#ZIFAHAMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 сер 2022
  • #OnTrending #UhamiajiUpDates
    #Credit @Icon Tv Tz

КОМЕНТАРІ • 98

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Місяць тому +3

    Hapa mnasema vizuri lkn mtu akija mnawapa watu rushwa mnawapa haraka lkn wale wanaotumia njia ya halali mnawazungusha

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 Рік тому +4

    Shukrani kwa taarifa kutoka wizara, nilifika Wizara ya uhamiaji watumishi ni wa karim sana, mungu awabariki

  • @user-qq5yp1zm4f
    @user-qq5yp1zm4f Місяць тому +1

    Nashukulu mungu awabaliki mulinptia bila shida

  • @SHADOTUBETZ
    @SHADOTUBETZ 11 місяців тому +3

    Mnapiga kazi vzr, safi sana. Sijawahi pata huduma nzuri lama uhamiaji

  • @AstridaNdovanga-tz6vj
    @AstridaNdovanga-tz6vj 2 місяці тому +2

    Nashukuru sana kiongoz Mimi binafsi nilipata mapema shida watu tumezoe Shortcut

  • @bensilem121
    @bensilem121 Рік тому +1

    Asante sana mkuu🙏🙏

  • @yolonimojohn7792
    @yolonimojohn7792 Рік тому +1

    Asante sana mkuu kwamaelezo mazuri

  • @fatmaathmani9406
    @fatmaathmani9406 Місяць тому +1

    Mmmh yan baraa uko uhamiaji kama mie hadi leo sijapata passpoti yangu 🙏🙏

  • @priverpriva4144
    @priverpriva4144 Рік тому +1

    Thanks 😊

  • @fatumaibrahim8973
    @fatumaibrahim8973 Рік тому +3

    Ahsante Tanzania

  • @yasssiniswaffy-oc4hc
    @yasssiniswaffy-oc4hc Рік тому

    Nimeipenda iyo

  • @HusenShukran
    @HusenShukran День тому

    Naitaji nida

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Рік тому +5

    UHAMIAJI UKIFUATA UTARATIBU MASWALI MENGI FORM HUPATI NA ZOEZI LAKO HALITA KAMILIKA NA SWALA LA PASSPORT SIO MBAKA USAFIRI HII NIHAKI KWA KILA MWANANCH DUNIANI KOTE ILA TZ YETU MBAKA USAFIRI

  • @RirikGharib-rg9df
    @RirikGharib-rg9df 4 місяці тому

    Upo sahihi afande

  • @wariobamussa2462
    @wariobamussa2462 Рік тому

    Asante Kiongozi kwa Taarifa hii muhimu

  • @idrisafadhili9029
    @idrisafadhili9029 2 місяці тому +1

    ukienda ofsini utaambiw system haipoo

  • @MichaelSimba-nk7mu
    @MichaelSimba-nk7mu 11 місяців тому

    Kwa kweli Uhamiaji Dar es Salaam wako active.

  • @wahidaabeid5712
    @wahidaabeid5712 Рік тому +2

    Changamoto nyingi zipo Kila sekta tuache mfumo wa rushwa turidhike tunachokipata mama samia katuchagua tumsaidie atafanya mangapi mungu ibariki tanzania ameen

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 Рік тому +5

    *Unaongea tu mkuu lakini vishoka ndowanarahisha sana kuliko Hao watu ZAKO bila vishoka IMMAGRATION kwa asilimia 80 Mambo hayaendi*

  • @moseskimaromoseskimaro5934
    @moseskimaromoseskimaro5934 Рік тому +2

    Pia ni Pesa ngapi Arusha, maana tunaweza ambiwa hapa ni sh 150000,kufika kule ni Zaidi ya hiyo pesa, nifanyeje nipate maana nataka Sana.

  • @IsabellaTarsis
    @IsabellaTarsis 17 днів тому

    Ni uongo maana muda mwengine wanakuuliza we kwenye akaunt una sh ngap alafu kama wanakukebei vyote unaweza kuwa umekamilisha ila utazungushwa mpk basi

  • @JamalSeif-yn5ro
    @JamalSeif-yn5ro 19 днів тому

    Mama samia ubaguzi wa rangi ndio unaongoza magreshen wanatutesa nina miezi 8 nimewapa kila kitu nawalaumu wazazii wangu kwanini waliza na mwarabu rangi yangu inaniponza

