungaji Wetu Amen

  • @annmjemah5655
    @annmjemah5655 11 місяців тому +3

    Kwa kweli mchungaji hilo la kutokupokea miujiza ni la kweli. mimi ni mtu ambayenilikuwa sikubali na rafiki zangu ambao ni kama wadogo zangu mmoja anaitwa irene,mary na angel walinishawishi kila mmoja kwa wakati wake niwe nafika kusali j5 katika maombi. wakati wa kiipindi cha maombi sikuwa nafumba macho nikifikiri kama kuna kitu.
    ninashuhudia hili mwaka 2022 kuingia 23 kuna somo nililikuta youtube lilikuwa linaongelea kuhusu Mungu akufumbue macho mwaka 2023 nafikiri ilitolewa december 31 mwaka 2022 nililisikiliza lile hubiri nikaomba na mchungaji. na niliwambia Mungu tatizo langu likajibiwa nikiwa ninatazama. sitaki kuliongea alichonifanyia kwa kuwani mambo ya ofcn na ninaogopa kulisema kilichotokea kwa kuwa wengi wanatazama humu.
    Tunakushukuru kwa kutufungua macho na mawazo kwa Mungu wetu

  • @Shirimaneema
    @Shirimaneema 11 місяців тому +4

    I love how you speak with strength and courage, I never get tired to listening you,may God bless you forever.

  • @danielcesaire1240
    @danielcesaire1240 Місяць тому

    Nifuraha kubwa saaana kwetu ssisi tuliyo bahatika kusikia ma fundisho yako pastor

  • @sylviesaidi5740
    @sylviesaidi5740 Місяць тому

    Nipenda sn pastor mafundisho yako

  • @danielcesaire1240
    @danielcesaire1240 Місяць тому

    Ubarikiwe tna na tna

  • @KwihaAthanas
    @KwihaAthanas 22 дні тому

    Nabarikiwa sana

  • @davidkilajaga8842
    @davidkilajaga8842 Місяць тому

    Na Mm nimo, Bwana Yesu aniguse

  • @kadzocharosilver411
    @kadzocharosilver411 8 днів тому

    Mimi niko Saudi Arabia ni mkenya

  • @raelsarange638
    @raelsarange638 11 місяців тому +6

    Pastor I have changed my life and living style anytime I listen to ur teachings I pick a point thank you from the bottom of my heart be blessed abundantly in Jesus mighty name Amen 🙏

  • @HamisHamis-bi7yk
    @HamisHamis-bi7yk 11 місяців тому +2

    Nayapenda madundisho yako mchungaji Mungu akubariki sana wewe pamoja na familia yako.

    • @user-fi9ef2rd8k
      @user-fi9ef2rd8k 11 місяців тому

      Munguazidi kukutumia Sana pastor Mbaga

  • @happinessmongare4311
    @happinessmongare4311 11 місяців тому +1

    Naomba mungu kila madhabau ya giza uyaondoe kwa familia yangu kupitia maombi haya kwa jina la yesu amen

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 10 днів тому

    Amen

  • @elienew3788
    @elienew3788 Місяць тому

    Sioshwi dhambi.zangu bila damu yake Yesu hapendezewi Mungu bila damu yake Yesu hakuna kabisa dawa Ya makosa yakututakasa ila damu yake Yesu Asante sana nimeguswa

  • @user-ep9by3ui1v
    @user-ep9by3ui1v 3 місяці тому

    Ameen🙏💖

  • @danielcesaire1240
    @danielcesaire1240 Місяць тому

    Nifanye niwe mwanafunzi pastor niko south Africa

  • @NdackKengele
    @NdackKengele 11 місяців тому +1

    Bwana ainuliwe sana kupitia mtumishi wake ..... Umenibariki sana kiongoz

  • @osmanali3872
    @osmanali3872 11 місяців тому +1

    Mungu akubariki pst nasukuru kwa kutuelimiza ,unatwambia ukweli ili tubadilike

  • @bernakimario
    @bernakimario 11 місяців тому +1

    Mchungaji mungu akulinde sana nabarikiwa sana na masomo yako nayafuatiliya nabarikiwa sana

  • @SospeterLadslaus-zf7kh
    @SospeterLadslaus-zf7kh Рік тому +1

    Asante Yesu kwakuhurumia kutupa huyu mtumishi

  • @AjuayeEmanuely
    @AjuayeEmanuely Рік тому +1

    Amina huwa nabalikiwa sana ninaposikia mahubiri yako mungu akubaliki

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 11 місяців тому

    Mungu akuongezee siku za kuishi mchungaji mbaga maana wewe si mchungaji wa wasabato tu bali ni mchungaji wa madhehebu yote nayapenda sana mahubili yako hayana udhehebu ni yakuwapeleka watu mbinguni

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 3 місяці тому

    Amen ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho

  • @HeppyPaul-tq3ry
    @HeppyPaul-tq3ry 11 місяців тому +3

    Mungu azidi kukupa Maisha marefu Mtumishi wa Mungu

  • @MortonKaunda
    @MortonKaunda 20 днів тому +1

    Naomba namba ya whattssp ya mchungaji pastor David MMBAGA NAFAIDIKA SANA KUTOKA MUHUBIRI TV NIKO SOUTH AFRICA HASATENI

