"NI UONGO, NIFUTENI, WEWE NDO NAKUTAKA" MVUTANO MKALI, UFISADI WAFICHUKA MBELE YA MAKONDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 292

  • @costantinejohn-xn6lw
    @costantinejohn-xn6lw 7 місяців тому +11

    Magufuli kwenye mwili wa Makonda..... Eeh mungu tunakushukuru!!!!

  • @costantinejohn-xn6lw
    @costantinejohn-xn6lw 7 місяців тому +1

    Duuuuuh kwenye kazi Kuna kazi

  • @ev.manassehbayori8560
    @ev.manassehbayori8560 6 місяців тому +1

    Kwa kwerli mzimu wa Magu umerudi katika nafsi ya Makonda

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 7 місяців тому +14

    Hongera Mhe Rais kwakumteuwa huyu Mwenez Ccm inogile

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 8 місяців тому +3

    Sasa mazungumzo yanini wakati mnasema mwekezaji alifutiwa kweli bongo nyoso😂😢😅

  • @MussaEmmanuel-r9o
    @MussaEmmanuel-r9o 7 місяців тому +10

    Mh Rais tunashukuru Kwa kumteua Makonda ombi langu kama itakupendeza mteue na polepole washirikiane na huyu mwamba

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 8 місяців тому +3

    😂😂😂😂😂Makonda Oyeeeeeeeee kuwaa.uyaonee😂😂😂😂😂😂😂 Manyaraa nziiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂

  • @RojasiMsuya
    @RojasiMsuya 8 місяців тому +8

    Kweli makonda anafanya nyayo za hayati magufuli

  • @AngelHamad-d6q
    @AngelHamad-d6q 7 місяців тому +3

    Cheo ulichonacho Ndg Makonda nahisi n kidogo na hakina meno. Nakuombea kwa Mungu upande zaid ya hapo hili utusaidie Watanzania.

  • @jaylossiame3077
    @jaylossiame3077 8 місяців тому +10

    Huyu mwamba 🎉🎉❤❤
    Ungewai kuja hiki cheo walikuwa walikuwa wapi kukupatia. Mungu akupe uhai mrefu

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 8 місяців тому

      Uhakika hao wengine akina pole pole walikuwa wapiga mapambio

  • @JamesChrizestome
    @JamesChrizestome 8 місяців тому +7

    Ni kweli kabisa wafanyakazi wa ardhi ndiyo chanzo cha migogolo na hata Mkoa wa Kagera mpaangalie kwa jicho la pili

  • @Pastorsteverotali
    @Pastorsteverotali 8 місяців тому +4

    MAKONDA UNASTAHILI KABISA KUONGOZA HII NCHI NA WATU WAKANYOOSHWA KAMA ALIVYO WANYOOSHA MAGUFULI

  • @NelsonSizimwe
    @NelsonSizimwe 7 місяців тому +4

    mungu akulinde siku zako zote

  • @MichaelJames-tp6co
    @MichaelJames-tp6co 8 місяців тому +7

    Mh. Makonda hongera umakua matumaini tena kwa watanzania

  • @kosherasengasu5093
    @kosherasengasu5093 8 місяців тому +8

    Hongera Sana mheshimiwa Makonda Kwa utendaji wako uliotukuka.

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 6 місяців тому +1

    Hii kazi ilipendeza aifanye waziri mkuu ila ccm mjitafakari muda ni mrefu miaka zaidi ya 60 hatukupashwa kuyasikia haya ya enzi za ukoloni

  • @npiperito19
    @npiperito19 3 місяці тому

    Laiti kama Mozambique tungekuwa na viongozi wenye msimamo kama wa mweshimiwa makonda, tungekuwa na maendeleo, lakini tunaishia 🤣🤣🤣. Kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @BrunoMakweta-dm5sb
    @BrunoMakweta-dm5sb 8 місяців тому +4

    Diwan naomba apande cheo

    • @margaretkato5178
      @margaretkato5178 7 місяців тому

      Diwani anafaa sana, anaongea vyema..bigup....na kijana Makonda you are doing wonders.

