Makonda afunguka kulia Kanisani "Mimi ningekuwa nimekufa | Hakuna Urais pale"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лис 2018

КОМЕНТАРІ • 412

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 5 років тому +55

    mkuu mimi sio mkristo lakini nimekuelewa pili jambo unalo pigania nikubwa sana pili unavita kubwa lazima umlilie mungu wala usijali wanavyo kudisi

    • @pretinesspastory9782
      @pretinesspastory9782 5 років тому

      Zumbe Shauri kanywe kret ya soda umalize yote bill itumwe kwangu!! watu kama nyie nawapenda sana!! Mungu akutunze mwaya ningeongea mengi juu yako ila nakuombea Allah akutunze!!

    • @mirajikinuke6636
      @mirajikinuke6636 5 років тому

      Makonda pambana mpaka mwisho wako...Maana hii ni safari ndefu sana tena mapambano makubwa sana .....M/mungu akulinde na akusimamie katika jambo hili la kuzuia Ushoga

    • @zamzamhamisi7332
      @zamzamhamisi7332 5 років тому

      Umeonae mkuu yuko sahihi kabisa

    • @stevenboy1239
      @stevenboy1239 5 років тому

      Mungu akubariki sana ningekua karibu nawe ningekuunga bando la mwezi

  • @ladybilionaire379
    @ladybilionaire379 5 років тому +41

    Umeongea ukweli mno na kulia ni ishara ya kujishusha saana mbele za Mungu.

  • @gloriaanaclet6860
    @gloriaanaclet6860 5 років тому +27

    kwa walio wa rohoni watakuelewa vizuri Mheshimiwa.....mbele ya Mumgu aliye amiri jeshi mkuu hakuna kujikaza kiume.... na kama ulivyosema baada ya ibada huwezi elezea kilitokea nini

    • @yohanamnyeti7222
      @yohanamnyeti7222 5 років тому

      Hassan!! Pole sana nilifikiri unaweza kuwa mtu. Mwenye busaraha na hekima katika hili, yaani unaanza kuleta na maeno ya dini ya kweli au unataka nikukumbushe kuwa we we ndio umepotea?
      Hebu soma vizuri quarn yako mtume wako Mohammed anaulizwa juu ya hatima yake na wafuasi wake anasema yeye hajui mwisho wake ni nini na Hata wamafuata hajui anakowapeleka na akatoa ushauri kuwa juu ya hilo waulizeni wenye vitabu yaani( Wakristo).
      Pili Allah unayemuita mungu wako kwenye huyo quaran anasema "naapa kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi" kumaanisha kuwa yeye si mungu muumbaji, jitambue uache kukashfu imani za wenzako tunaijua zaidi imani uliyo nayo. Mungu tunaye muabudu wakristo yeyw mwenyewe anasema " naapa kwa nafsi yangu" ikijitambulisha kuwa yeye ndie.
      Juu ya utume wa Mohammad na Yesu Kristo, Yesu Kristo alitumwa na Mungu toka mbinguni na kisha baada ya huduma yake ya miaka 3 na nusu akafa akazikwa na siku ya tatu akafufuka na akapaa mbinguni alikotokea mpaka yu hai .
      Mohammad wako wewe alizaliwa akajiita mtume akaoa na akawakiri kutokujua mwisho wenu akafa na akazikwa hadi leo yumo.kaburi.
      Nikushauri tu Mr. Hassani ulitakaiwa utoe maoni yako tu pasipo kujihesabia haki kwenye imani yako ambayo inakuambia pepo yenu mtakuta kila mmoja ameandaliwa wanawake wa kutosha, hiyo pepo yenu ni ya uzinzi kwa hiyo Hata sasa mnafanya maandalizi juu ya kuingia kwenye hiyo pepo. Wakristo Yesu alituweka wazi kanisa akasema mbinguni hakuma kula, kuoa, wala kuolewa maana wote tutabadilishwa na kuvaa mwili wa utukufu.
      Jitahidi sana Mr. Hassani kuwa mtaraabu juu ya imani za watu wengine. Na Mungu akusaidie

    • @agnesjames8995
      @agnesjames8995 5 років тому

      Ni kweli amkimbiliaye na kumtumainia mungu hata aibika mngu atakupiginia ktk kazi yako

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 5 років тому +12

    Kusema kweli, zamani nlikuwa simkubali kabisa huyu mtu.ila nimemfuatilia sana nilichogundua ni kwamba huyu kaka amekulia kwenye mazingira ya maumivu ktk maisha yake.ni kama mtu ambae alinyanyasika sana.kwa hiyo amepata nafasi kubwa serikalini anatamani kuwasaidia wale wote ambao anahisi kwa sasa na wao wanapitia maisha ya kuumia kama aliyopitia yeye.anajisikia uchungu.lakini mijitu haimuelewi.

