Can't forget this day, found me in a Agan Hospital battling Covid-19. When I watch this funeral procession, the picture of me struggling for breath comes to mind. Rest in peace Magufuli, it isn't only Tanzanians that love you, some of us in Kenya were also your fan. May you continue resting in peace ☮️ Pombe.
Jua letu limeteremka mama. Lo, usiku upite siku mpya lichomoze tena majonzi yageuke kuwa furaha ya kumbu kumbu kwetu daima na maisha yasonge mbele zaidi. 🙏💐💐
Rais wa Tanzania was loved by many. The pictures spreading on social media are evidence of this pure-love for a president. He will live to be forever a legend. His fear for God, his good heart, his good deeds and his development for his country Tanzania🇹🇿 will always be remembered many many years to come. Continue resting in peace His Excellency Mr. John Pombe Magufuli.
Hii ni moja ya nyimbo ambazo Hayati Komando Magufuli aliipenda mno, inaniuma namkumbuka nikiiskia. Oh will allways love you baba mtetezi wa wanyonge mpenda maendeleo. Umeiacha Tanzania yako na sisi wanao, Rest in peace kipenz chetu 🙏
I've just shed tears after watching this. The song is so nice. Go well Magufuli. The connection you had with your people was so strong. May God Receive you in heaven and rest in peace. Tanzania and East Africa will Miss you.
A good heart has stopped beating, a good soul ascended to heaven we part wth our beloved in pain 😭😭rest in internal piece ur was so different, Humble😭😭may Allah judge ur soul with mercy 🙏🙏🙏
Poleni sana wa Tanzanians wa Ndugu zetu, tumewashika migongoni nyote, tumemutakia pziko lema , tunaamini kwamba ataendelea kuwa kielelezo kizuli kwa kila mtu, na msing ambae amewujenga musihalibu. Mungu ako upande wenyo pia ako tyali kuwaponya kidonda cha kifo cake msihogope wa pendwa.
This memory will never get away from my mind, em glad that I was one of the ppl who go ther and giv our last respect to our one and only President,,,we dearly miss him,,we love him until the end of us,, THANK YOU MAGUFURI
Nimekuja tena apa leo mwaka mpya bila wewe ila moyo unauma sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu nisamehe mimi kama kumlilia mtu ni zambi nashindwa kujizuia kwa huyu baba Magufuli 😭😭😭😭
Jamani hata cc waoman tunalia saana .yaani huyu Rais Mashalhaa.ni mfano wa kuigwa.nipo chini ya Tv kumuaga.lkn cwezi uvumilivu ni kilio tu.yaani haijanipita cku mimi bila kumuangalia Huyu Rais.kwakweli alikuwa ni mtu mwema.Mungu amuweke mahala pema.poleni wa Tanzania woote.
God please Comfort Tanzanian people 😭😭😭 I’m Ugandan live in USA but I can’t stop crying this is to much 😭😭😭 I know it can’t happen but I wish God can bring this man back 😭😭Rip the best president in Africa 🙏
I feel so sorry for Tanzania citizens,, they have lost a great hero,,, may Almighty God protect and see them through... It will be a tough road to walk,, but through by the power of God all will be well with them...
Ndio hata mimi nakumbuka ilikuwa ukiimba uwo wimbo anafurah anacheza alikuwa anamwambiaga zuchu auimbe. Mtu akipenda nyimbo akiwa hayupo mtu lazima tu utamkumbuka kama baba aliipendaga wimbo Wa daimond Wa ukimuona ule una maneno Mazur Ata mimi na mtoto wa mama mkubwa tulikuwa tunaipenda alipenda pia nyimbo ya mchimba mashimo ya jenifa mgendi yani paka akawa anamoenda jenifa kwaajil ya ile nyimbo ulisema kanisani jenifa atakuja yupo lazi aje utamsikia na mimi nitaenda. Ata mimi nilikuwa naipendaga paka nilinunuwa mkanda ukapoteaga mama mdogo ananunuwa tena mana aliona nyimbo NZUR jenifa shushu na wengine nyimbo zao zinagusa good laki Martha mwaipaja ant yangu alikuwa anayo Mikanda yake
so sad the leaders wealthy at heart in Africa always leave as soon .i cant hold my tears each time i watch this R.I.P Dr ...you were loved by all of us #kenyanwhoadmired Tzprezzo
Magufuli was people's president, humble, God fearing person, he was the saviour in his nation, I truly don't know if Tanzania, is able to get another leader like Magufuli, Why am saying this, numerous people are after money, they don't love their people, they get bad influence from External, overseas,which can devastate the economy, but Magufuli, was given a deeper understanding and insight on how to manage his people.