  • @KogaDenha-yy8lt
    @KogaDenha-yy8lt 8 місяців тому +16

    Mweshimiwa makonda mwenyezi mungu Akulinde Akukinge na Kila baya Akutunze uendelee kusaidia watanzania tunakuomba sana

  • @sabinamachange6040
    @sabinamachange6040 7 місяців тому

    Makonda umeshaiona hiyo ccm yako inavyotesa wananchi wa Tanzania???? Ccm sasa basi jamani!!😢😢😢😢

  • @ndayizigasamson665
    @ndayizigasamson665 7 місяців тому +1

    Aise mweshimiwa Makonda MUNGU akupemaisha marefu yakuwasaidia wananchi. Mwenyewe nimeipenda.

  • @cvaginga9956
    @cvaginga9956 7 місяців тому +1

    HONGERA SANA MHESHIMIWA MAKONDA. MTU KAZI. HUNA MBA MBA MBA. TUPO NYUMA YAKO. KAZI IENDELEE

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 7 місяців тому +1

    Serikali yetu inawaibia wananchi kwa MIDI’mi kama hii. Sheria hawa viongozi wenyewe hawazijui, hawaziheshimu. Wanaupiga mwingi. Ni dhuruma nchi nzima wanaccm wamepira ardhi Za wananchi. Ardhi zimeporwa.unyanyasaji wa watu . Wananchi wamekuwa watumwa nchini kwao.
    Ccm Oyee.

  • @josephphilipo-r6c
    @josephphilipo-r6c 7 місяців тому +6

    Siku ukigombea uraisi nitaa muka saa8 usiku ili niwahi kukupigia kula maana namuona magufuli ndani yako .mungu akubaliki sana siku moja uwe raisi ktka inchi hii haki itatendeka sana

    • @alvinsafi2733
      @alvinsafi2733 6 місяців тому

      Hahaha Labda tumuulize Tundu lissu kuhusu Makonda..😂😂 Kumbuka huyu jamaa alikuwa mkuu wa mkoa DSM unajua kuna mauchafu mangapi alifanya? Akataka kuwa mmbunge wa Kigamboni unajua kwa nini alikosa ubunge? Sasa huo uraisi ataupataje na nani atampa.. Ccm oyee..😂😂😂

    • @estherkibajiro3480
      @estherkibajiro3480 3 місяці тому

      Namimi pia❤

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 8 місяців тому +6

    Mh makonda nakupenda sana na siku nikikuona nitapambana nikushike mkono ata kwa kupigwa na walinzi wako💯💯

  • @AishaDauban
    @AishaDauban 7 місяців тому +1

    Hapa kwa makonda nakiona kiatu alichokua akikivaa magufuli taar kimepat mrithi . Mungu akulinde mh makonda

  • @bonifacemushijoseph9382
    @bonifacemushijoseph9382 3 місяці тому

    Mhe. Ningetamani sana sana ujue dhuluma inayoendelea Tchibo estate mikataba yao tulitamani wananchi kujua, barabara mbaya tofauti na wawekezaji wengine

  • @PropKibali-f8d
    @PropKibali-f8d 8 місяців тому

    MCHEZO WA AKILI KUSHIKA AKILI ZA WAPIGA KURA 2025. WALIOFANYA HAYO NI NANI KM CY CCM NA SERIKALI YAKE? UTOTO!

  • @evaemil856
    @evaemil856 7 місяців тому

    Angalau Makonda anatenda haki Sasa na kusuluhisha migogoro miwili mitatu Ila waziri wa Ardhi anawaua wananchi yaani hiyo bomoa bomoa inayoendelea si mchezo.