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 років тому +31

    MKUU MUNGU HATOKUACHA NA MUNGU NDO KILA KITU KWAKO

  • @andrewkayanda9887
    @andrewkayanda9887 5 років тому +15

    Nimekuelewa sana Mkuu wa mkoa. Mungu akubariki sana ktk malengo yako

  • @selemanimwendilemo9335
    @selemanimwendilemo9335 5 років тому +12

    Mimi nahisi watu wanakuonea gere,suala la kulia kanisani halina ukuu wowote Mungu akusimamie kwenye kazi zako kama ni mapungufu wanadamu wote tunayo lkn kwa hili lakwako basi watafute lingine

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 5 років тому +6

    Nakuelewa sana...... Kikubwa Mungu akupiganie brother. Sisi tulio wa Rohoni tunakuelewa.

  • @nathanmateow9455
    @nathanmateow9455 5 років тому +40

    Kwa jinsi jambo la mashoga lilivyokubwa na baya mi nilitegemea alie Hata saa Moja, nyie kalia kidogo tu mnashangaa, mi namlaumu alilia kidogo

    • @jasminmussa2857
      @jasminmussa2857 5 років тому +1

      We msenge

    • @zamzamhamisi7332
      @zamzamhamisi7332 5 років тому +2

      Wallai binadam wanatabu sana kulia ni kitu muhimu sana

    • @dawillygene
      @dawillygene 5 років тому +1

      Kila siku nami nalia kwa ajili ya mambo ya ajabu yanayoendela, anachokifanya ana thawabu kubwa maana ubinadamu sasa hivi umepungua watu wamebaki kama wanyama. ni nani mwenye ujasiri wa kukemea hayo???/ kila mtu ana sehemu anaudhaifu wake.

  • @ubuyutv2577
    @ubuyutv2577 5 років тому +13

    Mungu akubaliki sana mkuu wa mkoa

  • @gloryassey3962
    @gloryassey3962 5 років тому +15

    May Holly Spirit keep guiding u Sir

  • @jonasmwita1837
    @jonasmwita1837 5 років тому +2

    Ubarikiwe sana Mh mkuu wa Mkoa na Hongera kwa kutambua kwamba sehem pekee ya suruhisho na matatizo yako ni Mungu. Hata Musa aliomba toba kwa niaba ya wana Israel na Mungu akawasamehe. Kutoka 14:1_

  • @allyjuma6136
    @allyjuma6136 5 років тому +24

    inaonekana ameona mashoga walivyo wengi dar. Yeye kama binaadam na mzazi pia anaumia sana

  • @noahmadal753
    @noahmadal753 5 років тому +20

    Kaka Paul nimekuelewa umevunja gospel ya maana sn lazima majibu mazuri yaonekane

    • @manganamanganamanganamanga7313
      @manganamanganamanganamanga7313 5 років тому

      ww mtangazaji hauna vya kuuliza,muache mkuu apige kazi kulia kanisani ni njema

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 років тому

      Safi sana makonda Julia kanisani kipindi cha maombi una uwenzo Wa kuzama sana ndani ya maombi jinsi roho mtakatifu anavyokutumia endelea na maombi makonda mwangalie mungu usimwangalie binadamu hawajui walinenalo

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np 2 місяці тому

    Watu Wa imbaji wanjili kwanini. Musitumie maneno hayo yabusala. Kutengeneza nyimbo nzuli. Amejieleza vizuli sana nikweli we we unaloho wamungu. Tanzania itapona kwa ajiliyako. Amen from Burundi. Tuna kupenda Sana

