Amen hakika kuanzia leo naenda kutamka mema maishani mwangu kwa jina la YES I KRISTO ,na kila neno baya la laana nililojitamkia au nililo tamkiwa Nalibatilisha na kulifuta kwa Damu ya YESU KRISTO AMEN naamini imekuwa 🙏🙏🙏
Asante sana pastor mmbaga..nakufatilia sana na hivi sasa nimekua nikisoma biblia.. kiukweli hapo kwa kutoa kafara sikua naelewa mbona hayo yote..but Asante nashukuru Mungu kwa hii neema yakupata haya mahubiri
Pastor Mungu akubariki sana kwa fundisho hili nzuri. Kweli sisi wenyewe tumebaki tukisumbuliwa na umaskini sababu ya kujitamkiya vibaya. Tangu leo Mungu atusamehe kabisa. Tunaenda kuanza na maombi ya kutamka ili Mungu afungue familia zetu, afungue watoto wetu, afungue biashara zetu kwa jina la Yesu.
Asante mchungaji ombi langu nikwamba mungu atawale maisha yangu na niishi maisha yautakoso siku zote naku tamka maneno ya baraka kwangu mimi nakwa wengine amina
Pastor Mungu ni mwema juzi nimefuatilia msichana mmoja alivyo kuwa akinenea jini imulete waume za watu na alikuwa anatamka tu na analetewa , nimejua kuanzia Leo jinsi ya kutumia nguvu za Mungu Kwa utukufu wake .
Hakika neno la Mungu ni tamu na n kali kama upanga,BWANA WANGU YESU KTK JINA LAKO NATAMKA KUFUNGULIWA ZIDI YA NGUVU ZA MWOVU NA KUJAZWA NGUVU YA ROHO MTAKATIFU.
Pastor Mmbaga nashukuru kwa fundisho linalonilenga mimi hapa.Sasa swali langu ni ,nafanya hiyo kazi nikiwa mbali nayo,kama shamba nitafanyaje kutamkia na ifanyike nikiwa uarabuni na shamba Kenya naomba unielekeze tafadhali, asante na ubarikiwe mtumishi
I've learnt a lot and been blessed so much in today's message Pastor. May our good GOD give you long life and bless you abundantly for this wonderful work you're doing 🙏 🙌.
Pastor Mungu akubariki sana kwa kufika mitaa ya kwetu. Nimebarikiwa sana na hili somo. Maombi mengi ya kutamka niliyofanya yamekua nikiona majibu yake kwa haraka sana. Tuna mamlaka tumepewa na Mungu, tukitamka na kuamini kinakuwa.
Nabarikiwa nikiwa dar mchungaji kilio changu ni lilelile naomba kitabu chako Siri ya maombi yaliyo jibiwa naomba uumpe Kaka philimoni Asante kwa kuendeleza kutuimarisha kiimani
Acha hadithi za kufikirika(Mauzauza), fanya wewe sasa, sana sana utafanya mauzauza kama ya zumaridi, ambayo hata mababu zetu waliyafanya kwa kuimba, kupiga makelele. Pazia la hekalu lilipasuka katikati (kila mtu alipo ni Madhabahu kwa namna zake).
Natamka baraka kwenye maisha yangu na familia yangu na ile ya Baba angu, maneno yote ya kutamkiwa, rahana na damu za kiukoo nimeziondoa sasa kwa Jina la YESU kristo AMEN 🙏🙏
😭😭😭😭😭😭Am just shedng tears.... Me namka saa tisa kuomba lakini nikirud kulala naota ndoto mbaya tupuu... Hadi nime give up kuomba nami niko na shda tupu😭😭😢
Usikate tamaa endelea kuomba na kuomba lakini pia waweza kuomba msaada wa kusaidiwa maombi kwa mtu utakaye mwamini naamini yote yatatoweka kwa jina la Yesu.