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 8 місяців тому +4

    Wananchi wanateseka saana leo hii mtu kama Rostam anawekwa ni tajiri Africa kupitia uwekezaji wa ajabu

  • @MichaelMfangavo
    @MichaelMfangavo 7 місяців тому

    Mweshlmiwa hayo yako mengi njoo mokoa wapwani mkombozi wetu

  • @EmmanuelMwakyendenge-fd2mz
    @EmmanuelMwakyendenge-fd2mz 8 місяців тому +5

    Makonda mungu akubaliki pia raisiwetu mama samia kwa kazi njema .ombi langu naiomba serikali na chama chetu ccm fikeni mbarali wananchi wana machozi juu ya arizi yao

  • @DenisRamadhani-mg1gu
    @DenisRamadhani-mg1gu 5 місяців тому

    wakisema unakiherehere bora uwajibu nawatengenezea nchi nzuri watoto na kizazi endelevu waishi kwa haki na furaha na kuichukia tamaa"

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 7 місяців тому

    Jamani nchi hii imeoza tunashauri mh. Rais asigombee muhula huu labda tubahatishe mwingine kama tutapata wa kutatua migogoro mikubwa hii la sivyo wanaichi wataishi kwa kupanga majumba ya wawekezaji na kufanya kazi mashamba ya wawekezaji mama hatuhurumii. Haya anayoongea makonda angekuwa anaongea Rais mwenyewe.

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 6 місяців тому

    Mnisaidie nani wakulaumiwa?wasimamizi wa serikari au Wana CCM amba ndio huku ni wanachama na huku ni Wana CCM ni Kama mchezo wa kuigiza usioisha ....

  • @JumaAmiri-z7x
    @JumaAmiri-z7x 6 місяців тому

    Ndugu makonda wewe nimzalendo endelea kusimamia haki usiogope hatimayako anayo mola wa watu songambele asiekuwa na huruma usimuonee huruma wala usimuonee

  • @GoodluckShiyo-c1j
    @GoodluckShiyo-c1j 7 місяців тому

    Jamani kama huyu makonda ndivyo alivyo kweli c wampe urais tu km amevaa viatu vya Magufuli hv

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 8 місяців тому +15

    Safi kabisa Paul na mungu akutangulie.

  • @XavyFdon-li6rc
    @XavyFdon-li6rc 3 місяці тому

    Baba makonda nimechoka kuwa kinda namimi naomba niwe dereva Sasa hata 109 nitaendesha

  • @hassanyohna6121
    @hassanyohna6121 8 місяців тому +4

    Makonda Ukuje na kwetu Kunamajizi hatareee

  • @SaidJabiry
    @SaidJabiry 8 місяців тому +4

    Mh pomakonda nakupenda sana umenikumbusha mbalisanaa

  • @starick-wd8ij
    @starick-wd8ij 7 місяців тому

    Mweshimiwa karibu wa chama kama raisi alishasema shamba licutwe kann liridi tena kwa mwekesaji .wakati lilikuwa limetelekeswa? Hapo kuna thuluma

  • @BakariJiliwa
    @BakariJiliwa 3 місяці тому

    Tuletee winga teleza amflei polepole mueshimiwa raisi

  • @HamadSwaleh-f9i
    @HamadSwaleh-f9i 3 місяці тому

    Next president bila kupingwa

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 6 місяців тому

    Sasa mtu wenu makonda kamwondowa sasa mnasemaje teuzi aliteuliwa kwa bahati mbaya mama tena kamwondowa watanzania poleni sana
    .mama ataleta mwingine kuweni wavumolivu..

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 6 місяців тому

    Sasa mtu wenu makonda kamwondowa sasa mnasemaje teuzi aliteuliwa kwa bahati mbaya mama tena kamwondowa watanzania poleni sana
    .mama ataleta mwingine kuweni wavumolivu..

  • @DenisRamadhani-mg1gu
    @DenisRamadhani-mg1gu 5 місяців тому

    nyoosha mzeee usiwe na huruma kwa wasiotenda haki " usiogope kulogwa wala kufa maana kufa kupo tuu" piga kazi kaka

  • @jeromeseria2487
    @jeromeseria2487 4 місяці тому

    Ni nani wanaiharibu hii nchi kama hata cccm wanalalamika? Hii Makonda approach ndio suluhisho la haya mambo?