Magufuli was so human, and automatically with all these people mourning for him he gets a high rank in heaven, Museveni can you imagine your funeral, Rest in Peace JOHN POMBE MAGUFULI
@@kiri5807 Kuna wanadamu wengine waliletwa hapa Duniani siyo tu kumfuata shetani bali pia pia kumsaidia shetani bila shaka wewe @ Dioanoaye ni mmojawapo. RIP JPM, siku zote utaendelea kubaki kwenye mioyo yetu kwa mengi mazuri uliyotufanyia wa Tanzania.
Kama muislam hakuna ruhusa ya kumuombea asiyekua muislam baada ya kufa haifai ni haram,.Allah anasema kumwambia mtume :sawa sawa umewaombea au huku waombea msamaha Allah hato wasamehe.
Toka juzi nilikuwa siamini ila leo ndo nimeamini Jasiri muongoza njia ametangulia mbele za Haki kwakweli nimelia na sijajua Kama nitanyamaza maana nikikumbuka tu matendo ya Magufuli kwa wananchi wake nabaki nalia tu 😥😥😥😥
Yuko mbele ya mahakama ya juu..mahakama isio angalia mali wala nasaba.. mahakama inayo angalia jema 2.. MUNGU tupe mwisho mwema na usitufishe ila tukiwa waislamu.. amiin
Kwa mara ya kwanza leo chozi limenitoka, dah......Tumepoteza mtu muhimu sana kwenye Taifa letu na Africa kwa ujumla, RIP John Pombe Magufuli, imani yetu na ushindi upo kwa Mama, na mimi binafsi sina wasiwasi nae kabisaaaa, anaweza kutuvusha hapa tuliposimamia kipindi hiki. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Can't forget this day, found me in a Agan Hospital battling Covid-19. When I watch this funeral procession, the picture of me struggling for breath comes to mind. Rest in peace Magufuli, it isn't only Tanzanians that love you, some of us in Kenya were also your fan. May you continue resting in peace ☮️ Pombe.
Jua letu limeteremka mama. Lo, usiku upite siku mpya lichomoze tena majonzi yageuke kuwa furaha ya kumbu kumbu kwetu daima na maisha yasonge mbele zaidi. 🙏💐💐
Rais wa Tanzania was loved by many. The pictures spreading on social media are evidence of this pure-love for a president. He will live to be forever a legend. His fear for God, his good heart, his good deeds and his development for his country Tanzania🇹🇿 will always be remembered many many years to come. Continue resting in peace His Excellency Mr. John Pombe Magufuli.
We loved him so much
Your heart is beautiful like the way you look, thank you for ur kindness and love,
What a loving soul
@@mrinjamwanga1423 Renee
Like Kenya raila the way we Kenyans loves him
And am here today again😭and still can't hold back my tears😭😭😭😭continue resting LEGEND,,YOU ARE INDEED MISSED🙏
😢
😭😭
Baba yetu hatutakuja kukusahau maisha yetu yote umetuliza Sana atakayetufuta machozi yetu ni Mungu mwenyewe
From Kenya kifo chake kimeniguza sana RIP balii nitakukbuka Sana
Hii nyimbo inafuraisha na leo tunaikumbuka kwa huzuni 😭😭😭akuna namna kwakwel Mungu mpokee baba etu
Nakukumbuka sana Legend Magufuli Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi na akuangazie mwanga wa Milele huko uliko.2024 hii comment.
