RC MAKONDA WACHUNGAJI NA MA SHEIKH ACHENI UTAPELI | TAFUTENI HELA | MNAWAPIGA SANA WATUMISHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 172

  • @BrightShumbusho-i4y
    @BrightShumbusho-i4y Місяць тому +27

    Makonda ni kiongozi ambaye nimetokea kumwelewa sana. Kiongozi muwazi sana na mara nyingi huongea ukweli. Asante sana mungu akubariki

    • @irenemichael
      @irenemichael Місяць тому +1

      Muombee siyo wote wanampenda

  • @RashidiKumchaya
    @RashidiKumchaya 28 днів тому +9

    Tanzania nzima wàme baki wawili mungu wa hifadhi makonda na na mh majawaliwa wanafaà kuongoza nchi wanao ungana mimi gonga like hap

  • @jeiddaryqaissar4029
    @jeiddaryqaissar4029 27 днів тому +5

    Uhakika mungu akubark sana

  • @felixBenos
    @felixBenos 17 днів тому

    Mungu akujalie maisha malefu pia ombi langu kwa Mungu nakuombea akupe KANISA umtumikie Mungu maana unafaa kuwa PASTOR.

  • @charlesmtae1725
    @charlesmtae1725 Місяць тому +10

    MH: MAKONDA UNA KIPAJI CHA UWONGOZI🙏

  • @EdibiliSalum
    @EdibiliSalum Місяць тому +11

    Ww ndio kiongoz 💪💪

  • @binismail2029
    @binismail2029 Місяць тому +9

    Makonda Oyeeeeee. Makonda Kiongozi Boraaaa

  • @ElionaMbise
    @ElionaMbise 22 дні тому

    Makonda mungu akubarik kweli tumeletewa mtu sahii mungu akulinde

  • @mikdaadmabrouk7611
    @mikdaadmabrouk7611 Місяць тому +4

    MAA SHAA ALLAH baarek LLAH

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Місяць тому +7

    Afadhali Mungu amekutuma na umekutana na Geodevie amesikia mwenyewe sauti ya Mungu

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 Місяць тому +10

    Mwamba anakipaji cha uongozi, hongera sana nguvu kidogo matokeo makubwa

  • @ahmadmahmoud6139
    @ahmadmahmoud6139 Місяць тому +6

    Ma shaa Allah nice bro

  • @Bongovillagex
    @Bongovillagex Місяць тому +5

    Sasa viwanda si vifungwe ndugu zetu wawe salama❤

  • @JoshuaMsaka-f5e
    @JoshuaMsaka-f5e Місяць тому +3

    Nimeamini Mh. Makonda ana uwezo mkubwa sana

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x 25 днів тому +1

    Makonda Mungu akuinue uokoe kizazi hiki kinapotoka

  • @user13375
    @user13375 Місяць тому +15

    Anayemwelewa hapo ni Go Dev tu😮😮😮

    • @derevamsomi
      @derevamsomi Місяць тому +1

      prkeyake ndo anacheka tajir geodave wengne wamenuna

    • @derevamsomi
      @derevamsomi Місяць тому +1

      TAJIRI GEODAVE NDO ANACHEKA NAKUFURAHI WENGINE WAMENUNA😂😂

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md Місяць тому +1

      Ukiwa namesake raha sana

    • @rukundorwiza5223
      @rukundorwiza5223 Місяць тому

      Geodave tapeli

    • @user13375
      @user13375 Місяць тому

      @rukundorwiza5223 kakutapel 🤣🤣🤣

  • @GeorgeNyambuya-t7x
    @GeorgeNyambuya-t7x 27 днів тому +1

    Amen 🙏

  • @paulopaani417
    @paulopaani417 Місяць тому +5

    Upo vizur broo

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 Місяць тому +6

    Excelent🎉

  • @MwanakomboNassor-bw3by
    @MwanakomboNassor-bw3by Місяць тому +5

    Amina kaka nakuelewa sana❤❤❤

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 Місяць тому +3

    ,kweli makonda msema kweli mpeni WA mungum maneno yako kweli kabisa hapa tanga mashekh ndio wanaongoza kwa utapeli taasisi zote hasa za kiislamallah ikiongozwa na sheikh ujue NI utapeli mtupu taasisi moja inayoitwa Ansar NI mtihani mtupu zulma mpaka yatima na mjane wamezulumu na mashekh hawaati mafunzo mwenyezi mungu wala na kumfulia kesho mjane mashekh hao na zingine tutazitaja hivi waliowazulumu mjane na yatima WA marehem said janjira

  • @gerladmwakalambile8966
    @gerladmwakalambile8966 Місяць тому +5

    Uko njema sana mheshimiwa

  • @binismail2029
    @binismail2029 Місяць тому +4

    Daah Makonda Zama izi ndio kaonesha UMAHIRI Zaidi

  • @am2323tze
    @am2323tze Місяць тому +4

    dini si kitega uchumi. Yesu alifurushwa na kusulubiwa na waisraeli wakuu wa sinagogi kwasababu aliwakataza kuwa kita muumini akienda kwenye sinagogi au kanisani lazima atoe sadaka ili wapate fedha. Hawakukubaliana nae wakamsulubu msalabani.

