''FARIDA HAENDI KAZINI - ANALINDWA na WAKUBWA - AMENITUKANA MATUSI HAYA HAPA''-MWANANCHI vs MTUMISHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 260

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 місяців тому +20

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @sarahdeograthias9097
    @sarahdeograthias9097 7 місяців тому +45

    Kuwa makini sana nyakati hizi za usiku mkuu Viva Makonda Vivaaaa

  • @ushindidaycare234
    @ushindidaycare234 7 місяців тому +9

    Walikubeza wakisema hunahakili nime hakiki mwenyewe unahakili nyingi za upendeleo (usije uka muacha Mungu).

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 7 місяців тому +22

    UKIWA RAIS WA TANZANIA 🇹🇿 UCHUMI UTAPANDA MALA KUMI YAKE KILA MTU ATAOGOPA KUIBA MANAYAKE PESA YOTE ITAINGIA SEREKALINI UCHUMI NDIO LAZIMA UPANDE BRAVO MAKUFULI JUNIOR 👏

  • @olyomary317
    @olyomary317 7 місяців тому +2

    Ndio makonda mama mkwe wako mwalimu mkuu wetu mama Masenge tunamjua sanaaa

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 6 місяців тому +1

    Mbona mama huyu katoa maelezo yaliyonyooka moja baada ya jingine , kwa hiyo kijana aliyemchongea labda ana KINYONGO binafsi au haelewi taratibu za kikazi .mheshimiwa MAKONDA kazi yako ni nzuri sana naomba kuwa makini wengine wasije wakatumia nafasi hiyo kuingiza MAJUNGU na UONGO wa kuwachafulia wengine sifa kazini .

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 місяці тому

      Uzuri yeye mwenye bashite anapenda umbea na porojo sasa mtu aendi ofisini c kuna sheria ya utumishi wa umma mkuu wa mkoa haimuhusu dada hajaajiriwa na mkui wa mkoa

  • @LewadiNyasaland-re9tu
    @LewadiNyasaland-re9tu 7 місяців тому +15

    Makonda ni fireeee ❤❤❤

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 7 місяців тому +27

    Kwa maellezo ya dada inawezekana kabisa ni mwanaisasa na sio mtumishi wa umma

    • @JoseeSarakikya
      @JoseeSarakikya 7 місяців тому

      Natamani siku moja makonda awe raisi wa nchi

  • @moddy8744
    @moddy8744 7 місяців тому +20

    Kwa kweli Makonda sizani duniani kama kuna kiongozi kama Makonda anaejitolea kusikiliza shida za watu kama hivi sijawahi kuona ni kazi kubwa sana inataka moyo

  • @meshackeliau8973
    @meshackeliau8973 7 місяців тому +4

    Nawapenda sana hao wamasai wanaposema tunamlinda kwa huku nyuma maasai are very wise🎉😅

  • @RamadhanMakunja-i5m
    @RamadhanMakunja-i5m 7 місяців тому +2

    Usiogope vitisho vya maadui hawawezi kwa chochote mwenyezi mungu atakurinda🤲🤲🤲🤲

  • @sadikingitu
    @sadikingitu 7 місяців тому +20

    Nimependa sana huyu jamaa anavyowasilisha hoja, he is too confident.
    Briliant!

  • @hashimrweabula9
    @hashimrweabula9 6 місяців тому +1

    Manenoo mengiii wamekuiliza swali moja unajielezea sanaaa aaah mashaka matupuu siasa Yann ancheka cheka tuu mashaka matupuuu

  • @emmanuelndotela9412
    @emmanuelndotela9412 7 місяців тому +2

    Safi sana dadaangu unajiamini 😂😂❤ ila ungehamia kwenye siasa moja kwa moja kuliko kuwa mtumishi na wakati huo huo mwanasiasa.

  • @EdsonMichael-fe2pe
    @EdsonMichael-fe2pe 7 місяців тому

    Anaweza kuchagua moja, utumishi wa umma au siasa! Ukichagua moja dada Mungu atakuinua!

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 7 місяців тому +45

    Babaaaa hiyo mida uwe makini sana manyangau ni wengi hawapendi unachokifanya usije kuraluliwa tukakukosa bado tunakuhitaji

  • @elizabethisaya136
    @elizabethisaya136 7 місяців тому +4

    Mungu akulinde makonda

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs 7 місяців тому

    Napenda kukushaur Dada,,ww nimtumishi WA umma,,Acha na sias,, fata ulichokisomea,,siasa na kaz wanapi,,,,,utashika kipi

  • @JennipherGabriel-rx6jc
    @JennipherGabriel-rx6jc 7 місяців тому +4

    Kushindana na mwalimu katika maelezo ni changamoto wanajuwa kujieleza na wanapanga maelezo vizur yan inatakiwa ujipange

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 7 місяців тому +26

    Mtumishi wa UMMA huruhusiwi kuwa siasa hadi hapo dada umezingua labda wakulinde tu sababu ni ccm mwenzao

  • @NoelNoah-y9z
    @NoelNoah-y9z 6 місяців тому

    Farida! Sister angu unapgwa majung Mungu yupo asee

  • @davidkalama5426
    @davidkalama5426 7 місяців тому +2

    God of heaven may bless you, horn: Paul Makonda, for good work to help your people.