Wow! Freedom Song. Njia bora zaidi ya kumuaga jasiri wa Afrika! #RIPMagufuli thank you Tanzania!
Tutamkumbuka sana jembe la chato
Pole ndugu zetu Wa Tanzania mungu awape nguvu wakati huu wa huzuni.grt lov from kenya
Hii ni moja ya nyimbo ambazo Hayati Komando Magufuli aliipenda mno, inaniuma namkumbuka nikiiskia. Oh will allways love you baba mtetezi wa wanyonge mpenda maendeleo. Umeiacha Tanzania yako na sisi wanao, Rest in peace kipenz chetu 🙏
Nenda babaaa 😭😭😭😭🙏🙏🙏 umeumaliza mwendooo salamaaa watanzaniaaaa tunaliaaaaa 😭😭😭🙏🙏🙏 punzikaaa kwa amaniii jemedali wetu
I've just shed tears after watching this. The song is so nice. Go well Magufuli. The connection you had with your people was so strong. May God Receive you in heaven and rest in peace. Tanzania and East Africa will Miss you.
What a great president de son and hero of Africa love you from Kenye we gonna miss you 😭😭😭
Ygyy6yy
Y
Yy6yyyyy
6yyyy
Jua limeteremka daah..! 😭😭😭 Maisha ya mwanadamu ni fumbo 🇰🇪🇰🇪
Proud of your leadership style you're a role model. Rest in peace Dr Magufuli
Ndo Hivyo ndg
What a wonderful send-off, this was indeed a great Leader and a Man of the People. Rest in Peace Mr. President.....Condolences from Kenya.
A good heart has stopped beating, a good soul ascended to heaven we part wth our beloved in pain 😭😭rest in internal piece ur was so different, Humble😭😭may Allah judge ur soul with mercy 🙏🙏🙏
Najua tu, Rais wetu wamemuua, Ila sawa tu, pumzika kwa Amani Baba, your still my president in ❤️ forever & ever. Love you Sana Magufuli.
kai asante baba yetu Magufuri kwakutuachia mama
so proud mwana mtanzania
Respect zuchu I was cry a lot bt 4 ur song !!
Mbele Yake nyuma yetu MW/MUNGU amlaze mahali pema peponi 🙏😭🇹🇿💔
Sijawah kumwaga choz kwa mtu ambaye sio ndugu yang,ila Magu ameniliza wallah
Mimi pia mpaka mwili umeniisha nguvu
We acha ndugu 😭😭😭
Amin
wala usiseme ndugu mm adi kichwa kinaniuma
Tumelia wengi sana hakika
Hongera jwtz kwa kutoruhusu geneza la rais wetu isiguswe na police hapo nomewakibali wanchi na jeshi lao la wananchi
Poleni sana wa Tanzanians wa Ndugu zetu, tumewashika migongoni nyote, tumemutakia pziko lema , tunaamini kwamba ataendelea kuwa kielelezo kizuli kwa kila mtu, na msing ambae amewujenga musihalibu. Mungu ako upande wenyo pia ako tyali kuwaponya kidonda cha kifo cake msihogope wa pendwa.
Im Kenya but loved ur leadrshp n devlpmnt,n zuchu congs,may his soul RIP
😭😭😭😭 miss You my Daddy 24/12/2021 kesho ningekuona kwenye Hbr yaani.
R.I.P DADDY.😭😭😭
Yani hatutapataga laisi Kama huyuu watanzania wenzanguu
This memory will never get away from my mind, em glad that I was one of the ppl who go ther and giv our last respect to our one and only President,,,we dearly miss him,,we love him until the end of us,, THANK YOU MAGUFURI
Nimekuja tena apa leo mwaka mpya bila wewe ila moyo unauma sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu nisamehe mimi kama kumlilia mtu ni zambi nashindwa kujizuia kwa huyu baba Magufuli 😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭
Kabisa yaani 😭😭😭 naangalia 2023/10/10
Jipen faraja aendako apokelewe kama mlivo mpenda Amin insha'Allah
Kwani wewe ulikuwa hajampenda?