  • @robertmbuji1903
    @robertmbuji1903 8 місяців тому +1

    Kidum chama chetu hicho chuma sasa, Mungu akujalie

  • @mistahkeytvkenya4211
    @mistahkeytvkenya4211 3 місяці тому +1

    Walipo mumaliza John walifikiria kuwa wameimaliza Tanzania,Hila mungu nae ni mkuu akamuamusha maguu mwingine mwenye jina tofauti kuwa makonda,,twakushukuru shuja makonda

    • @BoisDonkoil-rk8lr
      @BoisDonkoil-rk8lr 3 місяці тому

      Eti heeeh 😂😂😂😂walipo muua Yesu walizani amekufa kumbe badala yake injili yaendelea, Makonda endeleza walicho kuanzisha Baba zetu wa taifa mwalimu Julias kambarage Nyerere pia Mwalimu Johnie pombe Magufuli hiyo ndio faida ya kuzaa viongozi hao wameonyesha uzalendo tunajifunza mengi.. Mungu pekee astahilie sifa zake njema na wakati wote akutangulie popote duniani

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 7 місяців тому

    Makonda makonda makonda ardhi huwa ni ya serikali na Rais ana mamlaka ya kuigawa kwa wananchi ili waendeleze sasa sijajua kama cheo chako kiko juu ya Rais

  • @aliyuabdallah3210
    @aliyuabdallah3210 6 місяців тому

    Makonda nmkubali sana natamn awe raisi miak ijayo waskum wnfny kaz za haki

  • @HusseniSalimu-y2e
    @HusseniSalimu-y2e 8 місяців тому +2

    Yani nchi hii watu kama Makonda yatakiwa muwe kama mia mbili ndo mtaiweza hii nchi

  • @patrickbamisi
    @patrickbamisi Місяць тому

    huyu siyo makonda ni magufuli pacha wake

  • @AntonNade
    @AntonNade 8 місяців тому

    Mwekezaji atafutiwe eneo mbadala

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 3 місяці тому

    Kihalali kabisa sioni haja kuwapora Wananchi Mali zao zozote hasa hata haya mashamba, thamani ni mwenye shamba auze shamba lake kwa anaemtaka, au kwa anaowataka.

  • @ElizabethFesto-fv2ku
    @ElizabethFesto-fv2ku 8 місяців тому +1

    Hao ndiyo wanao haribu sifa ya serikali yetu

  • @YonaAinea-vq3gp
    @YonaAinea-vq3gp 7 місяців тому

    Naamimi uongozi kipaji,Kwa halo hii Samia nakupa kula hii ndio haki

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 8 місяців тому +3

    Watalaam wengi ni biashara binafsi.Wanamezwa na,kwenye ukwasi
    Kuishi eneo moja kwa miaka mingi mtumishi mtalaam nalo nitatizo.

  • @habarinamatukio6148
    @habarinamatukio6148 7 місяців тому

    Makonda awe RAISI WETU

  • @samwelmachaka936
    @samwelmachaka936 7 місяців тому

    Siku ukigombea urais namka usiku wa manane kukupigia kula

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 8 місяців тому +9

    Mnawafunga wadogo je wezi wa mabilioni huko juu mbona hawafungwi?jela ipo kwaajili ya wadogo kwa vyeo na maskini.Tanzania mahakama zipo kwaajili ya wanyonge

  • @njuka3515
    @njuka3515 8 місяців тому +7

    The coming presdent paul makonda❤

  • @mussakashinje8733
    @mussakashinje8733 2 місяці тому

    mikoa mingine hazifanyi kazi only mkonda baba fanyakazi

  • @boazmvellah6286
    @boazmvellah6286 8 місяців тому +3

    SISIEMU WANATUCHEZEA KAMA PS2😂😂😂😂😂

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 8 місяців тому

      Maigizo ya kitoto sana

    • @sabinamachange6040
      @sabinamachange6040 7 місяців тому

      Ccm wanatuchezea akili ili tuendelee kuwaamini waigizaji hao hamna lolote 😂😂😂

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 8 місяців тому +3

    Mh Mwenezi kuna box limefungwa la siri(Ebu wasaidie wananchi hao na diwani wao box hilo lifunguliwe.

