Duuuu MUNGU awape kibali muungane tena ,martha mwaipaja MUNGU awe ndani yako na umkumbuke mama yako,hakuna kama mama hapa duniani, kama ni kweli aliyoongea mdogo wako,kama ni kweli rudi nyuma maana hata kuimba kwako hakutakuwa na maana, asante MUNGU awakumbuke
Ndugu usishawishike Na mambo ya Dini,kwani Ni Taasisi ya Za watu Na Dini sio zetu,Wote wa makanisani hawapo Salama Dini zote Ni Za Shetani.Chunguza Sanaa utapata majibu ndugu yangu
Kama uko dar fwatilia kanisa linaitwa kanisa takatifu la YESU lipo tegeta kibo uliza roho mtakatifu akikujibu nenda ni kanisa zuri sana linahubiri zaidi namna ya kufika mbinguni
Glory be to Yahuah Hallelujah Yeshuah Messiah is my Lord and Saviour Amen. Don't follow man, follow Jesus Christ, pray for your spirit to be converted, saved, and transformed to the spirit of Christ Jesus. Jesus is Lord, every knee shall bow, and every tongue shall confess Jesus is Lord. Obedience is key to your deliverance. Walk in Purity, holiness, and righteousness. May the spirit of divination upon your life be exposed and destroyed in Jesus Christ name. May the Lord direct you to a church filled with the Holy Spirit. May the power of the gospel of Christ Jesus be upon you. May the hand of the enemy be out of bond in your life. Meditate on the word of God day and night in Jesus Christ name and the power of the Holy Spirit Amen Joshua 1:8 8 Keep this Book of the Law always on your lips; meditate on it day and night, so that you may be careful to do everything written in it. Then you will be prosperous and successful
@@mrrespiciusmedia4572 naona unajibu kwa paniki sana, hakuna aliesema kuna kanisa la mtu, labda kiswahili ndo hakijaeleweka, ok ngoja niwekee sentence yangu vizuri, je Hili ni kanisa alilokuwa analiongoza marehem Pastor Mitimingi?
@henricamikambi6147 mbaya ya kutomsamhe mama aua dada nawakat unajua umeokoka msamha uliojaa upemdo ndio amri kuu, hata kama walifanya nn mama yake asingemtupa na kuanza kumtambusliaha sijui sister joan et ni mtoto wake
Wewe dada huna hekima Huwezi kumdhalilisha dada yako kiasi hicho.Mambo ya shuhuda siyo kuongea kila kitu Huo ni ujinga Lwakifupi umezingua sana.yaani umefanya jambo la hovyo. Yaani wewe dada mjinga kabisa huwezi kumdhalilisha ndugu yako huo ni ujinga,huna washauri? Je umeshindwa kumfuata dada yako mkaongea. Mtu akikuona atasema una hekima sana kumbe hakuna kitu khaaa
Mungu Baba nijalie na mimi kupitia ushuhuda huu nipate kumjua Yesu wa kweli.
Sifa na utukifu ni WA bwana wetu yesu kristo wa Nazareth milele na milele
Kwani hawakuwa wanasoma Neno la Mungu, misingi mibaya sana
hongera mtumishi kwa ushuhuda huu mkubwa ukafanyike baraka kwa wote waliofungwa na kuteswa na miungu
Kwanza dada sauti yako tu inaonyesha unakitu juu yako ukimtumikia mungu kwa roho na kweli utafika mbali sana
What a testimony! Very powerful and inspiring. Be blessed my lovely Sisy. The best is yet to come🎉
Baba katika jina la Yesu akusaidie na kukuinua kwa utukufu wa jina lake, Amen!🙏🏾
Ee mwenyezi Mungu kupitia ushuhuda huu nitendee namimi
Mungu nakuomba unikumbuke n mimi
Imeniliza sana bwana atusaidiee sana MUNGU amsaidie na Martha atoke kwenye hiyo madhabahu
Yesu nasubili zangu yangu kwa wakati ukupendezao wewe..
Hakika acha mungu aitwe mungu.Ushuhuda huu ukawe fundisho kwa wengi
Aisee ni huzuni Yesu tusaidie tufike salama
Nitendee na mm bwana kupitia ushuhuda huu🙏🙏🙏
Hallelujah, Mungu yupo mahali hapo❤❤❤
Mungu nifungue na mm nipo tayari.
Mungu nifungue na mimi 😢😢😢
Amen
Eeeèh mungu wangu naomba unifungue na mimi
Yesu tusaidie watoto wako 😢😢😢
Anahitaji nguvu ya ulinzi mkuu. Devil never entertain testimony.