muamini mungu,, wako hajawai kumuacha mtu ndie rafikii wa kwelii wala usikate tamaa kumbuka pale akili yako inapofikia mwisho mungu ndipo hujitokeza n kutenda🙏🙏
Mimi mpaka watoto wangu na msichana wangu wa kazi walikuwa wananiambia usiseme kitu maana ukisema kinakuwa kweli na hata mme wangu huwa hataki kabisa niseme neno negative jui ya jambo lolote juu yake au juu ya familia Maana maneno yanaumba kwa kweli
Natamka kuzaa watoto mapacha wa kiume na wa kike kwa jina la Yesu Kristo aliye Hai.... Amen
Amen hakika kuanzia leo naenda kutamka mema maishani mwangu kwa jina la YES I KRISTO ,na kila neno baya la laana nililojitamkia au nililo tamkiwa Nalibatilisha na kulifuta kwa Damu ya YESU KRISTO AMEN naamini imekuwa 🙏🙏🙏
Natamka kufunguliwa Kwa uchumi wa mume wangu Kwa jina la jesu amen amen amen🤱
Natamka Kufunguliwa kwa UCHUMI wa mume wangu Kwa Jina la Yesu Kristo 🙏♥️
Ishakuwa kwa jina la Yesu. Amina
Amina❤
Natamka baraka katika maisha yangu pia zaidi roho mtakatifu awe ndan yangu Amen🙏🙏
Natamka Baraka Kwa watoto wangu Kwa Jina la Yesu Kristo 🙏❤
Natamka kupata kazi na ushindi kwa yesu katika jina la yesu kristo
Kwa jina la Yesu mimi ni mzima kuanzia leo, nakataa udhaifu, nakataa kulala kitandani, nimepona kwa jina la Yesu Ameen 🙏
Kwa jina la yesu krsto natamka kufunguliwa kwa tumbo langu ameen
Natamka baraka kwangu na watoto wangu na mme wangu kwa jina la Yesu
Amen pastor mungu akubariki zaiidi na siku zote
Pastor David Mmbaga, maneno yananikosa, naomba Mungu anikutanishe nawe siku moja, naishi Sweden 🙏
Mm nitajl namba Moja dunian🎉🎉🎉
Mungu akupe haja ya moyo wako paster na waumini wote Ameen
Najitamkia Kufunguliwa kiuchumi Kwa Jina la Yesu Kristo 🙏
Amen
Maombi haya ya kutamka mema yawe yangu kwa Jina kuu la Yesu, Amen
Amen Amen Mungu akubariki san mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mtaamu san mwenye nguvu ubarikiwe san
Nimekuwa nikifanya maombi kwa kutamka, nikiomba sana na sipati majibu....but nikitamka tuuuu....naaza Kuona watenja...nikilala natamka keshoye watenja wanajaa...na sikuwa nimesikiza hiii😊😊😊😊😊😊😊...so it's treu
Neno ni zuri kutamka lazima tutamke maneno mazuri kwa watoto wetu
Pastor asante kwà mahubiri matamu Mimi nilikiwa naendesha Sana lakini baada ya mahubiri niliomba kwa Imani Na nilipona Mungu amenitendea muujiza Amen
Amen!
Mungu akubariki sana Mchungaji, hili somo litanibadilisha kwa jina la Yesu.
Mungu anchokifanya kupitia ww nikikubw kulik unavyofaham umenifanya kuwa jeuli kwa shetan mpank ananigway
Bwana nitakase Kisha unibariki .Mtumishi barikiwa
Asante sana pastor mmbaga..nakufatilia sana na hivi sasa nimekua nikisoma biblia.. kiukweli hapo kwa kutoa kafara sikua naelewa mbona hayo yote..but Asante nashukuru Mungu kwa hii neema yakupata haya mahubiri
Pastor Mmbaga, Mungu akubariki sana saana saaaaana 🙏♥️
Pastor Mungu akubariki sana kwa fundisho hili nzuri. Kweli sisi wenyewe tumebaki tukisumbuliwa na umaskini sababu ya kujitamkiya vibaya. Tangu leo Mungu atusamehe kabisa. Tunaenda kuanza na maombi ya kutamka ili Mungu afungue familia zetu, afungue watoto wetu, afungue biashara zetu kwa jina la Yesu.
Mungu azidi kukubariki,kukupa uzima na afya njema wewe pamoja na uzao wako na wote wanaomtumikia Mungu katika kweli yote baraka hizi Mungu awape.