  • @BrunoMakweta-dm5sb
    @BrunoMakweta-dm5sb 8 місяців тому +1

    Daa mngu akulinde muheshmia unakiatu kzto mtu mngne hawez kukivaa mngu skulinde mheshmiwa

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 3 місяці тому

    M.mungu atakubariki makonda

  • @JEREMIAHDANIEL-f4i
    @JEREMIAHDANIEL-f4i 6 місяців тому

    Makonda ww ni jembe la mafisadi

  • @MwanneHussen
    @MwanneHussen 7 місяців тому +1

    Safi sana Makonda wakomeshe watanyooka tu hao mungu akulinde❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @spendjulius-qz9mt
    @spendjulius-qz9mt 8 місяців тому +6

    Good Mr. Makonda the next President 💪🏿

  • @samwelimarwa5267
    @samwelimarwa5267 8 місяців тому

    Ndugu makonda unatekeleza,nilicho soma shule ya msiingi kwamba chama kinatoa malengo serikali inatekeleza;sasa kama viongozi wa chama hawatekelezi waondolewe na kufikishwa mahakamani kwani wameapa,lkn anaenda kinginr na kiapo;Na nchi inahitaji viongozi kama ww.

    • @samwelimarwa5267
      @samwelimarwa5267 8 місяців тому

      NDUGU MUENEZI NYOOSHA HADI TARIME VIJIJINI -GANYANGE KUNA BIBI ANAITWA MATINDE NYANDEGE KANYANGANYWA ARDHI NA WANA UKOO

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 місяці тому

    KIKWETE SIYO DAKTARI NI KAPTENI .

  • @JuliasiSatoti
    @JuliasiSatoti 3 місяці тому

    Baba Makonda watu wanakuagaliya

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 8 місяців тому +2

    Diwaani pita hapa Safiiii..mh MAKONDA.❤❤❤❤

  • @FelgusShija
    @FelgusShija 7 місяців тому +1

    Wanazingua

  • @rusagarajustin602
    @rusagarajustin602 3 місяці тому

    Huyu mkuu razima apewe urais

  • @WinnieBenard-x5c
    @WinnieBenard-x5c 8 місяців тому +2

    Makinda amebadilika sana utoto umemtoka amekua sasa anajua majukumu . Kudoss to his mentor hayati magufuli😢

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 6 місяців тому

    Magufuli ameacha mbegu

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 8 місяців тому +15

    Duu! Tanzania tunakazi kuna mijitu haina upendo, Mh Makonda big up,kazi nzuri ila uko pekeyako. God bles you.

    • @ramsonramadhan4156
      @ramsonramadhan4156 8 місяців тому

      Ww hayuko pekeake uyo ..kapewa kazi maalum na ana watu uyo..na Ujue watu walimbeza sana mwanzoni

  • @gracewayanga7509
    @gracewayanga7509 8 місяців тому +15

    Mh Makonda mungu akupe maisha marefu

  • @KandidoLuvanga
    @KandidoLuvanga 4 місяці тому

    Upigaji upigaji upigaji

  • @DavidMaweni
    @DavidMaweni 2 місяці тому

    Namkubali sana diwani,

  • @YonaAinea-vq3gp
    @YonaAinea-vq3gp 7 місяців тому +1

    Namkubali sana makonda

  • @omaryjudasymwanga7172
    @omaryjudasymwanga7172 8 місяців тому +1

    Kuna wakati hizo zinakua ni deal za watu na zinakuaga na maelekezo kwamba iweje so hao wanajigongagonga lakini wanajua kisanga hapo ni nani wa kumvisha paka kengele

