"NAOMBA TUSITANIANE NATOA DAKIKA TANO HUYU MZEE AWE AMEPATA HAKI YAKE"-RC MAKONDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 182

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 7 місяців тому +23

    Kiukweli tungepata akina Makonda kama Makonda anavyo fanya sijui kama tungemkumbuka kwa maumivu makali JPM
    Mungu akuongoze Makonda kwa upande wangu unakwenda vzr Sana hasa kwa wanyonge🙏🏼
    Utafika mbaaali Sana kama utasimamia haki hasa kwa wanyonge wenye maumivu makali wanayo tembea nayo na hawajui wapi wakaseme ili kupata haki zao Thank you very much Brother Makonda History nchii hiii kuhusu ww tayari Ipo🙏🏼

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 29 днів тому +4

    Yaan makonda na magoti congratulations 🎉🎉❤ kwenu viongozi maihili na wasikivu

  • @babalevinerlameki5425
    @babalevinerlameki5425 7 місяців тому +27

    Makonda the future president from heaven welcome we are waiting you one day

  • @SabathMenda
    @SabathMenda 12 днів тому +1

    Kazi nzuri kiongozi Mungu akubariki kwa kutetea haki za wanyonge

  • @Nerialulambo
    @Nerialulambo 6 місяців тому +7

    Wewe ni Raisi kabisa yaan Mungu akubariki na akulinde

  • @JumaKobossa-gb2br
    @JumaKobossa-gb2br 7 місяців тому +19

    Hongera kwa kazi uifanyayo mungu awe nawe watetee wanyonge. Kila la kheri kwako bro

  • @octavianpeter8472
    @octavianpeter8472 7 місяців тому +31

    Mungu wa mbingun akulinde muheshimiwa

    • @AgathaPeter-tz8iq
      @AgathaPeter-tz8iq 14 днів тому

      Makond Mungu akuhifadhi na kukulinda daima uishi kutetea wanyonge

  • @jesselyimo3403
    @jesselyimo3403 7 місяців тому +36

    Mungu mbariki huyu Makonda baba aje kuwa Rais wa Tanzanis kwa jina la Yesu.

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 7 місяців тому +7

    makonda wewe ni mwema sana yani mungu ambariki mama alekuzaa unasaidia wanyonge

  • @dubariz_mic_killa
    @dubariz_mic_killa 7 місяців тому +9

    Mh.shimiwa makonda anaijuwa kuishi na watu mungu ampenguvu iliaweze kututumikia vyema❤❤❤🤲🇹🇿 am Dubariz Wapagazi

  • @LONGIDOoikos
    @LONGIDOoikos Місяць тому +1

    Mung ampee makondaa maisha maref❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @pastormalitiushuhuda9965
    @pastormalitiushuhuda9965 Місяць тому +1

    Yesu akulinde makonda kwa damu ya Yesu

  • @NasoroZuberi
    @NasoroZuberi 7 місяців тому +8

    Safi sana hii enaitwa hapakazitu yani unanikosha sana mungu aubaliki sana tenasana

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 7 місяців тому +6

    Makonda anaweza na anamanisha

  • @MojaZirro
    @MojaZirro 7 місяців тому +9

    Makonda Mungu akubariki

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 7 місяців тому +2

    IBRAHIM LA TRAULE,, THOMAS SANKAL,,JPM TANZANIA,JKN, TANZANIA... MAKONDA NI 1

  • @Emanuellupoja44
    @Emanuellupoja44 Місяць тому +1

    Mungu mubariki makonda linda maisha yake

  • @patrickymkoma3558
    @patrickymkoma3558 3 дні тому +1

    Kiongozi mzuri sana.punguza kujiamini sana!unaharibu.

