GUMZO MSAFARA WA MAKONDA ARUSHA/AZUNGUKA NA MAGARI YA UTALII KWENYE ZIARA/ATUA KARATU KIBABE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 тра 2024
  • Leo Mei 24, 2024 Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Arusha anapoendelea na ziara yake ya siku sita ya kutembelea wilaya zote sita za Mkoa wa Arusha na ikiwa leo ni zamu ya Wilaya ya Karatu, bado ameendelea kutumia magari ya utalii kwenye ziara hiyo lengo likiwa ni kuendelea kuhamasisha na kuifungamanisha jamii ya Arusha na sekta hiyo muhimu kiuchumi na kijamii.
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

КОМЕНТАРІ • 12

  • @OmegaNelson-ho1no
    @OmegaNelson-ho1no 2 місяці тому

    Ana haki ya kuyatembelea haya magar coz anafanya kazi nzur sana Mungu amtunze

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 2 місяці тому +1

    Jiji la kitaliii greeen

  • @user-bp9rb3id3f
    @user-bp9rb3id3f 2 місяці тому +1

    Watakuloga makonda da 😂😂😂😂

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 2 місяці тому

    Karatu iko green 😂

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 2 місяці тому +1

    Makonda ni mtu na nusu

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 2 місяці тому +1

    Piga kazi makonda tumekukubari Niko katavi

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 місяці тому

    Tumia gari 2 tu ili pesa zingine ziende kwa wenye uhitaji.

  • @ndiditheodore8272
    @ndiditheodore8272 2 місяці тому +1

    Matumizi mabaya ya pesa za kodi ya waTanganyika, basi huyu ni raisi.

    • @RenaldaZeramula
      @RenaldaZeramula 2 місяці тому

      Wee mkuu wa.mkoa.msafara wake ni mkubwa siyo wa kitoto tangu miaka ileee

    • @exaverysimon1064
      @exaverysimon1064 2 місяці тому

      af hayo SIO magari ya SERIKAL zee

    • @leylaruhabaye9017
      @leylaruhabaye9017 2 місяці тому

      Unajuwa unachokiongea unataka aende na punda? Nahujui km huyu jamaa anawindwa na mabepari? Kutokana na Kazi yke? Usiongelee chuki .

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 2 місяці тому

      lakini hayo sio magari ya serikali ni ya watu binafsi wametaka wampeleke huko aendako kwa kujitolea. Inaonesha wananchi wanamkubali mpaka kujitoa huku it speaks volume for sure