  • @josejacob2875
    @josejacob2875 5 років тому +26

    Wanakuonea wivu wengi wameshindwa ila wewe nisawa na Daudi MUNGU akubariki kaka

  • @ministermwakafwila5108
    @ministermwakafwila5108 5 років тому +11

    Mungu azidi simama na wewe Mkuu wa Mkoa

  • @shukurumwangosi1537
    @shukurumwangosi1537 5 років тому +9

    Upo sahihi sana mkuu

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 5 років тому +15

    Mimi sio mkristu ila makonda nimemuelewa

  • @yohanasimtenda748
    @yohanasimtenda748 5 років тому +2

    Uko sahihi mkuu, mbele za Mungu hakuna kuleta uheshimiwa, nikunyenyekea na kujikabidhi kwake akuhudumie, Ukuu wa mkoa pembeni kwanza linapokuja suala la Ibada. SAFII

  • @mgoledaudi7598
    @mgoledaudi7598 5 років тому +1

    Ulishukiwa na Roho Mtakatifu, kwa macho ya nyama wanaona kama unalia, kwa macho ya rohoni ulikuwa umezama kwenye maombi mazito, ubarikiwe sana

  • @mohamedkassimu8789
    @mohamedkassimu8789 5 років тому

    Waache tu wanaoongea we chapa kazi TU! Kama umependezwa hebu like Basi!

  • @eddybayzor4106
    @eddybayzor4106 5 років тому +10

    Piga kazi muheshimiwa tuko pamoja

  • @gloryassey3962
    @gloryassey3962 5 років тому +3

    Kulia inaonesha how strong a guy is..bravo RC

  • @jackrinaman7521
    @jackrinaman7521 5 років тому +9

    Mm we bb nakupenda sana zaid ya sana hakuna kitu kizur bila kupitia majalibu .kumbuka hata ayubu alijalibiwa .lakin hakukata tamaa. . ili ufike unapo taka lazima upitie misuko suko

  • @kingsmusicrecords4870
    @kingsmusicrecords4870 5 років тому +25

    Lava nimepita 👏

  • @benadictoalloys7752
    @benadictoalloys7752 5 років тому +3

    Mwenyezi Mungu akujaze nguvu zaidi mkuu uendelee kupambana na hao wakupingao

  • @rwemamutemi334
    @rwemamutemi334 5 років тому +4

    Ukiona mtu anatetea USHOGA, USAGAJI fahamu ni shoga au msagaji, au anadhaminiwa na mashoga!
    USHOGA na USAGAJI ni CHUKIZO KWA MUNGU na Unajisi kwa eneo au Nchi YENYEWE!
    Warumi 1:18-32
    Mwanzo 19
    Wana washetani hufurahia uovu unapoenea,na mtu anapoinuliwa kupinga uovu huo,mara nyingi huchekwa,hudhiahakiwa... ILA mwisho asipokata tamaa,hushinda na kushangilia!
    GIZA haliwezi kushinda Nuru.
    Yohana 1:2-5.
    Kila mwenye akili nzuri na timamu atapinga USHOGA, USAGAJI,uwaji,utekaji,......!

  • @aishamohammed6991
    @aishamohammed6991 5 років тому +41

    Mkuu achana na blaa blaa za watz.... Endelea tu kumuomba mungu... Km ulivosema kwa mungu hakuna ukuu wa mkoa wala rais. Nasi wa kwanza ww kulia ktk kuomba dua au kitu chochote kwa m. Mungu hata masheikh wasomapo Quran hulia Mbele ya kadamnasi....na huwa hawaangalii nani ananitizama au nani atasema nn juu ya hiki kilio changu....so piga maombi km kawa na m. Mungu atayapokea ishallah!
    Kiukweli watanzania sijui tukoje kwani kulia ni jambo la ajabu jmn au kwakua kalifanya mwenye jina.... Aaaaah jmn tuache ushamba au sijui ndo tuije ujinga!