  • @ramadhanaldawiyya8659
    @ramadhanaldawiyya8659 7 місяців тому +2

    Abarikiwe mh MAKONDa

  • @malila4582
    @malila4582 7 місяців тому +8

    Iki kidume bwana💪

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 7 місяців тому +5

    Yaani nimelia kwa sana kwa ujasiri wa makonda wallah Yaa Rabbi mlinde na Shari za walimwengu huyu mja wako hakika huyu ni zawad kutoka kwa Allah mama Samia hapo upate msaidizi😢😢😢najisikia raha

    • @IsmailMjesh
      @IsmailMjesh 6 місяців тому

      Alhamdullilah nilipata kwenda Arusha wallah kuna watu wengi, mpk haipatikani

  • @EzekielMussa-j5h
    @EzekielMussa-j5h 5 місяців тому

    Mh makoda nakuombea kwa mungu akupe maisha marefu

  • @BiteMacha
    @BiteMacha День тому

    Mungu azidii kukubarikii naakutie nguvuu utetee wanyonge

  • @clementkaswa-pb3so
    @clementkaswa-pb3so Місяць тому

    Babaaa makondaaaaa we are with you Sir

  • @christophermajumbi6318
    @christophermajumbi6318 Місяць тому

    Mungu akupe maisha malefu Kiongozi Makonda

  • @gm7045
    @gm7045 7 місяців тому +5

    Makonda (King Salomon )❤

  • @ShaidaAfati
    @ShaidaAfati 7 місяців тому +10

    Makonda wewe ndiyo unastahili kuwa raisi wa nchi hi lakini raisi gani kilasiku kigu na njia kazi njema mrisi wa magufuli❤

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 7 місяців тому

      Anapambana Kwa ajili yetu

    • @SaidiGolo
      @SaidiGolo 7 місяців тому +1

      Shaida huyo makonda anafanya kazi alieagizwa na huyo unaemzarau na kumuita eti kila siku kiguu na njia maana hizi ndio kazi zao wakuu wa mikoa na sio ishu ndogo km hizi eti asimamie rais Sasa wao wameteuliwa ili wafanye Nini shaida chunga mdomo wako uhuru wa kuongea usikupe kiburi ukazungumza unachojisikia hizo ziara anazoenda mama ni faida ya watanzania wote

    • @PurityJohn-if4ei
      @PurityJohn-if4ei 7 місяців тому

      😊

    • @Ericomtz5
      @Ericomtz5 6 місяців тому

      ​@@SaidiGolonakubaliana na wewe mkuu by ericomtz05 from Geita Tanzania

  • @janemcharo5371
    @janemcharo5371 7 місяців тому +4

    Sina lakusema mheshimiwa Makonda ila tuu MUNGU Akukumbuke kwenye ufalme wake hilo tuuu❤

  • @user-lucas047onyango
    @user-lucas047onyango 7 місяців тому +5

    Makonda ana mienendo kama ya magufulii

  • @reubenalfred9707
    @reubenalfred9707 7 місяців тому +7

    Hata kama ni kweli alipata zero, lakini ameonesha uhodari kwenye utendaji zaidi ya wasomi.! Na pengine ni mifumo yetu tu mibovu ya elimu ndio ilisababisha afeli form four lakini Makonda ni smart sana kuliko hata Gwajima na kebehi zake

    • @santebnassary7411
      @santebnassary7411 7 місяців тому +2

      Kusoma Ni makaratasi utendaji kazi upo ndani ya mtu sio kwenye makaratasi ukichukua huyu anaweza kuwazidi hata maprofesa waliosoma hadi wakakutana na skull basi

  • @binkhalifa6956
    @binkhalifa6956 7 місяців тому +6

    Allah akulinde Mh Makonda

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 7 місяців тому +18

    Kweli watu wanateseka kwajili ya watu wengine wanaodhulumu

  • @Joery-pb5tz
    @Joery-pb5tz 7 місяців тому

    We makonda ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ShortyShorty-mr3jb
    @ShortyShorty-mr3jb 7 місяців тому +6

