Nabarikiwa na mafundisho yako mchungaji Mmbaga, kwasababu unafundisha na kuhubiri pia, pamoja na hayo unafundisha psychology unagusa kila eneo barikiwa sana.
Kabisa mm niliwahi kumsikiliza mahali Fulani nikiwa kazini nikawa napata shida nilimsikiliza kwa Imani niliondoka pale kwa kuitwa kwenye kazi nyingine Mungu ambariki sana
Mungu akubariki sana pastor mmbaga nsomba tu nikwambie ukwel ubatumiwa na Mungu mim nimekuwa mrahibu wa masomo yako kila siku lazima niweke bando nisikilize mahubiri yako hata masomo mawili. Ila kila siku lazima nisikilize na mara nikisikiliza nabarikiwa nafunguliwa nsinuliwa kiwango cha juu.Mungu akubariki sana
Asante sana kwa fundisho hili Mchungaji naamini Mungu anaenda kuvunja laana za umaskini kwa Familia Yetu Naendelea kuomba hata sasa asante sana Eee Kristo kwa kuzichukua laana na umaskini wetu ili sisi tu barikiwe na kuwa Marajiri Halleluya moyo wangu unafurahi na kumtukuza Mungu kwa kuzivunja laana za Umaskini ❤❤❤❤❤❤💜💜💜💜💜💜💜💜💜
Mtumishi ubarikiwe sana mm naitwa felista mpare naomba uniombee nipate mume
mambo
Mimi ni mkenya tunakupenda Sana pasy May God continue to protect you
Amen. Asante sana
Amen
Mimi ni mkenya,pr mbaga mafundisho yako imetubariki sana
Barikiwa Pr kwa fundisho nzuri
Ubarikiwe sana Na Mungu wetu Mchungaji maana mafundisho Yako yananibarikisana
Barikiwa sana pastor kwa masomo mazuri yanayo jenga kiroho,kimwili na nyanja nyinginezo za maisha!!!!
Amen, Amen utukufu kwa Mungu juu, tunakiri ushindi na kupokea neema
You have change my life Thank you and be blessed
Pr mbaga unanigusa sana mahubiri yako Mungu akuongezee karama yako hiyo maradufu❤❤
Pst Mmbaga God bless uu
Yesu nirehemu nisiestahili, nakuhitaji Yesu Sana moyoni mwangu
Nimesikiliza somo hili huku nikimwaga machozi.nitaishi na madeni hata lini????naomba kufanikiwa katika jina la Yesu.Amen
Mungu akutendee sawasawa na mapenzi yake,
@@spesiozabisansaba6424 Amen.Nashukuru
Nabarikiwa sana na mafundisho haya
Ameni kwaimani navunja laana ya magonjwa navunja laana ya kuto kufanikiwa Amen
Pr mungu aendelee kukupigania uzidi kutufundisha zaidi tumjue mungu
Mungu akubariki sana pastor 🙏 😢
Pastor MUNGU akulinde na kukubariki Amen 🙏🥰
Wakenya wezetu shemeni Amen
Nabarikiwa na mafundisho yako mchungaji Mmbaga, kwasababu unafundisha na kuhubiri pia, pamoja na hayo unafundisha psychology unagusa kila eneo barikiwa sana.
Napia nazidi kupata uponyaji wakiroho nakumwli pia 🙏🙏
Mungu azidi kukupa nguvu na uzima tele barikiwa sana aminaa🙏🙏🙏🙏
Pastor mbaga mungu akubariki sana na mahubiri yamenitoa mbali sana sitokusahau maisha yangu yote.ubarikiwe sana na familia yako.
Kabisa mm niliwahi kumsikiliza mahali Fulani nikiwa kazini nikawa napata shida nilimsikiliza kwa Imani niliondoka pale kwa kuitwa kwenye kazi nyingine Mungu ambariki sana
Nakusikiza from nrbi kenya, barikiwa sana mchungaji.