  • @osodowilberforce
    @osodowilberforce 7 місяців тому +6

    This is what we call "OPEN AIR PUBLIC ADMINISTRATION"

  • @benjaminwaswa2039
    @benjaminwaswa2039 4 місяці тому +1

    Wanaichi wa Tanzania mweshimu bwana makonda good job anayofanya

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 7 місяців тому +35

    Huyo demu anaonekana alivyo mchafu wa kinywa na nyodo, yawezekana kweli analiwa na vigogo

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 7 місяців тому +2

    Daa hii kweli ni kazi. Huyu Dada kweli ni mchafu kwa kinywa Ila pia kuna jambo hapa makonda anatakiwa atumie busara

    • @maulidi8479
      @maulidi8479 7 місяців тому

      Yaani mtu akijibu kwa kujiamini anaonekana mbaya

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys 7 місяців тому +1

    Hongera kwa kazi nzuri !

  • @Mweya-87
    @Mweya-87 7 місяців тому +12

    Farida nimekupenda sana dada yangu.

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 7 місяців тому +2

      Mwenyewe nimempenda sana,katika wote waliojibu kisomi ni pamoja na yeye.

    • @anamsaid8610
      @anamsaid8610 7 місяців тому +1

      Anaongea kwa hoja na takwimu

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 7 місяців тому

      @@anamsaid8610 mnooo

    • @zanubharoon
      @zanubharoon 6 місяців тому

      Mtu wamaana kabisa dadaagu❤

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 7 місяців тому +1

    Jamaa labda unamtaka dada wa watu shida watumishi hamtutaki raia tukiwapenda hamtusikilizi😢😢😢😢😢

  • @ommy2525
    @ommy2525 7 місяців тому

    mtumisha wa chana na sirikali🖐🖐🖐🖐

  • @ushindidaycare234
    @ushindidaycare234 7 місяців тому +3

    Nimekukubali Makonda you are spesion one ,Yani Mungu anamakusudi nawewe

  • @NancyPatrick-il8zj
    @NancyPatrick-il8zj 7 місяців тому +10

    Hili dada limekaa kichagudoa kabisa. Makonda toa hiyo takataka hapo

  • @ChristopherChacha-fb4oc
    @ChristopherChacha-fb4oc 6 місяців тому

    Safi mratibu elimu nakupenda

  • @musalumbi8490
    @musalumbi8490 7 місяців тому +18

    Hii ndio Prof. PLO Lumumba anaita "Magufulification"

  • @AsungaSteven
    @AsungaSteven 7 місяців тому +3

    Makonda wewe ni kiongozi aisee,njoo tena Dar

  • @benjaminwaswa2039
    @benjaminwaswa2039 4 місяці тому +1

    I like him

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 7 місяців тому +5

    Kijana kavaa Kapero ya CCM iliajenge majungu Asante sana Dada kwa kujibu hoja kisomi.

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 7 місяців тому +3

    Dada Farida anaonekana yeye ndo tatizo hata iyo Bandali atakuwa amemsingizia tu ili asimsikilize tu huyu lkn ukweli utajulikana tu huyu Farida inaonekana tatizo sana

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 7 місяців тому +5

    Dada anaonekana ananyodo sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 7 місяців тому +8

    Wezi wanarindana sana

  • @Worldunite
    @Worldunite 7 місяців тому +10

    Issue ya bandari haipo hapo, wala ya kutukana viongozi hapa

  • @Espoir9535tvtx
    @Espoir9535tvtx 7 місяців тому +1

    Kwani mungu ame tutunuku magufuri toto ❤

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 7 місяців тому +1

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 7 місяців тому

    WEWE ni mtumishi wa umma au ni mwanasiasa!!!

  • @BarakaMwaikenda-ty1bt
    @BarakaMwaikenda-ty1bt 4 місяці тому

    Viongozi wa juu na wabunge igen mfano wa makonda wanachi wanawaonea kweli watumishi

  • @hassan-sarumbo
    @hassan-sarumbo 7 місяців тому +2

    farida unafaa kua mwanasiasa

  • @silvanusmyovela6545
    @silvanusmyovela6545 7 місяців тому +27

    Tunaomba Makonda awe mkuu wa mkoa nchi zima

    • @J4UPro
      @J4UPro 7 місяців тому +1

      Yaani umewaza kama mimi.
      Yaani awe mkuu wa mikoa.