  • @user-mr6xl4gs8d
    @user-mr6xl4gs8d 7 місяців тому +1

    Hapo kwenye cheti cha kuzaliwa cha mzazi ndio mtihani ,

  • @salminmbembela9701
    @salminmbembela9701 Рік тому +3

    Na vipi mzazi kama hana cheti cha kuzaliwa..wengne wazaz wapo ndan sana huko.anaejuabadala anambie tafadhali

    • @priverpriva4144
      @priverpriva4144 Рік тому

      Nakujibu

    • @prosperjohn2047
      @prosperjohn2047 Рік тому

      @@priverpriva4144 naomba unisaidie, baba kafariki , mama ni WA kijijini Hana cheti Cha kuzaliwa, nasaidikaje

    • @boas_bj
      @boas_bj 10 місяців тому

      Nenda nae mahakaman akale kiapo kama ni raia wa tz watakupa form ya kiapo (affidavit) ndio utaenda nayo uhamiaji

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 Місяць тому

    Bado achngamoto zipi juz tu kudhinda jana mdigo wangu laki nne kisa baba kafariki mama hana bath certificate na bado kaambiwa atoe laki huko dar fike lake likawekwe mbele , kaenda pale na nida bath certificate,batua ya mwekiti wa mitaa SubhanaAllah kaambiwa lete barua ya anaekuita unakataka kwenda badala kumuelekeza wanataka kukutoa hela mtu mwenyewe màskin mitihan nchi hii ruswa zipi sana migration 😊

  • @JamalSeif-yn5ro
    @JamalSeif-yn5ro 19 днів тому

    Kama nitaenda takuru nitawapeleka wengi lakini ni watoto wa wakubwa wako huko takuru hawana meno ndio wanafanya watakalo nchi hihi ikisha ruswa labda kiyama

  • @user-mw8ow3jt2u
    @user-mw8ow3jt2u 6 місяців тому

    Mungu atusaidie kwa hili ni mtihani mkubwa asikwambie mtu ukihitaji unasumbuliwa mpaka unataka kukata tamaa ila nihaki yake kila rajya wa Tanzania

  • @ImanijosephMhozya
    @ImanijosephMhozya 5 місяців тому

    naomba jibu nishahangaika

  • @obedingilisho
    @obedingilisho 11 місяців тому +1

    Vishoka wanarahisisha mambo.. Urasimu ni mwingi sana katoka ofis za serikali ya jamhuri. 😢

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Рік тому

    Siku moja mmmmh tunajua palivyo hapo

  • @mohamedsuleiman2785
    @mohamedsuleiman2785 Рік тому +1

    Yanii mangu kwenye passport alitumiza sana kutoka elfu 50 mpka laki na 50 angalau engelifanya laki moja

  • @robertdominic7298
    @robertdominic7298 Рік тому +2

    Hapa kwenye vyeti vya mmoja wa wazazi ndio vishoka mnapowakaribisha, mzazi wng ikiwa amefariki au wamefariki nafanyaje?

  • @JamalSeif-yn5ro
    @JamalSeif-yn5ro 19 днів тому

    Passport ni Ruswa kwenda mbele has ukiwa unarangi ranging wape klila kitu wanataka ruswa ni wabaguzi wa rangi wamewazidi hata wazungu mimi nina miezi 8 na failili ninalo ruswaruswa

  • @user-rl5qu4zj9b
    @user-rl5qu4zj9b 18 днів тому

    Kwani kuwa napasspot lazima uwe unassafili nilijua nihaki ya mwananchi kuwa napassppt maana nchi zingine mtoto akizaliwa tu anakuwa nahati yakusafilia

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 Місяць тому

    Maneno mazuri ila amna kitu

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo365 Рік тому +1

    hao wanaoitwa vishoka, kwann msiwaziboit?

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy Місяць тому

    Kwanini nchinyengine hawana vyeti vya kuzaliwa na wanapata paspot mojakwamoja"? Mtu alizaliwa tu, anakua na paspot

  • @JamalSeif-yn5ro
    @JamalSeif-yn5ro 19 днів тому

    Shida wakukatalie toka a mwazo kwamba hujakamilisha wanachukuwa pesa wanaanza kukubababaisha

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 Рік тому

    SAMAHANI MUHESHIMIWA VIGEZO ULIVYO ELEZA HAKUNA KINGINE CHA KUWASILISHA UHAMIAJI NJE NA VIGEZO ULIVYO SEMA ILI KUPATA PASSPORT?
    ASANTE

  • @jacksonjacob3986
    @jacksonjacob3986 11 місяців тому

    Ndugu za jumapili mm Jackson j nnko nahitaji kusafiri nje ya nchi nitakuja ofisini dar

  • @bernardndemba2253
    @bernardndemba2253 9 місяців тому

    Na wasomali mnawajaza mnaiaribu nchi hii

  • @itisallaboutfootballandent8250

    Kwa mtoto chini ya umri wa miaka 18 anatakiwa ajaze vipi kwenye sehemu ya kujaza nida?