    Safi sana😂mhe makonda

  • @josephmachariamwangi7733
    @josephmachariamwangi7733 7 місяців тому +1

    Asanteni tanzania maghufuri bado yup tu

  • @omarwahab7191
    @omarwahab7191 7 місяців тому +11

    Makonda Allah akulinde

  • @PriscaManuel-m7m
    @PriscaManuel-m7m 3 місяці тому

    Makonda wewe nimfano wa mzee magu tunayo imani ipo siku itapeperushwa bendera ikuru Mungu akulinde xana

  • @LinusLongino
    @LinusLongino 7 місяців тому

    Mh, hongera Kwa kazi nzuri Mungu akutie nguvu

  • @DjohariNdayizeye-pm5xd
    @DjohariNdayizeye-pm5xd 7 місяців тому

    Mungu akubarik Sana ,

  • @hancyqvenus9644
    @hancyqvenus9644 7 днів тому

    God bless you

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 6 місяців тому

    Piga kazi makonda mungu yupamoja nasi

  • @RhodaLema-z8w
    @RhodaLema-z8w 7 місяців тому +4

    Piga kazi kijana wetu tuko nyuma yako tunakuombea kwa Yehovah akulinde

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x Місяць тому

    Makonda nakukubali sana

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 7 місяців тому +5

    Safi sana

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 7 місяців тому +6

    Nakuona makonda ukiingia njia ya magufuri😭😭😭😭😭 binafsi natamani sana ukpate kiti cha uraisi af utufanyie haya

  • @MinnahMnyanyi-ee1bw
    @MinnahMnyanyi-ee1bw 7 місяців тому +3

    Ila jamani laana tunajitkia TU kumdhulumu huyu mzee

  • @SmilingDachshund-xv5si
    @SmilingDachshund-xv5si 2 місяці тому

    Hayo ndiyo maisha yetu

  • @benlaizer9936
    @benlaizer9936 7 місяців тому +8

    Hakika huyu ndiye ajaye kuvivaa vile viatu vilivyokosa mvaaji

  • @JastineJasto
    @JastineJasto 3 місяці тому

    Hapa kazi tu

  • @Salalimali-kq1cj
    @Salalimali-kq1cj 2 місяці тому

    Wewe ni hazina kubwa sana ktk nchi yetu captain makonda

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 7 місяців тому

    Naomba Allah anikutanishe nae live huyu makonda nijisikie raha zaid Mimi nimekua mtu wa kutoka machozi kila siku nionapo ujasiri wake😢😢😢

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 7 місяців тому +10

    Taifa la lele Mama kila Mtu anatupa mpira kwa mwenzie. Eti si kazi yetu tullishamaliza jalada lipo kwa Mkuu wa wilaya Nonsense

  • @PeterKisiongo
    @PeterKisiongo 7 місяців тому

    Mungu awe nawe

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 7 місяців тому +7

    HATA SURA ZAO ZAONESHA WATU WASIO HURUMA, WASIOJALI...NA MATUMBO MAKUBWA YA BIA TU. HII NCHI ASILIMIA 98 YA WATENDAJI WANGEFUKUZWA, TUANZE UPYA!

  • @donardmsomi8451
    @donardmsomi8451 7 місяців тому +2

    Huwa naenjoi sana kusikia maamuzi ya chapuchapu kwa kiongozi.

  • @Msanuaj
    @Msanuaj 24 дні тому

    Makonda anafuata nyayo za maguful kwakwel mungu akuweke

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 Місяць тому

    MUNGU asaidie watuwake yarrabh asante mkubwa ubarikiwe

  • @SalhaMlombo
    @SalhaMlombo 5 місяців тому

    Mungu alinde huyu baba na watu wabaya kwakwel ni mtetez wa wanyonge

  • @mussaMagaji-ey1tu
    @mussaMagaji-ey1tu 7 місяців тому +1

    makonda ni moto wakuotea mbali inaitwa gusa unase

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 7 місяців тому +5

    gongeni LIKES ili watu wengi waipate na kuskiliza majadiliano ya viongozi wetu/ hiii itatusaidia kukaza maombi kuwaombea

