SIRI YA MAFANIKIO YA YOSHUA FINAL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 55

  • @ElishaChuya-e9p
    @ElishaChuya-e9p 12 днів тому +15

    Nilikuwa nasumbuliwa sana na wachawi, nikajifunza masomo yako na sasa nimejua namna ya kupambana kiroho wachawi wote sasa wananiogopa sana na wengine wanasema mimi ni kijana mchawi, sasa ivi naombea watu pepo wanakimbia, kuna mama alifungwa asijifungue mpaka miezi ikapita nkaenda kumuombea akajifungua. Mimi ni kijana nakufatilia sana, Mungu anafanya makubwa kwa sasa kupitia kwangu mpaka kuna siku mchawi mmoja anaye ogopeka sana huku kigoma alikili mbele yangu kuwa yesu ananguvu sana, nikisa kilefu pastor, ila endelea kutoa mafunuo uliyo nayo na yote Mungu anayo kufunulia maana yanatusaidia sana kiroho mpaka watu huku wanakili kuwa Mungu wenu hawezekaniki!!! Barikiwa sana pastor.

  • @OuroborosSecurity
    @OuroborosSecurity 14 днів тому +9

    The best thing to ever happen this year, is to find pastor Mbagas teaching. Thank you Jesus

  • @ElishaChuya-e9p
    @ElishaChuya-e9p 12 днів тому +2

    Nilikuwa nasumbuliwa sana na wachawi, nikajifunza masomo yako na sasa nimejua namna ya kupambana kiroho wachawi wote sasa wananiogopa sana na wengine wanasema mimi ni kijana mchawi, sasa ivi naombea watu pepo wanakimbia, kuna mama alifungwa asijifungue mpaka miezi ikapita nkaenda kumuombea akajifungua. Mimi ni kijana nakufatilia sana, Mungu anafanya makubwa kwa sasa kupitia kwangu mpaka kuna siku mchawi mmoja anaye ogopeka sana huku kigoma alikili mbele yangu kuwa yesu ananguvu sana, nikisa kilefu pastor, ila endelea kutoa mafunuo uliyo nayo na yote Mungu anayo kufunulia maana yanatusaidia sana kiroho mpaka watu huku wanakili kuwa Mungu wenu hawezekaniki!!! Barikiwa sana pastor.
    Maalifa tunayo pokea kupitia kwako ni zaidi ya uchawi na uganga.

  • @Josefine27
    @Josefine27 13 днів тому +2

    Be blessed! Kwasomo nzuri.
    Mchungaji naomba saaaaana tena sana musaada wa maombi niko kwenye changamoto Kari sana. Sijui chakufanya lakini nina’Imani kwamba Mutetezi wangu yuko hai🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @mariammussa7654
    @mariammussa7654 14 днів тому +4

    Mungu akubariki sana mana kupitia wewe Imani yangu inazidi kukua niombee Mungu aniinue kiroho na katika biashara

  • @JoyceRamadhan-cl2us
    @JoyceRamadhan-cl2us 14 днів тому +3

    Nabarikiwa Sana nikiwa Oman mungu Azidi kuwalnua wahudumu wote❤

  • @metrinenyongesa7757
    @metrinenyongesa7757 9 днів тому +1

    ❤❤🙏 I'm blessed you too pastor blessed

  • @pamelabomani6648
    @pamelabomani6648 14 днів тому +3

    Mungu akubariki sana Mchungaji, huwa nabarikiwa sana na mahubiri yako na natamani siku moja nihudhurie kwenye mahubiri yako 🙏🙏

  • @catherinekwamboka
    @catherinekwamboka 2 дні тому

    Asante pastor kwa mafunzo mazuri barikiwa sana

  • @eve6614
    @eve6614 14 днів тому +2

    ❤nabarikiwa mno…Mungu akubariki sana mchungaji na aendelee kukutia nguvu,Afya nzuri na maisha marefu…

  • @sash0311
    @sash0311 12 днів тому

    Love this baba so much. His words are so powerful. Sending love from SA❤

  • @violetmaturo4575
    @violetmaturo4575 11 днів тому

    Nabariki na mafundisho yako pastor.
    Naomba Mungu anipe mafunuo mapya na kibali chema.
    Naomba Baraka ya Yusufu iwe nami.

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 4 дні тому

    Amina. Tumshukuru Mungu kwa neema zake za kumtumia Mch. Mmbaga

  • @purity134
    @purity134 14 днів тому +1

    Amen. Mungu nisaidie niwe baraka kwa wengi

  • @BandekeÉtudiant
    @BandekeÉtudiant 14 днів тому

    Asante sana muchugaji nakufy ta nikiwa congo mungu akubariki

  • @ElishaChuya-e9p
    @ElishaChuya-e9p 12 днів тому

    Mungu kumbe tunfeli kwa kukosa maarifa, barikiwa sana pastor

  • @EMMANUELSAMAMBILE
    @EMMANUELSAMAMBILE 13 днів тому

    Amina san pastor,naomba mazungumzo na wew pastor

  • @sarahdamian5043
    @sarahdamian5043 14 днів тому +1

    Katika njia zangu zote nitamuhusisha MUNGU🙏 Asante YESU.