Mungu mwema
✍✍✍✅✅✅✅
Tii na MUNGU atakusaidia
Nyenyekea na MUNGU atakusaidia
Mungu ni mwema sana
Ulimwengu wa kiroho ni halisi na kweli, na vita vya kiroho vipo!!! Mungu atutetee
Amen 🙏🙌 glory to Jesus Christ
Pole sana Mungu ukuinue sana
Mimi Beatrice Mwaipaja namkubali toka wimbo wake wa kwanza Hadi sasa Bora ametoa huo ushuhuda watu wapone
Hakika palipo na Mungu ipo nguvu ya Yesu kristo❤❤❤
Amen siko huko tena❤
Mungu atusaidie kutoka katika vifungo vya adui na njia zake za uongo
Mungu nifunguo na mimi
Alooooooo !!!!
Inasikitisha muda unaona umepata ndo umekosa muda unaona umekosa ndo umepata
Mungu akusakdie sana
Yesu atusaidie sana…
Utukufu wa Mungu ni Mkubwa sana Asante Mungu
Kumbe ule wimbo wa tutafika salama ni historia ya kweli dah
Dah!
Amen Mungu ninakutaka na Mimi
tuombee watumishi wa Mungu jmn
Duuuuhh aseeee huyu Mungu jamani khaaaa kweli sio wakufananishwa aahh jamani Mungu anahuruma
If this is true... Mungu atufungue macho tusibotoshwe na dini za uongo au nguvu za giza..
😢😢❤
Yesu akutetee kwa kweli
Baba alitukuze jina lake.
😭😭😭😭 inasikitisha sana
😭😭 martha mwaipaja nakuombea uachane na huyo sister joan
Yumkin yule binti ndio ajent mwenyew kabisa. Na kwa kuwa yeye Martha hajui anahis ni Rafik kumbe shetan alimletea Ajent
@SamwelRobeth hakika tuendelee kumuombea binafs imeniuma kma watu yangu😭
Pana ukweli mkubwa sana@@SamwelRobeth
Naumia sana kwakweli
Kabisa nimewahi kujiwazisha kuhusu huyu binti kumbe kweli.
Nimelia sana😢😢😢
Martha nakuonbea kwa Mungu akupe macho ya roho ili ufunguke na pia akupe neema ya kukuweka pamoja na mama na your sister.
Daaah hakika ukiona mtu kafanikiwa muache aende maana hujui mapito aliyopitia
Duuuu MUNGU awape kibali muungane tena ,martha mwaipaja MUNGU awe ndani yako na umkumbuke mama yako,hakuna kama mama hapa duniani, kama ni kweli aliyoongea mdogo wako,kama ni kweli rudi nyuma maana hata kuimba kwako hakutakuwa na maana, asante MUNGU awakumbuke
MUNGU wa mbinguni kama ametenda kwa huyu ,atatenda na kwangu siku moja, Amen
Amen🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Ameni
mungu ulie mfungua huyu mtumishi wako namimi nakuomba unitendee sawasaw na mapenzi yako
Mungu atuone nasisi kwa namna ya tofauti
Ndugu usishawishike Na mambo ya Dini,kwani Ni Taasisi ya Za watu Na Dini sio zetu,Wote wa makanisani hawapo Salama Dini zote Ni Za Shetani.Chunguza Sanaa utapata majibu ndugu yangu
😢😢😢😢😢
Tuangalie na makanisa ya kusali maana inatisha sana Martha funguka jaman
Martha rudi kwa mmeo tushajua mapepo yanakusumbua
Uyo ni mimi kabisa na nimeacha kuhudhuria kanisani nasubiri kanisa sahihi
Kama uko dar fwatilia kanisa linaitwa kanisa takatifu la YESU lipo tegeta kibo uliza roho mtakatifu akikujibu nenda ni kanisa zuri sana linahubiri zaidi namna ya kufika mbinguni
Kama uko Arusha karibu kwenye huduma ya Mbingu Duniani.
Tuko wengi hata mim Bwana anibadilishe jaman
@@estherwilliam5125mbingu dunian tena
@janeGi-zf2kb- Sasa unasubiri wap mamy😮
Dah
😂Amina
Ukweli wajane tunakataliwa sana ,lkn Mungu yupo nasi sisi wajane
Jamani ushuhuda huu umenigusa sana
Nafikiri la Pastor Suguye
Mimi Huyo Joan Nilimswalika Unawezaje Kuzaliwa Na Martha Wakati Wewe Ni Kikongwe si Akaniblock😅
Ushuhuda wa kuvunja moyo😭😭😭😭
Aisee ushuhuda wa nguvu ,,
Ndiyo maana nyimbo nyingi za matha ni za tumetoka mbali japo kumbe bado yuko mbali haswa kutombariki mama dah! Ila saa ya nguvu za giza ni mbaya sana.
Glory be to Yahuah Hallelujah Yeshuah Messiah is my Lord and Saviour Amen.