  • @iddiabdallah7352
    @iddiabdallah7352 8 місяців тому +1

    Ona mzee anavyowanyoosha viongozi kwamba uongozi haupo vizuri kwenye maamuzi

  • @kantategodwin6627
    @kantategodwin6627 3 місяці тому

    Hongera sana Makonda ❤

  • @SaudaBashiri-q1j
    @SaudaBashiri-q1j 6 місяців тому

    Watendaji nihatari

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 8 місяців тому +13

    Mtachezewa sangoma na ccm mpaka muwe mazombi

    • @onelovetz7935
      @onelovetz7935 8 місяців тому +2

      Makonda njia yako Ni nzuri lakini nikama umeshika njia yako Kama ya Magufuli kwasasa wengine hawana shida na wananchi tunaomba ugombee urais

    • @Zuu673
      @Zuu673 7 місяців тому +1

      Utachezewa wewe

  • @fidahusseinkassim9778
    @fidahusseinkassim9778 8 місяців тому +3

    Huyu si ndo yule fisadi

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 7 місяців тому +1

    Hii nchi haki haipo yan kuna uozo sana wananchi wanalia

  • @chalespamagila4783
    @chalespamagila4783 8 місяців тому +1

    Makonda ipo siku mungu utaongoza hii inchi

  • @piusbaruhuwundi8987
    @piusbaruhuwundi8987 8 місяців тому

    Tunaomba hata baada ya uchaguzi liendelee maana ni jambo zuri. #makonda nakutabiria UWAZIRI MKUU

  • @mussamdoe4619
    @mussamdoe4619 8 місяців тому +2

    Njoo mazinde korogwe Tanga hii mambo imekithili

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 8 місяців тому +2

    Jibu ndio au hapana sio maelezo.

  • @bakarithegeoinformatician7406
    @bakarithegeoinformatician7406 8 місяців тому +1

    Sasa Mzee kulikuwa na ukazima gani wa kuvaa nguo ya chama kama sio unafiki! Ungevaa kawaida tu

  • @juliusntandu4302
    @juliusntandu4302 7 місяців тому

    Ee Mungu ninaamini unasikia Kila kitu leo ombi langu kwako ulinde mh Makonda na mh Rais wetu Mama yetu Mpendwa Dr. Samia Suluhu Hassan aliyemteua licha ya wengi kumchafua lkn mama aliiona talanta yake ya uongozi kwa Kijana huyu mchapa kazi. Mungu ibariki Tanzania Amen

  • @kulwaemmanuel2875
    @kulwaemmanuel2875 8 місяців тому +13

    Yaani haki ya Mungu huyu diwani amenifanya nimetoa machozi kwa hayo maelezo yake especially hayo ya kwanza daaaaa!!! Nimegundua hii nchi wanyonge hawana sehemu ya kulalamikia, big up sana Makonda your a voice ya wanyonge, Mungu azidi kukuhifadhi kwaajiri ya hili taifa.

    • @beatrice4780
      @beatrice4780 8 місяців тому

      ❤AMEN. Mungu azidi kumuinua.

    • @PeterMollel-o2v
      @PeterMollel-o2v 7 місяців тому

      Lakini wananchi tuwamke jamani na tuacheni kuburutwa na C.C.M. kwani walikuwa wap miaka zote hizo mpaka leo miaka 60 wakitawala wananchi wake wakinyanyapaliwa? Lakini ikifika miaka kuelekea uchaguzi ndyo wanajitokeza kutuvumba macho kuwa wanatujali Sisi wanyonge ili wapate kula zetu ili waendelee kututawala. Na yote yakiwa yanafanyika wanaotawala ni wao wao tu C.C.M. Kwa hivyo niwaombe wananchi wenzetu tuwamke na tusiwe kama vile tumekorogwa na C.C.M.

    • @margaretkato5178
      @margaretkato5178 7 місяців тому

      Hata mimi machozi yamenitoka

  • @zakayomasingoti9238
    @zakayomasingoti9238 8 місяців тому +1

    😅yaan mtathimin anajistaki mwenyewe

  • @RoseMalusu
    @RoseMalusu 8 місяців тому

    MHE. MAKONDA HESHIMA KWAKO! WEWE NDIO UNAFAA KUWA RAIS WETU 2025! TAFADHALI CHUKUA FOMU!! MAKONDA HOYEEEEEE!!!!