Wimbo naukubali sana had sio pw I love you Zuchu 😀👍👍👍💓❤❤❤
Legend never die but live forever ❤
Nimekuja hapa kutazama leo19.3.2022 pumzika kwa amani dady naumia mpaka leo daa
*THANK YOU ZUCHU FOR THIS SONG IT WIPED OUT OUR TEARS* 😭💔🙏
Duuu Pumzika John Pumzika John Pumzika John,Amina I'm watching 19.03.2022
Baba Magufuli forever in our hearts ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇹🇿we will continue to love you even though you are not here with us.
Jamani hata cc waoman tunalia saana .yaani huyu Rais Mashalhaa.ni mfano wa kuigwa.nipo chini ya Tv kumuaga.lkn cwezi uvumilivu ni kilio tu.yaani haijanipita cku mimi bila kumuangalia Huyu Rais.kwakweli alikuwa ni mtu mwema.Mungu amuweke mahala pema.poleni wa Tanzania woote.
Acha tu ndugu yangu sijui km atatokea km hyu jmn
Inauma sana
Yani nime lia munooo
Rest easy Rais John Pombe Magufuli we as Kenyan politicians we will remember you
God please Comfort Tanzanian people 😭😭😭 I’m Ugandan live in USA but I can’t stop crying this is to much 😭😭😭 I know it can’t happen but I wish God can bring this man back 😭😭Rip the best president in Africa 🙏
I cried for six straight days!!! I called sick...
Wakwanza ku comment from 🇿🇦🇨🇩🇿🇦
Kesho limetulia Sana Ila zuchu anatukumbusha tusilie tupambane as magu
Nitakukumbuka daima anko magufuli watanzania tulokupenda sana na tutaendelea kukupenda na kukuenzi R.I.P jpm😍
Hadi kamanda mwanajeshi kalia sio mchezo daaah so sad watanzania tupendane ameacha alama kubwa sana tumuenzi kwa utendaji mzur wa kazi
Baba ulale salama na utuombee kwa Mwenyezi Mungu 😭😭😭😭😭
Nakupenda Tanzania 🇹🇿 ♥
I feel so sorry for Tanzania citizens,, they have lost a great hero,,, may Almighty God protect and see them through... It will be a tough road to walk,, but through by the power of God all will be well with them...
Real This song restores the happiness among us. RIP Nghosha
....baba mungu sisi binadamu siku zote ni wakosefu,tusamehe baba yetu..!!
Tunashukulu mungu
Huu wimbo umefanya nimwage machozi nikikumbuka Magufuli hatutawahi muona tena duniani. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Mungu ndo anajua uchungu walionao wananchi🤔 Sasa hivi ni mwendo wa😷
...😭😭😭...
