PART 2 - HISTORIA YA MAISHA YA BERNARD MUKASA - MAISHA NA MUZIKI S01EP04
Вставка
- Опубліковано 25 гру 2024
- Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa
Mwl Mukasa asante sana kwa mafundisho ya kiroho, nimejifunza mengi kuhusu imani kupitia mahojiano haya not necessarily kwenye kuimba. Ubarikiwe sana
Mungu akubariki sana unatuinjilisha kabisa akupe maisha marefu mwalimu wetu
Namwomba Mwenyezi Mungu baba angu mwl Robert mkwavi afikie kiwango cha Bernad Mkasa. Mungu watie nguvu walimu wa muziki wa Kikatoliki
The brain Benard Mukasa ❤
nakubaliana na mwalimu, tunafaa kufanya muziki kwa sababu ya vile mwenyezi mungu anataka, sio kama tunavyotaka.
Hongereni sana Jugo Media kwa wazo hili mujarabu. Hakika mnatoa elimu na uelewa mkubwa kupitia maongezi na walimu wa muziki Mtakatifu. Hongereni sana kwa kazi nzuri.
Bernad Mukasa Mungu akuweke BAba na mwalimu wetu mtunzi wetu Tanzania nzima 🙏
Ubarikiwe Sana kwautume baba natamani siku Mona uje kututemberea kigangoni kwetu RHAFAERI palokia yakinyerenzi
Mungu akuweke Baba 🙏
Hongera sasa mukasa
Unapaswa kumshukuru mungu sana,familia moja kua na kipaji kimoja sio kitu rahis mungu katenda
Mwalimu waja lini Nairobi Kenya kutupa hizi seminars?