  • @ElionaMbise
    @ElionaMbise 22 дні тому

    Sijawai kumuona mtawala ambaye anamwelewa mungu kama makonda kama kuna mtu alitaka kukuzuru mungu akemee

  • @benedictomabula7577
    @benedictomabula7577 Місяць тому +4

    Mhe.Makonda kwenye hii hotuba kwa watumishi wa Mungu ya kwamba watafute hela na kuwa na miradi ili wawe na nguvu ya uchumi hili nakuunga mkono. Umenema vyema sana. Kama kanisani katoriki wanafanya miradi mingi sana ya maendeleo na wanapiga hadi palizi masisters na mapdre. Hapo nakuunga mkono

  • @lusekelojoseph5565
    @lusekelojoseph5565 Місяць тому +1

    Hatari sana

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 Місяць тому +4

    Mh Makonda umeongea ukweli mtupu 🎉❤

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Місяць тому +2

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ImmaSanare
    @ImmaSanare 22 дні тому

    Makonda🤝

  • @nicoledMalale
    @nicoledMalale 24 дні тому +1

    makonda respect

  • @johnngassa1629
    @johnngassa1629 Місяць тому +3

    Ubarikiwe kiongozi wetu Mungu azidi kukupa busara na hekima

  • @HamduniAbdulrazaki-wl5lg
    @HamduniAbdulrazaki-wl5lg Місяць тому +5

    Makonda we ni mwamba Allah akufanye ufe umesalimika Yani

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga Місяць тому +3

    Tutatafuta pesa usijali mkuu wa mkoa asante.mbaka dunia itikisike

  • @yohanamuhambe9422
    @yohanamuhambe9422 Місяць тому +7

    Hiyo saf Makonda tunahitaji damu ya Yesu na jina la Yesu kuvunja maagano hayo

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 Місяць тому +1

    Tunakuelewa sana

  • @RamadhanShaaban-b7d
    @RamadhanShaaban-b7d Місяць тому +5

    Makonda hizi point yatakiwa tuziandike kwa maji ya dhahabu

  • @kilimaentertainment1687
    @kilimaentertainment1687 Місяць тому +1

    Safi sana tunakupenda zaidi kama magufuri mfundishe chalamila kakittu kadogo tu aongezee kwenye kalia yake muwe wengi nchi iende mbali zaidi

  • @PalvashaSalum
    @PalvashaSalum 23 дні тому +2

    MTUMISHII WA MUNGU WA KWELII HAWEZII KUTOA KITU AMBACHO HANA HATA SIKU MOJA NDO MAANA WATU WANAENDA KWASABABU KUNA VITU VINABADILIKA KWENYE MAISHA YAO .

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free Місяць тому +3

    Tafuta hela 😂 pesa zenyewe wanazitoa waumini kwa upako 😂that’s why mzee wa upako kacheka😂😂😂

  • @kulwalufungulo626
    @kulwalufungulo626 27 днів тому +1

    Kakaangu, piga kazi

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x 25 днів тому +1

    Makonda kuna kitu ndani Yako

  • @boychidu
    @boychidu Місяць тому +1

    MAKONDA OYEEE 🎉🎉🎉TUNAKUPENDA BABA

  • @AbiaWilliam-s1s
    @AbiaWilliam-s1s 19 днів тому

    Kweli

  • @AllenMaganiko-k3s
    @AllenMaganiko-k3s Місяць тому +3

    Makonda nakukubali sana

  • @AtaProTv
    @AtaProTv Місяць тому +3

    Aisee Rc umeongea kitu kikubwa saana..katika Ulimwengu wa Roho ...watu wachache saana wamaweza kuelewa

  • @RoseMundembusyege
    @RoseMundembusyege Місяць тому +3

    Ila wewe jama ungepata nafasi 2025 ningekupa kula zote za familia yangu unafaaa

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Місяць тому

    👍🙏🙏

  • @benedictomabula7577
    @benedictomabula7577 Місяць тому +3

    Nakupongeza kwa uthubutu huo wa kusimamia kurejesha eneo la kanisa katoriki huko Arusha. Kweli hapa ulitenda vyema ni alama nzuri ya uongozi

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 Місяць тому +8

    Kuna wachungaji hawajafurahia ulivyosema watafute hela

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v Місяць тому +1

      Watafute hela waache kukamia waumini,wengine kunawakat unaogopa hata kwenda kanisani kiss sadaka sina