kidogo ata nacheza leo thenx zuchu 😭😭😥👏👏👏🕊️
mhhhh kujipa faraja tu ila dah ni mtihan
😭😭😭😭😭💔💔💔💔
Ndio hata mimi nakumbuka ilikuwa ukiimba uwo wimbo anafurah anacheza alikuwa anamwambiaga zuchu auimbe. Mtu akipenda nyimbo akiwa hayupo mtu lazima tu utamkumbuka kama baba aliipendaga wimbo Wa daimond Wa ukimuona ule una maneno Mazur Ata mimi na mtoto wa mama mkubwa tulikuwa tunaipenda alipenda pia nyimbo ya mchimba mashimo ya jenifa mgendi yani paka akawa anamoenda jenifa kwaajil ya ile nyimbo ulisema kanisani jenifa atakuja yupo lazi aje utamsikia na mimi nitaenda. Ata mimi nilikuwa naipendaga paka nilinunuwa mkanda ukapoteaga mama mdogo ananunuwa tena mana aliona nyimbo NZUR jenifa shushu na wengine nyimbo zao zinagusa good laki Martha mwaipaja ant yangu alikuwa anayo Mikanda yake
Zuchu asante kwa kufuta machozi ya Watanzania
Kiukweli imewafariji Mungu aibariki sauti yako zuchu atleast umewavuta machozi
😭😭😭
😭😭😭
Rais Magufuli hai siku sote kwenye mioyo yetu wa Tz
Zuchu uzidi kubarikiwa na sauti🙏🙏
Miez 4 😭😭😭😭😭sasa
WE HAVE LOST THE LEGEND........ BUT GOD ALWAYS KNOWS BETTER
so sad the leaders wealthy at heart in Africa always leave as soon .i cant hold my tears each time i watch this R.I.P Dr ...you were loved by all of us #kenyanwhoadmired Tzprezzo
Magufuli was people's president, humble, God fearing person, he was the saviour in his nation, I truly don't know if Tanzania, is able to get another leader like Magufuli,
Why am saying this, numerous people are after money, they don't love their people, they get bad influence from External, overseas,which can devastate the economy, but Magufuli, was given a deeper understanding and insight on how to manage his people.
Poleni sana sana Tanzania
Duuuuuh aisee yahni dunia hii kuna watu wamegusa mioyo ya watu kwa asilimia moja
Still crying ooh my GID such a good man continue resting in peace
Sending love to beautiful mighty Tanzania ❤️ stay strong, I know you are
Nenda salama baba yetu mtetez wetu tutakuenz daima
I miss you baba mungu akupunguzie adhabu ya kabur baba
Safiri salama magufuli the most loved leader by many in East Africa and at large
Magufuli was so human, and automatically with all these people mourning for him he gets a high rank in heaven, Museveni can you imagine your funeral, Rest in Peace JOHN POMBE MAGUFULI
Did you just have to tag along Museveni???
🤣🤣🤣museveni
🤣🤣🤣🤣 u have made my day .
By the way he didn't attend the service in Dodoma. Where was he coz I have not heard from him.
Tanzania ya sasa mama, ya Magufuli mama, inawaka waka mama. Kweli nchi imependeza, viva my beloved president, utaishi milele mioyoni mwa watanzania
Best president in Africa who care his citizens, Gaddafi, magufuli
My friend the best president of Africa 😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪
One year now without you. Be blessed Dad
Two years since you left us, continue resting in Peace Daddy.
Halima Amos ,mungu ampe rehema kazi yke amemaliza magufuli tangulia
Keep resting in power Mr president
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nenda baba daa jamani MUNGU muangazie mwanga wa kaburi muondoshee adhabu za kaburi muweke mahali panapostahiki 😭😭😭😭😭😭😭😭
Haki Baba aliupenda sana huu wimbo mwenyewe kati ya nyimbo za zuchu huu ndo naupenda kliko zote jmnj
Aliimba kwa hisia sana na sauti ya dhahabu so POWERFUL 😭😭😭♥️
aliupenda kwa sababu dictator alipenda kusifiwa .
@@kiri5807 Asante kwa kuropoka na kuonyesha ... wako
@@huntertm1514 alienda huu na ule wa harmo rmx ya ngwangwaru
@@kiri5807 Kuna wanadamu wengine waliletwa hapa Duniani siyo tu kumfuata shetani bali pia pia kumsaidia shetani bila shaka wewe @ Dioanoaye ni mmojawapo. RIP JPM, siku zote utaendelea kubaki kwenye mioyo yetu kwa mengi mazuri uliyotufanyia wa Tanzania.
Imagine huu wimbo mara ya mwisho ulivyopigwauwanjani nayeye alikuwa anaucheza😌#TanzaniayaMagufuli😌
Hatari sana yani💔😢
9jjnn
Kjunnnnnjjiii85
Kifo jaman ni wimbo ambao aliupenda sana maskin dah😭😭😭
Daah 😭😭mioyo yaumia lakini kikubwa ni kuzidi kumoembea zaidi makazi mema kama aliko acha.. Gonga like twende pamoja
Kama muislam hakuna ruhusa ya kumuombea asiyekua muislam baada ya kufa haifai ni haram,.Allah anasema kumwambia mtume :sawa sawa umewaombea au huku waombea msamaha Allah hato wasamehe.
