mauaji yake yalirabiitiwa na kupangwa na nchi ya france .historia ya sankara haitofauni na comrade patrice emery lumumba wa congo kwani nae aliuwawa na watesaji na wakoloni mambo leo EU,USA ,Lumumba aliuliwa na majeenti waCIA na juzi kati serikali ya belgium imekili na kuiomba radhi ikulu ya kinshansa kwa kuhusika na mauaji ya lumumba.
Kama mzalendo wa bara la Afrika Gonga like hapa......."You can not cary fundamental change if u don't have a certain a mount of madness" (huwezi fanya mabadiliko makubwa kama huna ukiachaa).
Mungu endelea kuitunza roho ya hayati Thomas Sankara mahali salama milele amina,Mhadhiri wangu Denis na Msimulizi unayesimulia hongereni sana Mungu awaongezee ujuzi zaidi ili tuzijue historia za viongozi shujaa
Dennis lugha yako ni yakuridhisha kweli kiswahili sanifu,napenda unavyo suka na kusukika nakara zako,,, your the best ever had history narrator in Swahili language
Aluta continua!!! Shujaaaa Sankara Kiongozi Hero4Life. Mtangazaji Asante Historia ya Sankara Imenitia Nguvu Sana Natamani Africa ipate Kiongozi kama Sankara Live Long Burkina Faso.
JPM ana maaono kama ya Tomas nimefatilia historia hii sijaona utofauti kati ya viongoz hawa wawili! Ila kuna mijitu haitaweza kuona kwa sasa mpaka historia ya Mzee magu ianzwe andikwa na kusimuliwa namna hii!!
Napenda sana kusomaga historia ya sankara,alikuwa ni shujaa na hatotokea tena kama huyu,rip shujaa Sankara,hongera mtangazaji unasauti inayosikika vizuriii,natamani kuendelea kukusikiliza
President Thomas Sankara was a focused, visionary and charasmatic leader.with his cleanliness campaign and health care am certain he would have led war against Covid-19 in Africa...lost a characteristic leader. 👌editor ! from ... Kenya
Walio pamoja na mimi baada ya kifo cha sankara mwaka 1987 kwaka huo huo akazaliwa ibrahim traore rais wa sasa kutoka bukina faso ambae amefuata nyao za tomasi sankara gonga like hapa
Naukumbuka ule wimbo Balisidya wenye maneno yanayosema" ni mashaka ya hangaiko wema hawana maisha" Sankara ameacha athari iliyotukuka Afrika na dunia kote ama hakika wema hauozi.. Mungu amrehemu RIP shujaa Sankara
Umeongea point bro tangu uhuru tunakopa mpaka leo tunakopeshwa tujiulize ,mabadiliko muhimu kwa viongozi wetu wa kiafrika ushauri tuu kwa sababu afrika tulishatawaliwa...
mauaji yake yalirabiitiwa na kupangwa na nchi ya france .historia ya sankara haitofauni na comrade patrice emery lumumba wa congo kwani nae aliuwawa na watesaji na wakoloni mambo leo EU,USA ,Lumumba aliuliwa na majeenti waCIA na juzi kati serikali ya belgium imekili na kuiomba radhi ikulu ya kinshansa kwa kuhusika na mauaji ya lumumba.
Seleman Denja daaah hata wakiomba msamaha ni too late😢😢😢😢
Seleman Denja
aisee unanikosha sana kaka Edgar
Tulete story ya kabila Ethiopia inayowa fanya watoto kuolewa na 7 years
Yaani wanaua mtu wa muhim alafu wanakuja kuomba msamaha adi uchungu
Kama mzalendo wa bara la Afrika Gonga like hapa......."You can not cary fundamental change if u don't have a certain a mount of madness" (huwezi fanya mabadiliko makubwa kama huna ukiachaa).
Like it
Afilika, viongozi mwamba,, mm nitajivunia kuwa muafrica,, never change origin home,
R.i.p Thomas Sankara "the face of Africa"!!!!!❤ from 🇹🇿
Mungu endelea kuitunza roho ya hayati Thomas Sankara mahali salama milele amina,Mhadhiri wangu Denis na Msimulizi unayesimulia hongereni sana Mungu awaongezee ujuzi zaidi ili tuzijue historia za viongozi shujaa
Love from KENYA thanks president Sankara
Best president in the world!!!!!
We need these leaders in Africa. Well done Sankara.
Am telling u
@@brysonuronu5862 Kofi ulumide
KAMANDA HAKIKA KIPAJI UNACHO!!!
HONGERA SANA.
RIP THOMAS SANKARA.
Man U know I can listen to you 24/7 bila without getting tired we need more histories from you
Huyu jamaa ako sawa.