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 5 років тому

      Aisha Mohammed naomba uangalie kasida yangu ua-cam.com/video/VEbezgrNzHw/v-deo.html

    • @pretinesspastory9782
      @pretinesspastory9782 5 років тому +3

      Aisha Mohammed ubarikiwe sana unaona mbali my dear!! wanadamu hatukosagi jambo ila kwa wachache wanaoelewa uzito Wa machozi ktk ibada hawawezi kujiuliza kwa nn alishindwa kujizuia!! Allah akuweke miaka mingi umeubariki moyo wangu

    • @hanuniselemani2274
      @hanuniselemani2274 5 років тому +1

      Aisha upo vizuri Sana, u muelewa sana

    • @hanuniselemani2274
      @hanuniselemani2274 5 років тому

      Wanaokukejeli hata maana ya maombi hawaijui wapo wapo tu,ndio maana wanakushangaa ukilia kanisani

    • @bestcodetz5726
      @bestcodetz5726 5 років тому

      AIMEN

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 5 років тому +1

    Wa tz tuna kasoro ya kuona udhaifu tuu mnaniboa sana #kwenye vitu vya maana tumuunge mkono sio kila kitu ni kupinga tu
    #piga kazi brother

  • @samwelimwashambwa8725
    @samwelimwashambwa8725 5 років тому +11

    kwa hapo nmekuelewa mkuu

  • @bestcodetz5726
    @bestcodetz5726 5 років тому

    WOOOOOW!!! MAKONDA KWANZA HONGERA SANA MKUU WA MKOA WA DA ES SALAAM.. NIMEPENDA JINSI ULIVO TUELEWESHA WATANZANIA.. KWAKWELI KILA UNALO FANYA MUNGU AKULINDE .. U DO THE GREATEST JOBS AMBAZO BILA MUNGU PUMZI YAKO INGEKUWA HADITHI, KWANI SHETANIN ANAKUWINDA KILA IITWAPO LEO.. MUNGU MMBARIKI MAKONDA, MUNGU IBARIKI TANZANIA

  • @lightm2225
    @lightm2225 5 років тому

    Kumcha Mungu nichazochamarifa barikiwa. Songambele. Mtangulize Mungu wako bila Mungu minute🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @gracevalentine4234
    @gracevalentine4234 5 років тому +4

    Mungu wa Mbinguni aendelee kukutia nguvu mkuu wetu wa Mkoa ili kusudi la Mungu aliloweka ndani yako juu ya huu mkoa wa Dar es salaam likatimie, Amina

    • @salumwiliam6327
      @salumwiliam6327 5 років тому +1

      Grace Valentine mh. Makonda na imani icpokuwa na matendo imekufa mungu aendelee kukuongoza amina

    • @gracevalentine4234
      @gracevalentine4234 5 років тому

      Amen

  • @mbubafuraha7059
    @mbubafuraha7059 5 років тому +3

    Mm nimekuelewa xanaa mkuu umeongea point kubwa xanaa kwa wale wakristo wamekuelewa unachokisema wale wasio kuelewa watakuelewa to one wakimkibizi Yesu maisha yao

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 5 років тому +2

    Hapo ni kweli kabisa. Mkuu upo sahihi.

  • @gracevalentine4234
    @gracevalentine4234 5 років тому +3

    Vita cyo vyetu bali ni vya Mungu so endelea kumsihi Mungu nae atakushindia Mkuu, kwani hakuna jambo lolote linaloshindikana kwa Mungu

  • @elliudmichael5487
    @elliudmichael5487 5 років тому +10

    Makonda hakika mungu atakufanya kuwa mkombozi wa nchi yetu, kiongozi kuiombea nchi yake hakika mungu anaikomboa Tanzania

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 років тому +3

    Mungu akusaidie Makonda. Hakuna kosa kulia kanisani.

  • @lupalilamligo9939
    @lupalilamligo9939 5 років тому +3

    Mku wew ni mtu wa muimu sana broooo saluti piga kaz mungu akulind kwa kila jmbo broooo

  • @ajarathyussuph7468
    @ajarathyussuph7468 5 років тому

    Ameen. Nakukubali sana mheshimiwa na Mungu azidi kukulinda na mkono wake husikupungukie na Mungu akupe hitaji la moyo wako. Wasio na maono hawaoni nini unafanya ila Mungu amekuchagua kukomboa mataifa ya vizazi vilivyopo na vijavyo , sitaacha kukuombea kwa Mungu azidi kukutia nguvu maana Daudi vita si yetu bali vita ni ya Mungu mwenyewe na wasikuone hivyo vita unavyopigana navyo wakadhani upo peke yako, mi naona husiwajibu bali wambie neno moja tu kuwa,SI WEWE UNAYEISHI BALI ALIYEKO NDANI YAKO YESU KRISTU WA NAZARETH ALIYE HAI. Barikiwa sana Mh! Paul Makonda, majeshi ya Mungu yaliyokuzunguka Makonda ni mengi mno kuliko haya ya dunia , wasamehe hawajui walitendalo hata Bwana wetu Yesu alihukumiwa kifo katikati ya watuhumiwa na hali yakuwa yeye nakuwa na hatia itakuwa wewe? Achana nao yupo Mungu anaepigana na adui zako wala husiwajibu Mungu atawajibu kwa wakati wake wewe ni mti wenye matunda lazima uzoee mawe. Ubarikiwe sana mpaka shetani ashangae na majeshi yake.