Natamka kufunguliwa Kwa afya yangu na familia yangu
Pastor niombee ni jenge nyumba yangu 🙏
Mungu aendelee kukupigania Pastor Mbaga
Amen barikiwa sana mtumishi 🙌kweli kutamka ni jambo jema
Mungu ni mwema.
Natamka baraka kwa maisha yangu na familia yangu siku zote za maisha yetu.. Pastor Mungu akubariki sana akupe maisha marefu
Nabarikiwa na mahubiri yako wakati wote nakuombea afya njema mtumushi wa Bwana
Asante sana Pr, unatubariki kwa kweli.
Nipenda mahubiri haya
MUNGU aendelee kukupa afya njema na maisha marefu kwaajili ya watu wake
Yaani kweli upepo umeongezeka na kupungua wakati Pr akiongea.Mungu akubariki Pr umenisaidia kuanza kumuelewa Mungu
Asante Mungu.kwa kuondoa madeni ya binti yangu.
Amen MUNGU atusaidiye
Asante mchungaji ombi langu nikwamba mungu atawale maisha yangu na niishi maisha yautakoso siku zote naku tamka maneno ya baraka kwangu mimi nakwa wengine amina
Amen nimebarikiwa sana siku ya Leo na nifeel uwepo Bwana Yesu
Amen barikiwa sana mutumishi wa mungu mafundisho mazuri nimebarikiwa sana mungu akubariki 🙏🙏🙏🙏
Asante mchungaji kwa neno nzuri shida yetu wasabato ni hatuamini nguvu za Mungu
ubarikiwe mtumishi hakika umefanyika baraka sana katika maisha yangu
🙏🙏 more blessing pastor Mbaga
Wimbo no ngapi huu wameimba hapa❤
Asante sana kwa hili neno .....hakika Mungu mkubwa
Naiwe hivyo.
Natamka nitaolewa na Wojtek nitazaa watoto wazima Katika jina la yesu
Amina Ee.Mwokozi unisafishe mimi Kabisa Baba
Nataka msamaha wa dhambi
Eee Mungu naomba unifutia laana nilizotamukiwa ugeuze ziwe baraka kwangu kupitia m2mishi wako nabarikiwa sana namwombea afya njema na familia yake
Nataka kuponywa majeraha ya moyo wangu
Natamka kupata kazi kwa ushindi amina🎉
Amina nimebarikiwà sana na SoMo hili
Natamka kupona na kipaa kazi kwa JINA la YESU STAUGUA TENA
Amen Barikiwa sana David Mmbaga
Amen amen
Aminaaa 🙏🙏
Amina hakika Mungu nmwema naona baraka zake
Amen!
MUNGU atusaidie sana AMEN
Nisamehe Yesu nitakase uovu wa kinywa changu nisijitamukie laana nijitamukie mema
Pastor Mungu ni mwema juzi nimefuatilia msichana mmoja alivyo kuwa akinenea jini imulete waume za watu na alikuwa anatamka tu na analetewa , nimejua kuanzia Leo jinsi ya kutumia nguvu za Mungu Kwa utukufu wake .
Hakika neno la Mungu ni tamu na n kali kama upanga,BWANA WANGU YESU KTK JINA LAKO NATAMKA KUFUNGULIWA ZIDI YA NGUVU ZA MWOVU NA KUJAZWA NGUVU YA ROHO MTAKATIFU.
Amen
Asnte YESU
Pastor nko Kenya naomba mamba Yako unisAidie kuvunja rahana za ukoo
Mungu aku zidishiye 🙏🙏🙏🙏
Thanks
Ameen pasita mubarikiwa sana na mahubiri yako
Pastor Mmbaga nashukuru kwa fundisho linalonilenga mimi hapa.Sasa swali langu ni ,nafanya hiyo kazi nikiwa mbali nayo,kama shamba nitafanyaje kutamkia na ifanyike nikiwa uarabuni na shamba Kenya naomba unielekeze tafadhali, asante na ubarikiwe mtumishi
Omba utumiwe picha la shamba Kisha tamka neno linatokea,Muhimu n MANENO yako yaambatane na moyo wako yaan kuyaamini hayo unayotamka
Baada ya somo hili naamini maneno niliyotamka yanakuwa asante kwa somo zuri.asante Mungu.
Naomba maombi Yako pr. Nipate moto nimehangaika sana.