Ahsante broo! Kwa historia yenye mafundisho kwa vizazi endelevu
Kifo cha Rais Magufuli kimenifanya nirudie kutazama hii may your souls rest in Paradise our Champ 🙏
Sankara na magufuli all gone,best African leaders don't live long,, may their souls continue to rest in peace 🙏🙏
Kabisa inaumiza sana. Waafrika MUNGU anatuona!
Kiriniuma kweri...
I Love Thomas Sankara....from Kenya
Hiyo Pande Ya Wabunge Wa Kenya Hujakosea Kabisa. Na Bado Hawatosheki, Wanaiba Kila Siku. Walafi Sana.
Hapo pa Kenya umegonga ndipo ndo maana mie na familia Yangu nlihamia hapa Tz
Dennis lugha yako ni yakuridhisha kweli kiswahili sanifu,napenda unavyo suka na kusukika nakara zako,,, your the best ever had history narrator in Swahili language
Thank you T. Sankara. God bless you. Your light will always SHINE!
Ahsante sana kwa kutuletea historia ya huyu shujaa. Mwenyezi mungu amuweke pahala pema amin
Mekupenda bureee kpnz changu Thomas Sankara hakika haiwezi rejea Tena hakika hata Mungu anakuona ulipo pumzika kwa amani kpnz Cha wengi
Natamani kulia bhana
Kizuri Daima hakidum Dunian. Inna lillah Wainnalillah.Rajiun. Allah mpumzishe kwaaman Shujaa wako Amiin.
Aluta continua!!!
Shujaaaa Sankara Kiongozi Hero4Life. Mtangazaji Asante Historia ya Sankara Imenitia Nguvu Sana Natamani Africa ipate Kiongozi kama Sankara Live Long Burkina Faso.
Thomas Noel Isidore Sankara,Julius Nyerere,Kwame Nkrumah,Malcolm X,Nelson Mandela,Patrice Lumumba,Martin Luther King,your spirit never dies
Maghufuli JP
Ongezea John Pombe Magufuli
Ongezea na John Joseph Pombe Magufuli
Aisee huyu mtangazaji ana sauti nzuri sana nimeipenda...let late comrade sankara rest safely in peace
Rest in p .shujaa
Hakika ww mtangazaji uko vizur xana Kwa kazi yako hakika mungu akupe maisha malefu AMENI
Kaka tuletee na historia ya Steve biko
Uko vizuri mzee hongera sana
Tin Tz eti magufuri nae anafata nyayo zake thomas
Steve biko alikuwa hero sana na ndiye alianzsha msemo wa black is beautiful
JPM ana maaono kama ya Tomas nimefatilia historia hii sijaona utofauti kati ya viongoz hawa wawili! Ila kuna mijitu haitaweza kuona kwa sasa mpaka historia ya Mzee magu ianzwe andikwa na kusimuliwa namna hii!!
Aliongoza kwa mfano...R.I.P Thomas Sankara
Haichokeshi maskioni, uyu alitumwa na Mungu, may he rest in peace then, now n forever..
I'm supporting u 100 percent
Na Mungu akushindizie hekima na saidi hakulinde kwa mafundizo ya dhati.
Napenda sana kusomaga historia ya sankara,alikuwa ni shujaa na hatotokea tena kama huyu,rip shujaa Sankara,hongera mtangazaji unasauti inayosikika vizuriii,natamani kuendelea kukusikiliza
Unaupata wapi unabii huo kama hatatokea mwingine?
Kapatikana mrithi wake Ibrahim Traore
Rip my heros Thomas Sankara love from BURUNDI
Jamaa unajuw sema BIG UP
President Thomas Sankara was a focused, visionary and charasmatic leader.with his cleanliness campaign and health care am certain he would have led war against Covid-19 in Africa...lost a characteristic leader. 👌editor ! from ... Kenya
Daima nitapenda zaidi misimamo ya huyu shuja.R.I.P Thomas Sankara
Magufuli afate nyayo hizo
A leader that was God fearing. God blessed that leader n the country. He was god's chosen n anointed. R. I. P my bro.
Nimempa na roho yangu yote, Mwenyezi Mungu ailinde roho.
Mtangazaji upo vizuri sana
Mimi nimependa kijana mwenzangu uliyatoa maisha yako kwa ajili ya ichi yako safi Tomas sakara
Africa ni viongozi wachache sana wenye uzalendo na nchizao
Mungu ampunguzie azabu ya kaburi ni shujaa mwenye wazifa
Huyu jamaa alikuwa kiongz Bora sana
Ahsante Kwa taarifa nzuri
Walio pamoja na mimi baada ya kifo cha sankara mwaka 1987 kwaka huo huo akazaliwa ibrahim traore rais wa sasa kutoka bukina faso ambae amefuata nyao za tomasi sankara gonga like hapa
ukweli kabisa Kenyan Mps are earning alot
Alikuwa mzuri kweli Huyo sankara
Unayo sauti nzuri bro. Natumai we mtangazaji bora ehh🤗👍🏽
Enyewe
Mungu akulaze mahala pema peponi magufuri wa bukinafaso thomas sankara
Ni kweli kwa hilo la Wabunge wa Kenya.