  • @happinessmtitu4485
    @happinessmtitu4485 5 років тому +2

    Mungu aendelee kkusaidia kutambua kuwa pasipo yeye hakuna linalowezekana.
    (Yohana 15:5 )

  • @kenya-yj3eq
    @kenya-yj3eq 5 років тому

    Kwani kulia ni jambo la kushagaza Tz nanyi mko na mambo...Mungu asimame na wewe mueshimiwa umalize kazi ya mashoga salama

  • @catherinechristopher1672
    @catherinechristopher1672 5 років тому +7

    Nimekupenda mtangazaji umesomea haswaaa huna uoga maswali yako kuntu

  • @mivunjoc.miyego1427
    @mivunjoc.miyego1427 5 років тому

    Excellent Mr RC. Hilo jibu ndilo linalofaa sana kupita majibu yote ambayo hao walitegemea. Nimefurahi sana mkuu. Mungu akubariki sana.

  • @siaammo1104
    @siaammo1104 5 років тому

    Hongera sana mkuu.nimekuelewa Mungu wa mbiguni aendelee kukulinda na ushiishie hapo endelea kuliombea Taifa zima la Tanzania .
    wewe ni kiongozi naamini ukimlilia Mungu katika roho na kweli tutafanikiwa.

  • @josejacob2875
    @josejacob2875 5 років тому +2

    MUNGU akubariki makonda nakupenda sana my brother

  • @aggreyandrew546
    @aggreyandrew546 5 років тому +3

    Kwani kulia ajabu? Nyie vipi mh makonda achana nao kwani umelia bara barani? Umelia mbele za mungu tena kwenye nyumba ya ibada! Sasa tatizo nini?

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 5 років тому

    Kwa mungu hakuna cha mwanaume wala mwanamke mungu ni zaidi ya nafasi zetu napenda sana kuona makonda analia kwa kuomba msaada toka kwa mungu tunakombea sana kwa mapambano makubwa mbele yako

  • @andrewsagilichuma3779
    @andrewsagilichuma3779 Рік тому

    Hongera Kaka umetoa elimu Kwa kila ambaye hajamjua ROHO MTAKATIFU

  • @jumahamisi2318
    @jumahamisi2318 5 років тому +3

    Mh. KWA HII SPEECH YA LEO NIMEKUAMINIA 100%, ofcoz hilo jambo hata ukilivutia hisia lazma ulie hata km hujawaona, INAUMA ACHENI USHABIKI WA KINAFK WABONGO

  • @geraldnashokigwa517
    @geraldnashokigwa517 5 років тому

    Stay blessed RC-MAKONDA, you are humble Man..!! Press on..!! Bible says : " My people perish because of lack of God's knowledge-Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa" . Amina..!!

  • @husseinkulumbiza8894
    @husseinkulumbiza8894 5 років тому

    Mungu yuko Upande wako,pambana Mungu Atakusaidia Nasi tunakuombea,Akulinde Akutie Nguvu.

  • @lifestylechannel1322
    @lifestylechannel1322 5 років тому +7

    Umeongea piont leo

  • @zainabubalama4622
    @zainabubalama4622 4 роки тому

    Nimekuelewa Sana Mh Paul Makonda. Mungu akupe nguvu zaidi inshaallah 🙏🙏🙏🙏

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 5 років тому

    Well said Makonda you Trusted in God and in God we Trust and in God you will be Blessed umejielewesha vizuri mnoo yaani Spritually you are With JESUS keepitupBOSS And I am praying for you as well

  • @mhavilesukari2708
    @mhavilesukari2708 5 років тому +6

    mungu amsimamie huyu brthr

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 5 років тому

      kumwelewa mtu sio mpaka awe dini fulani yeyote yule aweza kumwelewa bila tabaka lolote ...stay blessed

  • @ggjghh6245
    @ggjghh6245 5 років тому +3

    Sasa chaajabu kitu gani ?mbona hata masheh wana somaga Qraan mpaka analia sasa yy kulia mnaona hajabu?