    • @ErickJr-k5b
      @ErickJr-k5b Місяць тому

      😂

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf Місяць тому +2

    Kuna Imamu pale bakwata anapenda sana kula pesa za misaada,unakuta watu wanachanga za mtu asaidiwe anakuja kubeba zote anakupa mia mia 😢😢

  • @NuruNswebe
    @NuruNswebe 22 дні тому +1

    😂😂😂😂😂😂napokea

  • @JILBERTDaniford
    @JILBERTDaniford Місяць тому +5

    GOOD. BAATHI YA VIONGOZI WA DINI NI NJAA KALI, WANASUBILI KUPATA MAHITAJI YAO KWA SADAKA.
    KAKA MMOJA MTANZANIA ANAEISHI AUSTRALIA ALIKUJA KUHUBIRI IJNILI NA VITENDO AKISEMA NIMEKUJA DAR KUANGALIA MAHALI PA KUWEKEZA PESA ILI NIZALISHE IPATE FAIDA .
    MHUBIRI MZURI HUYU ANAEJITAMBUA.

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 Місяць тому +3

    Kwa hapo Nakubaliana na wewe kabisa Makonda

  • @charlesmtae1725
    @charlesmtae1725 Місяць тому +3

    Mwamba akuwai kufeli popote salute MH MAKONDA MKUU WETU WA MKOA WA ARUSHA

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 Місяць тому +1

    Makonda MTU na nusu stay where you are

  • @Ali.salimu
    @Ali.salimu Місяць тому +3

    Wachungaji. Alio. Nuna.jua wanakeleka

  • @SamwelDaudi-qj7js
    @SamwelDaudi-qj7js Місяць тому +2

    🎉

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 Місяць тому +2

    Imewachoma kinoma wale wajanja😂😂😂

  • @1961nungwi
    @1961nungwi Місяць тому +2

    Nadhani karne ya 21 tuache kuongea waganga! Tuongelee Elimu, Sayansi na Teknolojia. Huo ndio ukombozi halisi wa kizazi hikin na kijacho. Elimu, Elimu, Elimu!!!!

  • @YohanaMbizi
    @YohanaMbizi Місяць тому +1

    Nakutamikia baraka tere kwa jina la yesu kristo siku baada ya Samia uwe Raisi wetu

  • @abdallahathuman9493
    @abdallahathuman9493 Місяць тому +3

    Upo sahihi makonda

  • @CopperBelt
    @CopperBelt Місяць тому +2

    Makonda kijana mrithi wa wazee waliopita ktk msimamo wa kuilinda Tanzania kwa imani zote usilamu na ukristo na wasioamini dini lakini Tanzania 🇹🇿 iwe ya kwanza na watanzania wasibaguane kwa dini zao na makabila yao

  • @am2323tze
    @am2323tze Місяць тому +3

    Makonda unatuchanganya. Yesu alifukuzwa na kusulubiwa kwa kuwakstaza makuhani na mayahudi kuchangisha pesa kanisani kwa wafuasi. Mbona leo unasema hivyo

  • @ChristopherK4
    @ChristopherK4 Місяць тому +3

    Baada ya Samia raisi ajae ni makonda

  • @GaoRama
    @GaoRama 21 день тому

    mtume alikuwa masikini na amekufa masikini !

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 Місяць тому +3

    Makonda ni kiongozi wa asili

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 Місяць тому +2

    Hivi Arusha ilikuwa na wakuu wa mkoa?

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Місяць тому +2

    Makonda mimi ni mfuasi wa CHADEMA lakini ulivyokiongozi unayejali watanzania gombea urais baada ya mama kumaliza wakati wake

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v Місяць тому +1

      @@nelsonnyamle nimekuheshi maana chadema wanachuki na makonda hata afanye mema wao wanamvhukia, makonda anatoa misaada takurudishia maliza zawatu waliodhurumiwa bila kujali chama tunaona lkn utakuta mtu wa chadema anaponda.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 25 днів тому

      Kabisa

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 Місяць тому +3

    Mtaji wao ni waaumin

  • @zephrydanaromwanabhajamari2345
    @zephrydanaromwanabhajamari2345 Місяць тому +3

    Mbona wachungaji mmenuna inamana hayawaingii

  • @Kisaki1tv
    @Kisaki1tv 18 днів тому

    Safi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Місяць тому +1

    Makonda mkuu wa Mkoa nenda nunu BITCOIN boss wangu

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm Місяць тому +1

    Wambieeee

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg Місяць тому +4

    Makonda unafundisha na kuhamasisha wizi na utapeli!!!!!

  • @AlfredHaji
    @AlfredHaji Місяць тому +4

    Maneno yanawagusa adi wengine wamenuna

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 Місяць тому +3

    Waambie ukweli hao

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi Місяць тому +1

    Gidio mtu wa mungu aliokoa taifa kwautajiri?