    • @josephatdunda1937
      @josephatdunda1937 7 місяців тому +1

      Hahaha atakuwa kashakuwa Rais tu

    • @farajaMezza-qn4be
      @farajaMezza-qn4be 7 місяців тому +1

      In short awe Rais

    • @JaydenBahi
      @JaydenBahi 7 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 7 місяців тому

      Kweri sana

  • @BugandaLushanga
    @BugandaLushanga 7 місяців тому +2

    Makonda uko sawa maana wanyonge hawatendewihaki

  • @DaviMaiko
    @DaviMaiko 3 місяці тому

    Dada maelezoyamekuamengi sana

  • @carlossabbo1184
    @carlossabbo1184 7 місяців тому +11

    Huyu jamaaa hakiamungu ni elimu2 ndogo lkn anachokifanya anakijua nisuper Tena hapa TZ hkuna mkuu wa mkoa anafanya kazi Kama huyu 🔥

  • @MezdDimoso
    @MezdDimoso 7 місяців тому +4

    Huyu dada kama mwanasiasa

  • @sisterblessed-my9jd
    @sisterblessed-my9jd 7 місяців тому

    Au mapenziiiiiijjjiijiiiiiiiiii!! Lkn siasa isichanganywe na kazi bhana.

  • @NeemaManase-x8n
    @NeemaManase-x8n 7 місяців тому

    Jamani baba makonda njoo tusaidie wananchi huku tunabomolewa nyumba zetu we baba tusaidie uwiii

  • @dorcasmruma9001
    @dorcasmruma9001 7 місяців тому +8

    Huyo dada msaniii tuu labda wamlinde kwa ajili ya chama chale ila anaonekana chenga tyuuu

  • @samkoka3
    @samkoka3 7 місяців тому +3

    Watanzania wengi wamesoma sio kama zaman

  • @Worldunite
    @Worldunite 7 місяців тому +5

    Uliza wananchi

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 7 місяців тому +1

    Dada unamaneno mingi sana,

  • @KiangoKipingu-f2y
    @KiangoKipingu-f2y 7 місяців тому +2

    Dada yuko vizuri

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 7 місяців тому +1

    Hau mtumishi ni mwanasiasa.

  • @AbdulMwengwa
    @AbdulMwengwa 7 місяців тому

    Mwananchi huyoooooo😂😂

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 6 місяців тому

    Mtumishi na siasa wapi na wapi inabidi uchague siasa aua utumishi

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 7 місяців тому

    Wenye majibu kama hayo wengi sana kwenye hii nchi kilaidara.

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 6 місяців тому

    Dada anamajivuno

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 7 місяців тому +21

    Icho kidada kifupi inaonekana kinalindwa na wakubwa na itakuwa ni chakula chao

  • @spantonsamba6191
    @spantonsamba6191 7 місяців тому

    Dada Farida ametumia kila sekunde aliyopewa kuwa analindwa na wakubwa...

  • @JohnMahu-f1g
    @JohnMahu-f1g 7 місяців тому

    Ccm wajanja sana wametengeneza tatizo leo wamemleta makonda msanii

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 6 місяців тому

    Nafikiri dada amejieleza vzr kwa kukanusha maneno ya mwananchi
    Lkn huyu dada yupo kisiasa zaidi inanekana kwakua huyu bwana ni chadema wanamtukana wakijua hataenda popote

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 7 місяців тому

    Hapo nakukubali Makonda

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 7 місяців тому +2

    Jamaa🙋🙋au ulimuomba akakukatalia au alikujibu ya kuwa ukipeana utaweza na???😂😂😂😂

  • @JoyceMziray
    @JoyceMziray 6 місяців тому

    Vita kazini,, hiyo farida pambana watu kama hao wapo wengi hata kwetu, kuhusu sifuri sio mratibu bt ni mfumo wa hizo shule

  • @DoraNasinyari
    @DoraNasinyari 4 місяці тому

    Kuna mtumishi ana husiana na siasa ww acha mambo mengi jibu swali uliloulizwa

  • @SamwelJonathan-b4i
    @SamwelJonathan-b4i 2 місяці тому

    Wamasai akili yao ni 0💯

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 7 місяців тому

    Baba kegan mungu akulinde

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 7 місяців тому

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 місяців тому +3

    HUYO ANATAKA MASHINDANO NA HUYO DADA.