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 5 років тому

    Bravo mheshimiwa, halelluya count your blessing name them one by one,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 5 років тому

    Well said comrade! Asante sana.

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe 5 років тому +1

    Hakika umeyapata mamlaka yako kwa Mungu.

  • @maryangela107
    @maryangela107 5 років тому +2

    mtumishi anaumia sana moyoni kutokana naanayo yaona

  • @ayangaotacho2057
    @ayangaotacho2057 5 років тому +1

    Pole Sana mkuu wa mkoa uko sai Sana unapotafakari kwa undani unalia bila kujua uko sai kabisa ,ni kweli wewe bila Mungu usingekwepo omba Mungu Lia Sana mbele za Mungu kwa Mungu hakuna Cha kiongozi wewe Lia kwa Mungu yupo na wewe

  • @nzeyyunus5990
    @nzeyyunus5990 5 років тому

    Mkuu mi binafsi ckupendi kiukweli iko ivo tu, ila katika ili mkuu tuko pamoja! May Godbless you

  • @scollorpatrick7214
    @scollorpatrick7214 5 років тому

    Kweli kabisa baba makonda nakupenda sana hakyamungu mungu akulinde sana

  • @Kathren-ed7xb
    @Kathren-ed7xb 5 років тому

    Mungu azidi kukupigania kaka yangu ni bora kulia mbele za mungu kuliko kumlilia binadam asiyejua thaman ya binadam mwenzie mungu akutangulie

  • @zahararajabu4169
    @zahararajabu4169 5 років тому

    Pole sana ndugu yan kwanza unavyo ongea namm nalia wallah pole sana mungu akusimamie katka vitu vyote unavyo fanya inshaallah

  • @festondile2039
    @festondile2039 5 років тому

    Nimekuelewa sana Mheshimiwa,Mwenyezi Mungu akupiganie katika vita vyako vyote.

  • @mariamkalinga2628
    @mariamkalinga2628 5 років тому

    mtangaz una akil au acha izo bwana hy kidume yupo ma mungu eee mungu pigana naaadui wanaompiga kiumbe wako mak Fanya kazi aisee

  • @Pastorlenhardkyamba
    @Pastorlenhardkyamba 5 років тому +1

    KEEP UP Sir. Am Praying for you..hata watakapo kupeleka mabarazani usijiulize nini cha kusema maana Roho Mtakatifu atakuwa msemaji wako. Hata watu wa nyumba yako wamekukataa lakin Mungu hajakukataa tena atainua Mataifa kuwa upande wako..!!

    • @Pastorlenhardkyamba
      @Pastorlenhardkyamba 5 років тому

      Mungu atakuinilia watu na mataifa kuwa upande wako. Keep up sir

  • @elizabethzabron8489
    @elizabethzabron8489 5 років тому

    Natamani ungekuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya God bless you

  • @albertopaskal9787
    @albertopaskal9787 5 років тому

    Yapo mambo huwa kama ckusomi vile lakini kwa pointi hii du! Nimekuelewa mtumishi wa mungu. Ni kwakua nguvu zangu ndogo nami ninge kusaidia vita hii. Basi kiongozi ikishindikana kausha kwa kua kila mtu ata ubeba msalaba wake mwenyewe.

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 років тому

    Unalilia taifa lako kweli baba roho mtakatifu amina mimi nakuelewa roho mtakatifu

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 5 років тому +2

    Mungu yupo nawe makonda acha wakuulize hayo maswari hawajui watendalo

    • @dominicmasawe7501
      @dominicmasawe7501 5 років тому

      Jamani mambo ya Mungu hayaitaji kuchanganywa na kitu chochote please!

  • @annaitolya7712
    @annaitolya7712 5 років тому +1

    Ubarikiwe sana kwa utumishi kwa wasio elewa hawataelewa maana ya kulia

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 5 років тому

    Mimi nakukubari sana kwa uthubutu wako maana kwa jinsi unavyo simamia jambo zito wakati mwingine kwa mtizamo wa kibinadamu ni kama uko peke yako lakini wewe unaamini hauko peke yako kwa sababu Mungu yu pamoja nawe. Ubarikiwe.