Mungu akubariki sana pastor mmbaga nsomba tu nikwambie ukwel ubatumiwa na Mungu mim nimekuwa mrahibu wa masomo yako kila siku lazima niweke bando nisikilize mahubiri yako hata masomo mawili. Ila kila siku lazima nisikilize na mara nikisikiliza nabarikiwa nafunguliwa nsinuliwa kiwango cha juu.Mungu akubariki sana
Nabarikiwa sana🙏
Ubarikiwe pastor Kwa SoMo Hilo Kuna point ambazo ninzr sana
Aminaa nimebarikiwa sana Mungu kubariki mchunganji
Cc wakenya hata Tanzania tunasaidia tuu, hatuna shida
Vrai parole de Dieu_ merci pasteur
Mahubirazuri yananitia moyo mungu akubariki pastor
Asante pastor kuanzia leo sitatumia kauli dhaifu ktk lolote nifanyacho
God bless u pst 🙏🙏🙏
Man of God am from Kenya. You teachings are very powerful indeed .
Namshukuru Mungu kwa karama aliyokupa ninatiwa nguvu naujumbe
Amen pastor unazidi kunibariki
Mch barikiwa,hakika nabarikiwa na mafundisho yako,yananitoa gizani na kuniweka niruni.Bwana apewe sifa.
Leo nimejifunza kitu kikubwa sana,barikiwa sana Mchungaji.
Amen, ubarikiwe sana pastor
Kazi nzuri mchungaji, ninalo swali kati ya Petero na Yohana ,ni nani YESU alipenda sana????
Yohana
Na barikiwa Santa na mafundisho Yako.
Much mbaga mungu akubariki Kwa masomo hayo
Asante sana kwa fundisho hili Mchungaji naamini Mungu anaenda kuvunja laana za umaskini kwa Familia Yetu Naendelea kuomba hata sasa asante sana Eee Kristo kwa kuzichukua laana na umaskini wetu ili sisi tu barikiwe na kuwa Marajiri Halleluya moyo wangu unafurahi na kumtukuza Mungu kwa kuzivunja laana za Umaskini ❤❤❤❤❤❤💜💜💜💜💜💜💜💜💜
Barikiwa saana Mbaga
Ndio tuko hapa nrb tunasikia pastor barikiwa sana
Ubarikiwe Sana pastor
Pastor Naitaji msahada wa maombi kuusu kazi nipo America 🇺🇸 natamani ufungulifu tu 🙏🏻🙏🏻
Barkiwa pasta
Wise teachings,God bless you 🙏
Mafundisho ya nehema kubwa sana
Be blessed pastor
Amen .pst
Umebadlisha mawazo yangu pastor
ubarikiwe sana Pastor
Thanks pastor, hii imekaa vizuri sana
Nabarikiwa Sana na mahubiri yako natamani nipate mda wa kuongea na wewe Sina namba yako nisaidie kuipata
Bilashaka wasaidizi wake watakusaidia
Pastor tafadhali naomba unipe Msaada kiukweli nimechoka nahitaji Msaada WA maombi kutoka kwako
Pro nabarikiwa sana na masomo yako MUNGU aendelee kukutumia wa ajiri ya neno lake
Amen
@@MahubiriPrMmbaga Kenya tunakufutilia sana wingi tumeona Mungu kupitia were Bwana akubariki
Kuitia mahubiri haya nimemuona yesu
Amen pastor
Mungu akubariki
Amen, blessed
Bwana,asifiwe,naomba msaada nahitaji kuonana na pastor
Amina
Barkiwa pasta mbaga
Nasikiza kutoka nrb barikiwa sana mchungaji
Mungu akubariki
Amina 🤔💖🙏
ukweli haujifich unaonekana 😢
Bab mbariki paste izidi kupata nguvu ya kuhubir
Mtu mwenye asikii harufu unamsaidiaje?
Pastor asingekua MUNGU kupitia wewe ningekua mpagani kabisa
Amen
Ameen
Naweza kupata namba ya mchungaji naitaji
🙏🙏🙏
🙏🙌
🤚
Nawezaje kuwasiliana na wewe?
Kila ninapokusikiliza pst napata nguvu mpya yakusonga mbele
Message you Young people 🛖🎁
Nimebariwa na mhubiri yako ila naomba maombi kwa ajili ya kaka zangu wanamiaka 45,50 hawajaoa mpaka leo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wakenya
ℕ𝕒𝕥𝕒𝕜𝕒 ℍ𝕚𝕔𝕙𝕠 𝕂𝕚𝕥𝕒𝕓𝕦 𝕄𝕔𝕙𝕦𝕟𝕘𝕒𝕛𝕚
Much mbaga mungu akubariki Kwa masomo hayo
Amen
🙏🙏🙏