  • @maombijofre2302
    @maombijofre2302 11 місяців тому +1

    Ubarikiwe Sana

  • @andrewchioni9366
    @andrewchioni9366 10 місяців тому

    Mungu akubariki kwa mafundisho ambayo Roho mtakatifu anakupatia ili unene nasi

  • @adyday8788
    @adyday8788 11 місяців тому +2

    Nazani ni wakati wa kumiliki TV Yako pr

    • @davidmisiwa4622
      @davidmisiwa4622 11 місяців тому

      MUNGU wa mbinguni na atoe apendavyo

  • @KASICHANANDARO-ud1eh
    @KASICHANANDARO-ud1eh 10 місяців тому

    Nabarikiwa sana na mafundísho yako pastor

  • @dorcusamisi2926
    @dorcusamisi2926 9 місяців тому

    Barikiwa sana YESU azindi kukubariki

  • @estherkahindo2994
    @estherkahindo2994 10 місяців тому

    Amina papa ubarikiwe zaidi

  • @user-ns1jw3rl3g
    @user-ns1jw3rl3g 11 місяців тому

    Yehova Akuongezeye ujuzi

  • @RubaR-nr5wz
    @RubaR-nr5wz 8 місяців тому

    Kuna watu waliondokewa na mzazi mmoja je Hawa nao ni mayatima ama vipi na unaeza wasaidia nao

  • @lebonbasimise6814
    @lebonbasimise6814 7 місяців тому

    Pasta mungu akubariki sana miye Congo nime sambaza sana mahubiri yako na watu wana farijika sana

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 6 місяців тому

    You are filled with the Holy Spirit. Thank God

  • @onesmoelias2285
    @onesmoelias2285 Рік тому

    Ameee ameee ameee mchungaj unakipind kimoja tu

  • @RubaR-nr5wz
    @RubaR-nr5wz 8 місяців тому

    Mm huwa natoa zaka zangu lkn nikitoa ak mambo yangu ndio yanazidi kuwa mabaya sana lkn nikiacha kutoa huwa naona afueni ss hii nayo ni nn naomba pst mungu akusaidie na kunipa mm muelekeo nifanyeje

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 5 місяців тому

    Amen 🙏

  • @funakoshtadash6163
    @funakoshtadash6163 11 місяців тому

    Naam, ukweli ndio huo kwamba ikitokea mwandamu akamjua Mungu basi naye huyo atakuwa ni Mungu. Tunamjifunza huyu Mungu kila kukicha ila hana maana ya kumjua bali kuyajua mapenzi yake

  • @lorainnelarryson3626
    @lorainnelarryson3626 Рік тому

    Amina pastor.

  • @BarnabasJonas-nv4ig
    @BarnabasJonas-nv4ig 11 місяців тому

    AMINA

  • @BarnabasJonas-nv4ig
    @BarnabasJonas-nv4ig 11 місяців тому

    MUNGU atusidie sana AMEN

  • @SadaVita-ug3gx
    @SadaVita-ug3gx 10 місяців тому

    amen🙏🙏

  • @zakariachihota9417
    @zakariachihota9417 11 місяців тому

    Ameen

  • @ChanceBariziraVital-cv5jx
    @ChanceBariziraVital-cv5jx 4 місяці тому

    Pasta,nafatamafundi shoyako nakuyazingati mimi nimusabato lakini shida ukafundisha uoukweli ukukwetu mimbali kanisa ni upewitena,mutuombee RDC goma

  • @ednaaswile6631
    @ednaaswile6631 Рік тому

    Amina na Amina mtumishi 🙏, Asante Mungu Kwa ajili ya chombo chako hiki ili tuendelee kukujua wew kupitia mteule wako huyu
    Barikiwa pastor

  • @LilianWanjiku-vr5dj
    @LilianWanjiku-vr5dj 25 днів тому

    Pastor,,,ko Kuna yesu alaf Kuna mungu????

  • @dr.edwingeorge9837
    @dr.edwingeorge9837 11 місяців тому

    Aminaa

  • @PhebiElias-rw9ns
    @PhebiElias-rw9ns 11 місяців тому

    Uniombee mchungaji niwe nanguv yaiman

  • @joliea2956
    @joliea2956 11 місяців тому

    Asante

  • @lizziewangui6106
    @lizziewangui6106 Рік тому

    asante pastor tunabarikiwa sana familia ya mitandao

  • @epiphaniachristian5450
    @epiphaniachristian5450 4 місяці тому

    Wapendwa naombeni namba ya pastor

  • @solombwilo
    @solombwilo 11 місяців тому

    Mungu akubariki kwa kazi njema

  • @kadzocharosilver411
    @kadzocharosilver411 8 днів тому

    Nimebarikiwa na uliza nitapataje number yako mtu wa mungu

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 Рік тому +1

    Kweli mafundisho yako yananifaa Sana masomo yako yamenirekebisha kwa jina la Yesu vile neema ya Bwana isemavyo katika Tito 2:11

  • @faustermtavangu8212
    @faustermtavangu8212 Рік тому

    Amina Mungu akutunze ninabarikiwa sana

  • @sylviesaidi5740
    @sylviesaidi5740 Місяць тому +1

    Nipenda sn pastor mafundisho yako

  • @SuzanaNyanda
    @SuzanaNyanda 2 місяці тому

    Amen

  • @user-wh5gr3yw9s
    @user-wh5gr3yw9s 9 місяців тому

    Amen

  • @toshalulinda1493
    @toshalulinda1493 Рік тому +1

    Amen