  • @IsabelleSylvie-x9g
    @IsabelleSylvie-x9g 14 днів тому +2

    Mchingaji ansate kwa mafundisho namifata kutoka Congo ombi langu mnisaidie katika maombi kuhusu Imani yang u yiwe kamilifu

  • @AnnamariaKambi
    @AnnamariaKambi 13 днів тому

    Be blessed sanaa Pastor

  • @ElizaphanKamando
    @ElizaphanKamando 9 днів тому

    Mungu akubariki sana, akili zinashiba

  • @truphenakhagori9387
    @truphenakhagori9387 8 днів тому

    Amen Amen Amen

  • @safimkjohn1312
    @safimkjohn1312 13 днів тому

    AMENA

  • @ElizaphanKamando
    @ElizaphanKamando 9 днів тому

    Neno tamu la injili, neno la uzima.
    Lina amani kwa wote, neno la uzima.
    Neno hili zuri, latolewa bure,
    Maneno ya uzima ni maneno mazuri🙏🙏

  • @Carolyneadhiambo-e6l
    @Carolyneadhiambo-e6l 14 днів тому

    Amen naona poline radio

  • @Skbassgasasira
    @Skbassgasasira 5 днів тому

    Naamini badiliko katika maisha yangu kupitia mafundisho haya

  • @solomonkuyi1384
    @solomonkuyi1384 14 днів тому

    Fadhili na wema wote ni BWANA ubariki mkutano huu Amina.

  • @denisjohn2015
    @denisjohn2015 12 днів тому

    Mtumishi Mungu anakutumia kwenye viwango vikubwa

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 14 днів тому

    Amen Mungu naomba unifanikishe katika maishani mwangu

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 14 днів тому

    Barikiwa sana mchungaji MUNGU azidi kkutumia

  • @wilberforceombito3314
    @wilberforceombito3314 14 днів тому +1

    Waiting

  • @Carolyneadhiambo-e6l
    @Carolyneadhiambo-e6l 14 днів тому

    Amen 🙏

  • @HELENAMBUNGU
    @HELENAMBUNGU 14 днів тому

    Amina ahsante sana nimejifunza kitu kikubwa sana

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y 14 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ZakayoYohana
    @ZakayoYohana 14 днів тому

    Mungu wetu hajahikita sana katikat mafanikio yahii

  • @AnnamariaKambi
    @AnnamariaKambi 13 днів тому

    Mimi huafuatalia mahubiri yako ningèpenda sanaa niwasiliane nawewe muhimu

  • @danielndegwa764
    @danielndegwa764 14 днів тому

    Amen,kwa mahubiri makuu

  • @DenisAyusa-i1n
    @DenisAyusa-i1n 14 днів тому

    Amen

  • @bikyeombemteulwa2724
    @bikyeombemteulwa2724 14 днів тому

    Amen 🙏 MUNGU NISIMAMIYE KWAKILA NDJIA

  • @HELENAMBUNGU
    @HELENAMBUNGU 14 днів тому

    Amina

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 14 днів тому

    Amen,Baraka

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 14 днів тому

    Ameeen

  • @mtatirojacob8201
    @mtatirojacob8201 7 днів тому

    Blasedpastor

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 14 днів тому

    Aminaaa

  • @listerkebarigo
    @listerkebarigo 14 днів тому

    Blessed today

  • @AnnamariaKambi
    @AnnamariaKambi 13 днів тому

    Naomba mchungaji ikiwezekana nipate telephone nr yako muhimu niongee na wewe kwa haraka. Tafaďhali sanaa

  • @DesderyKamala-y1n
    @DesderyKamala-y1n 14 днів тому

    Unaeleza fact

  • @ElijahMosongo
    @ElijahMosongo 13 днів тому

    Naitaji maombi nawe

  • @ElishaChuya-e9p
    @ElishaChuya-e9p 12 днів тому +2

    Nilikuwa nasumbuliwa sana na wachawi, nikajifunza masomo yako na sasa nimejua namna ya kupambana kiroho wachawi wote sasa wananiogopa sana na wengine wanasema mimi ni kijana mchawi, sasa ivi naombea watu pepo wanakimbia, kuna mama alifungwa asijifungue mpaka miezi ikapita nkaenda kumuombea akajifungua. Mimi ni kijana nakufatilia sana, Mungu anafanya makubwa kwa sasa kupitia kwangu mpaka kuna siku mchawi mmoja anaye ogopeka sana huku kigoma alikili mbele yangu kuwa yesu ananguvu sana, nikisa kilefu pastor, ila endelea kutoa mafunuo uliyo nayo na yote Mungu anayo kufunulia maana yanatusaidia sana kiroho mpaka watu huku wanakili kuwa Mungu wenu hawezekaniki!!! Barikiwa sana pastor.
    Maalifa tunayo pokea kupitia kwako ni zaidi ya uchawi na uganga.

  • @ElishaChuya-e9p
    @ElishaChuya-e9p 12 днів тому

    Nilikuwa nasumbuliwa sana na wachawi, nikajifunza masomo yako na sasa nimejua namna ya kupambana kiroho wachawi wote sasa wananiogopa sana na wengine wanasema mimi ni kijana mchawi, sasa ivi naombea watu pepo wanakimbia, kuna mama alifungwa asijifungue mpaka miezi ikapita nkaenda kumuombea akajifungua. Mimi ni kijana nakufatilia sana, Mungu anafanya makubwa kwa sasa kupitia kwangu mpaka kuna siku mchawi mmoja anaye ogopeka sana huku kigoma alikili mbele yangu kuwa yesu ananguvu sana, nikisa kilefu pastor, ila endelea kutoa mafunuo uliyo nayo na yote Mungu anayo kufunulia maana yanatusaidia sana kiroho mpaka watu huku wanakili kuwa Mungu wenu hawezekaniki!!! Barikiwa sana pastor.

  • @AyiokaVedinas
    @AyiokaVedinas 8 днів тому

    Amen

  • @ElishaChuya-e9p
    @ElishaChuya-e9p 12 днів тому +1