  • @JaneChissawilo-dr7nn
    @JaneChissawilo-dr7nn Місяць тому +2

    Jamani MTU ambaye hajaitwa ana maneno mengi ambayo hajayaishi.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Місяць тому +3

    Yaambie hayo matapeli yoote hayo maongo tu

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi Місяць тому +1

    We unataka watu wamungu wasiokuwa na pesa wazarauliwe waheshimiwe wapigaji tu kwAkua wanachambo ya pess?

  • @Rawdha-y8t
    @Rawdha-y8t Місяць тому +1

    mashekh sio wezi lbda hao manabii ukitoa sadka kidogo unafokewaaaa

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 Місяць тому +2

    Kumbe nawe mshirikina sema serikali hauamini uchawi ila wenyewe ni wachawi sana

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md Місяць тому +2

    Umeongeya maneno yahekima mno,

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi Місяць тому +2

    Uyu jamaa inatakiwa akili kubwa kugundua kuwa uyu ni magumashi wa kisiasa

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 Місяць тому +1

    SASA HAPO KUNA LUGA GONGANA, MAANA MAANA TUNAVYO UELEWA ULIMWENGU WA ROHO HAPO NI TOFAUTI KABISAA, HAPO HAPO KUA VIONGOZI WA DINI NA NI WAGANGA😂

  • @SamNankunda
    @SamNankunda Місяць тому

    Nakuelewa kiongiozi mimi binafusi unanibariki xana.

  • @maxmillanayo2979
    @maxmillanayo2979 19 днів тому

    MAKONDA ANAFAA KUWA KIONGOZI LAKIN ASICHANGANYE NA MAMBO YA DINI ATAJICHAFUA,AU ACHAGUE KIMOJA KUWA MCHUNGAJI AU KIONGOZI WA SEREKALI

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi Місяць тому +1

    Hapo umeboronga hata nabii elisha alizarsuliwa na wenye uelewa kama wako lakini alifanikisha wengi na kuponya wengi

    • @saidmabanga388
      @saidmabanga388 Місяць тому

      Elisha ndo nanii kuwa na hakili wewe

    • @MfiriFulgensi
      @MfiriFulgensi Місяць тому

      @@saidmabanga388 kama hujui nabii elisha we si msomaji wa bibilia wala msikilizaji injili hivyo wewe sii mkristo huelewi wala hujaelewa anachoongelea

  • @songombingo108
    @songombingo108 Місяць тому +2

    Hakuna Kiongozi hapa. Tapeli tu. Janja nyiiingi.

    • @BarakatiSalumu
      @BarakatiSalumu Місяць тому +2

      Bado ujazijuwa sifa za kiongozi au unachuki binafsi

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v Місяць тому

      @@songombingo108 Nani tapeli makonda au viongozi wadin?

  • @am2323tze
    @am2323tze Місяць тому +1

    Mtume hakuwa tajiri alikuwa ni maskini haswa. Kuna siku nyingi alikwenda nyumbani kwake akiuliza kuna chochote. Hamna anakula kokwa moja ya tende au maziwa. Na huo ndio uislamu. Anachanganya dini na siasa huyu.

  • @allbrightsteven2764
    @allbrightsteven2764 Місяць тому

    😂😂😂

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t Місяць тому +1

    BWANA MAKONDA .....UNAPENDA SANA 'KUJIFAHARISHA'....NCHI YETU IKO KWENYE MSIBA MZITO WEWE UNAITISHA MIKUTANO YA WAANDISHI WA HABARI NA WATU WENGINE AICC...UNAITISHA VIONGOZI WA DINI NA WENGINE....KWA NINI USINGESUBIRI HILI JANGA LA TAIFA LIPITE!

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin Місяць тому +2

    sasa wakiacha pombe selkar itapataje mapato

  • @froma3732
    @froma3732 Місяць тому +1

    Huyu amebadilika kutokana Alomchaguwa hataki mazuzuwa Kichwa kikiwa kizuri basi inafuata inakuwa Mambo meupe

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 Місяць тому +1

    Uyu anajisafsha lkn nimuovu

  • @AndreaNzunda-f7o
    @AndreaNzunda-f7o Місяць тому +1

    Viongoz w dini hawaruhusiw kufanya biashara Makonda hao n Makuhan

  • @JojoJoji-h8g
    @JojoJoji-h8g Місяць тому +2

    Acha udaku wew mwandishi mkuu wa mkoa hakuwatukana viongoz wa dini eti achen utapeli hilo neno umesema wewe.

  • @didaspaints2001
    @didaspaints2001 Місяць тому

    Nakuunga mkono

  • @MrmanKaskas-q1t
    @MrmanKaskas-q1t Місяць тому +1

    Pesa