Don't follow man, follow Jesus Christ, pray for your spirit to be converted, saved, and transformed to the spirit of Christ Jesus.
Jesus is Lord, every knee shall bow, and every tongue shall confess Jesus is Lord. Obedience is key to your deliverance. Walk in Purity, holiness, and righteousness.
May the spirit of divination upon your life be exposed and destroyed in Jesus Christ name. May the Lord direct you to a church filled with the Holy Spirit. May the power of the gospel of Christ Jesus be upon you. May the hand of the enemy be out of bond in your life. Meditate on the word of God day and night in Jesus Christ name and the power of the Holy Spirit Amen
Joshua 1:8
8 Keep this Book of the Law always on your lips; meditate on it day and night, so that you may be careful to do everything written in it. Then you will be prosperous and successful
Amebakia Martha umuingize apo
hili ni like kanisa la marehemu Pastor Mitimingi??
Mitimingi ni Yesu kwako? Apo anatajwa yesu sio mitimingi
@@mrrespiciusmedia4572ungesoma kwanza meseji yake, ameuliza swali
Hili ni kanisa la Yesu na utakatufu sio la mitimingi kipenz, Alafu hakunaga kanisa la mtu, Kanisa ni la Yesu Kristo
@@mrrespiciusmedia4572 naona unajibu kwa paniki sana, hakuna aliesema kuna kanisa la mtu, labda kiswahili ndo hakijaeleweka, ok ngoja niwekee sentence yangu vizuri, je Hili ni kanisa alilokuwa analiongoza marehem Pastor Mitimingi?
NILIJUWA KWA KATUNZI!!.
Vipi kuusu ndoa yako sasa?
Ndo mana nayeye matha amepigwa pigo sikuhizi asikiki kabasa
Me ata sijamuelewa naona kama ananimalizia Mb zangu tu au kwavile namaden
Ameeeeeeeeeeen nimeelewa
😂😂😂
😂😂😂😂😂
Yaani Nina maswali mengiiiii ,Kuna vitu sijaelewa jamani
uliza utajibiwaa
Ukwel mim nina wasi was na sister joan anayejiita ni mtoto wa martha mwaipaja😭😭@@LucyBacresa
@@WiselightOfficialKuna story mbaya behind the scene
@henricamikambi6147 mbaya ya kutomsamhe mama aua dada nawakat unajua umeokoka msamha uliojaa upemdo ndio amri kuu, hata kama walifanya nn mama yake asingemtupa na kuanza kumtambusliaha sijui sister joan et ni mtoto wake
Swali langu pia ni huyo sister Joan na anaringa kama kweli ni mtoto wa Martha Mwaipaja loooh@@WiselightOfficial
Martha Kuna maagano ameingia sio Bure kwasababu hii tabia ya kutomjali mamayake hajaianza jana
Mama ni mama ajifikirie
Na mavazi yake pia.vinguo vi fupi
Siku moja nilicoment kuhusu mavazi yake nilitukanwa😂😂😂😂@@lovek6593
Kwanza unaonekana una kiburi wewe.
Kiburi gani sasa
Sasa ww ndio mpiga KRISTO wa huyo mwanamke anae semwa hapo
@@njelenjetv Weee kaa pembeni bana.usimtishe MTU WA Mungu.agent WA shetani wameaibiswa.Martha atoke huko hii NI aibu sasa.ataambia nn watu
@@ZaituniNyanje yaa ametumwa na huyo mwanamke.aibu iko njee
Daaah Beatrice Mwaipaja Hana kiburi Yani kwanza ana roho nzuri sanaaaa
Wewe dada huna hekima
Huwezi kumdhalilisha dada yako kiasi hicho.Mambo ya shuhuda siyo kuongea kila kitu
Huo ni ujinga
Lwakifupi umezingua sana.yaani umefanya jambo la hovyo.
Yaani wewe dada mjinga kabisa huwezi kumdhalilisha ndugu yako huo ni ujinga,huna washauri? Je umeshindwa kumfuata dada yako mkaongea.
Mtu akikuona atasema una hekima sana kumbe hakuna kitu khaaa
Hio imeenda.ata mm Niko Kenya BT nimependa huu ushuhuda WA kuaibiswa shetani.
Mbona ukweli waumaa sanaa
@@LUCYMOTATIRO-yh6qf nashangaa uyo apo juu katema cheche hataki ukweli usemwe.sijui anamuitaje Martha.bitii amefanya vizuri kusema ukweli umuweke huru
@@lovek6593 yah napenda ushuhuda wake pia nyimbo zake zinatia nguvu🙏🙏🙏
Sema dear ukweli hata kama ni aibu utakuweka huru polee sanà
😢😢😢😢😢