  • @FedyKafyulilo-iz2nw
    @FedyKafyulilo-iz2nw 7 місяців тому +1

    Ingekuwa inawezekana tungeungana wote tumpitishe makonda awe rais,maana anatosha kila secta,sema tu umoja haupo ila mm namuomba mungu atufanyie muujiza awe rais tu

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 7 місяців тому +2

    Kura zitakua nyingi za kusukwa sukwa tunapomsifia wanachukia mafisadi anayoyafanya hafanyii chumbani tunaona watu wanafutwa machozi tunaomba mungu mlinde baba wanaopigana naye pigana nao

  • @LONGIDOoikos
    @LONGIDOoikos Місяць тому

    Dah inaumiza atar😂😂

  • @EdmondKiprono-eu2nn
    @EdmondKiprono-eu2nn 5 місяців тому

    hunafanya kazi makondaa

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 7 місяців тому +4

    Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Arusha tuliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya serikali madai yetu hatujalipwa tangu mwaka 2000 mpaka sasa juni 2024 hatujui hatima ya madai yetu tunaomba msaada

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 7 місяців тому

    Aseee dah 😢😢😢

  • @BernardSadani
    @BernardSadani 7 днів тому

    Fanyakaz mwamba we j.p.m wa badaeeeh nasi tunajuahilo sema2 mtangulize mungu mbele kama jpm.

  • @JbahattBahhatt
    @JbahattBahhatt 7 місяців тому

    Makonda kazi Safi unafaa kuwa raisi baba

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 7 місяців тому +1

    +MUNGU+ alie HAI azidi KUKUBARIKI na kukutunza hata na uzao wako baada yako 1 WAKORINTO 1:9🙏

  • @martinwangwe8966
    @martinwangwe8966 7 місяців тому +7

    endelea kupiga spana wavivu

  • @LarryLuvati
    @LarryLuvati 23 дні тому

    Kweli wanainchi humu chini wanaumia sana!

  • @AshaHussen-y4e
    @AshaHussen-y4e 2 місяці тому

    Kwann asiwe rais jmn

  • @masatumtani1588
    @masatumtani1588 Місяць тому

    Kwenye jambo la aridhi wa Tanzania wanateseka sana

  • @NgoteUpinde
    @NgoteUpinde Місяць тому

    Duu mzee fasta mambo yanaisha akuna majungu

  • @sunaybrajabu238
    @sunaybrajabu238 7 місяців тому +1

    Viongoz mtachomwa moto jamani hamumuon hata mzee wa watu

  • @thepowerofchristministry1918
    @thepowerofchristministry1918 7 місяців тому +3

    Ivi hii nchi tukienda hivi tutafika kweli? Mmemwachia makonda matatizo yote ya watu wa nchi hii,na mnapokea mishahara kweli!?

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 7 місяців тому +2

      Hata Mimi nashangaa makonda ndo kaajiliwa na serikali peke yake

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi 7 місяців тому +4

    Mamayetu mama samia naomb kama utaipata hi sms tafuta watu wengine 10 kama uyu baba waweke kweny mikoa kolofi jamna mama uyu mtu anafanya kazi saan naiman yapo mashetani yatakuwa yanamlinda yamtoe mpe ulinzi uyu baba anaitaji kuangaliwa kwa machoyoote

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 7 місяців тому +3

    Haw wapumbavu sana wasambua viongoz wenzao sana sijui kwa nn hamuafukuzi

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 7 місяців тому +2

    piga spana kenge haooo

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 7 місяців тому +1

    Ivi binadamu hamna haibu ya kumsumbuwa mzee mlemavu tena mgondjwa mlaaniwe.makonda fanya kazi baba kwa ukali kwenye sikali kuna washamba na ushamba mwingi ni ujinga.washenzi sana hamna adabu kabisa.

