🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Endelea kubarikiwa na somo hili.
    ..........................................................................
    Neno la Mungu ni Taa ya Miguu yangu na Mwanga wa njia yangu.
    Neno la Mungu ni Pumzi ya maisha yangu, unapolisoma neno la Mungu hautapotea gizani bali Nuru ya Bwana itaangaza Maishani mwako kila wakati.
    ..............................................................................................................................................................................................................................................................................................
    Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.
    ...............................................................................................................................................
    Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-
    Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI
    Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti
    Tigopesa 0712526937 Veronica Kanick
    CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI
    Mungu akubariki sana.

КОМЕНТАРІ • 11

  • @user-pq9be8re6i
    @user-pq9be8re6i 5 місяців тому +1

    Baba anaendelea kukutetea mtumishi

  • @eunicenyandiko1389
    @eunicenyandiko1389 4 місяці тому

    Amen hallelujah

  • @IsdoraMwalongo
    @IsdoraMwalongo 13 днів тому

    Barikiwa

  • @damaogoti98
    @damaogoti98 3 місяці тому

    Have learned alot from you pastor
    May God shower more blessings to you and your family 🙏🙏

  • @rosekeruboonchiri2789
    @rosekeruboonchiri2789 5 місяців тому

    Amina

  • @JOAQUIMANDRENKAMANHA
    @JOAQUIMANDRENKAMANHA 5 місяців тому

    Please of mim pastor

  • @athiwater3344
    @athiwater3344 5 місяців тому

    Pastor niombee plz

  • @nigomadalajuma734
    @nigomadalajuma734 5 місяців тому

    Amina mchungaji

  • @user-pq9be8re6i
    @user-pq9be8re6i 5 місяців тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hylinem5101
    @hylinem5101 5 місяців тому

    Naomba number ya doctor kamau please babangu yuaugua hiatal hernia

  • @RoseMomanyi-d3p
    @RoseMomanyi-d3p 5 місяців тому

    Plaster kama kwa kweli uko Kenya hii, mbana usinizaidie mtumizo WA mungu.ombi langu ni hili my both tubes are blocked na niliambiwa na gcyn kana kwamba siwezi kupata mtoto,plaster nizaidie na maombi plz.