Lugha ya Kiswahili Nchini Marekani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лис 2015
  • Kutana na Rebecca Mandich anaependa Lugha ya Kiswahili na ambaye anaamini kuwa lugha ni chachu ya maendeleo

КОМЕНТАРІ • 81

  • @wilsonchishomi1083
    @wilsonchishomi1083 3 роки тому +6

    “Watanzania wengi wanathamini kingereza kuliko kiswahili”. powerful statement
    Huyu Dada kaongea vitu vingi sana vya msingi ambavyo kama wabongo na wenye lugha yetu ya kiswahili inabidi kuvitafakari kwa kina..

    • @amosicronery7730
      @amosicronery7730 2 роки тому

      Tunakijua kiswahili, lakini english ni muhimu huko duniani

  • @aliabass9392
    @aliabass9392 3 роки тому +3

    Yuko vizuri sana dada rebeca katika kuzungumza kiswahili.

  • @hurumasaimon3651
    @hurumasaimon3651 3 роки тому +1

    Mtangangazaji kk Geoffrey umevumbua mada nzuri sana. Napenda kiswahili

  • @mutindafestus5619
    @mutindafestus5619 3 роки тому +6

    She is more fluent in swahili than most Kenyans

    • @hillarytindi8883
      @hillarytindi8883 3 роки тому

      Wewe sisi tumezowea Sheng

    • @mohammediddi7255
      @mohammediddi7255 3 роки тому

      Labda nyinyi watu wa nairobi na bara..sisi mombasa we speak fluently.

    • @hillarytindi8883
      @hillarytindi8883 3 роки тому

      @@mohammediddi7255 sio Ati hatujui lugha I speak fluent Swahili but nimezowea Sheng actually most kenyans..

    • @mohammediddi7255
      @mohammediddi7255 3 роки тому

      @@hillarytindi8883 correcting you again .mombasa we dont speak sheng at all..nai and upcountry mumeharibu kiswahili chenu by mixng sheng englsh and swahili togthr...

    • @hillarytindi8883
      @hillarytindi8883 3 роки тому

      @@mohammediddi7255 well then I do and am born and raised in Mombasa for your information

  • @jacklynurassa1286
    @jacklynurassa1286 3 роки тому +1

    Samahani nitaandika kingereza kidogo "this woman is genius"

  • @halimaabdullahmwichande8671
    @halimaabdullahmwichande8671 7 років тому +4

    Sana mm namshukuuru kwa ushauri wake ni kweli kabisa wagen wengi wanaingia Tanzania ata kiswahili awajui kuongea na wengi wao Wana paspot ya Tanzania ata kiswahili awakijui kuongea zaidi jamboo na habari

  • @livinuscharles7023
    @livinuscharles7023 3 роки тому +2

    Watanzania tunao ishi marekani tujuane kwa like

  • @shukuruilomo768
    @shukuruilomo768 2 роки тому

    Ahsante Sana kwahayo

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 7 років тому +4

    Kweli kabisa kiasi kwamba hata wazaliwa wa Tanzania wamekuwa na fikra potofu kwamba kiswahili hakiwasaidii hadi wanaongea kiswahili na kuchanganya na kiingereza wakidhani ndiyo maendeleo.

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 2 роки тому +1

    Usimlaumu muendeshaji wa kipindi kwa kukosa ufasaha wa matamshi kumbuka kwamba yeye pia kiswahili ni lugha yake ya pili baada ya lugha ya kabila lake lahaja zetu zinatofautiana kutokana na maeneo tunayotoka, kuna kiswahili cha wasukuma, wamasai, jaluo, wandengereko, wazaramo, wahaya wa Arusha, wakigoma nk lakini tunafahamiana pamoja na kuwa hakuna ufasaha wa matamshi

  • @fankomba3549
    @fankomba3549 6 років тому +2

    Hakika huyu dada ameongea vizuri sana inabidi serikali iweke vipingamizi kwa wageni ili waingie Tanzania inabidi wajue kuzungumza kiswahili ikibidi wajifunzie ikibidi wajifunzie huko kwako kuwe na slogan no kiswahili no viza kwa kuishi Tanzania.

