![Geofrey Julius](/img/default-banner.jpg)
- 14
- 27 147
Geofrey Julius
Tanzania
Приєднався 14 бер 2012
Geofrey Julius is a Special Programmer for Radio shows and Tv Programs
Video Challenge: Yunus & Youth Global Fellowship - Geofrey Julius Tanzania
Video Challenge: Yunus & Youth Global Fellowship
Переглядів: 14
Відео
Geofrey Julius Rweshabra Alumni 10Billion Strong
Переглядів 10Рік тому
My short introduction on the vision I have in co-leading a Hub in Arusha Tanzania.
ICESA AFRICA.
Переглядів 232 роки тому
Institution of Competitive Education and Social Accountability in Africa (ICESA-AFRICA) .Aimed to shape all change makers from their inner desire to advance their performance, management and supervision success of their business initiatives through training, conferences, consultancy, education programs, work and partnership. We're based in Arusha Tanzania.
SISI TUNATEMBEA WENZETU WANAKIMBIA-NINA NCHIMBI
Переглядів 482 роки тому
Safari ya Ujasiliamalli na ubunifu Tanzania.Kutana na NINA NCHIMBI Meneja SIDO mkoa wa Arusha akiangazia zaidi safari ya ujasajiliamali kwa vijana nchini Tanzania.
Geofrey Julius presentation to Obama Foundation Scholars Program 2022
Переглядів 532 роки тому
Geofrey Julius presentation to Obama Foundation Scholars Program 2022
Climate Change Impact Trailer in EAC
Переглядів 727 років тому
The Big Five Media Lens participation in climate change for development project in African is very crucial and important since climate change has been increasing day by day. Its effects are still seen in our dairy development activities such as changing in rainfall patterns that has been seen in our study area for example in Uganda whereby the minimal annual rainfall has gone down as well as in...
Global Climate Policy Conference GCPC 2016
Переглядів 357 років тому
The Global Climate Policy Conference Organized by Climate Strategies CS, Uhongozi institute and KAS held in Dar es Salaam Tanzania.
Nafasi ya vyuo vikuu vya kimataifa Tanzania ni Tiba ya ajira ?
Переглядів 3208 років тому
katika kipindi hiki Geofrey Julius amekutana na wnafunzi wa shule ya Jaffery iliyoko Arusha na kutoa mtazamo wao kuhusu Mada hii
International University Student for Africa ISFA
Переглядів 768 років тому
Irina Tchrirkova International Student Fair ISFA.Talk about ISFA. Video clip by Geofrey Julius
Stenden University attended Fair for International University Student for Africa -Tanzania
Переглядів 498 років тому
Kindly take a look a Video Clip for Stenden University South Africa and their unique programs . Produced by Geofrey Julius
Lugha ya Kiswahili Nchini Marekani
Переглядів 26 тис.8 років тому
Kutana na Rebecca Mandich anaependa Lugha ya Kiswahili na ambaye anaamini kuwa lugha ni chachu ya maendeleo
My Slideshow
Переглядів 349 років тому
I created this video with the UA-cam Slideshow Creator (ua-cam.com/users/upload)
Kuja tujue hayo hadi malaika washuke toka mbinguni
p̷r̷o̷m̷o̷s̷m̷
"Heri kuzungumza lugha yako ya kwanza kwa ufasaha sana kuliko kujilazimisha na kuzungumza lugha ya kigeni kwa makosa mengi", kauli hii imenigusa.
Tusijifunze vitu vipya hio ndio maana nyingine au
@@perisiverympwenku139 sivyo, kwa ufupi yuamaanisha kama kunayo nafasi ya kutumia lugha mbili, tumia lugha ambayo utaeleweka kwa ufasaha, kuliko kuchagua ile lugha nyengine kisha usieleweke. Ila kusoma vitu vipya, ni jambo kila binadamu afaa kufanya.
Huyu Mtanzania naye anapaswa kurekebisha lugha yake. Anafanya nakosa kuita neno Ajira. Badala yake anasema Hajira. Hili ni kosa kubwa sana. Na hili ni kosa kwa watu wengi wa kizazi hiki ambao hawajasoma kiswahili fasaha.
Usimlaumu muendeshaji wa kipindi kwa kukosa ufasaha wa matamshi kumbuka kwamba yeye pia kiswahili ni lugha yake ya pili baada ya lugha ya kabila lake lahaja zetu zinatofautiana kutokana na maeneo tunayotoka, kuna kiswahili cha wasukuma, wamasai, jaluo, wandengereko, wazaramo, wahaya wa Arusha, wakigoma nk lakini tunafahamiana pamoja na kuwa hakuna ufasaha wa matamshi
Ameongea point🤞
Government refers to public sphere, public sector for instance. to The general interest. We can only make intelligible what is public by comparing it to its opposite which is the private sector,. There is no need to oppose them but to harmonize them as the concept of Public Private Partnership shows.
Ahsante Sana kwahayo
🤝Kweli kabsa
Kachkua miaka mingapi kusoma Kiswahili .mbona yupo vizuri sana duh
Ni bore kuzungumza lugha ya kwanza kwa usahihi kuliko lugha ya pili kwa makosa... Saaaafi sana
Lakini tunajifunza KWA kupitia makosa..