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 років тому

    Sawa kabisa hata mie nkiendaga mbele za Mungu wakati naomba nkakumbuka mema aliyonitendea najikuta nalia tu. Nimekuelewa mkuu

  • @solanuskomba82
    @solanuskomba82 5 років тому

    duuuùh .hapo sawa..mkuu acha kuyasikiliza maneno ya watu..we piga kazi ..

  • @juventusdaudi2088
    @juventusdaudi2088 5 років тому +1

    Ubalikiwe sana kaka yangu.

  • @magrethtimothkibaya7753
    @magrethtimothkibaya7753 5 років тому +2

    upon sahihi nimekuelewa mungu akutie nguvu

  • @simonkuhenga1757
    @simonkuhenga1757 5 років тому +1

    Nice talk..very deep mh Paul

  • @sheikhasalim9124
    @sheikhasalim9124 5 років тому

    Mtu yeyote mwenye imani ya kweli zalima hisia ina kuja mbona masheik wetu wana lia wacheni maneno yenu

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 5 років тому +2

    Makonda leo nimekuelewa kabisa piga kazi huo ni ushenzi na upuuzi mpaka hao wanaokupinga kwa hili waone mkono wa Mungu unaandika km. Kipindi cha mfalme Belshaza?

  • @wakulambakitune6721
    @wakulambakitune6721 5 років тому

    Piga kazi baba kulia nimoja ya kuwalilia waliompigia l lazima uwalilie mungu hapendi uchafu kulia mbele za mungu Ni ishara ya kuomba msada hakusadie kuwakombowa binadamu walopotea

  • @imranrajabu3294
    @imranrajabu3294 5 років тому

    Safi sana Paul Makonda....mungu yupo

  • @jacobmakono389
    @jacobmakono389 5 років тому

    I never knew you're such a great Pastor!

  • @badrahassan7513
    @badrahassan7513 5 років тому +1

    Kwa hakika umapata thawabu baba tukemeeni ushoga inauma jamani unazaa mtoto anakua shoga inauma tuombe mungu atuepushie vizazi vyetu amiin

  • @jaqclinprince52
    @jaqclinprince52 5 років тому +2

    mungu akubariki mkuu makonda

  • @melkizedeckkimaro2094
    @melkizedeckkimaro2094 5 років тому +5

    Kweli kaka

    • @benardgervas8840
      @benardgervas8840 5 років тому

      Somo la roho mtakatifu hilo mkuu kukuelewa ishu sana.

  • @japhetdaud3889
    @japhetdaud3889 5 років тому +2

    Kila mtu kwa tukio hilo,watu na wajue siku ya kiaama haina cha mfalme, Rais wala mbunge na wala mkuu wa mkoa akili mkichwa-tafakarini hilo

  • @pamelajerome5644
    @pamelajerome5644 5 років тому +1

    Kulia mbele za mungu hakuna shida lia sana kwamungu nae atakusaidia ila mashoga hatuwataki

  • @jameslighton381
    @jameslighton381 5 років тому

    Mungu akutumie kweli mkuu wa mkoa umenena ambayo wachache sana watakuelewa

  • @angelinaally8138
    @angelinaally8138 4 роки тому

    Amina sana Makonda mtukuze mungu wako mwanadamu Ananini

  • @maryangela107
    @maryangela107 5 років тому +2

    hata muonekano wako kama patri ubarikiwe sana mtumishi wa bwana

  • @bonifacecheyo5481
    @bonifacecheyo5481 5 років тому

    hkk vingine vinaumiza.nilazima wazazi,wa tumishi wamungu maasikofu na machee.wa tafusiri vizuri uwepo wamungu ndani ya waumini wao.

  • @renathahagai1251
    @renathahagai1251 Місяць тому

    Amen mtumishi wa Mungu

  • @hdmtanzania2617
    @hdmtanzania2617 5 років тому

    Mwenyez Mungu akubariki na akutangulie

  • @nancymwaria2102
    @nancymwaria2102 5 років тому

    Mungu akubariki ...nakuelewa

  • @floramarinyo1468
    @floramarinyo1468 5 років тому

    Ni kweli ni kweli tupuuuuuuu daaah !!! Mungu tu akuhifadhi kiongozi wetu

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 років тому

    Uko vizuri mheshimiwa Makonda 👍