  • @WilsonSanare-nq6li
    @WilsonSanare-nq6li 10 днів тому

    Huku.arusha.hatupati.na.tukihitaji.lakinne.eti.mpaka.iletwe.daressalam.tumechoka.sikuhizi.tunaenda.nrb.kenya.kwa.honqo.ya.sh.1300.kurudi
    .sh.1500

  • @JamalSeif-yn5ro
    @JamalSeif-yn5ro 19 днів тому

    Sio nida ambayo hutakiwi hata uulizwe swali hata uwe na namba ya rais wanataka ruswa daa tunaishi nchi ya zulma na rushwa hakuna magreshen atakeenda peponi

  • @mheshimiwampagasi-te5zr
    @mheshimiwampagasi-te5zr Рік тому

    Kama serikali, Hao vishoka mmewachukulia hatua gani,maana wanatuibia sana.

  • @user-pv2ez1nd3h
    @user-pv2ez1nd3h Місяць тому

    Makufuli alitufanyia jambo sio rafiki kutupandishia passport beii ya juuu mama tushushiee passport angalau laki moja

  • @WilsonSanare-nq6li
    @WilsonSanare-nq6li 10 днів тому

    Kila.mwanainchi.lazima.uwe.na.nauli.na.pesa.ya.njiani.kila.wakati.kweli.tumeliwa.vyakutosha.pesa.nyinqi.inapotea.kwa.raia.wa.tz

  • @blockchain1203
    @blockchain1203 Рік тому +4

    Passport ni Haki ya Kila mtu Sema TZ ujinga Mwingi na Ukweli Nilitumia Vishoka Napata Haraka Kuliko Mtu akija mwenyewe Ofisi na Doc Zake zikiwa Hali..Sasa mnataka uthibitisho wa nje Sina uhakika Hata wa VISA Uhamijia mizinguo tu..Yaani Kuongea ni Rahisi Sana na Nzuri ila Kiuhalisia Uhamiaji Nyieee Mnazingua...Ujinga ni Pale unaenda Ku Renew Passport alfu unaambiwa leta Doc Sasa Najiuliza Mlinisajili na Nini..?Bongo Mizinguo Eti Siku 7-14 Aseee hayo ni Maneno tu Vitendo 0

    • @josephkatonga5224
      @josephkatonga5224 7 місяців тому +2

      ndugu yangu kazi mojawapo ya uhamiaji ni kutambua pia wahamiaji haramu....hivyo usikasirike unapoambiwa leta doc kila inapobidi....sababu watu wanafoji document na wanakuja kutambuliwa baada ya miaka hata 10... ko wanafanya hivyo pia ili kubaini vitu kama hivyo..

    • @elikamtumishi
      @elikamtumishi 7 місяців тому

      Oy vp mzeee

  • @saidjuma7796
    @saidjuma7796 Рік тому +1

    kwani paspoti si ndio haki ya mwananchi tokea anapo zaliwa anapaswa kuwa nayo yani hio ipo dunia nzima hapa kwetu tu

  • @josephisingo8198
    @josephisingo8198 9 місяців тому

    Huyu jamaa nilimkuta,nikamwambia nilishakamilisha kila kitu online mpk stamp lkn,anataka rushwa,eti nionyeshe account statement,sio watu wazuri ntastaafu tuu,kila kitu kina nwisho

  • @ybmtaakwamtaaofficial3415
    @ybmtaakwamtaaofficial3415 Рік тому

    MKUU hii ni ya muda gani

  • @Marthamkala-st2ck
    @Marthamkala-st2ck 2 місяці тому

    Na kama sina nida ina kuajeee

  • @jade75798
    @jade75798 2 місяці тому

    Sisi ambao baba zetu ni wazungu na mama zetu ni watanzania tunapata tabu sana .kila nikienda naambiwa ni coparate bila hivyo sipewi .sasa mimi huwa nimezoea tu kucoparate sina jinsi .tena bado ntasumbuliwa kupelekwa kwenye mahojiano kila gorofa mbali na kutoa kitu

  • @aishaz1
    @aishaz1 Рік тому +1

    Kama niko kenya nafanyaje plz sina kitu chochote kuhusu wzazi sina hata cha mzazi

    • @soundmale
      @soundmale Рік тому

      Oya vip huko Kenya mambo yanaendaje hawana ubaguzi boy.