Hayo ndio maajabu yanayo thibitisha kuwa mungu yupo, na ameumba wanadamu tofauti tofauti kama vidole vinavyotofautiana, watu aina ya Rebecca wapo na huwa ni watu wanaochukiwa sana wakiwa wadogo hata wakiwa wakubwa kwa sababu tu huwa wanasimamia UKWELI. Truth is an offence, but not a sin. Au TRUTH is a self evidence which stands alone without public support.... Rebecca hafichi ukweli na anajisikia fahari kuongea ukweli tu. Mzazi hampendagi mtoto anayesema ukweli muda wote, na jamii haipendi ukweli muda wote japo wakati mwngne utasikia " sema kweli" 🙄🙄🙄🙄
Samahani nitaandika kingereza kidogo "this woman is genius"
Kweli kbis
Kawashinda hata Wakenya kuzungumza lugha yao ya Taifa.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.
Ameyazungumzia mambo muuhimu kweli
Lakini kuna waAfrika wengi ambayo wana ongea Kifaransa, Kiingereza, na luga wengine ya wazungu na hawapati attention kama hivi. Hii nii kitu ya kawaida kabisa
Ndio wazungu sio maalum
Yuko vizuri sana huyu dada ni mtu ambae anajielewa sana
Rebecca upo vizuri sana
Interested
Pongezi sana
Mtangangazaji kk Geoffrey umevumbua mada nzuri sana. Napenda kiswahili
Mtangazaji hujui kiswahili,unasemaje hajila mnatuharibia
Watanzania tunao ishi marekani tujuane kwa like
She is more fluent in swahili than most Kenyans
Wewe sisi tumezowea Sheng
Labda nyinyi watu wa nairobi na bara..sisi mombasa we speak fluently.
@@mohammediddi7255 sio Ati hatujui lugha I speak fluent Swahili but nimezowea Sheng actually most kenyans..
@@hillarytindi8883 correcting you again .mombasa we dont speak sheng at all..nai and upcountry mumeharibu kiswahili chenu by mixng sheng englsh and swahili togthr...
@@mohammediddi7255 well then I do and am born and raised in Mombasa for your information
Interesting . If Americans could balance the trade in language USA would be heaven on earth.
Huyu mama hajalaza damu.
Yuko vizuri sana dada rebeca katika kuzungumza kiswahili.
Waliokosa kazi kwa rebecca wajitathmin kuwa bdo hawajajua kingereza vizuri
“Watanzania wengi wanathamini kingereza kuliko kiswahili”. powerful statement Huyu Dada kaongea vitu vingi sana vya msingi ambavyo kama wabongo na wenye lugha yetu ya kiswahili inabidi kuvitafakari kwa kina..
Tunakijua kiswahili, lakini english ni muhimu huko duniani
Mhhhhhhh I have liked her hongera zako mswahili mpya
Mtangazaji ni nmependa unajali wanakusikiliza,unajibu comment
Namkubalia sana Rebecca
Mimi napenda kiswahili pia! :) Nataka kuongea kiswahili kama yeye
Karibu sana Kiswahili ni lugha muhimu sana kwa maendeleo endelevu
Nitakufundisha
WhatsApp number +225622162569
Yupo sahihi sana..nawewe upo nchi Gani?
Ndugu Mtangazaji Naomba Niunganishe Na Rebeka Naona Tunaenda Katika Swala Kukuza Lugha Ya Kiswahili
SHAFII MKEREMI swala au suala?utakuza Kiswahili kweli?
Sawa kaka email yangu ni geof.julius@gmail.com nitakutumia mawasiliano yake kaka
Niunganishe namm kaka kuna vitu nataka anielekeze.
Rebeka Mandichi Nimekupenda
Wow!
Hakika huyu dada ameongea vizuri sana inabidi serikali iweke vipingamizi kwa wageni ili waingie Tanzania inabidi wajue kuzungumza kiswahili ikibidi wajifunzie ikibidi wajifunzie huko kwako kuwe na slogan no kiswahili no viza kwa kuishi Tanzania.
Kabisa
Nimemuelewa sana dada. Maisha ya marekani si mchezo mimi ndiko niko kwasasa ila anachokisema ni ukweri.
Ooh aisee
Safi sana mzungu..nimekuelewa.
Tatizo ni ccm hili lichama ni shiida
Hongera sana
Kweli kabisa kiasi kwamba hata wazaliwa wa Tanzania wamekuwa na fikra potofu kwamba kiswahili hakiwasaidii hadi wanaongea kiswahili na kuchanganya na kiingereza wakidhani ndiyo maendeleo.
Kabisa Asha
Sana mm namshukuuru kwa ushauri wake ni kweli kabisa wagen wengi wanaingia Tanzania ata kiswahili awajui kuongea na wengi wao Wana paspot ya Tanzania ata kiswahili awakijui kuongea zaidi jamboo na habari
Hahahaha kabisa hii ni moja ya changamoto kubwa
nimependa sana hii interview
Asante sana Gilberty
safi sana
Asante sana Aron
upo vizuri Sana Dada tunashukulu kwa ushauli wako Viongizi walifanyie kazi
Arqam Haiadar Iyo kweli kabisa
Arqam Haiadar ni "tunashukuru" na "ushauri" kwenye "r" umeweka "l"
@@wechemakambo2182 Yaani hili ni tatizo kubwa kwa watu wengi pia utakuta mtu kaandika mfano ata badala ya hata au apa badala ya hapa nk
sasa tumekuelewa sister.... viongozi walikuwa wamelala....
Yuko juu
umehoji vizuro sana ndugu yangu, mzungu ameeleza ukweli sana, na ametoa mila potofu, naomba mawasiliano yako 0672148290
Asante sana kaka Issa mawasiliano yangu ni 0765899161 karibu sana kaka