I've learnt a lot and been blessed so much in today's message Pastor. May our good GOD give you long life and bless you abundantly for this wonderful work you're doing 🙏 🙌.
Amen
Mafundisho mazuri Sana
Sisi tuliotazama kwa UA-cam tumeshindwa kuelewa ilo suala la matawi yaliopepea na kuacha jamani, ila si mbaya tumepata kakitu Fulani, ubarikiwe pastor
Amen pastor nimebarikwa
Pastor Mungu akubariki sana kwa kufika mitaa ya kwetu. Nimebarikiwa sana na hili somo. Maombi mengi ya kutamka niliyofanya yamekua nikiona majibu yake kwa haraka sana. Tuna mamlaka tumepewa na Mungu, tukitamka na kuamini kinakuwa.
Jaman mwenye namba ya hyu pastor mbaga naomba anisaidie
Nabarikiwa nikiwa dar mchungaji kilio changu ni lilelile naomba kitabu chako Siri ya maombi yaliyo jibiwa naomba uumpe Kaka philimoni Asante kwa kuendeleza kutuimarisha kiimani
Ubarikiwe pastor Mmbaga kwa somo zuri.
Ameen
Very true, Pr! Jitamkie baraka na ushindi wa dhambi....utashinda !
Amina. Nabarikiwa nikiwa Kenya.
Amina Amina 🇨🇩
Animaa❤❤❤❤
Wellcom 🇹🇿🇰🇪 our Place Pastor
Amene
Amina
Acha hadithi za kufikirika(Mauzauza), fanya wewe sasa, sana sana utafanya mauzauza kama ya zumaridi, ambayo hata mababu zetu waliyafanya kwa kuimba, kupiga makelele. Pazia la hekalu lilipasuka katikati (kila mtu alipo ni Madhabahu kwa namna zake).
Amen Ameeeen
Ubarikiwa sn post tukumbuke nas kwa sala tu
Asanta mchungaji katika mahubiri hiyo nimepata bandiliko la Kiroho na miye naanza maombi ya kutamuka
Asante kwabaraka pasta ila matoyo 19:23_24 inatuchanganya???
Kiukweli jijifunze kunena mema kwa kila mtu na sio kwa watoto wetu t,pr uende mbali hadi mbinguni
Natamka baraka kwenye maisha yangu na familia yangu na ile ya Baba angu, maneno yote ya kutamkiwa, rahana na damu za kiukoo nimeziondoa sasa kwa Jina la YESU kristo AMEN 🙏🙏
😭😭😭😭😭😭Am just shedng tears.... Me namka saa tisa kuomba lakini nikirud kulala naota ndoto mbaya tupuu... Hadi nime give up kuomba nami niko na shda tupu😭😭😢
Usikate Tamaa katika kuomba.Mungu atakujibu kwa wakati wake.
Zidi kutamka shetani anataka akukatishe tamaa
Pole mwaya, mm nilikuwa ivo ivo lakini ckukata tamaa na pia niliomba msaada wa maombi kutoka kwa watu wa karibu yangu nilisaidika.
Usikate tamaa endelea kuomba na kuomba lakini pia waweza kuomba msaada wa kusaidiwa maombi kwa mtu utakaye mwamini naamini yote yatatoweka kwa jina la Yesu.
muamini mungu,, wako hajawai kumuacha mtu ndie rafikii wa kwelii wala usikate tamaa kumbuka pale akili yako inapofikia mwisho mungu ndipo hujitokeza n kutenda🙏🙏
AMINA
Mimi mpaka watoto wangu na msichana wangu wa kazi walikuwa wananiambia usiseme kitu maana ukisema kinakuwa kweli na hata mme wangu huwa hataki kabisa niseme neno negative jui ya jambo lolote juu yake au juu ya familia Maana maneno yanaumba kwa kweli
Amen
Nilisha tamka kunguliwa kwa iman
natamani kupata mahubiri yako umekuwa kwangu msaada
Amen
Pastor nahitaji vitabu vyako navipataje Niko Simiyu
Mi natamani nikupigie nikueleze kinachonisumbua moyoni mwangu kama nipo sahihi au sipo sahihi
Nambarikkiwa sana na mahubiri yako mchungaji