  • @DicksonCharles-km9vu
    @DicksonCharles-km9vu 7 місяців тому +1

    Unastaili kuakiongozi mkubwa atnzania

  • @japhetkahindi4791
    @japhetkahindi4791 7 місяців тому +1

    Iwish uongozi huu ingekuwa kenya

  • @allysaleh2220
    @allysaleh2220 6 місяців тому

    Kuna mmoja yupo dar huko anakazi ya kolopoka lopika2 😂😂

  • @gabrieldanda
    @gabrieldanda 25 днів тому

    Kama wewe ndio kama magu huruma kwa wananchi majibu anayo mungu aendelee kukulinda one day uokoe watanzania wanyonge kama hawo

  • @EdmondKiprono-eu2nn
    @EdmondKiprono-eu2nn 5 місяців тому +1

    Hae

  • @Emmanuela_pius
    @Emmanuela_pius 7 місяців тому

    🔥🔥🔥

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 7 місяців тому

    Haitojalisha ni lini lakini makonda atakuja awe Raisi wa nchi hii

  • @remymsangi4546
    @remymsangi4546 6 місяців тому

    Vizuri havidumu,mambwa wa hii nchi ole wenu mumfanye kama mlivyomfanya .......,tuachieni makonda wetu

  • @fatumasaidimmependezamjeng8994
    @fatumasaidimmependezamjeng8994 7 місяців тому

  • @MwanaKanyoro
    @MwanaKanyoro 7 місяців тому +1

    Mpaka nimelia jaman

  • @jerryshah4880
    @jerryshah4880 7 місяців тому

    I think it is time to get back to Arusha.

  • @PeterPeteraugustino
    @PeterPeteraugustino 6 місяців тому

    Kiongoz mzr ni yule anaye sikiliza kelo za watu na kuzitatua bila kubagua

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf 7 місяців тому +1

    Makonda anastaili kuwa rais wa Tanzania lkn ccm naujizi wao naujambazi na ifisadi wao watakubali kwelii maana hapo akiwa rais makonda ufisadi kwisa abali yake CCM nikikwazo kukibwa sana ndo shetani wa Tanzania anaetuyumbisha nakututesa kiukweli ccm haifai hata robo

    • @SaidiGolo
      @SaidiGolo 7 місяців тому

      Ujizi,ujambazi na ufisadi hata chadema upo km huamini muulize msigwa

  • @MassudijumaNassibu
    @MassudijumaNassibu 2 місяці тому

    NChii tungepata wakina makonda 5 tungefanikiwa

  • @shmaiderkiborey5144
    @shmaiderkiborey5144 7 місяців тому +1

    Hii nchi inawatu ambao hawana huruma hata kidogo

  • @azizigaston8631
    @azizigaston8631 7 місяців тому +1

    Spana spana spana piga spana mh makonda wanaonea sana watu hao usiskile wanafiki na wanataka kikurudisha nyuma ni Bora ufe kwenye haki kuliko kufa kwe dhuruma mbona baba yako kipenzi magufuli wetu naamini amepumzika kwenye haki wewe chapa kazi maombi yetu yapo juu yako

  • @BukinduBukindu
    @BukinduBukindu 7 місяців тому

    Wana Arusha Mungu awape nini❤

  • @naimatemba8061
    @naimatemba8061 7 місяців тому

    Mpaka machozi

  • @PHARESVENANCE-ye8wh
    @PHARESVENANCE-ye8wh 7 місяців тому +2

    Natamani Makonda nikuone walau ata Kwa macho nakuonaje jamani

  • @salehehassan4191
    @salehehassan4191 7 місяців тому

    Mama samia tunamtaka makonda Aje Tanga mana ukuzuluma za Ardhiz ninyingisana

    • @asteriashios1852
      @asteriashios1852 7 місяців тому

      Tanga si mtamloga aisee unamtakia mwema kweli ? Duh makonda Kwa Tanga tutamkosa Bora mikoa mwingine arudishwe Kilimanjaro tuu etie?