Yes
@@junaidybwanamkuu3175 ❤️🇹🇿🤲🙏
shukran kwa kutukumbusha
Condolences to my neighbors Tanzania 🇹🇿
🇹🇿🙏
Kwa haya yanayofanyika hakika wewe uliuwawa kwa masilahi ya mafisadi,na watanzania wanyonge
The world really lost Magufuli Allah rest his soul in internal peace Ameen
Dah hadi askari wanalia hki ni maumivu mkli hasa tukikumbuka aliyoyafanya Baba yetu.Mungu akupokee mbinguni Kipenzi chetu
Yani we acha tu
🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭😭💔💔💔💔aki zuchu wetuu na ville baba Magu alikuita kwa jukuaa...😭😭😭
Jamani Tanzania yetu 😘
Mmmh...🤔 Un4gotable bitter moment😭 Glory to You Lord God🙏
Your The One
Inauma sana jamani
Happy new year 2022 bila JPM
Mungu akupe Raha ya milele kwaheri Baba yetu
Toka juzi nilikuwa siamini ila leo ndo nimeamini Jasiri muongoza njia ametangulia mbele za Haki kwakweli nimelia na sijajua Kama nitanyamaza maana nikikumbuka tu matendo ya Magufuli kwa wananchi wake nabaki nalia tu 😥😥😥😥
Haupo mwenyewe kaka. Pole sana... Hata mimi nimelia sana
Tunalia wengi mm ni mwaka sasa na miez Bado nalia tu, 😭😭😭😭😭😭
Yuko mbele ya mahakama ya juu..mahakama isio angalia mali wala nasaba.. mahakama inayo angalia jema 2.. MUNGU tupe mwisho mwema na usitufishe ila tukiwa waislamu.. amiin
Daaaa! Huu wimbo uliupenda Magufuli jamn lkn leo hii auuchezi tena daaaa!
Poleni sana watanzania hakuna wa kulizimba pengo
Pumzika kwa AMANI shujaa Wetu 😭😭😭😭
Nimekuja leo kwenye kumbukumbu ya mwaka mmoja mungu akurehemu Magufuli
Unaweza kuona mtu anacheza kwa furaha kumbe ni nguvu ya maumivu moyon da😭😭😭
Wanajifariji Bila hivo dah tutapoteza wengi baba Maghufuli amejua kutuliza wananchi wake pumzika baba.
Hakika machozi tupu
@@zuhurambonde1982 kwel kbs
J
Inakubidi ujipe faraja t cz ukikaa na maumivu sn unaxidi jipa showck hunabudi kuwa hvyo
Barikiw san zuchu na mung akup maish maref dad
Nenda salama baba yetu kipenzi! Malaika wa mungu wakupokee !!
Yasni unaeza kuona km watu wanafurahi kumbe ni nguvu ya maumivu moyoni ,😭😭😭 ni uchungu sana jmni wimbo unafariji jmni japo uchungu sna dah
Kwa mara ya kwanza leo chozi limenitoka, dah......Tumepoteza mtu muhimu sana kwenye Taifa letu na Africa kwa ujumla, RIP John Pombe Magufuli, imani yetu na ushindi upo kwa Mama, na mimi binafsi sina wasiwasi nae kabisaaaa, anaweza kutuvusha hapa tuliposimamia kipindi hiki. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Da haina jins
African hero one, we will remember your legacy. Rest in Paradise. Sir
....mungu tunakushukuru kwa kila jambo...mpumzishe kwa amani jpm
My heartfelt condolence to all Tanzanian s from kenya
Dah nimekukumbuka Rais wetu Magufuli ....😥😥