  • @immanueljoseph7190
    @immanueljoseph7190 9 місяців тому

    Namba ya nda tu mtihan je iyo passport inakuaje hii nchi bora Rais angekuwa joti

  • @ImanijosephMhozya
    @ImanijosephMhozya 5 місяців тому

    je kwenye mzunguko ote kunasehemu ya mwanasheria kuweka mhuli

  • @YusuphJafari-mw7ep
    @YusuphJafari-mw7ep 2 місяці тому

    Mimi sina namba ya nida na naitaji pasipoti

  • @amilipitson-si6xn
    @amilipitson-si6xn Рік тому

    Mom natak passport yakwenda Zambia

  • @elizabethjakobo279
    @elizabethjakobo279 9 місяців тому

    Mi nataka passport please nisaidie....

  • @user-xh9ko2cs1r
    @user-xh9ko2cs1r 8 місяців тому

    Wasumbufu

  • @ShabanMkumbange
    @ShabanMkumbange 9 місяців тому

    Nimeona kazi mbali mbali na mishahara yake ila kazi ya fundi umeme iklje kaka

  • @allymahiyo2464
    @allymahiyo2464 Рік тому

    Unaongea tu mkubwa lakini longolongo nyingi sana kwa watendaji wadogo.

  • @lgdnce8309
    @lgdnce8309 Місяць тому

    Sasa mm ni murundi hila nimezaa na m tz ni mijifungua hospital ya mwa nyanamala 2010 na yveti Vipo vyote vya mtoto hila baba yake tumeachana mwaka 2015 ikabidi mtoto nije naye kwetu Burundi mutoto amekuwa je akija tz ataweza pewa passport cz familia ya baba yake ipo tz kimara hila kishwaili cha tz hajuwi.

    • @lgdnce8309
      @lgdnce8309 Місяць тому

      Baba yake amefariki 2017

  • @moseskimaromoseskimaro5934
    @moseskimaromoseskimaro5934 Рік тому

    Arusha ninaweza pata, na je itachukua muda gani mbaka wanipe.

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 Рік тому

      Nenda Uhamiaji pale utapewa fomu za kujaza kadri utakavyoijaza mapema na kurejesha ndiyo utakavyoipata Passport yako Kwa haraka

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 8 місяців тому

    Kiukweli ni process ndefu yaani imekua kama hii ni haki ya kundi maalum tu.

  • @nahiriali1405
    @nahiriali1405 7 місяців тому

    Bora kutumia vishoka kuliko nyie mkitaka vishoka wasitumike badilisheni yani mtu unahitaji pasipoti lakini unasumbiliwa kweli hata kila kitu unacho, nawashauri watu watumie njia wanazojua, ukimsikiliza huyu kirahisi kwa maneno yake lakini vitendo zero uhakika pasipoti ataisikia tuu

  • @user-dn3fw7fg8b
    @user-dn3fw7fg8b 7 місяців тому

    Je mfano ukawa unatumia majina mawili tofaut yaan jina la kusomea likawa tofaut na jina la ndoa likawa tofaut apo tunafanyaje mkuu

  • @user-xh9ko2cs1r
    @user-xh9ko2cs1r 8 місяців тому

    Panausumbufu huko

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Рік тому

    Yote.hayo.tunafanya.bado.tunawapa.laki.5.acha ujanja.wee.mqenyewe unao.vishoka.wako

  • @samakihiyochanel7443
    @samakihiyochanel7443 7 місяців тому

    Pumbavu we jamaa muongo sana unajua yanayo tendeka hakuna watu wasumbufu kama nyie uhamiaji

  • @jacksonjacob3986
    @jacksonjacob3986 11 місяців тому

    Nimepata jibu ktk mtandao

  • @andrewmziray1535
    @andrewmziray1535 Рік тому

    Punguzeni gharama za hati za kusafiria vijana wengi hawana hiyo laki na nusu ni changamoto kubwa

    • @rahimaaaaa8699
      @rahimaaaaa8699 Рік тому

      Weew.passport.tunatoa
      Laki.5 alafu.unasema.laki.na.nusu wapunguze.ha hanha

    • @Awatee
      @Awatee Рік тому

      ​@@rahimaaaaa8699 ndio nataka niseme kwani siku hizi bei gani

    • @LASTBORN__
      @LASTBORN__ 9 місяців тому

      Hana laki moja na nusu nauli ya kwenda nje ya nchi atapata kweli😮