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi 7 місяців тому +1

    Logbook si zinajazwa tu

  • @neemasalema1546
    @neemasalema1546 7 місяців тому

    Hapana jamani ni kweli mnafanya kazi ni nzuri na inaonekana lakini naomba mle afya zenu ni muhimu sana

  • @Worldunite
    @Worldunite 7 місяців тому +4

    Uchunguzi ufanyike

  • @BedaMbaga
    @BedaMbaga 7 місяців тому

    Huyodada nimwana siasa alafu ananyodo sana haendi kazini

  • @RamadhanMakunja-i5m
    @RamadhanMakunja-i5m 7 місяців тому

    M mkuu wa mkoa chapa kazi brooo natamani nikusaidie sasa cjui nianzie wapi kifuani nimebeba mengi

  • @mtumwasamaki
    @mtumwasamaki 6 місяців тому

    Nimeenda kuongea na ushahidi ndio silaha sio kuegemea ukuu WA mtu Mh. Makonda upo sawa maana inaonekana dada Farida yupo sawa Kwa kujieleza lakini Kaka kaja na ushahidi Sasa ni vyema kuufanyia kazi kubaini ukweli

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 7 місяців тому +5

    Mheshimiwa hawa watu wanalinda kwani huyo dada apearence yake tu anaoneka na ni jeuri

  • @dicksonmwenyembegu2523
    @dicksonmwenyembegu2523 7 місяців тому

    TPPEO yupo vizur

  • @GeofreyBalyo
    @GeofreyBalyo 7 місяців тому +2

    hee kumbukeni mwanadada ni kada ..na mnajua kitakachofata

  • @SwaleheSaad
    @SwaleheSaad 7 місяців тому

    Makonda nakuomba sana mwisho wa mkutano wako uwe ni saa11 jioni bado tumaini la wananchi ni kubwa sana kwako na tunakuona mbali

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 7 місяців тому

    Huyu. Dada hafai hata Kwa jamii ni kweli anavyoongea anajiamini na sii mtu mzur ila ana hila za Chocho.

  • @wangwedaniel7115
    @wangwedaniel7115 7 місяців тому

    Oya mkuu upo vizr makondafication

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe 7 місяців тому

    Mmmmh we dada sio

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 7 місяців тому

    Dada anaonekana muongo sana sema wanabebana sana😂😂

  • @Hanga-ub5hu
    @Hanga-ub5hu 6 місяців тому

    Dah,,shida ya kujiita mwanaharakati n kama hivyo,,mbona uyo dada yupo sahihi sana,,ila huyo mkaka ndio tatizo sana,,uzur makonda kalimaliza kimakonda

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 7 місяців тому +15

    Makonda tunakuomba ikifika sa 12 uwe unaahirisha mkutano,manyang'au hawapendi unachofanya kwa kuwatetea wananchi wa hali ya chini

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 7 місяців тому +4

      Kabisaa

    • @kivatirokitojo657
      @kivatirokitojo657 7 місяців тому +1

      Huyu sio pimbi etii hapo amekaa kimichezo anajua yupo targeted Ila hii chuma ni mafia

    • @AmAl-x9j
      @AmAl-x9j 7 місяців тому

      😂😂kweli ni mafia aiseee

  • @husseinyathuman87
    @husseinyathuman87 7 місяців тому

    Makonda na Slaa mungu awabariki

  • @jumas.sendekwa2788
    @jumas.sendekwa2788 7 місяців тому +6

    Hivi inaruhusiwa kuwa watumishi wa umma kuwa na vyeo vya kisiasa?

  • @laurianogerold5129
    @laurianogerold5129 7 місяців тому +1

    Wengine ni walimu ila sio walimu wanakazi maalumu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 7 місяців тому +2

    Mtumishi wa uma kwann upo kwenye siasa?
    Shida ndo inaanzia hapo

  • @JOSEPHMwakibinga
    @JOSEPHMwakibinga 6 місяців тому

    Anaweza kua anasaini tu anaondoka

  • @rahmarama5669
    @rahmarama5669 7 місяців тому

    Hv si jmn niajiriwe mimi😢😢😢😢

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 7 місяців тому +3

    Sidhani kama ana elimu ya kiwango cha kazi yake manake anajibu Kwa milolono ya matukio Mara siasa

  • @FrankMkwanda
    @FrankMkwanda 7 місяців тому

    Mwananchi hana shida wala haki anayodai bali analeta siasa na kutaka jina na sifa. Unamchosha mkuu wa mkoa kushughulikia mambo muhimu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 місяців тому +2

    WEWE NI KAMA NANII .

  • @HussainMaula-tz8dh
    @HussainMaula-tz8dh 7 місяців тому

    Eeeeeeeeee Arusha mtanizeeeesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 6 місяців тому

    Mtumishi wa umma kuwa mwanasiasa Tena KIONGOZI wa chama ni sawa?