  • @kwesinjoku8940
    @kwesinjoku8940 3 роки тому +2

    Lakini kuna waAfrika wengi ambayo wana ongea Kifaransa, Kiingereza, na luga wengine ya wazungu na hawapati attention kama hivi. Hii nii kitu ya kawaida kabisa

    • @Kreedo1110
      @Kreedo1110 2 роки тому

      Ndio wazungu sio maalum

  • @princejohn945
    @princejohn945 7 років тому +2

    Hongera sana

  • @dirhamnamir9444
    @dirhamnamir9444 3 роки тому +1

    Mhhhhhhh I have liked her hongera zako mswahili mpya

  • @nadhifasoud7026
    @nadhifasoud7026 2 роки тому

    Ameongea point🤞

  • @agapemunyi2525
    @agapemunyi2525 3 роки тому +1

    Waliokosa kazi kwa rebecca wajitathmin kuwa bdo hawajajua kingereza vizuri

  • @arqamhaiadar1835
    @arqamhaiadar1835 7 років тому +1

    upo vizuri Sana Dada tunashukulu kwa ushauli wako Viongizi walifanyie kazi

    • @agneskigeme1197
      @agneskigeme1197 7 років тому

      Arqam Haiadar Iyo kweli kabisa

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 6 років тому +1

      Arqam Haiadar ni "tunashukuru" na "ushauri" kwenye "r" umeweka "l"

    • @haroldtarimo3115
      @haroldtarimo3115 2 роки тому

      @@wechemakambo2182 Yaani hili ni tatizo kubwa kwa watu wengi pia utakuta mtu kaandika mfano ata badala ya hata au apa badala ya hapa nk

  • @nehla6667
    @nehla6667 5 років тому +3

    Mimi napenda kiswahili pia! :) Nataka kuongea kiswahili kama yeye

  • @kebo2155
    @kebo2155 7 років тому +3

    sasa tumekuelewa sister.... viongozi walikuwa wamelala....

  • @gilbertykinabo9649
    @gilbertykinabo9649 7 років тому +2

    nimependa sana hii interview

  • @mkaliwaztown6246
    @mkaliwaztown6246 7 років тому +2

    Yuko juu

  • @jasminmylovejasmin2879
    @jasminmylovejasmin2879 3 роки тому

    🤝Kweli kabsa

  • @natafutapesa9678
    @natafutapesa9678 3 роки тому

    Yuko vizuri sana huyu dada ni mtu ambae anajielewa sana

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 6 років тому +1

    Nimemuelewa sana dada. Maisha ya marekani si mchezo mimi ndiko niko kwasasa ila anachokisema ni ukweri.

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 3 роки тому

    Kweli kbis

  • @princejosiah2404
    @princejosiah2404 3 роки тому

    Rebecca upo vizuri sana

  • @michaelmatingo7292
    @michaelmatingo7292 3 роки тому

    Namkubalia sana Rebecca

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 роки тому

    Huyu Mtanzania naye anapaswa kurekebisha lugha yake. Anafanya nakosa kuita neno Ajira. Badala yake anasema Hajira. Hili ni kosa kubwa sana. Na hili ni kosa kwa watu wengi wa kizazi hiki ambao hawajasoma kiswahili fasaha.

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 3 роки тому

    Ni bore kuzungumza lugha ya kwanza kwa usahihi kuliko lugha ya pili kwa makosa...
    Saaaafi sana

  • @robertmwakyusatztv9795
    @robertmwakyusatztv9795 3 роки тому +1

    Interested

  • @shafiimkeremi7819
    @shafiimkeremi7819 6 років тому +1

    Rebeka Mandichi Nimekupenda

  • @sonofsudi2.0
    @sonofsudi2.0 3 роки тому +1

    Ameyazungumzia mambo muuhimu kweli

  • @abduraheemabdullah5223
    @abduraheemabdullah5223 3 роки тому

    Kachkua miaka mingapi kusoma Kiswahili .mbona yupo vizuri sana duh

  • @kennedywekesa3724
    @kennedywekesa3724 2 роки тому

    "Heri kuzungumza lugha yako ya kwanza kwa ufasaha sana kuliko kujilazimisha na kuzungumza lugha ya kigeni kwa makosa mengi", kauli hii imenigusa.