He who feeds you,controls you,R.I.P President Thomas Sankara,we will miss you forever bro.
Mungu tujalie tupate Sankara wengine wengi✅💪💪💪💪💪🏦🌍🥺🥺🥺🥺🥺👀👀👀👀🤷🤷🤷🤷🤷🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪💪👀👁️👁️👁️👁️👁️👋👋👋👋👋
Wow naipenda sana hii story ya Thomas kwani wa president wasasa wanasomea wapi mbona hawana hakiri kama zawa president wazamani
Nipo New York Syracuse
Allah ambashilie pepo in shaa Allah 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 ni kiongoz wa pekee nais kifo chak kiliuzunish dunia nzm..
R.i.p rais Thomas sankara
Globol TV mubarikiwe zaidi ya wote, kwa historian yenyu nzuri sana
Nimekuelewa mtangazajiii documentary yako imecmama safi sanaa
Huyu jamaa hana tofauti na JPM 🇹🇿 aiseee
Bro uko vizuri sana kwenye kutangaza👏👏
Sankara is unforgettable president
""You can not carryout a fundamental changes without a certain amount of madness """ good idear
Watu wazuri wanachukiwa wabaya wanapendwa R.I.P Thomas Sankara
sir denis hongera yako,napenda sana story hizi
A Edgar unajua bro daa,"TUSOMAGE BIBLE HATA KMA HATUTAKI KWENDA MBINGUNI"....
Thomas Sankara was the best presidents in Africa Continent
R.I.P President Thomas Sankara We will remember you so much in Africa and wordwide as well
Alikua vizur sana
Mmmh alikuwa vizuri sana
THOMAS SANKARA best president burkina faso has ever had / rather africa at large
Unajua kusimlia big up broo
Naukumbuka ule wimbo Balisidya wenye maneno yanayosema" ni mashaka ya hangaiko wema hawana maisha" Sankara ameacha athari iliyotukuka Afrika na dunia kote ama hakika wema hauozi.. Mungu amrehemu RIP shujaa Sankara
Duh huyo alikuwa nomaaaa tunaye Sankara wetu Leo tz
Kwel mwenye upendo wa kwel awadumu ktk maisha Rest in peace Tomas Sankara
Mtu mwema hadumu anauliwa tambua Hilo ndugu
My all time hero! Rest in peace ✌ my African hero.
Tom Sankara gonga like
The great one never happen again!
Mungu akulaze mahal pema pepon
Ni kweli hapa Kenya wabunge wanavuma mamilioni +254
Kweli bro Kenya lawama a rich country with corrupt leaders... Ooh God grant us ease...Sankara a humble leader ...
Huyu ni rais in nature
Daaah naenjoi sana
Huyu mtangazaji mmempat cjui nimfananishe na nani anajua sana
kasalamba juma Sankara mungu wetu akurehem Ameni.
So touching!
Napenda sana
Ndo tatizo watu wema uwa awakawihi duniani 😭😭😭
Awakawihi😀😀😀
Hii ni kwasababu wanamaadui wengi sana
jaman msimuliaji anasisimua mpaka hutaman story iishe big up bro
Kweli vizuri havidumu pumzika kwa amani
Mzalendo na Mwana Mapinduzi, alitawala miaka minne tu, akauliwa! Halafu kibaraka wa Mabeberu aliyemuua, akaongoza miaka 27. Very sad history😭😭😭😭
Nimeipenda sana
😭😭😭😭r.i.p sankala mungu akupumzishe kwa amani
Mamb
Sure b
sio sankala ni sankara
Napenda hizi taarifa za wakuu wa ulimwengu
Tes le meilleur president
Unaongea vzri maa shaa Allah......
Kizuri hakidumu kweli
Yamenitoka machozi Mungu mlaze mahali pema peponi Amin
Kwastor Upo sawa
A man of the people
More History 😘😘😘😘🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Always Champion remain Champion 🏆 R .I P THOMAS SANKARA
Icon of Africa,, pumzika kwa AMANI,*
Umeongea point bro tangu uhuru tunakopa mpaka leo tunakopeshwa tujiulize ,mabadiliko muhimu kwa viongozi wetu wa kiafrika ushauri tuu kwa sababu afrika tulishatawaliwa...
Hata juzi May 2020...Tumekopa aise
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
Asante sana tunaomba na ya nyerere
Hii story ya Thomas sankara naipenda sana
We love you sankara
Abarikiwe sana huyu jamaa
Inauma sana