    • @perisiverympwenku139
      @perisiverympwenku139 2 роки тому

      Tusijifunze vitu vipya hio ndio maana nyingine au

    • @kennedywekesa3724
      @kennedywekesa3724 2 роки тому

      @@perisiverympwenku139 sivyo, kwa ufupi yuamaanisha kama kunayo nafasi ya kutumia lugha mbili, tumia lugha ambayo utaeleweka kwa ufasaha, kuliko kuchagua ile lugha nyengine kisha usieleweke. Ila kusoma vitu vipya, ni jambo kila binadamu afaa kufanya.

  • @princejohn945
    @princejohn945 7 років тому +4

    Tatizo ni ccm hili lichama ni shiida

  • @sabatomazani3456
    @sabatomazani3456 Рік тому

    Kuja tujue hayo hadi malaika washuke toka mbinguni

  • @issammbaga.9712
    @issammbaga.9712 7 років тому +5

    umehoji vizuro sana ndugu yangu, mzungu ameeleza ukweli sana, na ametoa mila potofu, naomba mawasiliano yako 0672148290

    • @geofreyjulius377
      @geofreyjulius377  4 роки тому

      Asante sana kaka Issa mawasiliano yangu ni 0765899161 karibu sana kaka

  • @flipflop8409
    @flipflop8409 3 роки тому

    Kawashinda hata Wakenya kuzungumza lugha yao ya Taifa.

  • @malongoisack5811
    @malongoisack5811 3 роки тому

    Mtangazaji hujui kiswahili,unasemaje hajila mnatuharibia

  • @ahmedzakwani1507
    @ahmedzakwani1507 3 роки тому +1

    Huyu mama hajalaza damu.

  • @shafiimkeremi7819
    @shafiimkeremi7819 6 років тому +1

    Ndugu Mtangazaji Naomba Niunganishe Na Rebeka Naona Tunaenda Katika Swala Kukuza Lugha Ya Kiswahili

    • @amanam2735
      @amanam2735 6 років тому

      SHAFII MKEREMI swala au suala?utakuza Kiswahili kweli?

    • @geofreyjulius377
      @geofreyjulius377  4 роки тому

      Sawa kaka email yangu ni geof.julius@gmail.com nitakutumia mawasiliano yake kaka

    • @denispeter1520
      @denispeter1520 3 роки тому

      Niunganishe namm kaka kuna vitu nataka anielekeze.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.

  • @rushurikarashid3018
    @rushurikarashid3018 7 років тому +1

    Safi sana mzungu..nimekuelewa.

  • @ahmedzakwani1507
    @ahmedzakwani1507 3 роки тому

    Interesting . If Americans could balance the trade in language USA would be heaven on earth.

  • @njugunajosphat8678
    @njugunajosphat8678 3 роки тому

    Pongezi sana

  • @victorlyimo697
    @victorlyimo697 3 роки тому +1

    Mtangazaji ni nmependa unajali wanakusikiliza,unajibu comment

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 роки тому

    Hayo ndio maajabu yanayo thibitisha kuwa mungu yupo, na ameumba wanadamu tofauti tofauti kama vidole vinavyotofautiana, watu aina ya Rebecca wapo na huwa ni watu wanaochukiwa sana wakiwa wadogo hata wakiwa wakubwa kwa sababu tu huwa wanasimamia UKWELI. Truth is an offence, but not a sin. Au TRUTH is a self evidence which stands alone without public support.... Rebecca hafichi ukweli na anajisikia fahari kuongea ukweli tu. Mzazi hampendagi mtoto anayesema ukweli muda wote, na jamii haipendi ukweli muda wote japo wakati mwngne utasikia " sema kweli" 🙄🙄🙄🙄

  • @aronmkubwa3105
    @aronmkubwa3105 7 років тому +1

    safi sana